SHEKH KIPOOZEO | MZEE YUSSUF KATUDANGANYA | SIKUMSAPOTI KWA TAARABU | UMERITADI SHAHADIA | UMEKUFURU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ส.ค. 2020
  • #BabdeoMiladu #NarudiMjini #Enterview #Xclusive #ExclusiveEnterview #ShekhKipoozeo #MzeeYussuf
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 1K

  • @omaryshafii1174
    @omaryshafii1174 4 ปีที่แล้ว +223

    Kama na wewe umeelewa point za sheghe Kipoozeo gonga like hapa twende sawa...

  • @emmanuelmwaimu8822
    @emmanuelmwaimu8822 4 ปีที่แล้ว +6

    Shekhe Kipoozeo,nimefurahishwa sana na maneno yako,hasa ulivyoonyesha kuwa tayari kumuombea Mzee Yusuph kurudi kwa Mola wake.Hakika wewe ni mzazi,mlezi na kiongozi.Mimi ni Mkristo lakini kila unapotoa dawa nakusikiliza sana.Asante Shekhe

  • @MAKAME5
    @MAKAME5 4 ปีที่แล้ว +58

    sheikh kipozeo kwa mara ya kwanza nimekukubali leo in shaa allah utalibwa ujira wako

    • @jaliakamote5485
      @jaliakamote5485 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaani hili jambo limemuuma sana anaongea kwa utulivu na hisia bila mzaha kusisitiza anachokiongea.

    • @salimvandee9210
      @salimvandee9210 3 ปีที่แล้ว +2

      We ndio unalipa ujira au iviii mzeee yusph kapoteza watu wangpi afu unaanza mwongelea kiulaini c fala tuuu yye

  • @onesmopaulmwacha566
    @onesmopaulmwacha566 4 ปีที่แล้ว +74

    Mimi sio mwislamu lkn namuelewa sana shekh kipoozeo ..waislamu msikieni huyu shekh na zingatieni hayo kwa matendo .

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 4 ปีที่แล้ว +55

    Allah akulipe kheri shekhe wetu huu ndio uislam umezungumza maneno mazito alhamdulilah yaani nimefurahi nakuombea na dua shekh wetu Allah akuzidishie imani na akupe umri wa kheri na afya amin

    • @jabilishekusa2202
      @jabilishekusa2202 4 ปีที่แล้ว +1

      Ndio maana Baba wa taifa alisema Kuna watu wengine Kama Malaya Malaya

    • @fatummsagat5177
      @fatummsagat5177 4 ปีที่แล้ว

      @@jabilishekusa2202 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @khababuabdallah8078
      @khababuabdallah8078 3 ปีที่แล้ว

      MAASHAALLAH Allah akulipe kwaelim na maneno yenye busara

    • @hamza89945
      @hamza89945 3 ปีที่แล้ว

      Naila Omar Naila

    • @otiatobakari2005
      @otiatobakari2005 3 ปีที่แล้ว

      anatakiwa atubu sana

  • @ustadhyassir3460
    @ustadhyassir3460 4 ปีที่แล้ว +22

    Shekhe kipozeo allah akuzidishie kwa nasaha nzuri sana ulizozitoa nahii imetukumbusha sana hasa katika zama hizi zafitna.

  • @islamrashid5451
    @islamrashid5451 4 ปีที่แล้ว +35

    HAYAWI ILA ANAYOTAKA ALLAAH...tumuombe Allaah ajalie tuwe ni wenye kutosheka kwa kile alichotukadiria...ya Mzee yaliza

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 3 ปีที่แล้ว +47

    Wapenda duniya wame dislike aliyo yasema sheikh, Allah atupe mwisho mwema. Na ukipata mitihani ndo utapimwa iman ya mtu

    • @AbdulKarim-vi7rj
      @AbdulKarim-vi7rj 3 ปีที่แล้ว +1

      Sheikh kipozeo Ni Mmoja Wa masheikh ambao ni hazina katika uislam mwenyezi mungu amlipe kheri na tumtambue Ni mtu Muhimu hivi sasa sio mpaka akifa ndio tuanze kumsifu na kujua umuhimu wake.

  • @ngashningauri8703
    @ngashningauri8703 3 ปีที่แล้ว +13

    Ma~sha~Allah Sheikh Kipozeo, baaraka~Allah fiyka. Mtenda kosa si mkosa ila mrudia kosa, kubwa zaidi nkuzidi kumuombea Allah Mz. Yusuph amzindue, amuongoze na amjalie husnul~khaatima ktk maisha yake.

  • @mrsochu7504
    @mrsochu7504 3 ปีที่แล้ว +24

    Yaa Rabbi tupe mwisho mwema tufe tukiwa waislam wa kweli🙏🙏

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 ปีที่แล้ว

      Amina aminaa allahuma aminaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @samikadar
      @samikadar ปีที่แล้ว

      Amin Amin InshAllah sisi sote.

  • @mwaiphamkuruto6334
    @mwaiphamkuruto6334 4 ปีที่แล้ว +15

    Shekhe amenena maneno mazuri na matamu kwa kweli jaazakallah hairan

  • @ankojayjay7195
    @ankojayjay7195 4 ปีที่แล้ว +20

    Inshallah mwenyezi mungu atukubarie duwa zetu

  • @munawar1082
    @munawar1082 4 ปีที่แล้ว +13

    Subhann Allah, sheikh tuombe kheri kwa Allah, mzee Yusuf kapindukia na kakubaliana na masharti ya kishaitwani. Allah atuepushe na hili

  • @mrsochu7504
    @mrsochu7504 3 ปีที่แล้ว +8

    Sahihi kabisa shekh, nakukubali. Allah atujaalie imani thabit na atujaalie tufaulu mitihani yake tuwe waja wema. 🙏🙏

  • @mariamali1887
    @mariamali1887 4 ปีที่แล้ว +27

    MashaAllah shekhe kipoozeo umeongea point 💯👍👍

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 4 ปีที่แล้ว +55

    Sheikh wng umezungumza kwel kbs, ila mzee yusuph anaichezea pumz y Mwenyez Mungu ila kwa hakika Dunia anayoiringia si kitu....😭😭😭waislam wote walioumia na jambo hili n kwasababu tuna khof ya mwenyez mungu, 😭😭😭mtihan Wallah

    • @afropatriot7769
      @afropatriot7769 3 ปีที่แล้ว

      We hufanyi dhambi kabisa kwani

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 3 ปีที่แล้ว

      𝙉𝙖𝙞𝙢𝙖 𝙬𝙚𝙬 𝙪𝙛𝙖𝙣𝙮𝙞 𝙙𝙝𝙖𝙢𝙗𝙞 𝙖𝙪 𝙪𝙣𝙖𝙤𝙣𝙖 𝙮𝙖 𝙢𝙯𝙚𝙚 𝙮𝙪𝙨𝙪𝙥𝙝𝙪 𝙩𝙮𝙪

    • @hashimtwaha71
      @hashimtwaha71 3 ปีที่แล้ว +1

      Mashallaah

    • @Suleimansalum
      @Suleimansalum 3 ปีที่แล้ว +3

      @@afropatriot7769 kwakuwa yeye naye anafanya dhambi ndio na mzee yussuf nae afanye? unajua kwanini anasemwa hivi sasa hakusemwa mwanzoni? nikwamba alikuja kuichezea shere dini ya Allah kisha kaenda kuhadaa masheikh ili apitishe analotaka

    • @afropatriot7769
      @afropatriot7769 3 ปีที่แล้ว

      @@Suleimansalum wewe ndio unasema aliwahadaa lakin yeye na Mungu ndio wanajua alidhamiria au alihadaa,mnahukumu kwakua hamjui alipitia nn,we ukidaiwa million 100 utaipata wapi na kazi pekee ambayo anaijua maisha yake ndio hiyo,mchangieni basi alafu akatae ndio mumhukumu,nyir wenyewe pengine mnamkwaza Mungu sana tu ila vidole vyepesi kunyoosha kwa wengine, yeye asiye na dhambi ndio anyooshe kama anaamini ana mamlaka hayo,sitetei yeye kufanya hayo anayoyafanya lakin nashangaa mnavojifanya Mungu au malaika kumchagulia adhabu wakati wotr tunasubiri rehema za Mungu tu,tunaweza wote kwenda nae motoni au pepon Mungu ndie anajua na pengine mwenzio kabla hajafa akatengeneza kwa allah akasamehewa we na mie tukaenda kwa moto sijui mtasemaje

  • @amishkaboso8352
    @amishkaboso8352 3 ปีที่แล้ว +7

    Ameen in sha allah...allah amuongoze na atuongoze sote ummat Muhammad

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 ปีที่แล้ว +8

    Shukran Sana sheikh kipoozeo Allah atakulipa kwa izo dawa zako atakupa inshallah

  • @salehekibusa7759
    @salehekibusa7759 3 ปีที่แล้ว +17

    Kiukweli Allah hajaribiwi mzee yusufu ulikuwa ukilala miskitini ukihamasisha uislama leo umetuvua nguo waislam

    • @mamitomamita6284
      @mamitomamita6284 3 ปีที่แล้ว +1

      amejivua nguo mwenywe sio uislamu na MUNGU ataunusuru umati MOHAMMED YAARAB

    • @issahussein6438
      @issahussein6438 3 ปีที่แล้ว

      Amejivua nguo mwenyewe sie tumebaki na nguo zetu tunafanya yetu

    • @mudykalimu1951
      @mudykalimu1951 3 ปีที่แล้ว

      Huyu Mzee ana utani na mwnyezi mungu

  • @MrManchoso
    @MrManchoso 4 ปีที่แล้ว +46

    naona dislike za wapenda taarabu, Allah akuzidishie shekhe kipozeo

    • @ramadhanboimanda7766
      @ramadhanboimanda7766 4 ปีที่แล้ว +2

      Na katka hz dislike wapo Waislam pia

    • @aliybecka5169
      @aliybecka5169 3 ปีที่แล้ว

      Ww unaongea nini au ndio hao hao vipozeo, mm naona kipozeo ndio anaehadaa hapo

    • @ibrahimsheha215
      @ibrahimsheha215 3 ปีที่แล้ว +1

      @@aliybecka5169 wewe ndugu namzee wataarabu

    • @aliybecka5169
      @aliybecka5169 3 ปีที่แล้ว

      Ni afadhali kwangu kuniambia ni ndugu wa mzee wa tarabu kuliko kuniambia ni mfuasi wa MTU anaejificha ktk kimvuli cha ushehe huku akiwa hana tofaut na huyo mzee wa tarabu yaani bongo movie nakuckitikia sana kama we unajigamba kuwa mfuasi wake pole sana kk ila ucwe na haraka mda ukifika utajua

  • @jahiriabdilah7478
    @jahiriabdilah7478 4 ปีที่แล้ว +16

    Namuomba Allah amuongoze mzee yusuphu asiweze kurudia tenaa mabalaa Yale ya awali . amiiiin amiiiin Amin

    • @bananatz4216
      @bananatz4216 4 ปีที่แล้ว

      Wakati kashatoa nyimbo ya taarabu tena na mkewe

    • @jahiriabdilah7478
      @jahiriabdilah7478 4 ปีที่แล้ว

      @@bananatz4216 sawa katoa lkn tumuombeeni Sanaa Allah ampe hidaya /uongofu aweze kurejea tena kwake Allah

    • @Habib_Swaleh
      @Habib_Swaleh 4 ปีที่แล้ว

      @@jahiriabdilah7478 anayeombewa ni yule mwenye hamu ya kurudi kwa Allwah lkn haombewi mcheza shere akhy!!!

    • @kuruthumabdallah4395
      @kuruthumabdallah4395 4 ปีที่แล้ว +4

      @@jahiriabdilah7478 labda km atamuacha mke wake, ukiangalia tangu mwanzo wa safari yake ya kurudi kwa Allah mke hakua upande wa mume na km mjuavyo Nguvu ya mwanamke ndani ya nyumba. Kikubwa hapa kaka zetu mtuangalie sisi wanawake misimamo yetu ktk dini vinginevyo tutawaingiza pabaya

    • @mtaalamshekidele1661
      @mtaalamshekidele1661 4 ปีที่แล้ว

      @@kuruthumabdallah4395 Nashukuru sana sana Dada yangu vp ushaolewa ww

  • @ummyghabbash2619
    @ummyghabbash2619 4 ปีที่แล้ว +30

    Nampenda huyu shekhe jamani Allah ampe umri mrefu

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 4 ปีที่แล้ว +7

    Allah akulipe kheri sheikh wetu Kwa kutuweka wazi tumekufaham

  • @omarhassan2637
    @omarhassan2637 4 ปีที่แล้ว +10

    Allah akuhifadhi shehe wangu

  • @masharubundevu3765
    @masharubundevu3765 4 ปีที่แล้ว +12

    Shekhe nimekufahamu sana Mungu akuzidishie hili na jengine, Mzee Yussuf ni tamaa na kupelekeshwa na mkewe

    • @aminahamis9343
      @aminahamis9343 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa niliona interview ya mkewe Leyla akisema alifurahi kua mumewe yua rudi kwenye mziki mkewe ndio chanzo

    • @subiradalabu6616
      @subiradalabu6616 4 ปีที่แล้ว

      😀😁😁😁😁

    • @fatmakigula8634
      @fatmakigula8634 4 ปีที่แล้ว

      Mm nilipoona mkewe anaimba nikasema hapa hakuna salama, mke ananguvu Sana, na Yussuf mungu amfanyie wipes tu

  • @dayuumuu2004
    @dayuumuu2004 3 ปีที่แล้ว +5

    Ya Allah wape umri mrefu mashekhe wetu wazidi kutuelimisha.
    Na udhalilishe unafiq na wanafiq.
    Allahumma Aamin.

    • @mrok284
      @mrok284 3 ปีที่แล้ว

      Amin

  • @khayriyamussa6274
    @khayriyamussa6274 4 ปีที่แล้ว +21

    Kiukweli pia ukiendekeza njaa au shida utafedheheka tu... kibaya zaidi anajuwa dini na uislamu lkn anadanganya bado mzee yusph ww ulisema umetoka kwnt ufalme mana Mfalme ni Allah tu na mpk ulijutiya kibaya zaid ambch kilikua kizr tyr ww ni Al haaj lkn sasa Allah kakupima Imaan ndio akakupa mtihani lkn mzee umeshindwa na ukiambiwa au kuulizwa unakua na majibu by c mazr kwa kweli unasikitisha.. ingawaje sote wakosefu na hatujakamilika lkn ulichokifanya ni kitu cha kustaajabisha mana ulikubali kurudi kwaMola ila kwasasa umeamua kujitoa kwaMola... umeona bora uendelee namkeo mana ulishindwa kumdhibiti Awaal kua asiende kuimba wakt ww usharudi Makka ulivyokua ukiulzwa au watu wakicoment unakua mkali ulipohojiwa ulisema kua ushamuambiya taratiibu ataacha mapenz yanakufanya uingie hatiani mzee ysph.. hem fanya kama sheyt
    waan alikupitia rudi kwa Mola wako maana yeye nimwingi wakusamehe... Allah akuheed In Shaa Allah..

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 4 ปีที่แล้ว +37

    Shekh kipozeo leo umetulia umeongea umeeleweka

    • @munibullahmarunda7051
      @munibullahmarunda7051 4 ปีที่แล้ว +1

      Katika siku nimemuelewa Kipoozeo ni leo. Leo hajataka kuweka hata utani ni nondo tu. Safi kabisa MashaAllah

    • @umbaliche
      @umbaliche 4 ปีที่แล้ว

      Hata ukiangalia macho yake utagundua shekheh kahuzunika sana.

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว +2

      sio leo tu huyu n kila atowpo mawaidha ueleweka tu
      ila sema leo smeongeq kwa masikitiko kwa kumuonea huruma ndugu yetu yusuf

    • @hamza89945
      @hamza89945 3 ปีที่แล้ว

      Khadijah Ali vp khadija

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว

      @@hamza89945 poa

  • @awadhijumaa939
    @awadhijumaa939 4 ปีที่แล้ว +10

    Duuh Allah ampe mwsho mwema mufty kipozeo upo saw

  • @ridhiwanikibonge793
    @ridhiwanikibonge793 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah akupe umri mrefu tuweze kupatafaida ya hapa duniani na kesho akhera

  • @abuibra
    @abuibra 4 ปีที่แล้ว +3

    Akhsante sana Shaikh, Mawaidha utoayo au nasiha unazo zitoa zinasaidia kwa watu wengi waislamu na sio waislamu Akhsante sana sana AZAKALLAH'KHEIRAN nilikua na kerekwa na kitu katika nafsi yangu lakini baada ya kufungua TH-cam na kukusikia uyasemayo Wallahi nimiburudika na kufarajika maana maneno ulio yasema hayamhusu mtu mmoja bali kwa wote ambao tunaijua lugha ya kiswahili,ALLAH Akupe umri mrefu wa afya na akuzidishie kila la kheri na baraka duniani na akhera (Amin)

  • @rajabuhassan4116
    @rajabuhassan4116 4 ปีที่แล้ว +4

    Daaah inauma sana yni siku ya kwanza kusikia ivyo na kuja kuona show yke ya dar live machoz yalinitoka yni m/mungu ajalibiwi jamani mzee yusufu tatizo lipo Kwa mkewe na dada ake kwaiyo mtihan sana jamn

  • @ashasvlog9246
    @ashasvlog9246 4 ปีที่แล้ว +18

    Kugumu Shekhe ,Mola atustiri maana mm mwenyewe Niko Qatar tumechanganyikiwa sanaaaaaaa lakini Allah atunusuru mtihani WA dunia ni mgumu jamani Allah atusamehe

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 3 ปีที่แล้ว +3

    Insha Allah Allah amzindishie imaan jmn 🤲🤲

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 3 ปีที่แล้ว +10

    Mimi sio muislam. Shehe umeongea vizuri mno bila matusi hongera Sana. Mashekhe wengi e wa ajabu sana wanamtukana haifai

    • @salimvandee9210
      @salimvandee9210 3 ปีที่แล้ว

      Xyo kutukanwa tuuu hata kuuliwa unamwambiaje maneno laini mxenge Kama huyo

  • @sharifumussaalaadabiy9001
    @sharifumussaalaadabiy9001 4 ปีที่แล้ว +51

    Kumekuchaaa alhamdulillah mwamba kajitolea kuongea ukwel hv ndivyo inavyotakiwa wahadhir tusirud nyuma 👉 naam muislam njooo kweny TH-cam yangu namie nimezungumzia hili jambo

  • @abdulrahmanngaluma3768
    @abdulrahmanngaluma3768 4 ปีที่แล้ว +39

    Umeongea hoja nzito mno sheikh

  • @aasdfghrehema7204
    @aasdfghrehema7204 4 ปีที่แล้ว +9

    Allah atuwongoze yarabiii nasisi wenyewe tuko nyuma ya dunia eeeee Allah tunusuru yarabiii mola wangu nihurumiye miyeeee namakosa yangu nawa Islam piya sote kwa jumla aminiii👏👏👏👏😫😫😭😭😭

  • @SaidyJanuzaj
    @SaidyJanuzaj 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimemuelewa sana sheikh kipozeo, mashallah 🙏👏

  • @abubakarkibendera2498
    @abubakarkibendera2498 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah
    Sheikh leo umetuweka sawa sana ktk jambo hili. Allah akuhifadhi

  • @joharikasuwi6973
    @joharikasuwi6973 4 ปีที่แล้ว +4

    Allah (s.w) humuongoa amtakae na humuangamiza amtakaye pia kwa hiyo tukisema dunia nzima tuwe waislam na tufanikiwe kuinhia peponi basi mwenyezi mungu atakuwa muongo kwamba kaumba moto kwa watakaoenda kinyume nae halafu kiama tuwe wote peponi lazima wapatikane wa motoni na kwakweli kosea maisha usikosee kuoa au kuolewa ni mtihani sana unaweza kuingizwa motoni na mwenza wako bila kujali Allah tupe mwisho mwema in shaa Allah.

  • @zainabali5815
    @zainabali5815 4 ปีที่แล้ว +10

    Safi shekhe tena wanazinduwa siku ya ijumaa taarab M.mungu amuongoe inshallah lakini mtihani mzito

    • @zainabubakari6235
      @zainabubakari6235 4 ปีที่แล้ว

      Ilikuwa imeshaingia jumamos tayar

    • @eddimalon6051
      @eddimalon6051 4 ปีที่แล้ว

      @@zainabubakari6235 usiku wa ijumaa

    • @saumsalim9966
      @saumsalim9966 4 ปีที่แล้ว

      @@zainabubakari6235 la hasha ilkua ucku wa ijumaa

    • @sule69UP
      @sule69UP 4 ปีที่แล้ว

      Ijumaa subhanalllah

  • @handboyspice8033
    @handboyspice8033 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana sheikh nakupenda sana bt waongea urongo ulikuwa wa elewa uzuri sana anachokiongea mzee yusuf na ww ndio ulizidi kumpotosha kwa kubaliana na maneno yake, alikuliza " kuimba haram" ukajibu sio haram kwa kweli hakuna asiekosa na umefanya makosa.
    Na omba radhi ustadh bt ukweli ulituma kuwa ww twakusikiza kila siku kutowa kauli kama ile

  • @mdkgmdfamily5063
    @mdkgmdfamily5063 3 ปีที่แล้ว

    Yaani hapo sheikh wetu kipozea umepata sifa ya kuongea ukweli juu ya huyu aliekufuru na anatakiwa atoe shahada upya mana alishakufuru kwahiyo sheikh wetu Kipozeo tumekuelewa sanaaaa
    Na umeulinda umarufu wa kazi yako yakutuelimisha sisi maamuma
    Nimekusifu sana
    In Shaa Allah

  • @hawamchevu3432
    @hawamchevu3432 4 ปีที่แล้ว +9

    Allah atujarie mwisho mwema amiin

  • @greatiq4649
    @greatiq4649 3 ปีที่แล้ว +8

    "Inna Llaha maa Swaabirin (Hakika Allah yuko pamoja na wanao subiri)." Haimaanishi kuwa uwe kwenye raha ndiyo usubiri. Subira maana yake ni kuvumilia matatizo uliyo nayo ukitumaini Mwenyezi Mungu atakuvusha salama.

    • @sharifumussaalaadabiy9001
      @sharifumussaalaadabiy9001 3 ปีที่แล้ว +1

      😭th-cam.com/video/luMU2S7lyQw/w-d-xo.html

    • @greatiq4649
      @greatiq4649 3 ปีที่แล้ว

      @@sharifumussaalaadabiy9001 Jazaaka Llahu Khayr!

  • @hamisisalmah8764
    @hamisisalmah8764 3 ปีที่แล้ว +1

    Audhubillah Mungu am same he na arudi she katika sir Atul mustaqeem in sha Allah

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah, sheikh una busara, una ufasaha, na ilmu, mungu akuzidishie ilimu yenye manufaa.

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว +52

    Kwa hili Mzee Yusuf hukumtendea vema sheikh kipoozeo, ulitumia jina lake kutaka kuhalalisha kurudi kwako kwenye taarabu, ungekuwa muungwana ungemuomba radhi sheikh kwa ulivyomhadaa,,,,,ona sasa sheikh anavyopata taabu kuelezea kadhia yako, hata hivyo sheikh ni muungwana sana, amejaribu kutumia busara kufafanua kadhia hiyo!

    • @f2mafa2ma27
      @f2mafa2ma27 4 ปีที่แล้ว +4

      yaan alitumia akili zake kuwaingiza ktk mbinu zake ila sheikh ameeleweke Alhamdoulillah

    • @aminamikidadi7754
      @aminamikidadi7754 4 ปีที่แล้ว +2

      Yarrab twakuomba utujaalie mwisho mwema ..mzee yousoph kumbuka manabii walitowa Mali nyingi kwa ajiri ya ..Allah .fii Sabilillah sidhani kama hyo nyumba yako iliyotaka kupigwa mnada kwa deni unalodaiwa la milioni miamoja kwa mujibu wako kama ulivyosema wewe inathamani ..mbele ya M/Mungu..

    • @jasminrashid1344
      @jasminrashid1344 4 ปีที่แล้ว +2

      Tatizo mzee yussufu alikulupuka sana angengia kwenye madrasa yakuimba kaswida za masharehe angekua mbali sana

    • @raffeiystar2870
      @raffeiystar2870 3 ปีที่แล้ว

      Naam

    • @nyotanjemaingarayo5384
      @nyotanjemaingarayo5384 3 ปีที่แล้ว +1

      Amekusudia kuwachafua mashekhe na ndio Mana kafanya hadaa hii lakini Allah yupo

  • @zainbjuma8568
    @zainbjuma8568 4 ปีที่แล้ว +14

    Anadhaliliisha uislamu mzee Yusuf kiukweli tumechukiwa sana

    • @hassanaly4336
      @hassanaly4336 4 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli uyasemayo hata mimi kanichukiza sana tuu

  • @Simbakazi
    @Simbakazi 3 ปีที่แล้ว

    Kipozeo our God Jehovah knows your purpose...... whatever you are doing with Mzee Yusuf is a noble deed in front of our almighty........ UBARIKIWE SHEIKH.

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 3 ปีที่แล้ว

    متى نصر الله الا إن نصر الله قريب، jazzakallahu kheira ustadh kipozio ALLAH AKUHIFADHI Kwa kutu kutukumbusha

  • @fatmamansor8138
    @fatmamansor8138 4 ปีที่แล้ว +54

    Kufanya kosa mara ya kwanza si kosa ! Kurudia kosa ni kosa! Hatuna la kusema ila Inna Lilah Wainna Ilaihi Rajiuun! Allah Amuhidii!

    • @saudrajab6593
      @saudrajab6593 4 ปีที่แล้ว

      Mzee yusufu ni mamba tu mungu ataniwi dini aichezewi kamwe kaenda yeye hija mkewe anaimba taraabu shuwaini iyo

  • @isackhassan6551
    @isackhassan6551 4 ปีที่แล้ว +34

    Yaani nilivoona yeye kaenda Hajj ila mkewe bado anaimba bado nikajua hapo ipo shida

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 3 ปีที่แล้ว +2

      Kweli kabisa lazima watetereke

    • @husseinhajjihussein6898
      @husseinhajjihussein6898 3 ปีที่แล้ว +1

      Hilo nalo nemo

    • @jaliakamote5485
      @jaliakamote5485 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa ibilisi mkewe buana coz hata mmewe alivyoacha alikua akilalamika mno,hvyo kamlaghai hadi amemuasi mola wake kipenzi.

    • @rahimalewe2835
      @rahimalewe2835 3 ปีที่แล้ว +1

      Mkewe ndio shetani mkubwa

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah atupe nguvu katika Ibada.
    Ameen

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 4 ปีที่แล้ว +31

    Allah atufanyie wepesi kuyaendea yalivyo mema, ila Mzee Yusuff katuvua nguo, huwezi kupata nafasi kama ile ya kwenda kuhiji, kufutiwa madhambi yako halafu urudi tena kwenye dhambi, kawaida ya muumini kila ukijikurubisha kwa Allah ndio mtihani humiminika, na kipimo chako je kweli umeamini au danganya toto!!
    Bakia kijijini, mjini sio salama kwako.

    • @sharifumussaalaadabiy9001
      @sharifumussaalaadabiy9001 4 ปีที่แล้ว +2

      Wallahi kupitia yeye tunatakiwa kujifunza sanah

    • @sharifumussaalaadabiy9001
      @sharifumussaalaadabiy9001 4 ปีที่แล้ว

      Yule nimtu alio laaniwa kabisa utadhani sio yule aliokua analia machoz dah bas angerud kweny maov yake huku anahuzunika lkn chaajabu anarud huku anatoa maneno yakudhalilisha dini 😭😭😭 eti kumtangaza Allah nikijijini yarabb ukowap muoneshe ghadhabu zako iwe fundisho kwa wengine

    • @sharifumussaalaadabiy9001
      @sharifumussaalaadabiy9001 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/luMU2S7lyQw/w-d-xo.html

    • @user-jz8sj5us1h
      @user-jz8sj5us1h 4 ปีที่แล้ว

      😭😭

  • @firdausgreen1391
    @firdausgreen1391 4 ปีที่แล้ว +11

    Wallah me na familia yangu sheikh ile crip yako na mzee yusuf tuliielewa in negative way na si positive way

    • @nyotanjemaingarayo5384
      @nyotanjemaingarayo5384 3 ปีที่แล้ว

      Ni kawaida yetu binaadam. Lakini kwanini asingeitoa tangu mwanzo wa mazungumzo Bali amekiuka maneno muhimu. Nikama amepanga

  • @rasterwangu9708
    @rasterwangu9708 4 ปีที่แล้ว +109

    hata sumalee alipoacha mziki alipata mtihani nyumba yake iliungua na vitu vyote ndani vimeungua lakini hakuteteruka

    • @ashaally6662
      @ashaally6662 4 ปีที่แล้ว +5

      Kumbe yalimkuta hivyo

    • @halimasaidi2915
      @halimasaidi2915 4 ปีที่แล้ว +15

      Allah hutoa majaribu kwa kusudi la kuthibitisha je, ni kweli umetubu ukweli ukweli au laaa! Tumuombe Allah atuepushe na kila ushetwani inshallah.

    • @albaharyhaji8231
      @albaharyhaji8231 4 ปีที่แล้ว +8

      Hakika mola lazma atujaribu kwa mitihani ili kutupima imani zetu kiukweli Mzee Yussuf amefeli huu mtihani mola atujaalie mwisho mwema..

    • @fatummsagat5177
      @fatummsagat5177 4 ปีที่แล้ว +3

      @@halimasaidi2915 Amiin

    • @rasterwangu9708
      @rasterwangu9708 4 ปีที่แล้ว +5

      @@ashaally6662 ndio tena hakikubakia chochote ndani aliaza upya na mpaka Leo kabaki na msimamo wake

  • @hatibuallywaziri3383
    @hatibuallywaziri3383 4 ปีที่แล้ว +3

    sheikhe kipozeo mungu akujalie nimekuelewa sana

  • @rashidmohamed1949
    @rashidmohamed1949 3 ปีที่แล้ว

    Bismillahir Rahmanir Rahiym.
    Tumwombe Allah (Subhaanahu Wataala) Atujaalie mwisho mwema Waislam soteee
    AMIN AMIN AMIN AMIN AMIN AMIN AMIN AMIN AMIN AMIN

  • @arafatabdul1342
    @arafatabdul1342 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakika wewe unafaa kuwa shekh Mkuu big up kipozeo

  • @khayriyamussa6274
    @khayriyamussa6274 4 ปีที่แล้ว +11

    Binafs mm baada yakuona ile clip nikasema shekh naww umechangia kumsapot mzee ysph kwenye starehe lkn leo umetufahamisha miongoni tumeelewa nikama hadaa amefanya kiukweli hulaumiki In Shaa Alla. Allah ampe khat wa nafikra nyengine atoke kwenye usheytwaan..(Amiin).. kwa kweli inasikitisha..

    • @mulkseif1434
      @mulkseif1434 4 ปีที่แล้ว

      Subhana

    • @halimakibwana7188
      @halimakibwana7188 4 ปีที่แล้ว

      Akakata Yale maneno mengine alivyo mja walaana mwenyezimungu awaepushe mashekhe na mitihani kaa hii

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 4 ปีที่แล้ว

      Tatizo shekhe nawewe ulikuwa mfafanulie weee umemwambia kuimbasivibaya ungemuliza kuimba nini

    • @badrumchekwa8501
      @badrumchekwa8501 4 ปีที่แล้ว +1

      Kifo kibaya kinamuita Hugo mm cion ht haja Allah amwongz teyr alishamwongoza Allah akampa mtihn mdog kumpma kiwango chaimani yake imefkia wp amefl mtihan inabid yy mwenyw ajiulize arud tna kuludia mthn mtihn

  • @mustaphersoud3225
    @mustaphersoud3225 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana sheikh kipozeeo kwa mzee Yusuf kukuchafua kwa kaul zake za kujua mwenyew m.mungu yupo pamoja nawe

  • @balozibalozi4483
    @balozibalozi4483 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh nakupenda kwa ajili Allah unachana ukweli hakuna kupindisha pindisha kama masheikh wengine ubwabwa! Allah akuongoze

  • @user-nr1bf7iu8z
    @user-nr1bf7iu8z 4 ปีที่แล้ว +11

    innalillahi wainnaileyhi rajaouni. Allahu subahanahu allala amunyoshe namupe ufahamu wakujua makosa yake.inshaaAllahu

  • @innocentnimubona2077
    @innocentnimubona2077 4 ปีที่แล้ว +16

    Allah amusameh île ninja Ila ajuw kifo kama kipo asiendeleyi kusema kama zambi siyo tu kuimba Ila akimbuke nimangapi alizungumuza kweny mitandawo dunia nzima ikasikiya asimucezey Mungu

    • @rizikisuleiman7820
      @rizikisuleiman7820 4 ปีที่แล้ว +2

      Yote aliyoyasema kayasahu waislaam wakisema anaona km wanamuonea au wanamhukumu wakati tunamkumbusha, na mke wake ndio yuko kidedea analifurahia hilo, kwakweli ni mtihani ila waislaam tumuombee dua ndugu yetu ktk dini ili Mungu amuongoze yy pamoja na sisi

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 4 ปีที่แล้ว

      @@rizikisuleiman7820 yn hy mkewe ndo usiseme anavyoshushua watu ig na anasema kabisa anapenda kuimba

    • @kuruthumabdallah4395
      @kuruthumabdallah4395 4 ปีที่แล้ว

      @@khadijahali4837 😭😭😭

    • @kuruthumabdallah4395
      @kuruthumabdallah4395 4 ปีที่แล้ว +4

      @@khadijahali4837 acha ashushue maana target kubwa ya wanawake wapumbavu ni kupata sifa ya kuwa waume zao hawana kauli juu yao. Allah atunusuru na Qibri

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kuruthumabdallah4395 yan anavyoandika hk insta hana wasi wasi kabisa 😓😓

  • @chalaaly4906
    @chalaaly4906 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah amswameh yy atuswamehe nasisi. Tumekuelewa shekhe wetu.

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante osttadhi kwa nasaa yako Allah Allah anipe umri murefu

  • @aibanijr65
    @aibanijr65 4 ปีที่แล้ว +16

    Wenye akili tumekuelewa Mzee, dini siyo sehem ya kufanyia mzaha mzaha.

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว +48

    Sheikh usiwe na wasiwasi sisi wenye akili tulikuelewa!!

  • @aliybecka5169
    @aliybecka5169 3 ปีที่แล้ว

    Bwana kipozeo mungu akuongoze na ww sana màana unajua kuzuga washabiki wako maana sisi wengine huwezi kutuzuga Sbb tunaelewa lugha vizuri pole kwa hilo mm naomba tu waislam tuache ujinga na tusomeni

  • @salimsaid349
    @salimsaid349 4 ปีที่แล้ว +12

    Innalilahi wainailahi rajiuna,Allah alishamjua kua huyu ni mnafikki tu.na amejua kumdhalilisha vibaya mnno

  • @aymankhadija619
    @aymankhadija619 4 ปีที่แล้ว +12

    Duh!!,la utosi hilooo .ALLAH atupe mwisho mwema Inshaallah.Umeeleweka vizuri sana Shekh ila Mtume(s.a.w)mkewe bi Khadija alikuwq Tajiri sasa kuna kipindi kumbe alikuwa anakosa chakula hadi anafunga tumbo?Msisahau pia usaliti wa mwanamke,mwanamke alimuhadaaa hadi nabii wa M/mungu akatolewa peponi(Nabii Adam)Mkewe bado alikuwa anaendelea kuimba taarab wakati mumewe alikuwa keshaacha huwezi juwa labda alikuwa anamshawishi arudi tena.

    • @aymankhadija619
      @aymankhadija619 4 ปีที่แล้ว

      Pia kuna clip alihojiwa akasema hayo alokumbana nayo alipokuwa shekh ni mazito kuliko hiyo taarab anayotaka kuirudia(Mambo gani hayoo na pia hata kama maumini wenzie aliwaona wanakosea kitu flani sio kwamba ndo imuhalalishe yeye kurudia tena madhambi.Sababu udhaifu wa muumin sio udhaifu wa kitabu cha QUR AN.Yeye aitendee hakhi QUR AN aachane na hayo anayosema alikumbana nayo

    • @gwakisamwakabulutu4247
      @gwakisamwakabulutu4247 4 ปีที่แล้ว +1

      Sasa na wewe unafanya nini mtandaoni huku si dini imekukolea

    • @hassaniidrissa5916
      @hassaniidrissa5916 4 ปีที่แล้ว

      La sua moglie e problema

  • @omarnzaro31
    @omarnzaro31 3 ปีที่แล้ว

    Mzee yusuf mjinga Sana asituharibie nakudhalilisha Mashekhe wetu kwa kinaya.

  • @erickenock9744
    @erickenock9744 3 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli nimeumia sana pia mm mkristo kwahili alicho kifanya amemkosea SNA mungu tens sna ila alijui litakalo mtoke simuombe mabaya lakini inauma sna kwa mungu alimpa pimzi ila Mungu msamhe

  • @abduldunia4166
    @abduldunia4166 4 ปีที่แล้ว +13

    Mustatiru!! Allah Amuongoze Inshaallah

  • @mohamedhassan-pz1qr
    @mohamedhassan-pz1qr 4 ปีที่แล้ว +6

    Allahu akbar maneno ya kweli kabisa Jamani ndugu waislam tumcheni Allah wakati umeshatupa kisogo

  • @zuberiallyzuberiallyngodam4274
    @zuberiallyzuberiallyngodam4274 4 ปีที่แล้ว +2

    جزاك الله خيرا يا دكتور العاصين...

  • @mrok284
    @mrok284 3 ปีที่แล้ว +1

    Innalillahi wainnailahi raajiuun. Allah amsaidia na atulinde na unafiq. Amin

  • @yaswe5017
    @yaswe5017 4 ปีที่แล้ว +6

    aamin yarabi mungu muongoze

  • @dullybrown3635
    @dullybrown3635 3 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nilikua na khofu tangia zamani juu ya toba ya mzee Yussuf.Maana mihadhara mengi Ya kiislamu utaskia atakuepo aliekua Mfalme wa taarabu.Hiyi inamaana toba yake haikuswihi.Mimi sishangai kurudi huko.

  • @yussufalawy1650
    @yussufalawy1650 4 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh we2 ktk clips zako nyingi natabasam kwa unavyotoa hisia za kuchekesha ila kwahili dah! umetupa hisia za majonzi kwa kilichotokea Mungu akulipe mema. Kullu man alaiha faan, wayabqa wajhurabbuka dhuljalali wal-iqraam.

  • @OmegaThreads
    @OmegaThreads 3 ปีที่แล้ว

    Safi... Umeongea kwa kujenga na kwa busara Sana hujatumia Jazba.

  • @salhaaaa3720
    @salhaaaa3720 4 ปีที่แล้ว +7

    Allah amfanyie wepes arudie kwenye dini mzima mzima nasio nusunusu

  • @hassannasir4561
    @hassannasir4561 4 ปีที่แล้ว +9

    Subhanallah mke kamzidi nguvu mpaka anamvuta motoni allah atuhifadhi

    • @mwanahamisially5234
      @mwanahamisially5234 4 ปีที่แล้ว +1

      Kbs ama shetan ananguv xna Allah atukhifadh

    • @hadijasalum6373
      @hadijasalum6373 4 ปีที่แล้ว +2

      Mwnyw pia hana msimamo na hana subira

    • @hassannasir4561
      @hassannasir4561 4 ปีที่แล้ว

      @@hadijasalum6373 ndo maana nikasema mke kamzidi nguvu na kaonyesha udhaifu mkubwa mzee yusuph mungu atuhifadhi na sisi kwa kikwekwereke kama huyo

    • @hadijasalum6373
      @hadijasalum6373 4 ปีที่แล้ว

      @@hassannasir4561 aaamin

    • @mwanahamisially5234
      @mwanahamisially5234 4 ปีที่แล้ว +1

      @@hadijasalum6373 Ila kwel tusimsingizie mkewe

  • @swalehechan2630
    @swalehechan2630 3 ปีที่แล้ว

    Allah amuondoe tena huko amrejeshe ktk din kabla ya umauti wake in shaa allah

  • @bettympungu5279
    @bettympungu5279 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyo mzee yusufu.kabungi kweli unatoka kwa mungu unaeda kwa.shetani kweli Mimi mkristo lakini nime muelewa.shehe

  • @mwanahamisjuma689
    @mwanahamisjuma689 4 ปีที่แล้ว +13

    Inalilah wainna ilayhi rajiun

    • @omarimajengo9558
      @omarimajengo9558 4 ปีที่แล้ว

      Tumuombeni mungu sana amlejeshe kabla hajaondoka kwnye huu mgongo wa ardhi

    • @neemamakuruni3241
      @neemamakuruni3241 3 ปีที่แล้ว

      Kwani kuimba ni zambi nielewexhwe

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 ปีที่แล้ว +14

    Mkewe ndo anampoteza mzee yusufu hata insta yake anaandika vitu havina mantiki Kama mwanamke wa kiisilaam

    • @fatmakigula8634
      @fatmakigula8634 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli

    • @supumoto6819
      @supumoto6819 3 ปีที่แล้ว +1

      ALLAH amuongoze, ILA huyo mke wake ndio MTIHANI MKUBWA kwani Mzee yusuf mskitini mke anapiga taarab haiwezikani abadan

    • @sharifumussaalaadabiy9001
      @sharifumussaalaadabiy9001 3 ปีที่แล้ว

      😭th-cam.com/video/luMU2S7lyQw/w-d-xo.html

  • @nurudinehamimu5658
    @nurudinehamimu5658 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Alla akulipe shekhe wetu kiralakheri

  • @nasraissa4219
    @nasraissa4219 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah sheikh, kwasote tuzingatie haya mawaidha

  • @omarymussa4786
    @omarymussa4786 3 ปีที่แล้ว +3

    Mzee yussuf tamaa zake kuna siku zitamponza muache amchezee allah kwa mikono atakuja juta majuto mazito aache unafiki na dini ya allah

  • @aishaaboud4406
    @aishaaboud4406 4 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭😭Amejihadaa nafsi yake 😥😥😥
    Hasara
    Inna lillah wainailayhi rajion 😭😭😭😭

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 4 ปีที่แล้ว

    Inshaallah sheikh wetu kipozeo kwamawaidh mazur yakuelimisha

  • @RashidAli-zv1no
    @RashidAli-zv1no 3 ปีที่แล้ว

    Asalaam Aleikum Warahmatu Allah Wabarakatu ndugu zangu waislamu..
    Sote kwa jina Allah tupenge kusikilizwa kwa nyimbo zake hizo nyimbo ni ibilisi laana tuu Allah

  • @centralzonetvtanzania7313
    @centralzonetvtanzania7313 4 ปีที่แล้ว +12

    Njaa mbaya sana

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 4 ปีที่แล้ว +22

    Wacheni ujinga waheshimuni sana watu waliobeba kitabu cha Qur'an na kukitangaza,kila anaemponda sheikh au kipozeo au mwengine basi huyo hajielewi na ana mapingufu katika dini yetu ya kiislam,pia munapaswa kuelewa ya kwamba aliepewa hekma basi huyo ndio amepewa kheri nyingi.

    • @MohamedSaid-bn1rq
      @MohamedSaid-bn1rq 4 ปีที่แล้ว

      Mashekh kama hawa kwanini asirudi wakat kamuliza nakatazwa kuimba kamwambaia hukatazi

    • @ismailjuma3692
      @ismailjuma3692 4 ปีที่แล้ว

      @@MohamedSaid-bn1rq umemsikiliza vizuri lakini kaka?

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 4 ปีที่แล้ว

      @@MohamedSaid-bn1rq ndugu yangu umemuelewa Sheikh alicho kiongea ama unaropokwa tu?

    • @ismailjuma3692
      @ismailjuma3692 4 ปีที่แล้ว +1

      @@yusufmwangichannel6692 Mimi nimemuelewa tena sana.

    • @asinatjuma8088
      @asinatjuma8088 4 ปีที่แล้ว

      @@MohamedSaid-bn1rq HIV wewe husikii vizuri alicho sema shekhe ama amemaanisha kuimba qaswida na sio hizo taarabu

  • @msafiribakari5941
    @msafiribakari5941 3 ปีที่แล้ว

    Huo ndio uaitwa mtihani sisi Waislamu tatizo letu tunachukua jukumu la kuhukumu hapa hata ukawa jinsia gani huna uwezo wa kumhukumia Mwenyezi Mungu.muacheni Mungu atamhukumu mwenyewe sio sisi au nyinyi,

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 4 ปีที่แล้ว +8

    وما يخدعون إلا أنفسهم
    Na hawazikhadai ispokua nafsi zao wenyewe,huwezi mkhadai allah wewe,allah haitajii uwepo wako,wapo wabora mnooo we takataka tu mzee yusuph,nanl nani aliyesema taubaa yafanywa wazi wazi kila mtu ajue,kama kweli angekua ni mtubiaji angekaa mwenyewe faragha na akatubu na kujuta na akauacha mziki

  • @asiakinia9344
    @asiakinia9344 4 ปีที่แล้ว +5

    Innalillah wainnailaih rajiuun