Hiki ndicho kilichovutia harusi ya AMBWENE MWASONGWE | MASANJA TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 107

  • @sarahwawuda7638
    @sarahwawuda7638 6 ปีที่แล้ว +6

    Amazing.....pongezi sana Ambweni Mungu abariki ndoa yenu... napenda sana nyimbo zako

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 3 ปีที่แล้ว

    A man is real jmn. Mungu akubariki mno Ambwene na akujaze ya rohoni na mwilini

  • @rosedaudi857
    @rosedaudi857 4 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe umeoa Baba hongera keep on it

  • @elizabethpiganio190
    @elizabethpiganio190 6 ปีที่แล้ว +2

    wabongo kwakupondeana hamjambo ,Masanja hongera unajitahidi ata mbuyu ulianza kama mchicha

  • @sarahgona4021
    @sarahgona4021 6 ปีที่แล้ว +3

    Hongera mtangazaji unajua kazi yako

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 6 ปีที่แล้ว +3

    Wonderful God bless them and I am happy for them to be together God keep them in his hands and blessings them

  • @noeamimu4717
    @noeamimu4717 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki majandja tv kwa ukaribisho wako wa ukarimu.🙏🙏🙏🙏

  • @AshuraAlex-w3i
    @AshuraAlex-w3i ปีที่แล้ว

    One day yes i believe in Jesus name

  • @esperansahkafuka9891
    @esperansahkafuka9891 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awaongoze katika maisha mapya ya ndoa, Masanja TV Hongereni ila jitahidini kufanyia marekebisho kwenye upande wa Sauti na picha mnazozitoa hasa kwenye matukia haya ziwe zinavutia na kusikika vzr

  • @queencharles4823
    @queencharles4823 5 ปีที่แล้ว

    Chombo icho. Mke wake mzuri daaaah

  • @estherwilliam4378
    @estherwilliam4378 6 ปีที่แล้ว

    Hongeraa sana kaka Ambwene Mungu awape aman na furaha tele katita ndoa yenu

  • @elizabethmwandu9899
    @elizabethmwandu9899 6 ปีที่แล้ว +6

    Hongereni kwa kufunga ndoa Mungu awaongoze ktk safari yenu ya maisha ya ndoa.

  • @shaniamgunda7838
    @shaniamgunda7838 6 ปีที่แล้ว

    hongera ila bado haiko Poa sanaaa sauti shida picha sio nzuri sana endelea kukomaa

  • @adelphinenduwimana5063
    @adelphinenduwimana5063 4 ปีที่แล้ว +2

    ambwene ana muke muzuri sana

  • @sophialuka908
    @sophialuka908 6 ปีที่แล้ว +1

    Da imependeza Sana mungu awape maisha mazur

  • @joycemorice6655
    @joycemorice6655 6 ปีที่แล้ว +1

    Bi harus ana ka sauti amazing ingawa hasikiki vizur

  • @janethjulius7258
    @janethjulius7258 6 ปีที่แล้ว

    Magupaaaaaaaaaa👌👌👌👌

  • @gabrielambaruku5452
    @gabrielambaruku5452 6 ปีที่แล้ว +3

    Kijana anatangaxa vizuri ...hongera MTV

    • @kelvinkijo7500
      @kelvinkijo7500 3 ปีที่แล้ว

      Anaitwa Yusufu Magupa, yuko vizuri

  • @aggygrace3988
    @aggygrace3988 6 ปีที่แล้ว +5

    Nimependa mamaids na mke wako alivyovaa kwa heshima...na uzuri wake....maana mabibi harusi wa sasahv matiti nje ni kawaida kabisa mbele ya wakwe zao ......Mungu awabariki sana kwa kweli ukiwa nae Huduma ikue maaraaaadufuuuu zaidi kwa ajili ya utukufu wa Mungu

  • @roidatadey4599
    @roidatadey4599 6 ปีที่แล้ว

    Mungu awabaliki sana

  • @christerpeter1875
    @christerpeter1875 5 ปีที่แล้ว +2

    a blessed family forever😍😍😍😘

  • @dollerbrown6591
    @dollerbrown6591 6 ปีที่แล้ว +1

    mtangazaji una vocal

  • @mottema6194
    @mottema6194 6 ปีที่แล้ว +2

    mtangazaji upo juu

  • @marrymontgomery7791
    @marrymontgomery7791 6 ปีที่แล้ว

    Namuona mzee WA Sentense ...

  • @deboraherberth6434
    @deboraherberth6434 5 ปีที่แล้ว

    Walipendez sana

  • @goldlediamante6259
    @goldlediamante6259 4 ปีที่แล้ว

    Lesson learned.......ndoa so fashion lazima kwenda taratibu Sana bila kukurupuka,at the age of 33 ndo ameoa,kaokoka naamini amepata kilichobora zaiiidi......let me follow his feet!

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 6 ปีที่แล้ว

    Mungu awape amani na furaha ktk ndoa yenu hongera kaka kwakumpata wifi

  • @josephinakaduma6989
    @josephinakaduma6989 6 ปีที่แล้ว

    Sauti haiko vizuri

  • @prochesiapeter7467
    @prochesiapeter7467 6 ปีที่แล้ว

    Dah! hongera sana mbalikiwe

  • @franklewice8133
    @franklewice8133 6 ปีที่แล้ว +1

    Very blessing! Risen

  • @watsonjesse1410
    @watsonjesse1410 6 ปีที่แล้ว

    Kazi nzur

  • @margaretmshai7069
    @margaretmshai7069 6 ปีที่แล้ว +1

    woooh😘😘😘😘😘👌👌

  • @robertemmanuel5922
    @robertemmanuel5922 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kaka

  • @vailethmapunda6850
    @vailethmapunda6850 6 ปีที่แล้ว

    Nzurii hyo

  • @luganojacob
    @luganojacob 4 ปีที่แล้ว

    Tukio zuri ila mmechemka sauti kama nasikia radio mkulima

  • @jamesjosephriwa2035
    @jamesjosephriwa2035 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @oliverlyimo1972
    @oliverlyimo1972 6 ปีที่แล้ว

    Hingereni lkn sauti si nzuri

  • @happynyonga4536
    @happynyonga4536 6 ปีที่แล้ว +5

    Mungu awabariki saana Masanja TV, karibu wifi yetu

    • @MasanjaTVgospel
      @MasanjaTVgospel  6 ปีที่แล้ว

      barikiwa

    • @aetiuskatabarwa6698
      @aetiuskatabarwa6698 5 ปีที่แล้ว

      Jacklen utulie chini ya uongozo wa roho mtakatifu ili mme wako apate kibali cha mungu aishaiini mwenu na mwananamke pumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake.mungu awatunze hadi utimilivu wa dayari

  • @maryiewavua4886
    @maryiewavua4886 6 ปีที่แล้ว

    Congrats @ Ambwene mwasongwe +966 mungu awabariki

  • @mambomakuya8791
    @mambomakuya8791 6 ปีที่แล้ว

    Sauti mbaya

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @happynyonga4536
    @happynyonga4536 6 ปีที่แล้ว +1

    Kazi yako ni Njema ndugu mtangazaji nimependa

  • @esterpoul5972
    @esterpoul5972 6 ปีที่แล้ว +2

    kuna watu mnakejeli wekeni voice zenu tusikie kama ni nzur au zitakua kama za naniiiiiiiiiii

  • @rehemamlaponi8932
    @rehemamlaponi8932 6 ปีที่แล้ว

    Sauti haikua mzuri tumehangaika kusikia

  • @emanuelmushi6878
    @emanuelmushi6878 5 ปีที่แล้ว

    Sound mbovu sana

  • @gadmwingilwa1374
    @gadmwingilwa1374 3 ปีที่แล้ว

    Mambo

  • @edinatubet6757
    @edinatubet6757 6 ปีที่แล้ว

    Sauti haiko vzr haisikiki

  • @opwolophelly5805
    @opwolophelly5805 6 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 6 ปีที่แล้ว +1

    amina

  • @cathymock
    @cathymock 6 ปีที่แล้ว +4

    May God bless this wedding and your marriage

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 6 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba video yote ya arusui ya Bwene please

  • @mamanteli3505
    @mamanteli3505 6 ปีที่แล้ว +2

    Dada Jacky umenoga ile mbaya na tumekumisi kanisani KKKT kiluvya

  • @asimwetibaijuka7318
    @asimwetibaijuka7318 6 ปีที่แล้ว +1

    nakuelewa Sana m/kiti wangu wa maombi mt. Magupa by Godriver

  • @gracealex5422
    @gracealex5422 6 ปีที่แล้ว

    Wonderful

  • @mercyb491
    @mercyb491 6 ปีที่แล้ว +11

    Jesus loves u and He saves
    Please believe on Jesus and receive HIM into your life and heart
    He cares for u...Jesus is real- satan and hell is also real
    Be saved if not yet. Thanks. God bless

  • @doraaziza6854
    @doraaziza6854 6 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana

  • @lucynhembelo9214
    @lucynhembelo9214 6 ปีที่แล้ว

    sauti VP

  • @adenmwakipiki8409
    @adenmwakipiki8409 6 ปีที่แล้ว

    Hongera zake

  • @heriethndaiga3503
    @heriethndaiga3503 6 ปีที่แล้ว

    saut mbaya

    • @neemamatata6630
      @neemamatata6630 6 ปีที่แล้ว

      nakukubali abwene hongera kuvuta jiko

  • @beatricedaniel7851
    @beatricedaniel7851 6 ปีที่แล้ว

    Mbna wameingia wakiimba kaka umesema kuimba na kucheza

  • @emmakassanga3834
    @emmakassanga3834 6 ปีที่แล้ว

    boleshani sauti haiko vizuri

  • @morningstarhappy277
    @morningstarhappy277 6 ปีที่แล้ว +2

    Hatusikii wimbo

    • @MasanjaTVgospel
      @MasanjaTVgospel  6 ปีที่แล้ว

      barikiwa tunafanyia kazi tupo pamoja

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya 6 ปีที่แล้ว +2

    Sauti bado haijakaa poa kabisa.

  • @mo-zillah5683
    @mo-zillah5683 6 ปีที่แล้ว

    Masanja television, Nifollow TH-cam, MJ Familia TV

  • @onesmomushi7777
    @onesmomushi7777 6 ปีที่แล้ว +2

    Aaaaa mtumishi mekerp za nini tena umeharibu mtumishi

  • @lilianwilliam5153
    @lilianwilliam5153 6 ปีที่แล้ว +1

    Nmemwona Paul clement

  • @emmanueljohn7
    @emmanueljohn7 6 ปีที่แล้ว

    Sio mameds

  • @josiakatende3941
    @josiakatende3941 4 ปีที่แล้ว

    Nina shida ya kuonana na masanja nafanyaje!?

  • @amanimaro289
    @amanimaro289 6 ปีที่แล้ว

    Medina. Wamasogage

  • @thesnipersbilliardscenter3702
    @thesnipersbilliardscenter3702 6 ปีที่แล้ว

    Boresheni sound haiko poa kabisa

  • @annahockson1427
    @annahockson1427 6 ปีที่แล้ว

    sauti tatzo

  • @officialkinghezekiah2094
    @officialkinghezekiah2094 6 ปีที่แล้ว +1

    congratulations

    • @rhemakabula1252
      @rhemakabula1252 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/hzEd2MQWYFU/w-d-xo.html
      Welcome to my TH-cam channel and be blessed

  • @beathapascal3846
    @beathapascal3846 6 ปีที่แล้ว

    Harusi yake ilikua Nzuri sana but I can't believe huyu camera man ndo amefanya vitu gani sjui. Be serious guys

  • @zachariahlukumay4026
    @zachariahlukumay4026 6 ปีที่แล้ว

    OK

  • @sarahkalili2509
    @sarahkalili2509 6 ปีที่แล้ว

    twiynkle twiynkle

  • @pinkpanther3506
    @pinkpanther3506 6 ปีที่แล้ว

    dear host know that nmefunuliwa kidding babe

  • @joycemlela6545
    @joycemlela6545 6 ปีที่แล้ว +4

    afadhari maana cc funs wa ambwene tuko vjijin hivyo tunafurahi mkitujuza yaliyojili harusini

  • @alisiaaly5018
    @alisiaaly5018 6 ปีที่แล้ว

    Watu maharufu?ama maarufu

  • @kingswebe3251
    @kingswebe3251 6 ปีที่แล้ว +2

    kwanini hawaowagi wanawake weusi kwani mungu hawaonyeshagi?

    • @lightnessmwita6283
      @lightnessmwita6283 6 ปีที่แล้ว

      king SwebeTV 😀😀😀

    • @ghhfgbgfhh1980
      @ghhfgbgfhh1980 6 ปีที่แล้ว

      Ummh we we nawe mwenyewe amependa huyo😃😃😃😃😃,,wanadamu hamuachi !!!

    • @winniesengo8673
      @winniesengo8673 6 ปีที่แล้ว

      king Swebe makeups tu izo zawafanya waonekane weupe zkisaidiwa na camera ukionana nae huenda akawa rangi ya chocolate tofaut na anavoonekana apo

  • @sarahkalili2509
    @sarahkalili2509 6 ปีที่แล้ว

    twingotwingo

  • @evelynemwakiseepe790
    @evelynemwakiseepe790 6 ปีที่แล้ว +5

    Sauti hamna mtu unataman kusikia lakini mmmh

  • @preneruth5110
    @preneruth5110 6 ปีที่แล้ว

    sasa huyo mtangazaj anaongea sana

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 6 ปีที่แล้ว

    Mbona ukumbi haujachangamka kama mtangazaji alivyosema. Na hao watu maarafu sio kweli hata wahajulikani labda masanja na David Robert. Tena David Robert amejulikana sababu ya kufundisha mashule na scripture unioni

    • @winniesengo8673
      @winniesengo8673 6 ปีที่แล้ว

      Sarah Gaula kweli kabisa umenena

    • @jackiejackie1272
      @jackiejackie1272 5 ปีที่แล้ว

      Hujabahatika kuangalia live kama sisi wapo wengi mawaziri na waimbaji sema apa hawajawaonyesha

  • @roidatadey4599
    @roidatadey4599 6 ปีที่แล้ว

    Mungu awabaliki sana