Ni myaturu jasiri,mkweli,anayejiamini,mwelewa wa sheria na katiba,zanzibar na tanzania bara,Antipas lissu mugwai,muhambe alikozaliwa mkoani singida,mpigania utaifa zaidi kuliko chama chake.
Hakika mungu hata wafumbia macho nyie mnao watesa watanzania nakuwa UA bila sababu hio damu inawalilia ikiwemo damu ya benny sanane hakika cku yakiama inakuja mtajutia haya maovu yenu ?
Mm sichoki kumsikiliza lisu namkubali Sana Mungu hakubariki lisu
Huyu jamaa ni genius
Hii akili ni extraordinary
Naona Tanzania inataka kuwa kama Urusi, serikali kucontro media, huku wakifanyia raia wao maovu sad! !
Ur very logically lisu
Hiki kichwa sio cha kawaida
100%
Ccm sijuwi wakoje, hawasikuagi hata waambiweje ukweli, duh!
Power
Lissu nakukubali mno
Nakubali
Tutakumiss sana lissu mjengoni Dodoma
2025 tunamrudisha bungeni
Speaker Ndugaii arejelee hili
😔😔🤣🤣 na hatimaye kweli ikawa kweli. Duh
shujaaa lisu
lisuu
ndiyo
Uyu jamaa niwakimataifa kabsa tz ni ndogo Sana kwake
Akili kubwa
Ni myaturu jasiri,mkweli,anayejiamini,mwelewa wa sheria na katiba,zanzibar na tanzania bara,Antipas lissu mugwai,muhambe alikozaliwa mkoani singida,mpigania utaifa zaidi kuliko chama chake.
Uliyaona kwl
Hakika mungu hata wafumbia macho nyie mnao watesa watanzania nakuwa UA bila sababu hio damu inawalilia ikiwemo damu ya benny sanane hakika cku yakiama inakuja mtajutia haya maovu yenu ?
Long
Bunge la kipndi hicho lilikuwa na mvuto duuu
Ujinga huo