SHEKH WALID AFUNGUKA MAZITO WANAOMSHAMBULIA MZEE YUSSUF | HATUKUSHINDWA KUMCHANGIA | ROHO MBAYA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 329

  • @aaliamasachi9510
    @aaliamasachi9510 3 ปีที่แล้ว +14

    MashaAllah sheikh umejibu kisomi Allah akulipe Kwa hekma uliotimia.sikilizeni Hadi mwisho sheikh ana hekma nimeenda majibu yake na pia yana mafunzo mengi Sana.

  • @AbbyMustafa-yy3qf
    @AbbyMustafa-yy3qf ปีที่แล้ว +1

    Jamani Mimi nampenda sana shekh hareed mungu akuweke.usiingie TU kwa akina mange kimbi.

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 3 ปีที่แล้ว +7

    Alhamdulillah Sheikh Allah akujaalie afya njema na akupe mwisho mwema.Nimeelewa vizuri Sana Maashaallah

  • @omarmahendo9213
    @omarmahendo9213 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukran ustadh kwa jibu muafaka Allah akupe maisha mema leo na kesho akhera

  • @omarykyutta6681
    @omarykyutta6681 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah unajitambua sana walid Nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @shaameshaame2136
    @shaameshaame2136 3 ปีที่แล้ว +6

    Atowe hzo nyumba ziuzwe ndo kheri kwake aamini Mungu anamsafisha juu ya alivyovichuma kwan mungu anajua yy yaliyowazi na yaliyofichikana

    • @asteriashios1852
      @asteriashios1852 ปีที่แล้ว

      Unafaa kweli kweli mafunzo ya huyu shehe ni manzuri jifunzeni kwake anenayo ni kweli

  • @saudasaid4884
    @saudasaid4884 ปีที่แล้ว +1

    Allah akufanyie wepesi kila penye uzito na akuzidishie Imani 🙏🙏🙏

  • @samidquiz6316
    @samidquiz6316 3 ปีที่แล้ว +4

    Namkubali sana shk walid kama ulishakaa nae karbu utacheka sanaaaa ALLAH amuongoze

  • @QariUmarBasheikh.
    @QariUmarBasheikh. 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah, sheikh hapo umezunfumza ukweli kabisa, waislamu kazi kulaumiana lakini ikija kusaidiana hakuna mtu yuko tayari, killa mtu nafsi nafsi, Allah atuhifadhi.

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kweli sheikh walid amezungumza maneno ya hekma sana barakallah feek

  • @saherajuma8514
    @saherajuma8514 3 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh!!! Nimekuelewa vizuri Sana

  • @ibrahimhamad629
    @ibrahimhamad629 3 ปีที่แล้ว +21

    Mazinge big up. Endeleza msimamo wako tuko nyuma yako wengi

  • @mohdhaji4258
    @mohdhaji4258 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimekufahamu vizuri sh.
    Allah akulipe kheri

  • @abdillahwawa4010
    @abdillahwawa4010 3 ปีที่แล้ว +1

    MAA shaaa Allah rabbi akufungulie na akujaze kheri na akudumishe shekh wetu wewe NI kifaa asie jua ukisemacho bc tena

  • @eddieross2581
    @eddieross2581 ปีที่แล้ว

    Shekh wangu nakupnda sana , wape I watu na kuwafundisha imani juu ya allah,Yaani mnapoteza masaa kuzungumzia hanisi mmoja hana faida yoyote kwenye uislam

  • @hajimgwami5224
    @hajimgwami5224 3 ปีที่แล้ว +16

    SHEIKH WALID ANAJUA SANA ALLAH AMUWEKE ISNHA ALLAH

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 3 ปีที่แล้ว

      Kuna watu wanaostaili kusaidiwa siyo wenye nguvu zao. Nakurudi kwenye mahasi ya siyo suluhu. Shekhe acha kujibu unavyo jisikia.

  • @rahmaAhmad234
    @rahmaAhmad234 2 ปีที่แล้ว +2

    Nafaidika mnoo na maneno yako yaliyo jaa hekima maa shaa Allah .

  • @mwajumamohd7930
    @mwajumamohd7930 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah nimemsikiliza kwa makini shehe Walid,wallah makiri nimemuelewa ipasavyo,yuko sahihi. Amejibu kwa taqwa ya hali ya juu Sana. Wala msiongeze chochote

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 3 ปีที่แล้ว +8

    Basi sawa Shekhe hiyo nafsi yako itaulizwa

  • @mohammedkimanga8960
    @mohammedkimanga8960 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukrni sna sheikh waalid ssa mlete sheikh uthman maalim atupe rai yke kulingna na mwenendo wa mzee Yusuf

  • @sharifmayula3142
    @sharifmayula3142 3 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh walid alhad nakukubali sana

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 3 ปีที่แล้ว +1

    NAKUONA UMEKUA KAMA SHEIKH KILEMILE MASHALLAH M.MUNGU AKUWEKE

  • @hussmuya5246
    @hussmuya5246 3 ปีที่แล้ว +6

    Shekhe umezunguka sana. Ila elewa kwa mzee yusuph yuko kwenye upotovu tena ni mnafiki mkubwa

    • @canibalgazaboy8325
      @canibalgazaboy8325 3 ปีที่แล้ว

      Wew hutendi dhambi wew hukosei acha kuhukumu ndicho shekh wako anachofafanua hapo

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah kheir sheikh walid

  • @mayedmohammed5554
    @mayedmohammed5554 3 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh walid. Wewe nimekuelewa sasa uyo mzee yusuf akuna asicho kijuwa ktk dini yake. Sio mngeni. Acha figisu figisu mungu anawaona kama kweli wewe unataka kumuokowa. Bas onesha mfano kwako na wewe si muislam pitisha michango miskitini fursa iyo unayo. Acheni kutupoteza nyie ndo masheikh zetu. Mungu akuona wewe pia nima suhula uta ulizwa. Lamsingi apo na secondary. Nikuomumbea dua Allah asi ichuwi roho ya mzee yusuf kabla ajatubia arudie kwenye haki amsamehe. Lakini Sio kwako figisu izo mungu apigwi shere. Sheiekh .Allah ya allah -muh

  • @upendoadolf4570
    @upendoadolf4570 3 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh ameongea vizuri sana ameangalia pande zote mbili bila kufanya hukumu...barikiwa sana

    • @ayoubbilatuka7012
      @ayoubbilatuka7012 3 ปีที่แล้ว

      Uislam dada'ngu huwa hauna tabia ya kupindisha... Njano njano, nyekundu nyekundu tu dada'ngu japo Allah ndo mjuzi zaidi.

  • @bossmum1112
    @bossmum1112 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah kweli🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @ALiBAba-zz2td
    @ALiBAba-zz2td ปีที่แล้ว +2

    Sheikh wamkoa mashallah

  • @richgangtmk8705
    @richgangtmk8705 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukiwa na Elimu ndogo ya uelewa utaona kama sheikh anamtetea mzee Yusuf. Ila sheikh kaongea vizuri sana na ushahidi juu. Nakubaliana na sheikh wangu

  • @muhsinsalum4974
    @muhsinsalum4974 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani sana sheikh wetu

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 3 ปีที่แล้ว +3

    Mm nimekuelewa sheikh Allah atusamehe sote hakuna msafi100%

    • @hawahassan967
      @hawahassan967 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kbs dadangu hamna, mtu msafi Allah ndo mwenye kuhukumu.

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 3 ปีที่แล้ว

      Salma

  • @michaeldavid4322
    @michaeldavid4322 3 ปีที่แล้ว +1

    Waislamu mnapenda kujigeuza nyinyi ni mungu mnahukumutu utadhani nyinyi mmekamilika hakuna anaejua kilichopo mbele kikubwa mtu akikosea mnamuimbea akae sawa na si kumuhukumu acheni vituko hivo

    • @abdulrazakhassanor498
      @abdulrazakhassanor498 3 ปีที่แล้ว

      Usiseme waislam sema baadh ya waislam maan co wote wanaohukumu

  • @naftalimsangi3336
    @naftalimsangi3336 3 ปีที่แล้ว +1

    Yees nime kuelewa sawasawa mungu aku ingezee fikra na hikma

  • @ashaomary8881
    @ashaomary8881 3 ปีที่แล้ว +4

    Uko sahihi sheikh walid

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +1

    Wale wenye mihemko ya kidini watakuponda Shekhe Walid uko vzr sana shekhe Walidi

  • @saeedsaedi2475
    @saeedsaedi2475 3 ปีที่แล้ว +2

    MZEE yussuf nimnafiki hanachadeni mzushii kazidiwa namkewe karudishwa kwenye moto nawewe huna ushehe tuondokee naporojo lako

  • @aymankhadija619
    @aymankhadija619 3 ปีที่แล้ว +3

    Uko vizuri shekh Mashallahl.Lkn nna swali linanitatiza,waumini walofunga miskiti kwa ajili ya kuhofu Corona Je wanaweza kushika Silaha kwenda kupigana kuuhami uislam?,Namaanisha jihadi ya kupigana sio jihadi ya kutangaza Neno la Mungu.Manake jihadi ziko nyingi

    • @zakialustan722
      @zakialustan722 3 ปีที่แล้ว

      Jibu wanaweza

    • @abuyunusmohamed6961
      @abuyunusmohamed6961 3 ปีที่แล้ว +1

      Tusiwe majingalawa.mada ni mzee yusuf haya ya vita yametoka wapi?

    • @aymankhadija619
      @aymankhadija619 3 ปีที่แล้ว

      @@abuyunusmohamed6961 Yamewachomanheeee😊😊kuipuuza jamaaa kisa mafua😅😅😅Duuh!!,Ndo kwanza mwaka huu nimejionea.Kisha usinipangie cha kuandika huniwekei bundle wewe wala sijamtukana mtu nimeuliza swali.Pia acha kudharau watu

    • @aymankhadija619
      @aymankhadija619 3 ปีที่แล้ว

      Corona ugonjwa tu kama magonjwa mengine,unafki umedhihirika kwa waumini kipindi cha CORONA.Hawana lolote wanafki tu.Yani nikashangaa hadi nikawa siamini kiasi flani😊😄Si mnasema mtu akifia sehemu ya ibada/anaabudu anaenda peponi😆😆😆nyie mliogopa mini sasa kwenda kufia miskitini mwende peponi!!??

    • @aymankhadija619
      @aymankhadija619 3 ปีที่แล้ว

      @@zakialustan722 Hakuna kitu kama hicho wameyaogopa mafua ndo wataweza kulisogelea panga.Uongo mtupu

  • @somoeismail9665
    @somoeismail9665 3 ปีที่แล้ว +7

    Kwani huyo mzee yusuph kutubia, had kwenda Makkah kuhiji na hilo deni nn cha mwanzo kutokea? Mbona siku zote aliimba huo mziki na hlo deni alikuwa nalo hakuweza kulipa? Au amepata hilo deni baada ya kuacha mziki?

  • @hamismasoud4924
    @hamismasoud4924 3 ปีที่แล้ว +7

    Katika mashekhe nico waelewa ww mmoja wapo,huyo mzee Yusuph alienda hijja kwa hela ya mkopo au ya kudhaminiwa.

    • @musisaidi9785
      @musisaidi9785 3 ปีที่แล้ว

      Kama haumuelewi shekh walid bac hakuna shekh utakae muelewa

  • @mrishokhan217
    @mrishokhan217 3 ปีที่แล้ว +3

    fatuma mitihani lazima ndio unapimwa imani yako hata ziuzwe nyumba zote za mzee yusufu kwani hamna wanaoswali hawana nyumba za kukaa wamepanga na wana madeni

  • @wangonamuhange8218
    @wangonamuhange8218 3 ปีที่แล้ว

    UYU SHEKH nakubali sana halopoki kama wengine Allah atamchoma moto Allah amuazibu ww unaesema ivo unaju nn kuhusu mungu au kumaliza juzuu basi unajiona unaudugu na mungu kwenda msikiti basi ushajiweka peponi na una uwakika gani kama unachokifanya kama kipo sa hh? Waislam walimsaidia nn?

  • @ismailnamtuma1830
    @ismailnamtuma1830 3 ปีที่แล้ว +4

    Innalillaah wa inna ilaih rraajiun,,,hakuna shkh hapo .

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 3 ปีที่แล้ว

      Mimi naona ktk mashekhe wetu atokee shekhe amtolee.mzee yussuf mawaidha km yakumtia hofu kuwa alipoelekea kwSasa sipo arudi kwamola wake sasa anapotetewa ndio anapocharukwa yule.ni muislam mungu anaweza kumtia imani

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwaiyo shekhe wewe umefurahia km huwezi kumshutumu uhai siwetu mimi naomba mashehe.mwiteni mumpe mawaidha yule aweza kurudi mna anaimani.

    • @wangonamuhange8218
      @wangonamuhange8218 3 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo nyinyi mulitaka amuhukumu kwani yeye mungu

    • @salimbahatisha3003
      @salimbahatisha3003 ปีที่แล้ว

      Xawa sheikh mangungu ww

  • @mrishokhan217
    @mrishokhan217 3 ปีที่แล้ว +3

    ungetangaza msikitini achangiwe sasa unategemea tungemchangiaje?

  • @balozibalozi4483
    @balozibalozi4483 3 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh walid hili sio la kufumbia macho kwenye ukweli lazima useme dini yetu sio ya kuficha ficha msikilize Sheikh Kipozeo hili la Mzee Yusuph alivyochana ukweli sio kupindisha pindisha Allah achezewi!!!

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 ปีที่แล้ว +2

    Huwezi kuuza imani yako na kukufuru kwa mtihani wa kuwa na deni.
    Kuna madada wanajiuza kwa shida ya maisha .je utawahalalishia kujikimu kimaisha?Ittaqillah sheikh walid.

    • @mrishokhan217
      @mrishokhan217 3 ปีที่แล้ว

      atakuwaje rafiki yako hujui kama ukimbatana na mfuavyuma nguo yako itatoboka

  • @fatmakigula8634
    @fatmakigula8634 3 ปีที่แล้ว +18

    Kwan kudaiwa ndio arud katka ubaya mbona maswahaba walikua na njaa wewe shekhe unatuchafua

    • @0656840872
      @0656840872 3 ปีที่แล้ว

      Hv nyie mmeskiliza mpaka mwisho au mnalalamika tu?

    • @kazwebaamour1301
      @kazwebaamour1301 3 ปีที่แล้ว +3

      Fatma Kigula kabisa hakuna shekhe hapo bali kuna kilaza yaani anasapoti kuwa ni sawa

    • @fatmakigula8634
      @fatmakigula8634 3 ปีที่แล้ว +4

      @@0656840872 mwishogan Mm namjua live cio TV tu na ukoo wake ote, kudaiwa sio sababu ya kuyafanya uloyakataa huo ni unafiki bas wangefanya mitume na maswahaba walidaiwa walikua na dhiki lkn walisimama na had ss tukaijua din na aliambiwa na makafiri acha kuhubir din tutakupa ufalme tutakupa Mali, Au ww hujui? Kama sio muisilam citokulaum lkn Kama muisilam nitakwambia kasome half utajua Kama mzee Yussuf anafanya istidhai ila kubwa nikumuombea dua azinduke tena kwamungu Hakuna kubwa bado nafas anayo

    • @0656840872
      @0656840872 3 ปีที่แล้ว

      Hujasema ni Sawa alichosema ni kwamba kuna yalompelekea kwenda huko kwa sababu hajapata msaada na pia alivotegemea haikua hivyo ila mwisho sheikh alisema kama mmesikiza vizuri kasema analofanya sio halali

    • @0656840872
      @0656840872 3 ปีที่แล้ว +1

      Halaf mwenyezi mungu humsemehe mja wake kila kukicha nyinyi hamfanyi dhambi ya Aina yoyote mkaomba na msamaha kila kukicha? Je unadhani mwenyezi mungu angekuwa na moyo kama binadamu akisamehe mara moja hasamehi tena hakuna mtu angeingia pepon halaf usimuongelee mtu vibaya ww hujui mwisho wako na yy hujui mwisho wake mengine tumwachie Allah kila mmoja ana yake

  • @bahiyaqassim1950
    @bahiyaqassim1950 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwan mwambembeleza kurejea kwa Allah,, hakika kila mtu atasimama na hesabu yake kufrisika si hoja kwa ajili ya kuitetea akhera yake,, maana hayo anayoyang'ang'ania ni ya mpito atayaacha dunian tu

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 ปีที่แล้ว

    ukimdikiliza kwa makini utamuelewa shekhe anakusudia nini ana hekma sana ana muonya mtu kwa hekma ila ukimsikiliza kwa sikio kubwaa utaona kama anatetea maovu kumbe hapana.anamaneno yanayo hitajika usikivu sana ni hekma.hawazi ktk vyombo vya habari kumshambulia mtu hawa ndio mashekhe tunao wahitaji.hata mwenyezi mungu alituonya msiwatukane hao wenye mungu wao wa uongo kwani mkiwatukana na wao watawatukanien mungu wenu wa kweli.sijui mnanielewa na hivi ndivho mtume wetu alikua akikosoa mtu kwa hekma pasi na kumkwaza.mlitaka amshambulie mzee yusufu

  • @allynassor9127
    @allynassor9127 3 ปีที่แล้ว +2

    Wanaopenda taarab watakusifu sana

  • @imjtv6468
    @imjtv6468 3 ปีที่แล้ว

    Hakika kuna watu wana nyuso za Abuu bakar swidik lakin kumbe ni chui wa uislam
    Watakuja watu kufanya dini ndio kipato chao cha maisha ndio weye na wenzako wanao jifanya maustadh na kumtetea mtu asio na haya wala aibu kwa muumba wao
    Hakika miongoni mwa watu walio laaniwa ni wale walio tubu kisha wakarudi katika maasi
    Ambao humfanyia mzaha Allah sw

  • @othmanabubakar6630
    @othmanabubakar6630 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuelew sana sheikh inahitaj akili kukuelew

  • @aminamarie2387
    @aminamarie2387 3 ปีที่แล้ว +1

    Shekh wasema kweli.

  • @ngaokolaislamicfoundation194
    @ngaokolaislamicfoundation194 3 ปีที่แล้ว

    Mimi ni miongoni mwa wahadhir tuliokuwa tukitembea nae mikoani kote kumtangaza na kila kongamano kongamano mzee anatumia kila siku moja laki mbili na halikuwa hpumziki, leo akitoka hapa kesho pale bado alishindwa kufanya mikakati ya kulipa deni?

  • @siphifahashimu9723
    @siphifahashimu9723 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah Mashaalah

  • @hajeralqaidi2115
    @hajeralqaidi2115 3 ปีที่แล้ว +3

    Shekhe atakujasema imeeditiwa

  • @abdulrazakhassanor498
    @abdulrazakhassanor498 3 ปีที่แล้ว

    Msikilizeni mtaelewa vzr weng hamuelew na hamjamsikiliza vzr pia msimhukumu kabla ya kuhumu nafsi zetu

  • @pambwemaulidpambwe5526
    @pambwemaulidpambwe5526 ปีที่แล้ว

    MashaAllah.Darsa kubwa

  • @abubakarmzee3374
    @abubakarmzee3374 3 ปีที่แล้ว +1

    Izo shekhe so sababu kukosa pesa au kutokusaidiwa ndo arudi kwenye ujinga hakuna Mambo Ayo kwenye din

  • @jiongezeemaarifa1496
    @jiongezeemaarifa1496 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kuna A na B wengi wameishia na A tu ndio hawakubaliani na Ust Walid.
    A inawaandama Waislamu na B inarudi kwa muhusika mzee Yusuf!

    • @saidiyusuph2611
      @saidiyusuph2611 3 ปีที่แล้ว

      Shida ni kwamba watu wengi huwa hawafuatilii jambo mpaka mwisho.

  • @laythatsuleiman7184
    @laythatsuleiman7184 3 ปีที่แล้ว +2

    Ata simuelewi huyu shehe
    Mzee yussuf mwenyewe
    Kasema yy ni mfuas wa shetani
    Sasa ukiwa unamfata shetani unategemea Nini kwa mungu

  • @mohamedihashim7420
    @mohamedihashim7420 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @mgangasamandua464
    @mgangasamandua464 ปีที่แล้ว

    Hakika mungu Ametuchagulia mtu sahihi sheghe we nimtu wahaki binadam wengi tumezoea kuhukum majamb yasio tuhusu tusipende kuingili hukum ya mungu man yy ndo mwenye kuchagua ampendae

  • @aishahasan7594
    @aishahasan7594 3 ปีที่แล้ว +12

    Shekhe kam unahekima ungemfata mazinge kwahekima sio useme tu kwenye vyombo vyahabari mm nimepnda maneno yamazinge kasema ukweli sasa mtagomban wenyew kwawenyew kisa upumbavu wa mzee yusuph

  • @mrishokhan217
    @mrishokhan217 3 ปีที่แล้ว +3

    mbona wengi wana madeni

  • @kassimibrahim4776
    @kassimibrahim4776 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @mohamediramadhani6808
    @mohamediramadhani6808 3 ปีที่แล้ว +2

    Acheni kutupoteza mashekhe akuna mungu alipo sema kwamba mkipata shida ludi kwenye makatazo yangu shekhe kasome tena

    • @muhsinsalum4974
      @muhsinsalum4974 3 ปีที่แล้ว +1

      Watu mnatakiwa mpunguze kuhukumu kabla ya kumsikiliza mtu mpaka mwisho, umeona nivipi umeaibika kwa hukumu zako za haraka!?

  • @eddybayoo4256
    @eddybayoo4256 3 ปีที่แล้ว

    Allah ndie ajuae

  • @S.A_media1
    @S.A_media1 3 ปีที่แล้ว

    Shekhe nimekuelewaa xana waislamu tunayumba katika kutoa zaka na hata sadaka

  • @ibrahimhamad629
    @ibrahimhamad629 3 ปีที่แล้ว +7

    Sheikh unatupotosha. Wenye madeni wote na umaskini wafanye ufuska...

    • @farda9605
      @farda9605 3 ปีที่แล้ว

      Jamani sheikh kaongeya vizuri ila namazinge msimlaumu. Ivi yeye mze yussuf alijianda kuacha mziki hakulala alafu akaamka ameuwacha ivi alikuwa hana kitegauchumi chochote chakusema kimkizi matatizo yake? Naaliwambiy waislam wamlipiye ilo deni wakakata mazinge kamkopa laki saba mbona paka leo hajazilipa na mazinge alikuwa hajamsema mze yussuf katumiy kauli mbaya ile kusema nama sheikh msinisemi atakaye msema na yeye atamsema kwenye ukumbi wake, na akarudi akasema walikuwa wanamuita kwenye mihadhara hawampi yeye pesa je zilepesa njozenye zilikuwa zumemfanya aache mziki? Apo tayari kisha washutumu waubiri nandio sababu ya mazinge kumjibu ivi kenda makka akafanya kweli allah angemzalilisha? Niwangapi wanasilim wananyanganywa malizote walikuwa matajiri wanabaki mafukara ila hawayiyachi ndini ya allah tuache mze yussuf alizaliwa katika uislam na akaukuliya emo labda analengo lake lingine hata angeliimba kaswida ilo deni angelilipa. Yeye siwakwanza ao wa mwisho kudayiwa

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 3 ปีที่แล้ว

    Maswahaba wengine walikua masikini sana lakini haikuwafanya kuingilia maasi. Pia hapo bado hujatupa jibu Shekh..

  • @karamakiumbe4866
    @karamakiumbe4866 2 ปีที่แล้ว

    Hatari sana...Sasa akifariki akiwa huko Nini hukum yake

  • @zahorrashid5459
    @zahorrashid5459 3 ปีที่แล้ว +4

    ww unapongeza kurudi kwasababu anadaiwaa ee .ww vp nakama katangaza chombogani tumchangie.acheni unafiki nyy. mashekh watanganyika kueni namsimamo. km mazinge.

  • @sarmbadmkali6150
    @sarmbadmkali6150 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh walid allah akulipee

  • @farijala1
    @farijala1 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh Walid. Unaremba. Nenda kwenye point. Kutokuchangiwa haihalalishi Yeye Kurejea Katika Hayo.

  • @karamakiumbe4866
    @karamakiumbe4866 2 ปีที่แล้ว

    Sasa nimeelewa mashaallah

    • @salamasaleh7077
      @salamasaleh7077 ปีที่แล้ว

      Mashallah shekhe tuwekee bamba zako

  • @imjtv6468
    @imjtv6468 3 ปีที่แล้ว +7

    Kwa maana hio unasema mtu akiwa na shida na akikosa msaada basi Amuasi Allah sw
    Mm nina shida na sijapata msaada kwa maana nimuasi Allah ?
    Huo wako ww ni kutafuta kula 2 dini haihitaji undugu wala ujamaa

    • @j_gh812
      @j_gh812 3 ปีที่แล้ว

      Hujaelewa na hautaelewa Kama hukutuliza akili...kwa juu juu wa mfano mdogo..unajua unaruhusiwa kula mzoga na hata nguruwe?binaadamu inatakiwa tujizuie kuhukumu watu..Bali kuwaombea wanaoteleza

  • @aybkham5795
    @aybkham5795 3 ปีที่แล้ว

    Angalia na chnga sana eeeh

  • @abdab8466
    @abdab8466 3 ปีที่แล้ว

    Hii sio zama ya Zaman mambo mabaya hayaanei kwa haraka namsupport mazinge kukemea ili wengine wasijaribu kufanya hata kama mzee Yusuf hatoregea kwa Allah lkini wengine watajikisi

  • @mohamedzeinab8035
    @mohamedzeinab8035 3 ปีที่แล้ว +1

    Babdeo naomba no za sheikh za watsup

  • @amisakummoha4062
    @amisakummoha4062 3 ปีที่แล้ว

    Dah

  • @hasanmwauta2800
    @hasanmwauta2800 3 ปีที่แล้ว +3

    Miaka mingapi ameimba taarabu, hilo deni limepatika kipindi gani?kwa nini tusiwachangie watu wanaosilimu.

    • @ladylady8440
      @ladylady8440 3 ปีที่แล้ว

      Sio wanao silimu tu hata mimi naitaji mchango

  • @mohamediramadhani6808
    @mohamediramadhani6808 3 ปีที่แล้ว +2

    Shekhe unaupotosha Uma wakisilamu mbona abukari alifilisika hakawa na madeni mpaka watu wakawa wanamkimbia ili asiwakope tena. Lakini mbona akulitadi shekhe kasome tena achaa kutupoteza kwamana hiyo makahaba wasiache kwasababu Wana pata pesa

    • @abdallahabeid8540
      @abdallahabeid8540 3 ปีที่แล้ว

      Shekhe unatambuwa kama mzee yusufu alikuwa huko akaarudi huku sasa karudi tena huko bado tu anahitaji nafasii

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 ปีที่แล้ว

    Ukifumania pia kwa jicho la kwanza usiamini mpaka uone kwa jicho la pili

  • @mussahamisi1191
    @mussahamisi1191 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwaiyo Deni ndo sababu ifanye uwache haki mpaka aingie kwenye batili? Sheikh wa wapi huyu

  • @joveticndekyo8374
    @joveticndekyo8374 ปีที่แล้ว

    Shekhe wangu kuwa makini kwenye mitandao Shekhe wangu walid Alhad Nina kuomba Sheikhe wangu sawa hivyo tuuu

  • @qariikhamisiqarii5920
    @qariikhamisiqarii5920 3 ปีที่แล้ว

    Niwafahamishe waislamu wenzangu uislamu haumruhusu shekh walidi wala shekh mazinge kumtia motoni wala kumuita kafiri mzee yusufu.. Na siyo kwamba shekh walidi ana unga mkono maamuzi ya mzee yusufu. Bali amejaribu kutuonyesha madhaifu makubwa tulio nayo ya kiimani. Kwamba hata mzee yusufu alipo acha kuimba kwakua ali badili maisha ilihitajika sisi kufanya kitu kitakacho mfanya ayazoee maisha mapya..Mzee yusufu ni mtu anaye fanya maaswi na wapo watu hawa imbi mziki lakni maovu yao ni makubwa kuliko ya mzee yusufu.

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 ปีที่แล้ว

    kuna watu wa kuwachangia wengi uku nje,kuna maskini,mayatima mafukara wanahitaji msaada,pili hilo deni alishindwa kulipa ata akiwa kwenye muziki au ilo deni lilizuka baadaa ya kuacha

  • @allyyassin3425
    @allyyassin3425 3 ปีที่แล้ว +1

    Ustadh kuwa makini acha tabiabya kupakapaka mafuta watu we utakuwa umehongwa pesa
    Kama alikuwa na deni myika minne alimwambia nan ???
    Kasome kwanza .

  • @mdathirhassan2187
    @mdathirhassan2187 3 ปีที่แล้ว +1

    Wataka sifa ujulikane ksma ni mkweli wewe mfuate mzee yuusf arudi nyuma
    Ndio mwataka hela za kila mtu

  • @bakarikalama6099
    @bakarikalama6099 3 ปีที่แล้ว +2

    Hili ndio lilikua lengo la Mzee Yusuf. Masheikh wagongane. Yule ni ajent wa ibilisi. Anatumiwa kwa kila njia kupiga vita uislam

    • @shamsahassan2586
      @shamsahassan2586 3 ปีที่แล้ว

      Nkweli kabsa lazma tuwe maskini nae

    • @arqamibnarqam.7185
      @arqamibnarqam.7185 3 ปีที่แล้ว

      @@shamsahassan2586 Haiko hivyo dada yangu msikilize kwa makini huyu sheikh .

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 ปีที่แล้ว +1

    Hao ndio mashehe wanga . Mana kama kweli shekh ungemgomba mzee .ili wengine wasije kufanya hayo mana kama unatetea

  • @mohamediywaziri8690
    @mohamediywaziri8690 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwaiyo SHEHE MTU ukidaiwa nihaki kufanya dhambi ili ukizi maitaji

  • @fatmakigula8634
    @fatmakigula8634 3 ปีที่แล้ว +8

    Mm nimeslim na ninamitihan mkubwa yake midogo na ndugu walinitenga na sijarud katk ukiristo na ninamaden kufuru Shekhe utaenda ulizwa ww

    • @fatwimatzahrau2327
      @fatwimatzahrau2327 3 ปีที่แล้ว +1

      MashaLLAH

    • @ashaomary8881
      @ashaomary8881 3 ปีที่แล้ว +1

      Mashallah

    • @khitamiabdulmaliki9268
      @khitamiabdulmaliki9268 3 ปีที่แล้ว +4

      Mashallah Allah azidi kuku hifadhi na akufanyie wepesi mambo yako na azidi kukuongoza katika njia ilio nyooka

    • @hallin9561
      @hallin9561 3 ปีที่แล้ว

      Ulibadiri dini kwasababu ya kupata mume au ulihis ukristo ni kwenda motoni🤣..
      This s Africa

    • @fatmakigula8634
      @fatmakigula8634 3 ปีที่แล้ว +3

      Hapana Mm nilipenda kuwa muislam na niliona uislam ni din ya kweli, na mume alionioa aliniacha na kunitamkia Tudi ukiriston kwenu sikutaki, wallah sikurud na sifikirii kurud abadan, najua mungu hunipa mitihan kuniangalia je nitashukuru Au nitakufuru? Yan kiufupi hivo lkn ninamitihan kibao lkn nipo kusubir ipo siku mungu ataiyondoa Insha Allah

  • @hallin9561
    @hallin9561 3 ปีที่แล้ว +7

    Wenye viherehere vya imani hawatomuelewa shekh, shekh amesema ukwel kabisa tatizo waislam wengi ni fuata mkumbo hawatazamagi na nje ya box

    • @amiriswahibu214
      @amiriswahibu214 3 ปีที่แล้ว

      Uuuuuuûuûuuuuuuuuuuuuu7uuuûuuûuuuuûuuuüuuuuuûuûuuûuuuuûu7ûuuuuu ûûûûûuûuûûuuuuûuûûuûûûuûuûuûûuûuûuuumlûuûûûuûûûuûûûûûû

    • @suleimansiasa9800
      @suleimansiasa9800 3 ปีที่แล้ว

      Ukweli nikwamba imani yako usiichezee, jiulize mungu atakuacha ety kwasababu ulikua unadaiwa.

  • @nourzahoro3178
    @nourzahoro3178 3 ปีที่แล้ว +1

    Asalam alykum kwani hilo denilimekuja baada au kabla?iwapo! Iwapo alikuwa anapata ml5 kwa wiki kwa nn hakulipa deni lake alikuwa si mlipaji anasingizia hakupata msaada

  • @daressalaamtanzania2736
    @daressalaamtanzania2736 3 ปีที่แล้ว +3

    Wewe babdeo unawagombanisha hawa watu maana iyo fitna unaleta kama hujui shekhe walidi jitambue achana na mambo ya kiovyo

  • @ajmilee4204
    @ajmilee4204 3 ปีที่แล้ว +2

    Jmn tumieni akili zenu kumsikiliza vzur Sheikh! Wengi wenu hamuja muelewa

  • @allynassor9127
    @allynassor9127 3 ปีที่แล้ว +1

    Alipiwe na nani kwani hawapo waislamu ambao wanadaiwa mbna hawaimbi

  • @khadijasharifu9591
    @khadijasharifu9591 ปีที่แล้ว

    Maishalwa shekhe wetu maneno yako kumtu. Naomba namba yako shekhe ninamambo nataka kukuuliza namba unisaidie

  • @christophermahawi4920
    @christophermahawi4920 3 ปีที่แล้ว

    Huyu Shehe ameugusa moyo wangu ingawa mi si muislam. Ni mwenye hekima kuliko Mazinge.