MTOTO ALIYEKATALIWA NA MZEE YUSUFU AONGEA KWA UCHUNGU - "TUKAPIME DNA, NIKO TAYARI KWENDA JELA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 มิ.ย. 2023
  • MTOTO ALIYEKATALIWA NA MZEE YUSUFU AONGEA KWA UCHUNGU - "TUKAPIME DNA, NIKO TAYARI KWENDA JELA"
    www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 1K

  • @mariamselemani1366
    @mariamselemani1366 ปีที่แล้ว +14

    Mungu atakupa maisha mazuri saaaana mudogo wangu achana nailo lize lijaa lana mungu amulani

  • @vincej9275
    @vincej9275 ปีที่แล้ว +53

    Mimi sipendi sana kuandika comments lakini huyi Mzee Yusufu ana maneno mengi sana ya ovyo, yote haya ni kwa sababu hataki kufanya DNA. Vibaya sana kwa wazazi kama hawa, bora kufanya maisha yako kijana. God is on your side son, you don't need such kind of people in your life.

    • @hatujuanisalum9354
      @hatujuanisalum9354 ปีที่แล้ว +3

      Wamefanana vibaya mno

    • @aishaamwalimu2887
      @aishaamwalimu2887 ปีที่แล้ว +2

      P

    • @maryw2157
      @maryw2157 ปีที่แล้ว +1

      Do the DNA so he can have peace of mind.

    • @llucylful
      @llucylful ปีที่แล้ว +1

      Wamefanana kabisaa

    • @user-bu1dn4or5b
      @user-bu1dn4or5b 11 หลายเดือนก่อน +1

      Ina onekana alikua na wanawake wengi adi hawa kumbuki

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +10

    Yani fanya maisha yako tu mdogo wangu, huna aja ya kupoteza gharama, uyo mzee kama nimuungwana angekuwa tu Mpole.

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 ปีที่แล้ว +21

    Kijana muombe mungu basi niwengi watu walioishi dunian bila baba😢😢

    • @mbwanakiting7180
      @mbwanakiting7180 ปีที่แล้ว

      Kwasababu unaye baba

    • @aminaseha5043
      @aminaseha5043 2 หลายเดือนก่อน

      Ushukuru mungu kama ni kweli atalaanika

  • @zahraswalehe1853
    @zahraswalehe1853 ปีที่แล้ว +21

    Angekuwa ana maisha asingemkana ila Mungu analipa achana naye huyo si baba anakana damu yake

    • @gracemsalila7735
      @gracemsalila7735 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa

    • @fatumasaid7421
      @fatumasaid7421 ปีที่แล้ว

      Mh vichekesho anajifanya mtu wa Sheria yamungu kweny hili mbona alimkana mungu akarudi Kwa ibilisi nyia hamshangai dadida?kamkana munguwake itakua mtoto

  • @semanayetv
    @semanayetv ปีที่แล้ว +3

    Mzee yusuph,hauelewi chenye unafanya,huyu mwenye unamkana,utamwiitaji siku Moja,nakuombea Mungu akupe maisha marefu ya uzee ndio ithihirishwe waasi

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 ปีที่แล้ว +11

    Mungu amuonyeshe baba yake sahii nae afurahie maisha yake

  • @TwahaMukhsin
    @TwahaMukhsin หลายเดือนก่อน +1

    Pole xn kaka angu ww mwachie mungu atakuinexha njia mzuli uyo mzee amexhindikana kwa kwer mumefanana xn

  • @amosethantheking8815
    @amosethantheking8815 ปีที่แล้ว +24

    Dogo tafuta hela zako, maisha yako yakiwa safi hakuna wakukubabaisha. Baba ako ni Mungu.

  • @RasulyOthuman-bb6mm
    @RasulyOthuman-bb6mm ปีที่แล้ว +28

    Huyu mzee yusuph mshenzi sana kama alienda kuhiji na akaapa kuacha mziki matokeo yake ameludi kwenye mziki, ina maana kamuasi mwenyezi mungu na ashindwi kumkana mtoto

    • @maidaamie648
      @maidaamie648 ปีที่แล้ว

      Umeonaeeeee

    • @maryharoun2853
      @maryharoun2853 ปีที่แล้ว

      Kwani huyo mwanamke alimtaja Mzee Yusuph maana msilaumu tuu.

  • @chaurembo9379
    @chaurembo9379 ปีที่แล้ว +42

    Mtoto wake lkn kwa jinsi avomkataa bora kijana afanye maisha yake tuu

    • @hiddenbway_
      @hiddenbway_ ปีที่แล้ว +5

      Shida watoto wakitoboa wakiwakataa wazee kama hao mnaanza kuwa simanga😢

    • @nawechi4818
      @nawechi4818 ปีที่แล้ว +5

      Yani mzee muongo sana na inaelekea anawatoto wengi sana🤣🤣

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 ปีที่แล้ว +2

      Yeah!!

    • @nawechi4818
      @nawechi4818 ปีที่แล้ว +3

      Halafu hataki kisikiliza anajifanya mkali balaaaa anajikuta anakimbilia sheria🤣🤣🤣

    • @nawechi4818
      @nawechi4818 ปีที่แล้ว +4

      Mzee utasema anaimba taarabu🤣 hataki kiskiza watu wanaongea nn

  • @fatmaameer5333
    @fatmaameer5333 ปีที่แล้ว +5

    Huyo mtoto angekuwa tajiri alafu amtafute mzee ange sem ni wangu ALLAH ndiye anajua bx kija ww muacha kam hakutaki usifosi fanya maisha yk

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 ปีที่แล้ว +15

    Kuwa na moyo kama wamondy tu mwanangu kuwa bize na maisha yako!

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 ปีที่แล้ว +1

      Naam upo sahihi maneno yako inshaallah kher

    • @dottomsuya6597
      @dottomsuya6597 ปีที่แล้ว +1

      Ila vijana wa tz

    • @dottomsuya6597
      @dottomsuya6597 ปีที่แล้ว +1

      Huyu anamtafuta mzee yusuph kisa njaaa DNA
      Sawa mwanangu kaaa mbali

    • @dottomsuya6597
      @dottomsuya6597 ปีที่แล้ว +1

      Alafu akishapata DNA ndio nini sasa

    • @aishafrancis7714
      @aishafrancis7714 ปีที่แล้ว +2

      @@dottomsuya6597 mzee mwenyewe hana mpunga ndiyo maana hasira nyingi anajua majukumu yataongezeka🤣🤣🤣

  • @Halima-zx4pg
    @Halima-zx4pg ปีที่แล้ว +9

    Mimi nakushauli tafuta maisha yako silazima umtafute baba wakati ujazaliwa ndani ya ndowa achana nae awezikuku bali mtoto wamnje anakuwa wamama tu

    • @HappyHiker-nz9vg
      @HappyHiker-nz9vg 2 หลายเดือนก่อน

      Subuhanaallah 😢😢😢 mitihani wallahi

  • @user-cl9hg3uc8e
    @user-cl9hg3uc8e ปีที่แล้ว +2

    Mimi ni mama wa mtoto 1 nanimetelekezewa mtoto wangu nalea mwenyewe ina ninachojisikia juu ya huyu kijana wallah mzee yusufu kama anamfanyia uyu mtoto ukatili namuomba mwenyezi mungu amzalilishe hapahapa dunian na ata akhera laana mkubwa uyu

  • @rukiamasayanyika2284
    @rukiamasayanyika2284 ปีที่แล้ว +9

    Ukweli ni kwamba familiar ni tamu na ndo maana huyo mtoto anajaribu kutafuta utamu wa baba jamani,
    Mzee aYusuph Mwenyezi mungu anatuamlisha tuwarendee wema hao watoto

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 ปีที่แล้ว +9

    Mzee maneno mengi uongo mwingi Mungu yupo

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 ปีที่แล้ว +1

      Mzee amepanik

    • @fatmaomari7824
      @fatmaomari7824 ปีที่แล้ว

      Atamwamini nani kipindi kile alienda hijja mwisho kasema kaacha mziki lkn karud kwenye ufusika tena

    • @asiamohd5516
      @asiamohd5516 ปีที่แล้ว

      Ewa anaongea kwa hasira hajui mwisho wa ubaya aibu, anajuwa kila kitu kwenye moyo wake bas tu hakumpenda uyo mtto na hata ikikubalika km ni wa kwake bas atamchukia ndan ya moyo wake.

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 ปีที่แล้ว +7

    Subhanallah, mtihani, Mungu akufanyie wepes mtto wangu hii dunia inamengi.

  • @zaramunir8238
    @zaramunir8238 ปีที่แล้ว +3

    Kwa nini wakilii??? Huyu siyo muislam kwanini ana roho ngumu hivi Subhanallah 😢

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 ปีที่แล้ว +9

    Mungu wangu wamefanana sana .mzee yusuphu hii ni aibu kwako namungu atakuuliza tu .

  • @aloycelucas1823
    @aloycelucas1823 ปีที่แล้ว +4

    Ujana maji ya Moto na mimba haiingii kwa cku mbili, ukweli upo kwenye kupima DNA boss kubali kupima ili yaishe!!!!!!👩‍🚀👩‍🚀👩‍🚀👩‍🚀💗

  • @trillionthamani
    @trillionthamani ปีที่แล้ว +7

    Kujikuta katika hali hiyo,unachokihitaji cha kwanza ni kuhitaji kuijua vizuri history yako ya kweli.boy anabusara sana

    • @fatmaa4134
      @fatmaa4134 2 หลายเดือนก่อน

      Yeah, nilitaka kusema kuwa huyo dogo yuko makini na ndio ana busara, anakwenda na points

  • @user-gv1op1oh2c
    @user-gv1op1oh2c ปีที่แล้ว +1

    Mzee yusufu mungu anakuona umeniliza sn leo

  • @FaridaIsaya
    @FaridaIsaya หลายเดือนก่อน

    Naumia sana starehe wafanye wao mtoto ateseke kwani hata kama co wake wanafanana amchukue tu hayo ni maisha 2 mi hata ckuelewi mzee yusuph tena hata anachokiongea ni utumbo tu na mungu wetu sote atamfungulia motor njia one love mdogo wanguuuuuu

  • @FloranceLuqman-cg7qm
    @FloranceLuqman-cg7qm ปีที่แล้ว +25

    Nimesikia uchungu jaman huyu kaka anadhalilika pasipo na sababu amwachie Mungu tu atamlipia hamna haja ya kudhalilika namna hii 😭😭😭😭😭😭

  • @suzanbegas4139
    @suzanbegas4139 ปีที่แล้ว +4

    Uhu,!!🙆‍♀️Sura tu inajieleza haina haja ya DNA, Mzee Yusufu Anajichanganya,Mungu tupe uhai tulee Watoto wetu tuliotelekezewa Had Wakue Duh!!! Inaumaa Sn😢

    • @maryharoun2853
      @maryharoun2853 ปีที่แล้ว

      Duniani wawili wawili Mimi nimefanana na mtu Muhimbili na Wala hatuna mahusiano.

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ningekuwa mawe Yusufu,ningekubali mtoto wangu ,maskini thawabu hiyo ,hata siyo wako,mleye thawabu Allah atakupa, it is so sad 😞

  • @LucyHuseni
    @LucyHuseni ปีที่แล้ว

    Jaman namuomba mwenyezi mungu Hawa watoto wanaokataliea nawazazi wao wawe matajir kupita maelezo amina

  • @eliasmanyama7874
    @eliasmanyama7874 ปีที่แล้ว +3

    Ani we mzee Ni mjinga kweli, mungu akiamua kuwapukutisha wanao wote uliozaa kwa ndoa, si utakuja kumpigia magoti huyu unaemkataa, maana hata haujui mwanao atakaekuzika Ni yupi

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 ปีที่แล้ว +8

    Huyu mtoto niheri afanye maisha yake tu mbona umeshakuwa mkubwa wewe fanya mambo yako

  • @hamisibaharia-bl9og
    @hamisibaharia-bl9og ปีที่แล้ว +1

    Ndugu yangu 2pambane mm mwenywe nilikataliwa na mzee wangu ila maisha2 2pambane

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 ปีที่แล้ว +2

    Watoto ni baraka, mpokee mtt na umuombe Mungu utakuwa na amani, hivihivi hilo litakusumbua maisha yako yote mzee Yusuf

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว

      Wanaume wanapenda kuchepuka mwisho wasiku wanajidai sio wachepukaji wanona fedheha kiukweli nimwanae hata akimkataa lakini nimwanake

  • @fridageorge2809
    @fridageorge2809 ปีที่แล้ว +9

    Jamani ni shida za ulimwengu ndio zinazomzalilisha huyo kijana angekuwa anajiweza asingemtafuta mtu anayemkataa msaidieni huyo kijana anachokitaka ili aishi kwa utulivu! Mwnyezi Mungu amsaidie!

  • @mchinatz9335
    @mchinatz9335 ปีที่แล้ว +6

    Wewe mzee ulaaniwe na mungu

  • @DotoSimbe-de6ir
    @DotoSimbe-de6ir ปีที่แล้ว +14

    Kuma wewe Mzee Yusuf motoni kataa Malaya sio mtoto

  • @user-bd8ss6sp1e
    @user-bd8ss6sp1e ปีที่แล้ว +1

    Mungu ndio anajua hivi kweli hiyo sura anakataa

  • @user-mf7tz4go2x
    @user-mf7tz4go2x ปีที่แล้ว +16

    Kama mtu kamhadaa mungu kuwa haimbi tena mbona kumkataa mtt ni kawaida tu

  • @SalamaAkilimali-ly3bu
    @SalamaAkilimali-ly3bu ปีที่แล้ว +9

    Mzee Yusuf acha unafki una mdogo wako wa kiume yupo kama huyo mwanao unaemkana mdogo wako michenzani pale yupo km huyo tena bora mwanao anaongea naeleweka mdogo hawezi kuongea vzr hat akiongea umuelew muogope Mungu mwanaume ww umeenda maka umekuja kuharbu duniani unamdanganya had Mungu

  • @yusuphmatinya8560
    @yusuphmatinya8560 วันที่ผ่านมา

    Fatamaishayakodogo mungu yupo wengi hawana baba

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 ปีที่แล้ว +1

    Kijana Muachie Mungu Ndie Akimu WA Yote Uzima Ndio Muimu Sana Pambana Na Mungu Atakupigania Insha Allah

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 ปีที่แล้ว +10

    Angeenda kupima nae DNA issue ya kufanana haimfanyi mtu kuwa mtoto wake kufanana watu wanafanana na watu ambao hata hawajawahi kuonana nao kabisa wakapime DNA kupata uhakika

    • @atuganilemsomba3028
      @atuganilemsomba3028 ปีที่แล้ว

      Damu ni nzito mno na Mungu hatakuacha ufurahie maisha maana kwa kuikana damu yako

    • @AishaSaid-yg1ou
      @AishaSaid-yg1ou 25 วันที่ผ่านมา

      Huyu si kufanana tu..yeye kaambiwa na mama yake..na mama ndiye ajuaye baba halisi wa mtoto..

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 ปีที่แล้ว +16

    Aibu kweli mzee yusuph acha ujinga Mungu hawez kukusaodia Wala kukubariki hiyo damu ykoo

    • @deeruta9894
      @deeruta9894 ปีที่แล้ว +2

      Its so sad kabsa

  • @happypiusi3801
    @happypiusi3801 ปีที่แล้ว +2

    Inamaana yusuph.malaya Sana Hadi hajui wanawake aliolala nao

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว +2

    Hii mizee mingine mabubuazi wewe huyu mtoto No Comment kwa mzee Yusuf mungu Atamuangamiza kama kweli huyo mtoto wake 🇹🇿

    • @kulwambegu9148
      @kulwambegu9148 ปีที่แล้ว

      Mie mwenyewe nafanana na huyo mzee

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow ปีที่แล้ว +12

    Kuna watu wanajiweza hiv baba asinijali utotoni Nije kumtafuta ukubwan wa Kaz gani

  • @godlovemahenge7448
    @godlovemahenge7448 ปีที่แล้ว +4

    Fanya mambo yako ndugu yangu achana naalie kukana mungu hamtupi mja wake

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 ปีที่แล้ว +10

    HUYU MTOTO ANAFANANA SANA NA MZEE YUSUPH.

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 ปีที่แล้ว +2

    Mhuuu inauma sana pole sana kijana wangu mungu atakusaiidia utapata maisha uako

  • @theresiamwandara7990
    @theresiamwandara7990 ปีที่แล้ว +6

    Mzee Yusuf, hivi ulitaka picha yanini wakati mtoto huyu unafanana nae? Wanaume acheni kukataa watoto wenu ni aibu! Ni shida ni kichefu chefu.

  • @himidmkuya7381
    @himidmkuya7381 2 หลายเดือนก่อน +3

    alitaka iwesiri sasa alihaji mungu anakufedhehesha unachezea laana za mungu

  • @AbdoulsudaisSuleiman
    @AbdoulsudaisSuleiman 5 วันที่ผ่านมา

    Maashallah 😢 huyu ni mwanae kabisa😢

  • @user-gb1oh9vk9f
    @user-gb1oh9vk9f ปีที่แล้ว +1

    Kuwa na roho ya chibu mungu ata ku bless😢😢

  • @hawahawa8441
    @hawahawa8441 ปีที่แล้ว +13

    Mtoto wake kweli wanafanana kilakitu jmn

  • @nasrahassan8067
    @nasrahassan8067 ปีที่แล้ว +5

    Wamefanana uyo mzee Allah atamlipa

  • @FatumaBakari-qo6up
    @FatumaBakari-qo6up หลายเดือนก่อน +1

    Mnapozini sheria dini hamuioni kwenye matokeo mnaona maandiko ya mungu

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 ปีที่แล้ว +2

    Dah kijana fanya maisha yako mzee hakutaki kwasababu huyo mzee kasema hata dna haitasaidia kitu

  • @ShangweSylus-nf6we
    @ShangweSylus-nf6we ปีที่แล้ว +10

    dogo achana na huyo mzee yusuph ni mwanaume kama wanaume wengine ila hafai kuwa babako,we kaza tafuta pesa umri bado ipo siku utampata baba hata wa bandia kwani baba kitu gani?baba mwenyewe ana watoto dunia nzima hana jipya kwa sasa unamng,ang,ania wa nini? fanya kama alishakufa tu.Nimesikia uchungu jaman ila wanaumeeee 😢

  • @Teddy-fq5oc
    @Teddy-fq5oc ปีที่แล้ว +4

    Mpaka nimejisikia vibaya mtoto mtiifu na anaongea kwa machungu jomon😢 Mungu atakutetea

  • @VidzoDama
    @VidzoDama หลายเดือนก่อน

    Mungu akulani kifo umbwa ww kitanda hakizai haramu hiyo ni damu yko mungu atatoa ukwli😢😢😢😢

  • @EdiltrudesMalivata
    @EdiltrudesMalivata 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee Yusuph Una dhambi kumkataa huyo mtoto,kama bado hujatengeneza nae tengeneza mapema,kabla hayajakukuta Mambo.
    Maana mtoto huyo ni wako,duniani hata mbinguni.
    TENGENEZA 🙏🙏

  • @user-bg2rp2gd3t
    @user-bg2rp2gd3t 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mwenyez mung awalahani sana mwanaume wanae wakataa,,damu zao moto unawares

    • @user-cu5jr7yc8n
      @user-cu5jr7yc8n 2 หลายเดือนก่อน

      Wallah tena watalaniwa mpaka basi wamenisinyiya jitu nikirango alafu yukana mwanae YA ALLAH waume waina hii walani mpaka siku ya kiama😢😢😢😢😢

  • @josephndunguru6290
    @josephndunguru6290 ปีที่แล้ว +4

    Kama mm nakiburi changu hichi siwezii kujikomba Kwa baba ambaye Hana upendo na mm, dogo Fanya maishaa yakoo unafeli nn achaa kijazilirishaa,

  • @user-dr1pf3hx2e
    @user-dr1pf3hx2e 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mdoko wangu potezea mungu ndo baba usijali,wanaume ndo walivyo

  • @lydialidike3029
    @lydialidike3029 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭pole sana kaka yangu hata mimi sina papa nakuelewa sana 😭😭😭😭😭

    • @rushdamohammedi
      @rushdamohammedi 11 หลายเดือนก่อน

      Achananae nibola mama co baba we w nimtoto wakiume ni babatosha

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 ปีที่แล้ว +3

    Reila inamana humuoni huyo mtoto naukamshauli huyo mzee yusuphu kuwa mtoto ni wake .mh .hii aibu mzee yusuphu mtoto ni wako jamani.mmefanana sana zaidi ya sana

  • @aishaabdullah837
    @aishaabdullah837 ปีที่แล้ว +1

    Uyu mtoto Ana dhambi sana yani shutuma Anazo zipata mzee Yusuf mungu atamuukumu uyu mtoto

    • @juliethgerald3730
      @juliethgerald3730 ปีที่แล้ว +2

      We nilijinga ase

    • @aishaabdullah837
      @aishaabdullah837 ปีที่แล้ว

      @@juliethgerald3730 Sawa mjanja ww unaye amini kudanganywa

    • @fatmaomari7824
      @fatmaomari7824 ปีที่แล้ว

      Ndio limwehu hili huyu mtoto asingejiamini kupima DNA hili zee linaishi maeneo ya charambe

  • @paulcosmas7941
    @paulcosmas7941 หลายเดือนก่อน

    Pole kwako kaka fanya maisha yako unless uniambie kuwa unashida ya kiafya achana na huyo mzee

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 ปีที่แล้ว +4

    Watu wa Taarabu mnatuangusha kukataa watoto, wenzenu wanakesha kutafuta hata wa kusingiziwa nyie mnakataa kwa ukali, juzi alihojiwa mjukuu wa Malkia Kopa naye sijui imeishia wapi

  • @jestinaluvanda-jm4tc
    @jestinaluvanda-jm4tc ปีที่แล้ว +4

    Sasa mkondo wa wa sheriia wa nini kwani mtoto hajui ameambiwa tu na mama. Kama sio baba basi yaishe DNA iseme

  • @theresiapatrick7860
    @theresiapatrick7860 11 หลายเดือนก่อน

    Huyo Mzee ana ugonjwa wa ajili, lkn kikubwa huyo mtoto amuombe mungu amjaalie maisha na uhai, Toto lamfanana km Nini!!!!! Amuache mungu stamps malipo yake.

  • @abubakarmohammed2613
    @abubakarmohammed2613 9 วันที่ผ่านมา

    Sheria ya kiislamu iko wazi juu ya swala hili, mtoto yeyote anaezaliwa nje ya ndoa huwa ni wa mwanamke wala siwa mwanamume sababu sheria haitambui mtoto wa nje ya ndoa. Au kibinaadamu kutoa usaidizi sidhani kuna makosa lkn pia kijana kujilazimisha sana kwa mzee yusuf yatokana na umaarufu wake sana!

  • @trizereve3386
    @trizereve3386 ปีที่แล้ว +6

    Maskini so sad vile kutafuta ujauzito nishida

  • @deeruta9894
    @deeruta9894 ปีที่แล้ว +34

    Kitanda hakizai haramu na mtoto hana makosa yoyote hapo, so sad mzee yusufu mpumbavu tu😢😢😢😢. Unakataa vp damu yako

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 ปีที่แล้ว +4

      Turekebishana kwenye msemo wa kitanda hakizai haramu, maana yake mke na mume waliooana ikatokea mwanamke akazaa mtoto akiwa ndani ya ndoa na sio wa mume wa ndoa ndio wazee wakija kusuluhisha wanamwambia yule mume kitanda hakizai haramu kwa maana huyu Mke wako mnalala kitanda kimoja na mtoto mkubali kitanda hakizai haramu, msipotoshe msemo

    • @deeruta9894
      @deeruta9894 ปีที่แล้ว +5

      @@darajalakidatukilomgi2362 but hakuna mwana haramu bali kuna kitendo cha haramu

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว +1

      @@darajalakidatukilomgi2362. Kweli. Nawazee hutumia kitanda hakizai haram kwa sbbu kidini ya kiisilam mke alokua ndani ya ndoa akipata uja uzito wa nje na ushahidi uwepo mpaka wa DNA lkn sheria ya kiisilam ni wake. Na Yule alompa mkewe ujauzito hua mtto si wake hata km DNA itaonyesha kua ni wake.

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 ปีที่แล้ว +1

      @@deeruta9894 kweli hakuna mwana haramu, umezaliwa msafi waliotenda kitendo cha uharamu sio mtoto

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 ปีที่แล้ว

      @@Fear_Allah394 Asante umeelezea vizuri sana, sheria imekwenda mbali hata mke akiondoka bila Talaka wale watoto wa mume wa ndoa

  • @hamadimadisa9346
    @hamadimadisa9346 ปีที่แล้ว +1

    La kini siote wote, na kitokea una fanafana naye basi jua mungu sio mjinga

  • @CharlesNdege-om5oe
    @CharlesNdege-om5oe ปีที่แล้ว +2

    Duh!! Wanafanana sana, Mzee Yusuph achukue mwanae huyo ni damu yake

  • @abdallahmkubwa1796
    @abdallahmkubwa1796 ปีที่แล้ว +5

    Tatizo ww mzee Yusuf umeritad na ndio maana hapana mtu atakae kuamini

  • @stelayunami7779
    @stelayunami7779 ปีที่แล้ว +6

    🥲🥲Anavyomkana jamani mbona kafanana nae sana tyuu,,,

  • @aishaabdullah837
    @aishaabdullah837 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ningelikuwa na namba ya mzee Yusuf ningemuelekeza kwao uyo mtoto kwa babu yake mzaa baba anaitwa anaitwa mzee mashuguli

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 ปีที่แล้ว +1

    Mzee Yussuf ana maneno mengi ila huyu mtoto ni wake wanafanana sanaaaaa

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 ปีที่แล้ว +5

    Kumbe huyu mzee hana akili hivi .mtoto wakwako bado unakana kweli .mzee unamkosea mungu .loo haya huna

  • @abdulshakurmshindo9040
    @abdulshakurmshindo9040 ปีที่แล้ว +3

    Kosa ni la Mama ake Mwenyewe kwa kumnyima haki mtoto wake kama angemzaa ndani ya Ndoa leo mtoto asingetanganga na Kwa sheria ya Muumba huyo si mtoto wake hawawezi kurithiana

    • @shakilabakari6928
      @shakilabakari6928 ปีที่แล้ว

      Haswaa ni kweli kabisa kaka yangu tuwe makin kwamaana hapo mtoto ni wamama nasiwababa kwahyo makosa ni yamama

  • @rahmapelembela-oq4yd
    @rahmapelembela-oq4yd ปีที่แล้ว +1

    Huyo mtoto ni wa mzee Yusuph kabisa mungu atamchoma moto huyo baba

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 ปีที่แล้ว +14

    MBONA UNA HEPA DNA MZINIFU WEWE.

    • @mohamededdi7527
      @mohamededdi7527 ปีที่แล้ว +1

      Mambo juu ya meza. Mbwa. Mbwa. Mbwa, mzinifu mkumbwa hiyo. Hahahaha.

    • @user-dg4zc2un1y
      @user-dg4zc2un1y 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂ATI mizinifu

    • @emmanuelkanyela275
      @emmanuelkanyela275 หลายเดือนก่อน

      huyu mzee alikuwa kipindi kile moto sana wanawake walikuwa wanakuja wenyewe wanakupa utamu huyu dogo wako

  • @simonitaagesti4765
    @simonitaagesti4765 ปีที่แล้ว +16

    huo muda wakumtafuta baba asokutaka nibora ungetafakari nn ufanye mdogo wangu

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 ปีที่แล้ว +1

      Nafikir anataka kujua ukoo wake

    • @pillyseleman8090
      @pillyseleman8090 ปีที่แล้ว +4

      Saa nyingine waitafuta ukoo kumbe waitafuta balaa yani kama ni nimsikivu wa maoni ya watu angewachana na huyu Mzee

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 ปีที่แล้ว +1

      Ss wazanzibar mtt ukizaliwa nje ya ndoa mama hiyo ni zawadi yako dogo pambana na hali yako kuliko kupita Maredio kumzalilisha mzee wa wezio

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 ปีที่แล้ว

      @@rizikiabdalla2501 kumbe Zanzibar sio Tanzania

    • @pillyseleman8090
      @pillyseleman8090 ปีที่แล้ว +2

      Kama wazanzibar ni hivyo mtoto wa nje ya. Ndoa hakuhusu lakin zinaa inamhusu alilima akapanda mbegu hayo mavumo yake kina na akhera nayo yatungoja Allah atuongonze

  • @leilamohammed3018
    @leilamohammed3018 ปีที่แล้ว +1

    kweli msanii Kama wewe ulienda maka ukasema umetubu mwisho wasiku umerudi katika laana mungu siwakuchezea

  • @RehemaNyela-ps1tn
    @RehemaNyela-ps1tn 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hao watoto wanAokataliwa ni wengi ila mungu atawalinda na mungu atawaona hao wababa na atawahukum pambana mwanAngu

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 ปีที่แล้ว +6

    Mzee Yusufu mbona unatoka kipovu mtoto ni wako hata DNA aipindishi

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 ปีที่แล้ว +5

    Tafuta pesa mwanangu yeye ndio akutafute lakini huyo Mzee yusuph ni Baba yako

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 27 วันที่ผ่านมา

    Ka msaliti mungu msikiti wa makka na kaburi la mtume madina atakubali mtoto aliezaa nje ya ndoa.

  • @LeahdidasDidas-pq3yq
    @LeahdidasDidas-pq3yq 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee yusuphu mungu anakuona

  • @amanichidyboy2900
    @amanichidyboy2900 ปีที่แล้ว +5

    Mzee anajua km ni mwanae kbs

  • @agnesmwaipopo8287
    @agnesmwaipopo8287 ปีที่แล้ว +4

    Mi nimeumia sana, kama kweli baba anamkana mtoto wakati ni damu yake ni dhambi sana.

  • @mzarendo.com9624
    @mzarendo.com9624 ปีที่แล้ว +1

    Daaah !!! Mzee Yusuph, wee nyoko sana mbona unafanana sana na huyo mtoto?
    Acha usenge mkubali mwanao kitanda hakizai haramu !
    🥺🥺😳😳

  • @AbdoulsudaisSuleiman
    @AbdoulsudaisSuleiman 5 วันที่ผ่านมา

    Dah 😢 nimetoa chozi wallah 😢 Acha tumuachie Allah tu

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 ปีที่แล้ว +3

    DINI HAIJASEMA KUWA MTOTO WA NJE YA NDOWA SIO WAKO IMESEMA HAWEZI KURITHI MALI YAKO UKIFA MADAMU UKO HAI UNATAKIWA UMFANYIE KILA KITU MZINIFU WEWE

    • @nigamo9645
      @nigamo9645 ปีที่แล้ว +1

      Sawa sawa

    • @siasia5469
      @siasia5469 ปีที่แล้ว

      Huwezi kulima shamba kwenye shamba ambalo sio lako alafu mazao yakawa yako Allah amekataza wanaume juu ya ilo jambo na ndiomaana ikiwa itapatikana mimba kwa njia iyo ya uzinifu basi mtoto anakua ni wa mama na mpaka majina ya ukoo atatumia ya mama. Mtoto uyo anakua hana haki yoyote kutoka kwa uyo baba kwaio apo hata wakapime DNA na itoke asilimia mia moja kua baba yke ni uyo mzee lkn sharia haiwezi badilika ikamfanya uyo mzee ni baba ake ksb njia ilotumika kumleta duniani lakini mtoto hana makosa yoyote na anakua sawa kama watoto wengine makosa ni hao wazazi walioamua kumleta katika mazingira ya zinaa

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 ปีที่แล้ว +27

    Mdomo pua usemaji kichwa macho na anasema kwa usahihi Mzee Yusufu wewe unaleta Usani tu ni mtoto wako

    • @tatukingi2543
      @tatukingi2543 ปีที่แล้ว

      Mzee Yusuf ana leta mashahiri kwa hili Jambo mtt amesema vzr tu nimemuelewa yeye aliambiwa na mmke Baba alokua anaishi nae c bbke . Bbke ni MTU fulani SASA hayuko duniani mbona kama huyu mtt c wake asikubali Tu DNA analeta maneno mengi

  • @ernestjohnbosco2053
    @ernestjohnbosco2053 ปีที่แล้ว +2

    Wazazi kama hawa ndo wanaotapatapa uzeeni kutaka kuacha laana Kwa watoto wasiowalea, dogo tafuta maisha Yako achana nae Kabisa hao wazee wanakuaga hawana akili angalia maisha Yako mdogo wangu Tena usimuwazie Wala kumuweka kwenye akili Yako huyo mzee karogwa nawajua vizuri Mama wa kambo dogo. Mungu akufanikishe katika maisha Yako Ili uje kusahau mapito yote

    • @mwanakombopopo5117
      @mwanakombopopo5117 ปีที่แล้ว

      Hilo ndilo neno ninalomuombea tafuta maisha yko kama uko na wajomba shuluka nao wakusaidie maisha kama huna mtu yoyote waukoo wa mama basi kimbilia kwa mahimamu na Mashelk watakusaidia mwanangu aina aja ya kubembeleza kiumbe chamungu ambaye pia yeye mwenyewe nimja wa Allah 😢

  • @sechemaguha7262
    @sechemaguha7262 ปีที่แล้ว

    Mzee yusuph anamkataa mtoto period

  • @amanichanga3448
    @amanichanga3448 ปีที่แล้ว +3

    Mtoto ana shida huyu, vijana hawa wa miaka ya 2000’s daah

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 ปีที่แล้ว +3

    HUYU MZEE ATAHONGA ILI AONEKANE CY MTOTO MTOTO WAKE KWAKUKWEPA AIBU. SERIKALI SIMAMIENI HILI.