Zitto Aaga Rasmi Bungeni | TBC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 มี.ค. 2015
  • Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe ameuvua rasmi ubunge wa jimbo hilo mbele ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

ความคิดเห็น • 20

  • @muzamilmubumbebutabile3102
    @muzamilmubumbebutabile3102 9 ปีที่แล้ว +2

    Na kweli Mungu akipenda mtakuwa wote

  • @ngerejangwala2295
    @ngerejangwala2295 ปีที่แล้ว

    Namkubari sana hyu mwamba

  • @MapenziMalanda
    @MapenziMalanda 2 หลายเดือนก่อน

    Raisi ajaye

  • @fellysaluti8583
    @fellysaluti8583 9 ปีที่แล้ว +1

    hakika umeonesha kukomaa kidemokrasia kwa kukubali kuachia madaraka bila kujari kama tuhuma zilizokuwa zikikukabili zilikuwa za ukweli au laa.hakika we ni mfano wa kuingwa miongoni mwa viongozi wachache wa africa mungu akutie nguvu upende kusema ukweli kila wakati

  • @collincarlos7433
    @collincarlos7433 6 ปีที่แล้ว

    2020,,,,watarud wachache sna bungen kutoka chadema ,uhakik zitto atarudi

  • @markomoter3190
    @markomoter3190 9 ปีที่แล้ว +1

    nahisi wewe ni wanaume shujaa hakika maamuzi uliyo chukua upo sahihi mungu akujazie ujasir mwingine wa kuweza kufanya jambo ulilo lipanga.

  • @abdillahmruke9215
    @abdillahmruke9215 9 ปีที่แล้ว

    Big up zitto kabwe na unafaa xna kuwa mfano wa kuigwa.

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว

    Sawa Mkuu kwaheri

  • @rwegasila
    @rwegasila 9 ปีที่แล้ว +3

    Maamuzi yalio na busara

  • @aerorapul2636
    @aerorapul2636 9 ปีที่แล้ว +3

    stupidity of Tanzania politics,wewe uchaguzi bado miezi 5,kuvunjwa kwa bunge miezi 2 tu.Zitto hakuna mwanasiasa ambaye anapenda uchaguzi ukiona ambaye anakimbilia kurudi kwenye uchaguzi huyo ana lengo la kweenda kugawanya kura.

  • @frankoscar1838
    @frankoscar1838 2 ปีที่แล้ว

    Ndio

  • @elrachum3866
    @elrachum3866 9 ปีที่แล้ว

    Yaani wewe ni Jembe kama Lowasa, kukubali KIUME.

  • @euzebikitazi3741
    @euzebikitazi3741 3 ปีที่แล้ว

    Kitaz

  • @msakuzikondo536
    @msakuzikondo536 3 ปีที่แล้ว

    G

  • @naurumnazaleti6774
    @naurumnazaleti6774 6 ปีที่แล้ว

    ujue watu hawajui kwamb zitto kabwe ni mnafiki xubilini

  • @collincarlos7433
    @collincarlos7433 6 ปีที่แล้ว +1

    zitto kichwa ,,,,najua kisirisiri chadema wanajuta kumtendea yasiyofaa

  • @mwaijasaidi3256
    @mwaijasaidi3256 9 ปีที่แล้ว +1

    maamuz ya kiume

    • @mzeewahisia9959
      @mzeewahisia9959 6 ปีที่แล้ว

      Nakukubali xana zitto pamoja na lisu nyie ndio pekee ambao mkomaa kidemokraxia.

  • @pachasugu9927
    @pachasugu9927 5 ปีที่แล้ว

    Leo unashirikiana nao katika madudu yao ya uchochezi huna akili kaka yangu mimi binafsi nakubali ulikuwa mfano mzuri kwangu ila now nimeishusha thamani yako