Jawabu la Kwanini Mungu Anamswalia Mtume / ibada ni nini - Sheikh Walid Alhad

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2020
  • Jawabu la Kwanini Mungu Anamswalia Mtume / ibada ni nini - Sheikh Walid Alhad
    Sheikh Walid akifundisha Darsa la Tafsiri ya Quraan Ramadhani Mwaka 2020 Linalo fanyika Msikiti wa Kichangani Usisahau ku subscribe na kutu follow katika page zetu za insta na Facebook shukraan
    Video by muba Production Magomeni
    Subscribe
    Comment
    Like And share
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / darsatv
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / darsatv
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 75

  • @IbrahimKaranja-qu9yn
    @IbrahimKaranja-qu9yn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akubariki sheikh wetu
    Sheikh walid
    Allah akufikishe daraja zajuu
    Iwe kam jina lako lilopunguka (d) iwe walii

  • @khadeejahrashid3177
    @khadeejahrashid3177 3 ปีที่แล้ว +9

    Mm binafsi najifunza mengi kupitia darsa zako, na nakupenda kwa ajili ya Allah. Sheikh Walid usiponiona peponi niulizie in Sha Allah

  • @jersonmpeka4984
    @jersonmpeka4984 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu Kristo anawaita nyi e Mumfuate mnajichanganya kila shehk anatafasili anavyo jua yeye ni shafuatilia sana majibu yenu yanatofautiana rudini kwa yesu Kristo ni njia kweli na uzima msibunibuni tu tafisda

    • @ummyayman9449
      @ummyayman9449 11 หลายเดือนก่อน

      Pole hatumuabudu kiumbe alueshi tumboni kwa mamaake kama tulivyoishi sisi tunamuabudu mungu mmoja hakuzaa wala hakuzaliwa wala hakuna aliefanana nae mungu aliemuabudu Ibrahim na mitume iliyopita sasa yesu ni mtume tu hatuabudu mitume sisi tunaabudu mungu wa hiyo mitume

  • @user-nx9sp8vi3u
    @user-nx9sp8vi3u 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mola akubariki

  • @fahmialhatmyonline6093
    @fahmialhatmyonline6093 3 ปีที่แล้ว +5

    Maa shaa Allaah Sheikh Walid Alhad Omar
    🤲Allah amzidishie elimu yenye manufaa hadi akhera yake🤲

  • @user-bl6qo6fi7k
    @user-bl6qo6fi7k ปีที่แล้ว

    Marshall ah Allah akupe afya na akuifadhi napenda darasa zako

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 3 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh wangu niko Europe lakini natamani ningekuwa karibu yako nikakupa mkono wa kukushukuru kwa kunipatia ufunguo wa kuingia peponi.
    InshaAllah tukawe pamoja na Bwana wetu Mtume Muhammad salla llahu alayhi wasallam. Amin.

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  3 ปีที่แล้ว

      Doh Twayyib Mwalim

  • @suzanramadhan4231
    @suzanramadhan4231 2 ปีที่แล้ว +4

    Tunafaidika kwa elimu yako ALLAH azidi kukupa uhai mrefu na afya njema tukutane peponi inn shaa ALLAH

  • @salumahmadasalum1556
    @salumahmadasalum1556 ปีที่แล้ว

    SHEKH WALID ALLAAH AKUHIFADHI NA VITIMBWI VYA SHAITWAAN NA FITINA ZA UONGOZI UBAKI KATIKA HALI HII HII

  • @musbahuksa147
    @musbahuksa147 3 ปีที่แล้ว +7

    Ustadh Walid inshaAllah mpaka nikuone nikusalimie. Mm kwetu Lamu Riyadha. Nanimefurahika umekuja kusoma Lamu.

  • @wabongoughaibunimediaprodu4471
    @wabongoughaibunimediaprodu4471 3 ปีที่แล้ว +4

    Shukran Muba tunafaidika hata tulip mbali sana. Allah ambariki sheikh wetu Mpe salaam in shaa Allah

  • @achanifumos1093
    @achanifumos1093 3 ปีที่แล้ว +3

    Shaikh walid mm sina la kusema illa nakuombea IKHLASW...Allah akujaze ikhlasw ktk maisha yako..akulipe kwa unayotufunza...amiin

  • @nurudinehamimu5658
    @nurudinehamimu5658 3 ปีที่แล้ว +4

    Nam shekhe Wang Nakubali sana mafundisho yako Allah akuongoze akuripe kiralakheri.

  • @MuhdharMuhammad-qv3zl
    @MuhdharMuhammad-qv3zl 10 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana sheikh Wetu Allah akupe umri mrefu na Maisha mazuri hapa duniani na Kesho akhera ALLAH Akuingize peponi kabla hujafa

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  10 หลายเดือนก่อน

      amiin

  • @bashirukidana9315
    @bashirukidana9315 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ukuhifadhi sheikh Walid tunanufaika Sana kupitia ww

  • @ashahassan1877
    @ashahassan1877 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran shekhe wetu Allah akubarik

  • @yahayaali7970
    @yahayaali7970 3 ปีที่แล้ว +4

    Alhamdulllah nimekua wa kwanza Leo ishaallah anilipe khery

  • @SomSernk-mr3qe
    @SomSernk-mr3qe ปีที่แล้ว

    Maashaallah

  • @bughalib1
    @bughalib1 ปีที่แล้ว

    بارك الله فيك ونفعنا الله بعلمك

  • @achanifumos1093
    @achanifumos1093 3 ปีที่แล้ว +3

    ALLAHUMA SWALIAFDHWALA SWALAATI ÀLAA SAYYIDNAA WA HABIBINAA SAYYIDNAA MUHAMMAD...s.a.w

  • @abalmuhsinkassimonlinetv7997
    @abalmuhsinkassimonlinetv7997 3 ปีที่แล้ว +3

    Maa shaa Allah sifa zote nzuri wamezitaja wenzungu juu ya shekh,mwalim walidi mm naongeza kuwa mahadhi ya usomaji wa quran nataman kila aya atakayo isoma bac aipambe kama hivyo ,sioni cha kukuombea zaidi ya firdaus

  • @jumajembe3570
    @jumajembe3570 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah!Allah hakulipe kila lililo jema Sheghe Walidi kwa kutufundisha na kutuelimisha!
    Najifunza mengi sanaa na uwa nina kipindi maalum kila siku nipate hii rehma ya elimu ya bure kabisa kutoka kwako!
    inshaAllah, AMIN

  • @SASIBuyingArea
    @SASIBuyingArea 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah naomba ratiba ya darsa lini na lini na mda

  • @bahamadiali5049
    @bahamadiali5049 3 ปีที่แล้ว +5

    Ma shaallah mabruok

  • @omyguy3066
    @omyguy3066 3 ปีที่แล้ว +4

    Salaam aleykum ndugu, nakereka sana unapokatiza mawaidha matamu. Achilia darsa nzima tafadhali.

  • @jamalrashid7459
    @jamalrashid7459 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezimungu akubariki sheikh walid kwa kutuelimisha na akujaalie pepo ww pamoja na cc

  • @mohamedidd8923
    @mohamedidd8923 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah akuweke sheikh walid dooooh

  • @issamabubakar4767
    @issamabubakar4767 3 ปีที่แล้ว +2

    Bingwaaaaa sheikh Waalid

  • @mwashambamakame4435
    @mwashambamakame4435 3 ปีที่แล้ว +3

    Jazaakalkah lkheir ,ahsante kwa kutuelimisha sheikh na nnakufaham haswaaa

  • @fatumahamis9206
    @fatumahamis9206 3 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh Walid Alah awlalipe Wazazi wako tunaneemeka mno

  • @mundhirhaji6950
    @mundhirhaji6950 3 ปีที่แล้ว +2

    Jambo liliniumiza kichwa hili alhamdulillah yaan hadi nilishindwa kuwauliza wanaojua maana nilihisi wangenifkiria vibaya Allah anisamehe.Allah akubariki sheikh walid

  • @somoelipunjaje1033
    @somoelipunjaje1033 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran kwa darasa ñimekusoma

  • @fahmialhatmyonline6093
    @fahmialhatmyonline6093 ปีที่แล้ว +1

    Duh nimeckia maqaam rast hapo ya Sheikh Walid😁Maa shaa Allaah🥳

  • @kadulathumani7517
    @kadulathumani7517 3 ปีที่แล้ว +3

    As salaam Aleikum. Kabisa vizuri kabisa kuiweka wazi point hii. Tusije kukufuru juu ya neno sala. Baina Sala na ibada

  • @ZUHURAKHALFAN-mc8nd
    @ZUHURAKHALFAN-mc8nd ปีที่แล้ว

    MASHAALLAH Allah akupe umri mrefu SHEIKH Walid unatuelimisha

  • @bir4450
    @bir4450 3 ปีที่แล้ว +2

    ni vizur sana kutoa ufafanuzi nashaur na mashekh wawe wanakuja kuziondosha mushkel kwenye mada zao.kuna wat kuharibu haribu

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 3 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sheikh akitoa historia ya Mtume saw

  • @bakarikusaga5658
    @bakarikusaga5658 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Sheikh Walid

  • @user-fy3mh6kx1z
    @user-fy3mh6kx1z ปีที่แล้ว

    Jazaka Allah Khayr Sheikh Walid...Allah akulipe kila la kheri..akudizishie umri na elimu..kwa kweli tunafaidika sana..Masha Allah...Allah akujalie uwe na Mtume wetu Muhammad Sallalahu Alaiyhi Wasallam bega kwa bega mpaka Firdaus al aala...Amii.

  • @MSIMBATIBoy-zd2rm
    @MSIMBATIBoy-zd2rm 3 หลายเดือนก่อน

    💖☝️

  • @khadeejahrashid3177
    @khadeejahrashid3177 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah sheikh Walid, mbona mm nafahamu darsa vizuri alhamndulillah na Hua na kitabu naandika ili nizidi kupata elimu

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah mashaallah darsa nzur sana

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. Allahumma Swalli Wassallim Wa Baarik Ala Sayyedna Muhammad Swalallahu Alayhi Wassallam

  • @abdillahruna7794
    @abdillahruna7794 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe avya uzidi kutuelimisha

  • @musbahuksa147
    @musbahuksa147 3 ปีที่แล้ว +3

    جزاك الله خيرا وبارك الله فيك الأستاذ وليد.

  • @salehemohamed2937
    @salehemohamed2937 3 ปีที่แล้ว +2

    MashAllah

  • @abdallahismael3993
    @abdallahismael3993 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nliona wa kwanza siku comenti 😆. Habib shukran napata faida nkiwa nairobi kenya sheikh walid umenfunza mengi. Kama kawa kitabubnankalamu lazima. . Darsa tv muendeleee kutupa vitu twapata faida sana.

  • @hussenali3804
    @hussenali3804 3 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdhu lilah

  • @musbahuksa147
    @musbahuksa147 3 ปีที่แล้ว +2

    اللهم صل على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم

  • @yahayaali7970
    @yahayaali7970 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaaallah

  • @hajraislam6124
    @hajraislam6124 3 ปีที่แล้ว +2

    Jazaka llah khayra

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah shukran sana ustadhi

  • @shabaniramadhani657
    @shabaniramadhani657 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi sana

  • @samirasadasalum5974
    @samirasadasalum5974 ปีที่แล้ว

    ALLAHUMA SWALI ALA MOHAMMED WALAALIHI MOHAMED KAMA SWALAITA IBRAHIMU WALA ALIHI IBURAHIMU

  • @thabitalwiy1
    @thabitalwiy1 2 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh hapo ningependa kuuliza. Hivi tunavomsalia mtume ndio Sawa kweli? Ikiwa Allah ametuamrisha walioamin kumsalia mtume na sie baada ya kumsalia mtume ndio kwanza tunarudisha amri kwa Allah kwa kumwambia yeye Allah amsalie mtume kwa kusema (Allahuma Swali Alaa Muhammad....)

  • @hassanijuma886
    @hassanijuma886 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaaAllah haya ndio matunda ya Sheikh wa masheikh zetu Almarhum Sheikh Muhammad bin Sheikh Ayyub bin khamis Alkamadhy. Allah akuweke Sheikh Waleed.

    • @hassanijuma886
      @hassanijuma886 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakika hii ni elimu iliyo ya kisawasawa yenye isnadi ya ajabu kutoka kwa Ibn Ayyub mpaka kwa Swahaba Abdallah bin Omar

    • @fetysukafetysuka8811
      @fetysukafetysuka8811 3 ปีที่แล้ว +1

      shukuran

    • @alimakame1293
      @alimakame1293 3 ปีที่แล้ว +1

      Alhamdulilah

  • @kinyororoazina2676
    @kinyororoazina2676 2 ปีที่แล้ว +1

    Samahani nime taka kuuliza.bona kama kuna mtu ana bisha kama iyo siyo mahana ya ibada iyo.niya wapi ingine

  • @mundhirhaji6950
    @mundhirhaji6950 3 ปีที่แล้ว +1

    Wacha nitembee kifua mbele sasa kwa ufafanuzi huu

  • @ajaabsaid2886
    @ajaabsaid2886 ปีที่แล้ว

    A.a sheikh walid vp haliyako wajiskiaje mzima hunaneno naitwa Abdallah tawfik nakuuliza je yafaa kuomba kwa kiswahili ndani ya swala ikiwa hujui kiarabu ??

  • @jaafarjacka9272
    @jaafarjacka9272 3 ปีที่แล้ว +1

    Karibu kutazama Qaswida mpya kbs SISI NA MTUME
    th-cam.com/video/l9jq7p33ZU8/w-d-xo.html

  • @rajabmadebo9137
    @rajabmadebo9137 3 ปีที่แล้ว +1

    Watoe school fees shekh wangu

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 ปีที่แล้ว +1

    shekh swala unayo ifanya wewe kwa muhhamad Allah nae anaifanya... wewe unamuomba Allah amsaidie Muhhamad sasa Allah anamswalia Muhhamad anamuomba nani amrehemu Muhhamad??

  • @user-wn9cz2gh8s
    @user-wn9cz2gh8s 5 หลายเดือนก่อน +1

    Muhammad ni mbora wetu mbele ya M/Mungu Sasa inakuaje tunamuombea Kila siku tena Mara Tano kwa siku na ikiwa yeye ni mtu wa peponi tayari anasubili sku ya kufufuliwa 2 Kisha aingie peponi . Je maombi yetu yanafaida gani kwake?

    • @user-wn9cz2gh8s
      @user-wn9cz2gh8s 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kwanza yeye ndo inafaa atuombee kwa M/Mungu kwa sababu yy ni mtume ata maombi yake yanapokelewa mapema

    • @user-wn9cz2gh8s
      @user-wn9cz2gh8s 5 หลายเดือนก่อน +1

      Na ikiwa Mungu kumswalia mtume ni kumrehemu kwa maana iyo ni wazi kua ata sisi Mungu anatuswalia , maana siku zote tunaishi kwa rehema zake

    • @user-wn9cz2gh8s
      @user-wn9cz2gh8s 5 หลายเดือนก่อน +1

      Na si Kama Nina mashaka na mtume lahasha Bali Nina mashaka na elimu tunayofundishwa,

  • @jumamasoud1188
    @jumamasoud1188 3 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallah