Ambwene Mwasongwe. Nilipiga picha nusu kwakuwa suruali yangu ilikuwa imeungua chini! UDSM CCT.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ค. 2022
  • Karibu usubsribe Channel maalumu kwaajiri ya video fupi tu. CHURCH MEDIA4K.
    • Dakika 10 na Mch. Hana... .Video na Audio hizi zinahusu Matukio, Mafundisho na Mahubiri Yaliyotolewa Katika Ibada zinazofanyika UDSM CCT Chaplaincy (CCKD)

ความคิดเห็น • 172

  • @lemesiolipuuofficial8652
    @lemesiolipuuofficial8652 ปีที่แล้ว +7

    Ushuhuda wako umenigusa Sana moyo wangu, najikuta kuwa na nguvu mpya ya kumtafuta MUNGU wangu, natamani nifike hatua hiyo uliyopo mtumishi wa MUNGU, Ubarikiwe sana.

  • @user-cz9gc1rn6f
    @user-cz9gc1rn6f 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wa Mungu Ambwene.nahitaji nikuone Siku moja.tukae tuzungumuze mawili matatu.ili maratena uhimize huduma yangu.maana ushihuda wako unanitia moyo.niko Est DRC.mjini Goma.

  • @patrickwilondja759
    @patrickwilondja759 3 หลายเดือนก่อน

    Alléluia sifa kwa Mungu wetu,maana ushuhuda zako zinakua ni mafundisho makubwa kwa maisha yangu.Kweli umeitwa na Mungu

  • @amanamazanda748
    @amanamazanda748 ปีที่แล้ว +10

    Amina Baba umeitwa,Hata mimi nilinyanyasika na nyumba za kupanga kama 2 hivi nilipohamia ya 3 nikawa nalala chini wiki nziima huku namlilia Mungu siku ya mwisho nikamwambia Mungu hii nyumba ni ya mwisho usiponibariki nyumba yangu basi niue tu! Nikitoka hapa niende kaburini au kwenye nyumba yangu,nimechoka kukutumikia na huku nateseka na manyumba ya watu,Mungu ni mwaminifu nilitoka ile nyumba nikaingia kwangu mwaka wa 6 sasa! Sifa na Utukufu ni kwake🙏

  • @BerthaJoel-ph4eu
    @BerthaJoel-ph4eu 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba usikiie maombi mungu ulinde ndoa zetu japo kuwa tunapitia mangumu sana na majaribu mengi mungu simama ututetee mungu akubariki kaka amwene

  • @patrickwilondja759
    @patrickwilondja759 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu basi azidi kukutendea mema kwa maisha yako,hata nasisi atujalie neema yake kusudi tushikamane nayeye

  • @blessedone18
    @blessedone18 ปีที่แล้ว +10

    Naomba nami Leo Mungu anikumbuke katika safari yangu mara nyingi twachoka safarini lakini yupo Mungu wa embwene Leo hii namwita ashuke anene nami pia nataka kubarikiwa I tap the blessings man of God 🙏

  • @husseinanyitike3673
    @husseinanyitike3673 ปีที่แล้ว +7

    Mimi nimeanza kumjua kaka kipindi anatembea na gitaaaa lake nilikuwa napenda voko yake mda sana na imani yake ipo juuu sana barikiwa sana kaka sisi tumebarikiwa sana kupitia nyimbo zako

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 ปีที่แล้ว

      Ulimfahamu hukumjua ,Anamjua Mungu na Mama yake na mke wake tu

  • @occupeparjesus6768
    @occupeparjesus6768 ปีที่แล้ว +7

    Najikuta natokwa na machozi 😭 much love from CONGO 🇨🇩♥️

  • @nsajigwamwakalinga3591
    @nsajigwamwakalinga3591 ปีที่แล้ว +3

    Amina mtumishi ubarikiwe nakuwa kiimani niposikiliza nyimbo zako

  • @careendeni6580
    @careendeni6580 ปีที่แล้ว +8

    Huu wimbo niliusikia wakati bado sijaokoka ila niliupenda, namshukru Mungu aliyeniokoa na kunifanya nielewe zaidi

  • @Lusekelo98
    @Lusekelo98 ปีที่แล้ว +7

    BWANA MUNGU, nashukuru kwa hapa nilipo na nitakapokuwepo kesho kama itakupendeza kwakuwa asubuhi yangu, mchana wangu na usiku wangu ni Neema tu.

    • @franklinnnko7132
      @franklinnnko7132 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki Sana mtumshi wa Mungu umenitia moyo upya

    • @Lusekelo98
      @Lusekelo98 ปีที่แล้ว

      @@franklinnnko7132 Amina mtumishi

  • @marymichael5561
    @marymichael5561 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe mtumishi, upate maisha marefu yenye furaha na amani tele nabarikiwa Sana na nyimbo za na storii za maisha yako.... Na ninajifunza kitu pia katika maisha yangu 🙏

  • @barnabachuwa794
    @barnabachuwa794 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubarik sana kaka kwa huduma ya uimbaji wa mguso

  • @lukhubeni8726
    @lukhubeni8726 ปีที่แล้ว +11

    Mtumishi ubarikiwe nakupenda sana na nyimbo zako zinakuwa na mguso na mafunzo barikiwa sana Ameen

  • @annadaudi5402
    @annadaudi5402 ปีที่แล้ว +2

    Mungu azid kukutunza mtumishi wa Mungu nyimbo zako Huwa zinanibarik San 🙏

  • @OmanOman-yn2zj
    @OmanOman-yn2zj ปีที่แล้ว +4

    😥😥ubarikiwe mtumishi wa MUNGU🛐🛐🛐🛐🛐

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 ปีที่แล้ว +1

    Natamani kulia mungu naomba na na mimi unitie moyo kushenda majarbuuuuu here yesu naomba nisaidie

    • @udsmcctmedia7708
      @udsmcctmedia7708  ปีที่แล้ว

      Mungu Ujibu haya ya moyo wa mtumishi wako. Ameni

  • @helenacyprian6642
    @helenacyprian6642 ปีที่แล้ว +4

    Amina mtumishi ubarikiwe saana hakika mungu anakutumia nyimbo zako zinatuimarisha mno

  • @AgmackDezi-nf1rr
    @AgmackDezi-nf1rr 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mung nyimbo zako znaokoa na zina uPako wa mung

  • @jessicamagoke6800
    @jessicamagoke6800 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU AZIDI KUKUINUWA UNATUBARIKI SANA NA AKUSIMAMIE ADUI NI WENGI LAKINI UTASHINDA🙏🙏🙏

  • @leninyakafumbe1828
    @leninyakafumbe1828 ปีที่แล้ว +5

    Nimebarikiwa Sana kupitia huu wimbo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @felisianailomo2339
    @felisianailomo2339 ปีที่แล้ว +5

    Nimenguswa sana nahuu wimbo

  • @user-eo4gd1cr4l
    @user-eo4gd1cr4l 6 หลายเดือนก่อน

    Ndugu yangu Asante kustahimili,nashuhudi uzima kila akutumiapo Baba,songa mbele Nami nasonga mbele.Tumebeba msalaba,ulihudumia maisha yangu,barikiwa ndugu

  • @Jiwakilishe2023
    @Jiwakilishe2023 ปีที่แล้ว +7

    Majaribu ni mtaji ndo wimbo ulonifanya mfuasi wako zaidi ya miaka 16 iliyopita. Mungu aliyekuchota porini nikakujua huku Kenya akubariki .

  • @user-wg5ks3jo8o
    @user-wg5ks3jo8o 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu nyoosha mapito yangu

  • @HilolimusMtewa-ei8sm
    @HilolimusMtewa-ei8sm 7 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana Mt ambwene

  • @festosambo7662
    @festosambo7662 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana baba napenda sana huduma yako

  • @yonamwansasu2578
    @yonamwansasu2578 ปีที่แล้ว +3

    Namshukuru Mungu mtumish kupitia wimbo huu nilikata tamaa lakin nimehudiwa na nimemuonaMungu kiwango Cha iman kimeongezeka

  • @mariamambo
    @mariamambo ปีที่แล้ว

    Natamani nifike mahali ambapo anatakanifike mungu

  • @furahamwangos3365
    @furahamwangos3365 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana mtumishi kweli haikuwa rahisi

  • @obeymasebo4350
    @obeymasebo4350 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu nabarikiwa sana na nyimbo zako nisikilizapo namuona Mungu akinitetea kupitia nyimbo zako, Mungu akuongezee kipawa.

  • @zipporahmibei9007
    @zipporahmibei9007 ปีที่แล้ว +1

    Mungu mwenyewe alikuita kweli mjungaji ubarikiwe sana nyimbo sa baraka

  • @kefasikefasi8542
    @kefasikefasi8542 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana naelewa uimbaji wako

  • @falijiubamba4155
    @falijiubamba4155 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki Sanaa na aendelee kukutumia shambani mwake

  • @sumbujumanne7496
    @sumbujumanne7496 ปีที่แล้ว +1

    amen nikisikiliza nyimbo zako najifunza mengi sana nazidi kuwa na imani sana na mungu

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 ปีที่แล้ว +3

    Ushuda huu unanikumbusha mbali sana ubarikiwe amenuh 🙏🙏🙏

  • @hopemtweve9596
    @hopemtweve9596 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu katika huduma yako

  • @evangelisteclaudine6062
    @evangelisteclaudine6062 ปีที่แล้ว

    Oh Mungu ni mukubwa sana

  • @sehewasaimon8382
    @sehewasaimon8382 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusimamia mtumish akutie nguvu katka Kila jambo unalofanya Amen

  • @lusajomwasomola5002
    @lusajomwasomola5002 ปีที่แล้ว +3

    Uzidi kubarikiwa zaidi ndugu yangu

  • @claudeking8559
    @claudeking8559 ปีที่แล้ว +4

    Ameeeeen ukiiimba tu na inuka kwenye Imani amene

  • @magdalenajohn6564
    @magdalenajohn6564 ปีที่แล้ว +2

    Ambwene .Bwana Yesu asifiwe naomba namba yako nahitaji kukuuliza swali moja tu

  • @gregorydeus72
    @gregorydeus72 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu Mungu wangu Mungu wangu nakuomba ukaibariki huduma ya Mtumishi Ambwene ktk viwango vya juu sana kwani ni mvuvi wa watu wakujue zaid

  • @josephmalale7656
    @josephmalale7656 ปีที่แล้ว +12

    Sauti yako inainua imani yangu najikuta napiga hatua kila baada ya kuisikiliza sauti yako naamini sauti yako si yako tu Bali ndani yake yupo yule MZEE WA SIKU ubarikiwe sana mtumishi ninapokata tamaa yaani nisikiapo sauti ya yako nainuka tena. Nasema kwa herufi kubwa UBARIKIWE KATIKA KRISTO YESU WA NAZARETH ALIYE HAI.

  • @eliwanzitamussa9510
    @eliwanzitamussa9510 ปีที่แล้ว +2

    Ushuhuda wako umenitia nguvu kaka ambwene ubarikiwe sana

    • @lisajohn-vc2rt
      @lisajohn-vc2rt ปีที่แล้ว

      Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe Sana in kanisa liko sehemu gan mtumishi

  • @winfridadominic7542
    @winfridadominic7542 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi wa mungu bwana awe Kila kitu kwako.

  • @mariamambo
    @mariamambo ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki naguswa nanyimbo zako

  • @DanielSasin-rg4rs
    @DanielSasin-rg4rs 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Sana nakupenda mtumishi wa mungu unanibariki sana

  • @kissagabriel5825
    @kissagabriel5825 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Kalumbu mtumishi wa Mungu huwa nakuombea sana

  • @magerthmrema851
    @magerthmrema851 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki mtumish zaidi na uwe juu siku zote, Ameen.

  • @BerthaJoel-ph4eu
    @BerthaJoel-ph4eu 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana

  • @deongonyan7751
    @deongonyan7751 ปีที่แล้ว +2

    mungu akupe Maisha malefu

  • @godfreymsanya2726
    @godfreymsanya2726 ปีที่แล้ว +2

    Yesu akutunze daima mtumishi

  • @peacemollel5344
    @peacemollel5344 ปีที่แล้ว +1

    We Mungu nakushukuru,najua unasababu kuu .Mtumishi Mungu akutunze

  • @jeannetteumunyana672
    @jeannetteumunyana672 ปีที่แล้ว +1

    Woow! God bless u! From Rwanda nakusikiliza hapa

  • @jescamussa7045
    @jescamussa7045 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana kaka Ambwene, Mungu wangu wa Mbinguni azidi kukuinua🙏

  • @franknandi6371
    @franknandi6371 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana mtumishi

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 ปีที่แล้ว +3

    Nimelia saana Ushuhuda huu

  • @marthamashinji6830
    @marthamashinji6830 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda sana

  • @mariamambo
    @mariamambo ปีที่แล้ว

    Asante Sana ushuhuda huu niimani yenye nguvu ya mungu ndani yake

  • @mariamambo
    @mariamambo ปีที่แล้ว

    Namimi nimeanza Safari yakuimba mwakahuu niombee Sana mtumishi kazi yamungu inavita Sana

  • @mathewsulley65
    @mathewsulley65 ปีที่แล้ว +1

    Aminaa mtumishi wa Mungu unanibariki sanaa

  • @naidamwakibinga6309
    @naidamwakibinga6309 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mtumishi wa mungu ubarikiwe 🙏🙏🙏💞💞

  • @emmanuelamos7511
    @emmanuelamos7511 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe Mnooo!!

  • @presseg.6362
    @presseg.6362 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi

  • @samwelnyakamoro8388
    @samwelnyakamoro8388 ปีที่แล้ว +2

    Mapito ya mtoto wa mungu hakika huaga magumu so ushindi wake huwa mkubwa sana kwa utukufu wa Jehovah

  • @SaimonMwakasula-nv5nx
    @SaimonMwakasula-nv5nx ปีที่แล้ว

    Hakika nimeguswa mungu akubarik

  • @isacksimonmahungilo
    @isacksimonmahungilo ปีที่แล้ว

    Amina abwene

  • @devidkingu2439
    @devidkingu2439 ปีที่แล้ว +2

    Aleluyah, Mungu atuinue kadri apendavyo

  • @alicekapusi
    @alicekapusi 7 หลายเดือนก่อน

    Umesema kweli,ni jambo la ajabu kuona watu wazima na wazee wameachia vijana ndiyo wamtukuze Mungu, wao ndiyo wanaimbiwa

  • @jackobchibago1812
    @jackobchibago1812 ปีที่แล้ว +5

    Wewe ni Mentor wangu hakika.

  • @esaumakumbo4047
    @esaumakumbo4047 ปีที่แล้ว +1

    balikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @charitymghoimwawasi9522
    @charitymghoimwawasi9522 ปีที่แล้ว

    Napenda sana nyimbo zako

  • @eliascharles2913
    @eliascharles2913 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana na huduma Yako amen

  • @irengeaksantikalupa9633
    @irengeaksantikalupa9633 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi Mungu akubariki na akuwezeshe

  • @tiopherysanga2934
    @tiopherysanga2934 ปีที่แล้ว +2

    Nabalikiwa na huduma yako karibu iringa

  • @user-hi2kv3gv7y
    @user-hi2kv3gv7y 7 หลายเดือนก่อน

    Baba nimekuelewa hapo kunakitu kimeingia kwangu ahsante

    • @user-hi2kv3gv7y
      @user-hi2kv3gv7y 7 หลายเดือนก่อน

      Nahitaji pia unisaidie kufika pale napotaman kufika katika huduma yangu

  • @joelmolo6117
    @joelmolo6117 ปีที่แล้ว

    Nime barikiwa kabisa

  • @andrew29468
    @andrew29468 ปีที่แล้ว

    wimbo huo huwa unanibariki sanaaaaa

  • @selestinmdugu8483
    @selestinmdugu8483 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki Mtumishi kwa matashi mema

  • @francismwakilembe1924
    @francismwakilembe1924 ปีที่แล้ว +1

    Mungu mkubwa kwako mtumish azid kukupauhodali

  • @olipaassa4769
    @olipaassa4769 ปีที่แล้ว +3

    Amina

  • @charitymghoimwawasi9522
    @charitymghoimwawasi9522 ปีที่แล้ว

    Be blessed Mungu azidi kukuinua na akulinde

  • @atulindakanuma4144
    @atulindakanuma4144 ปีที่แล้ว

    Amina baba

  • @tuliambambila3729
    @tuliambambila3729 ปีที่แล้ว +1

    Amina Kaka mungu aendelee kukutunza

  • @ukwelijohn8533
    @ukwelijohn8533 ปีที่แล้ว +1

    Amina Sana Sana Tena sana

  • @victoriakira8632
    @victoriakira8632 ปีที่แล้ว +3

    Nabarikiwa sana🙌

  • @exaverymakoye6026
    @exaverymakoye6026 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema Wakati wote 🙏🏻🙏🏻

  • @robertemanueli6018
    @robertemanueli6018 ปีที่แล้ว +9

    Mungu kama ulivyoweza kuwajaza wengine nguvu yako, nami unijaze ili nitumike kwako kama lilivyo kusudi lako ndani mwangu🙏

  • @olivermwamakimbula787
    @olivermwamakimbula787 ปีที่แล้ว +4

    Amina Mtumishi huduma yako ina nguvu za Mungu

  • @jofreyfumboonline4866
    @jofreyfumboonline4866 ปีที่แล้ว +1

    Napenda ingeendeleaga Mungu mwema sanaa

  • @emetchristianitychapeltv4150
    @emetchristianitychapeltv4150 ปีที่แล้ว +1

    Yesu kupitia wimbo huu nitie Nguvu univushe

  • @pastormukulungulwe2901
    @pastormukulungulwe2901 ปีที่แล้ว

    Amen amen,umenitiya moyo

  • @BARAKABakenyaofficial
    @BARAKABakenyaofficial ปีที่แล้ว

    Ushuhuda huo is very clear

  • @eliajames1387
    @eliajames1387 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana

  • @christinaombeni9323
    @christinaombeni9323 ปีที่แล้ว +1

    Amen Might God of power

  • @charitymghoimwawasi9522
    @charitymghoimwawasi9522 ปีที่แล้ว

    My favorite singer

  • @chalesangolile6158
    @chalesangolile6158 ปีที่แล้ว

    Nakutengemeya mungu wangu

  • @nduwimanaeuphrate6998
    @nduwimanaeuphrate6998 ปีที่แล้ว +4

    Nimebarikiwa