TUACHE MAZOEA TUWATUMIENI WANAZUONI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2023
  • Kaimu SHEIKH WA MKOA WA DSM SHEIKH WALID IBN SHEIKH ALHAD OMAR akiwaomba Wapenzi wa Mtume Mohammed (s.a.w) kuacha mazoea ya kuwaalika msharif kwenye Hadhara za Mtume (s.a.w) kwa kuwapa kufanya dua na fatiha na kuondoka bila kusema chochote na kuridhika

ความคิดเห็น • 4

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908 ปีที่แล้ว

    Mashallah shukran sana sheik wangu asalaam alaykum warahmatullahi wabarakat

  • @shomarymwatanda6577
    @shomarymwatanda6577 ปีที่แล้ว

    maneno makubwa allah akujaalie khery na umri mrefu ili tuweze kustafidi maneno yako

  • @maliamhotimaliamhoti5302
    @maliamhotimaliamhoti5302 ปีที่แล้ว

    Jazakallahu khayran kwa mawaidh yenye faida.

  • @husseinally5550
    @husseinally5550 ปีที่แล้ว

    Kwa hekima hizi utafika mbali Inshaallah