WAZIRI MKENDA Avalia Njuga Swala la Sukari, Agoma Kutoa Kibali Kwa wafanyabaishara Kuagiza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2021

ความคิดเห็น • 125

  • @jumbemkilla9556
    @jumbemkilla9556 2 ปีที่แล้ว +15

    Hongera sana Waziri wa Kilimo kwa msimamo wako hiyo ni njia moja ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya Viwanda na sio ulanguzi.

  • @EdwardSMsiro
    @EdwardSMsiro 2 ปีที่แล้ว +11

    Mzalendo wa kweli "Nimekusoma Waziri wangu wa Kilimo"

  • @edgarmbehikya8150
    @edgarmbehikya8150 2 ปีที่แล้ว +8

    Huyu ni great man. Sasa hivi hii wizara imempata mwenyewe

  • @tumsifumartine612
    @tumsifumartine612 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana,Waziri mkenda kwa kuwa na msimamo na kuwa mzalendo,nyie ndio wasomi tunaowahitaji TANZANIA Mungu akulinde

  • @bettygeyer6952
    @bettygeyer6952 2 ปีที่แล้ว +9

    You are really true, tunaitaji wenye elimu kama wewe

  • @andersonjoseph8458
    @andersonjoseph8458 2 ปีที่แล้ว +11

    Hivi mbona Tanzania yetu haina wazalendo kama huyu!! Nashangaa viongozi wengi hawana mzigo na nchi yao kupiga dili tuu Mungu baba yetu kutana na hawa watu

    • @habibukilango7738
      @habibukilango7738 2 ปีที่แล้ว

      Alikuepo Magu na wakamuua na huyu nae watamuua....Mungu amlinde kwa kwel tunataka watu kama hawa

  • @njigecharles4690
    @njigecharles4690 2 ปีที่แล้ว +9

    Boss kaupiga mwingi sanaaa. Wamemvuruga. Safi sana Prof.

  • @johnsonkitambi3054
    @johnsonkitambi3054 2 ปีที่แล้ว +11

    Kazi nzuri Prof, Mungu akusimamie tunakuombea.

    • @2ragosntondero303
      @2ragosntondero303 2 ปีที่แล้ว

      Akilihuna Malawi sukari 1350 Tanzania 3000 jiulize

  • @ibel4lf
    @ibel4lf 2 ปีที่แล้ว +7

    Mkenda my the blood of Jesus be with you ...Proud of you Mkenda at least we have pp who are/were true to Tzn and our late president

  • @ambwenedaniel358
    @ambwenedaniel358 2 ปีที่แล้ว +7

    Huyu rais wetu wa sasa ni fisadi mkubwa hana mpango hata kidogo

  • @jeffreywilliams1171
    @jeffreywilliams1171 2 ปีที่แล้ว

    Daah, leo naona tayari Mungu anajibu maombi yetu, asante Mungu.mwengine huyu kwa nafasi ya kutuongoza wananchi tumwombe mungu awalinde hawa

  • @jeffreywilliams1171
    @jeffreywilliams1171 2 ปีที่แล้ว

    Safi kaka, hongera mzalendo , mh mkenda.

  • @mdimimdimi4282
    @mdimimdimi4282 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu waziri kwakweli amenikosha xn,anapita nyayo zile zile za mfalme JPM.

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 2 ปีที่แล้ว +3

    WEWE NI RAISI AJAE JAMANI WEWE NI MZARENDO WA KWELI

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 ปีที่แล้ว +2

    Usitoe ng'oo.kama magu hongera kwa uzalendo

  • @richardmrosso976
    @richardmrosso976 2 ปีที่แล้ว +2

    Mheshimiwa kweli tulikuchagua mbunge kweli kweli big up father

  • @peterjanuary7972
    @peterjanuary7972 2 ปีที่แล้ว

    Kila sehemu ni madiri tu! wapigaji wameegemea kila mahala jamni ninamuomba mungu asimame kutulinda wengi na viongozi wachache wenye ukweli na wenye kujari wananchi na nchi yao, na ingependeza wote viongozi wenye tamaa na mali na wenye kujari makundi ya watu wachache na kuwaache wakiangamia.. wananchi wengi tunamwomba mungu awaondoe kabisa kabisa wasiwepo nchi hii🇹🇿🇹🇿 na wasije tokea tena ndy maombi yangu kwa mungu!,🙏.

  • @wilisonuronu1840
    @wilisonuronu1840 2 ปีที่แล้ว +1

    The real mzalendo, Umeupga mwngi mnooo.... #Congratulation

  • @geraldbenjamin9302
    @geraldbenjamin9302 2 ปีที่แล้ว +3

    Anakuja mtu kwa mihemko anakwambia "Nonsense " Professor Mungu akutie nguvu tulijua yatakuja mambo ya hovyo tangu JPM alivyoondoka, ndo maana maelfu tulijitokeza barabarani kumsindikiza

  • @danieljeremia8629
    @danieljeremia8629 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupiganie kiongoz ubalikiwe

  • @shabaniabdu1312
    @shabaniabdu1312 2 ปีที่แล้ว +4

    Waheshimiwa wabunge na viongozi wa juu je' Tuna watendea haki wakulima? Hapana! Wafanya biashara hao ndio bora. Kuliko mkulima? Hio ndio tz ya leo.

  • @ameedamilja7992
    @ameedamilja7992 2 ปีที่แล้ว +3

    Ila Waziri we ni mzalendo tafadhali usiachie ngazi Kwani ndio wataornyezwa waking Januari wanaosaini mikataba mpaka kwa wahindi. Tafadhali shikilia hapohapo ma umweleweshe Mama labda alikuwa hajaambiwa undani wa jambo la sukari lilivyo TZ. Angesema sukari inunuliwe kwa kiasi fulani kulinda viwanda vyetu na baadaye isinunuliwe kabisa.

  • @mathayomaulid911
    @mathayomaulid911 2 ปีที่แล้ว +4

    Tusemee baba nkenda, nyuma yako tupo wengi sana

  • @johnmalambo1738
    @johnmalambo1738 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana mkuu wewe ndio kiongozi safiiii usitoe watanzania tumekuelewa usiwe mtumwa wakuteuliwa

  • @rabanmeshack3826
    @rabanmeshack3826 2 ปีที่แล้ว +7

    Hawa ndio maprofesa tunaowataka

  • @shabbyprotus6552
    @shabbyprotus6552 2 ปีที่แล้ว +3

    Dah yaani mwanamke anasema nonsense kwa mzalendo kweli

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 2 ปีที่แล้ว +1

    Mkenda you have made Tanzanians pride. We will stand with you. Tanzania belongs to all of us. The president cannot bully you.

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 2 ปีที่แล้ว +3

    MKENDA UKIWA RAISI WA TANZANIA TUTAKUWA TUMEPATA NAKUONA UKITUKOMBOA NA KUIKOMBOA TANZANIA NAMUONA MAGUFULI NDANI YAKO

  • @burudatv751
    @burudatv751 2 ปีที่แล้ว +2

    Na huyu ndo anafaa kuwa rais na sio huyu bibi aliyepata urais kwa kurithi

  • @barakadugange3234
    @barakadugange3234 2 ปีที่แล้ว +4

    Hao unaoongenao kuwa makini nao inawezekana nusu au wote wamekaa kukusikiliza kinafiki

    • @sixbertmwakaluwa5665
      @sixbertmwakaluwa5665 2 ปีที่แล้ว

      Tumekuwa wa hovyo watanzania kwa kuamini hivyo ukiwa muoga utaibiwa mpk chupi yk😂

    • @sixbertmwakaluwa5665
      @sixbertmwakaluwa5665 2 ปีที่แล้ว

      Tumekuwa wa hovyo watanzania kwa kuamini hivyo ukiwa muoga utaibiwa mpk chupi yk😂

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 2 ปีที่แล้ว +2

    MKENDA UNAUWEZO MKUBWA SANA SANA WEWE UNAFAA KUWA RAISI WETU TUKIPATA RAISI KAMA WEWE NCHII HII TUTAKUWA TUMEPATA RAISI SAHIHI.

  • @nasoromvunja5335
    @nasoromvunja5335 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha marefu endeleanamoyo huwo

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 2 ปีที่แล้ว +3

    oooh!God!protect our new Magufuli

  • @ameedamilja7992
    @ameedamilja7992 2 ปีที่แล้ว +5

    Dah! Hii jamani ina make SENSE... Sijui Rais aliamkaje juzi akasema "It was NONE SENSE". Ila tunafahamu kwanini TZ ikae karibu na Uganda kwahiyo tutafute tuu laughs nyingine ya kusema mfano tunaweza sema Uganda ni marafiki zetu hivyo tutasaidiana, ila tusitumie manero magumu kwenye ukweli. Tuweni wazalendo kulinda towanda vya TZ na pia tuongeze uzalishaji ili miaka michache ijayo basic tuuze nje maana ni Aibu kwa TZ kununua suvari Malawi na Uganda wakati ni vijinchi vidogo kabisa kwa uzalishaji kulinganisha na TZ.

    • @wazirisaid8326
      @wazirisaid8326 2 ปีที่แล้ว

      Hujui kwanini Rais alipiuzia hili?Nani alitakiwa kuhakikisha sukari ya kutosha inazalishwa nchini na miwa ya Wakulima inapata soko la ndani na Kama ipo mingi zaidi aombe kibali kwa Mh. Rais Cha kuwatafutia Wakulima wetu soko la nje Kama sio Waziri wa Kilimo akishirikiana na Waziri wa Viwanda na biashara?Tatizo mnashabikia tu hamjui amekoswa wapi.Waziri amashindwa ku play part yake hadi kunakuwa na tishio la uhaba wa sukari!!Then anatafuta watu wa kuungana nao ktk kushangaa!!

  • @jumavuli7390
    @jumavuli7390 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa sana baba mungu atatusaidia na atakulinda sana.

  • @bahatimihambo7639
    @bahatimihambo7639 2 ปีที่แล้ว +2

    Upo vizur mweshimiwa JPM aliacha mbegu imara na zinawasumbua kweli wapiga dili

  • @josephmahubemaro7406
    @josephmahubemaro7406 2 ปีที่แล้ว +2

    Waziri mkenda
    Mimi na kuunga mkono usitoe vibari
    Kwel wewe ulipikwa na Marehemu JPM
    Hakika mungu ata kulinda

  • @emanuelchigolo4839
    @emanuelchigolo4839 2 ปีที่แล้ว +1

    Tulikosea kwenye namna ambavyo ubinafsishwaji wa hivi viwanda ulifanyika. Pengine kwakua hatukua wazoefu wakati huo, laiti wangekuwepo watu kama kina Baghresa na Mohamed dewji tusingefika huko..

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 ปีที่แล้ว +1

    asante rais wetu mtarajiwa 2025

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 2 ปีที่แล้ว +1

    Wazalendo bado wapo

  • @skypast2482
    @skypast2482 2 ปีที่แล้ว

    Mungu mrehemu makufuli nchi ishauzwa hii bado kila mtanzani kupewa chake tu

  • @eliudijamesi2253
    @eliudijamesi2253 2 ปีที่แล้ว +1

    Keep up bro watanzania wanaimani naww

  • @tumafrances542
    @tumafrances542 2 ปีที่แล้ว +1

    Mama tozo chiz kabisa profesa Shikilia hapo hapo

  • @stellamuyenjwamboyi7559
    @stellamuyenjwamboyi7559 2 ปีที่แล้ว

    Mungu kwetu ni kimbilio na msaada upatikanao tele wakati wa mateso tuondolee fedheha aibu njaa wasiyofaa wasitutawale

  • @marwamasele4417
    @marwamasele4417 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU akulinde sanaaaa

  • @reginaosward6170
    @reginaosward6170 2 ปีที่แล้ว

    Safi kiongozi

  • @cnm2976
    @cnm2976 2 ปีที่แล้ว +2

    Tunatupa tani 53,000 kila mwaka? Eh. Tuko pamoja kwenye mshangao Mhe Waziri

  • @karistomdendemi4303
    @karistomdendemi4303 2 ปีที่แล้ว +1

    Funguka mheshimiwa .Likitekelezwa tutapiga hatua. Jpm alishasema .

  • @mrsalam1094
    @mrsalam1094 2 ปีที่แล้ว +1

    Waziri iko sahihi sana na mheshimiwa samia kama hajakuelewa atakuwa msaliti wa nchi yetu msaidieni raisi hajitabui ndio maana vitu vimepanda bei sana yy kapiga kimya tuu

  • @mshamyusuf6332
    @mshamyusuf6332 2 ปีที่แล้ว

    Daaa napenda niwenakusikia kila mara kamavile makufuli daaa kumbe viingozi wazuri mpo ila nitajiaikia vizuri kama utajihuzuru kisha nikuone bungeni

  • @eliudijamesi2253
    @eliudijamesi2253 2 ปีที่แล้ว +1

    Unadeserve kuwa rais wa Taifa hili kwasasa hatuna presoo

  • @joseeandrew7343
    @joseeandrew7343 2 ปีที่แล้ว

    proffessal mzee wetu mzalendo endelea kuwa na msimamo na nchi inahitaji wasomi kama wewe wanzalendo kama wewe nchi hii ina wasomi wengi ambao sio wazalendo ni wachumia tumbo tu.barikiwa sana mzee wetu wasomi wengine wajifunze kwako

  • @robertmoshi2113
    @robertmoshi2113 2 ปีที่แล้ว +1

    rais mtarajiwa

  • @georgechimeta6080
    @georgechimeta6080 2 ปีที่แล้ว +3

    2nd jpm of tz

  • @marijanimohamed8875
    @marijanimohamed8875 2 ปีที่แล้ว

    msimamo sahihi ndio kila kitu ukosahihi unaona mbali kiuchumi ukiagiza njesana unashusha uchumi wako unatakiwa kuzalisha ili uze nje tuna teseka sana wakulima sio wa miwa tu hata mazao mengine hii ni furusa ya uwazi ya kujua kiongozi mwenye uchungu na watu wake

  • @alfredmapile4341
    @alfredmapile4341 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa Rais halielewi hili?

  • @godfreyaugustino8666
    @godfreyaugustino8666 2 ปีที่แล้ว

    Uko sawa kiongozi japo watakuchukia ukweli unauma wanaangalia matumbo yao tu na sio watanzania

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunapenda wakweri kama wewe mkenda hatuwataki waongo kama wakina Nape na January makamba

  • @shabaniabdu1312
    @shabaniabdu1312 2 ปีที่แล้ว +2

    Tuna taka waziri kama huyo!

  • @2ragosntondero303
    @2ragosntondero303 2 ปีที่แล้ว

    Hunaakili unajijibu mwenyewe

  • @allyally3054
    @allyally3054 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ndio viongoz tunaowahitaji

  • @fikiaupeo
    @fikiaupeo 2 ปีที่แล้ว +1

    Hivi huyu bi tozo anakili timamu? Maana hata haeleweki. Sijawahi ona mtu mnafiki kama huyu. Anaharibu hatua nzuri za nchi tulizoanza kupiga. Sijui tumfanyaje tu daah.

  • @mdmachungu7424
    @mdmachungu7424 2 ปีที่แล้ว

    Wazalendo msikubali kupigwa Pini teteeni Taifa hata nyerere hakuacha Taifa lichewe

  • @johnmalambo1738
    @johnmalambo1738 2 ปีที่แล้ว

    Safi Mimi nawewe tunaweza tukaishi nyumba moja Sema kweli wewe ndio unayejua uongozi Nini

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Mheshimiwa Waziri.

  • @2ragosntondero303
    @2ragosntondero303 2 ปีที่แล้ว

    Bolauachie ngazi mwananchiananunuasukari 3500/=Wakatimalawi 1200/=waziri hunaishu

  • @a.katunzi5815
    @a.katunzi5815 2 ปีที่แล้ว

    Kibali utoe WEWE. 👍

  • @mshamyusuf6332
    @mshamyusuf6332 2 ปีที่แล้ว

    Ningekuwa napata namba yako ningekupigia kwani mwaka huu watu maamini watalima alizeti mpaka ikome nawatu ama wakulima lazima watazalisha alizeti yakutosha nahuenda na hata wasio jua kulima watalima mwaka huu

  • @vicentrogers9465
    @vicentrogers9465 2 ปีที่แล้ว

    Big Brain

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ni mzalendo

  • @allymadunda7931
    @allymadunda7931 2 ปีที่แล้ว

    Mbona sukari bei juu,hamsimamii majukumu sukari ilipotea halafu unaongea.tumejifunza jambo

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 ปีที่แล้ว

    Kama hutajiuzuru basi hakikisha hutaruhusu sukari kutoka inje si Uganda, wala Nchi yo yote ile. Watanzania wako pamoja na wewe

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 ปีที่แล้ว

    Ni kweli

  • @2ragosntondero303
    @2ragosntondero303 2 ปีที่แล้ว

    Malawi Beiyasukari ikochini waziriumesoma?

  • @peterremy8013
    @peterremy8013 2 ปีที่แล้ว

    Ww ndio mtanzania halisi boss nimekuelewa

  • @cosmasmlelwa2621
    @cosmasmlelwa2621 2 ปีที่แล้ว

    Wewe unafaa sana

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 2 ปีที่แล้ว

    Unaakili mingi mangii!

  • @joseeandrew7343
    @joseeandrew7343 2 ปีที่แล้ว

    wazee wangu ninao muheshimu sana kama mzee wangu kabudi ambao ni wasomi wabonezi wa nchi hii wajifunze kwa proffessal mkenda linapo kuja jambo ambalo linakwenda kinyume na masilahi ya nchi tunaomba mutoke hadharani na mukemee kama mzee mkenda ili muweze kuliokoa taifa.kama leo matozo ya simu umeme kwenye mita na sehemu nyinginezo ndani ya nchi

  • @simonnick1242
    @simonnick1242 2 ปีที่แล้ว

    Ukosawa

  • @imanimwashambwa6432
    @imanimwashambwa6432 2 ปีที่แล้ว

    Kwa nn sasa Bei ni kubwa?

  • @2ragosntondero303
    @2ragosntondero303 2 ปีที่แล้ว

    Hiloswaliunamuulizanani mulajiaukiwanda

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 2 ปีที่แล้ว

    Au watanzania wanatakiwa wafundishwe somo la uzalendo!!???🤔🤷😴

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii nchi ni ya maajabu sana umeongea ukweli watakutumbuwa tumevamiwa na mafisadi sasa hivi ni nchi ya madili

    • @vampire9464
      @vampire9464 2 ปีที่แล้ว

      Na wewe piga dili wacha ubwege

  • @halimaauthman9324
    @halimaauthman9324 2 ปีที่แล้ว

    👍👍👍👍👍👍💯💯💯💯💯💯

  • @mkushiandikayakoachananaya7944
    @mkushiandikayakoachananaya7944 2 ปีที่แล้ว +2

    Watu wa namna hii katika utawala wa huyu mama kusalimika ni kazi sana, huyu mama ndiye alikuwa mpinzani mkuu wa Magufuli ndio maana kila leo anapiga mateke yeyote/chochote kinachoonekana kiliendana na Magufuli! Ila tunashukuru ukweli kausema tayari Mzee Nkenda!

  • @istambuliahmedi8203
    @istambuliahmedi8203 2 ปีที่แล้ว

    Watanzania tuliowengi tunataka unafuu wa sukari na sio maneno mazuri mengi, pigeni kazi tuione hiyo kazi, Leo waziri Akita sukari hata kwa Bei kubwa kiasi gani haimpi shida atanunua tu ishu ipo kwa MTU wa Chini mwenye hali ngumu asiyo weza kuhimili gharama kubwa ya sukari ,kwahiyo watu wa namna hii hawana haja kujua sukari inatoka wapi Bali nafuu ya sukari iko wapi?

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 ปีที่แล้ว

    Sasa utasema nini ikiwa mama anataka tununue sukari ya Uganda? Tuko nyuma yako

  • @jeniferliberatus3003
    @jeniferliberatus3003 2 ปีที่แล้ว

    Mabaki wapo hogera sana

  • @mkushiandikayakoachananaya7944
    @mkushiandikayakoachananaya7944 2 ปีที่แล้ว

    Mwanaume aliongea jamani.

  • @barakadugange3234
    @barakadugange3234 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 2 ปีที่แล้ว

    Utaliwa kichwa Waziri

  • @kassembotz1421
    @kassembotz1421 2 ปีที่แล้ว

    Huu ndio UONGOZI BORA

  • @geopolitics94
    @geopolitics94 2 ปีที่แล้ว

    Ina make Sense

  • @fredymkanza
    @fredymkanza 2 ปีที่แล้ว +1

    Waziri ana Nia njema kabisa. Tatizo ni kwamba kama sukari ya nje inakuwa Bei nafuu kuliko sukari ya ndani na Rais yuko Kwa ajili ya kutetea Wananchi wasiumie Je Waziri analisemeaje hili?

  • @abdulazizmohamed2805
    @abdulazizmohamed2805 2 ปีที่แล้ว

    Adofu, weww ni, mtz, Wa damu

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว

    .

  • @mrsalam1094
    @mrsalam1094 2 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa ww ni mzelendo sana ila raisi samia kapotea anaisaliti nchi yake yy anaona yuko sahihi ila mm sijui alikuwa anafanya kazi fipi na magufuli alikuwa anamsaliti asijivunie kutowa pesa za kunjenga shule akajuwa eti ndio njia ya kupita 2025 ajitafakari kwanza

  • @ambakisyemwakifyogo2848
    @ambakisyemwakifyogo2848 2 ปีที่แล้ว

    Huyu yeye ni nani raisi anaagiza yeye anapinga anataka tuteseke kwa bei.mh mama samia raising wa jamhuri ya muungano huyu mrudishe kufundishe chuoni hana adabu na wote wanaomshabikiapiga chini.wahindi ni wajanja sana kuna kitu huyo mrombo .amechukia analalama yeye anasara gani? Anamaslahi gani? Piga chini.

    • @eliaslazaro2809
      @eliaslazaro2809 2 ปีที่แล้ว

      Wew nimvivu wakufikilia huna uwezo wowote hatawakuongoza nyumba 10.fisad mkubwa.

    • @jut1161
      @jut1161 2 ปีที่แล้ว +2

      Kweli kabisa huna uwezo wa kufikiri kabisa. Hata dogo kama hilo bado huoni madhara ya kuingiza sukar

    • @paulilungu410
      @paulilungu410 2 ปีที่แล้ว

      Mvivu wa fikra huyu

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 2 ปีที่แล้ว

    Watoto wako walale njaa,halafu unajidai una upendo unagawia chakula mtoto wa jirani hilo ni jipu🤬🤬🤬😴

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 2 ปีที่แล้ว

    Mh. Waziri naona unajishitaki mwenyewe kwa Wananchi wenye akili.Wewe ndio ulipaswa kushirikiana na Waziri wa Biashara na Viwanda ili kuhakikisha Miwa ya wakulima inanunuliwa na sukari ya kutosha inazalishwa nchini na Kama Viwanda havina uwezo wa kununua miwa yote ya Wakulima Basi muwatagutie Wakulima soko la nje ili wauze miwa yao.Sasa huja play part yako then unawashawishi wananchi mshirikiane kutafuta wa kumshangaa!.Tunacho hitaji ni sukari nchini na Kama Hakuna iagizwe nje. Mimi nina maashaka na wewe! Kwa heshma yako ni Bora ujiuzulu ateuliwe mwenye nia na uwezo wa kumsaidia Rais ktk sector hiyo.