Simulizi Ya Kweli (Nazareth Amulike) Aliye Tuliza Kupitia Ambwene Mwasongwe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2021
  • Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    TH-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#2021
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 88

  • @focuseric4109
    @focuseric4109 2 ปีที่แล้ว +15

    Ndugu watanzania na ulimwengu mzima MITHALI 4:6 mungu alituaidi akasema usimwache nae atakusitiri na umpende nae atakulinda,na mithali 4:8 hapa mungu anafika mbali zaidi anasema umtukuze nae atakutukuza na atakupatia heshima ukimkunbatia,WATANZANIA NA ULIMWENGU TUMPENDE MUNGU SANA SANA ILI ATUPE ULINZI KWASABABU ATUJUI YALIOKO MBELE YETU SHETAN ALINYANG'ANYWA MAMLAKA AKUNYANGANYWA MAARIFA KWAIO ANAJUA MAFANIKIO YETU YALIOKO MBELE KWAIO UA ANAANDAA UARIBIFU JUU YAKO KWA KUEKA MITEGO YAKE.shetan anaona yalioko mbele YETU kabla sisi atujaona anajua mipangò YETU.mithal 4:27 kumcha bwana kunaongezà siku zamtu

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 ปีที่แล้ว +2

    Mazingira ya kesi, Ushahidi, Sheria za kazi zilinibana, mpaka mkewangu akaniambia kama umefanyaaa kili kosa tujue moja 😭😭😭😭😭😭😭 Yesu wa nadhareth akukumbuke daima mpendwa 🙏🏽

  • @BGHaule
    @BGHaule 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole na Hongera Kwa kushinda na kuendelea kumtumainia Mungu,kwa kweli machozi yamenitoka,sijui ni machozi ya nini,ila Mungu ni mkubwa....but nadhani katika hilo inabidi serikali wakufikirie angalau ulipww fidia kwa yale yaliyokukuta,ingawa tunajua haiwezi kurudisha roho za wale Wapendwa wako but itakusaidia angalau kuhisi bado Taifa linakupenda. Mungu akubariki sana mtumishi was Mungu

  • @blackqueen3532
    @blackqueen3532 2 ปีที่แล้ว +3

    I feel you mtumishi😭😭tumepitia kwenye kesi za kusingiziwa na inauma sana MUNGU UTUKUMBUKE NA HAKI ZETU ZIENDELEE kustawi🙏

  • @dadesefute8095
    @dadesefute8095 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Mungu ni kwa ajili ya wote wenye mwili. Asante kwa ushuhuda umenijenga.

  • @jamiraabbakary739
    @jamiraabbakary739 2 ปีที่แล้ว +27

    Namfaham Sana huyu kijana kambi alofanyia kazi ndiko nilikokulia, pamoja na kuwa askari pia alikuwa muuguzi hospital, kanichoma sindano Sana huyu Jamaa coz nilikuwa na shida ya kifua nikiwa mtoto, nimefurahi kuona yuko huru tena. kimsingi nilisikitika alipopata hayo matatizo hakuna alokuwa akiamini kwakuwa tabia yake ilionekana kuwa njema, lakini nani ajuaye kesho ya mtu? Jibu ni mungu peke, Pole Sana Nazareth majaribu ni mtaji umechagua njia njema kutumika na mungu barikiwa Sana.

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 ปีที่แล้ว

    Shetani ni muonevu sana kwa kweli Mungu aku compasatie kila ulichopoteza familia na miaka yako yote uliyoipoteza Mungu anatosh Kaka. 🌹🌹

  • @mozzkamaru
    @mozzkamaru ปีที่แล้ว

    Aisee , listening to this , Nabaki tu kumshukuru Mungu . Binadamu tunapita kwenye changamoto sana ila Mungu anatusimamia. Asante sana kwa ushuhuda huu .

  • @lukajohn1919
    @lukajohn1919 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwel kabisa nakukumbaka sana tulikuwa wote segerea

  • @petermshali5157
    @petermshali5157 ปีที่แล้ว +1

    Mweeeh... Isya nkisu sikutamya mweeee....

  • @lydiamsafiri9613
    @lydiamsafiri9613 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu anabaki kuwa Mungu, barikiwa sana mtumishi, hayo ndio mapito, iliwe uwe dhahabu lazima moto uwepo, Mungu azidi kukuinuwa

  • @njonjolomahfudh3238
    @njonjolomahfudh3238 2 ปีที่แล้ว +2

    THE STRONGEST MAN NAZARET, UYU MTU KAPITIA MITIHANI MIZITO MNOOO

  • @lidiamwantandi452
    @lidiamwantandi452 2 ปีที่แล้ว

    Pole saana kaka hii ndio nchi yetu na uwongozi wake, njoo tuungane kudai katiba mpya na tume huru

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 2 ปีที่แล้ว

    Jamani dah maisha haya watu wanaozea jela bila hatia pole sana kaka yetu kwa kufiwa na mkeo na mwanao na dada yako Mungu aendelee kukufariji dah nimeumia sana na kisa chako

  • @luhekelondelwa9714
    @luhekelondelwa9714 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kwa mapito Mungu yeye ajua sbb kwa nini uliyapitia hayo

  • @naomybenedict5855
    @naomybenedict5855 2 ปีที่แล้ว

    Bado ninamshangaa Mungu kwakwli,,marajibu yapo kutufunza kwakweli pole baba angu namshukuru Mungu ww ni mzima.

  • @dennisjosephat237
    @dennisjosephat237 2 ปีที่แล้ว

    Dah ! Painfully story! God is living and glory to almighty.

  • @maxwellmseo1380
    @maxwellmseo1380 ปีที่แล้ว

    Kwa maelezo hayo hatuna Sheria za kazi

  • @damarismbitha253
    @damarismbitha253 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sana Nazareth...

    • @sososool9177
      @sososool9177 2 ปีที่แล้ว

      Pole sana kaka kumbe hu wimbo nismlizi ya kweli pole sana katika hayo yote yana Mungu

  • @gracemwakalukwa8352
    @gracemwakalukwa8352 2 ปีที่แล้ว

    Umenikumbusha kaka naza niliumia sana pole endelea kumtumikia mungu

  • @andrewsekwao99
    @andrewsekwao99 2 ปีที่แล้ว +3

    Pole kwa mapito ila katika hayo yote ashukuriwe Mungu awezae yote

  • @malangunda7365
    @malangunda7365 2 ปีที่แล้ว

    Aisee pito Zito Sanaa pole Sana Mtumishi

  • @euniestherwilliam1513
    @euniestherwilliam1513 2 ปีที่แล้ว

    Ambwene Mungu akubariki sana

  • @nichorousmpala5366
    @nichorousmpala5366 2 ปีที่แล้ว

    Ainuliwe Mungu wetu alie juu

  • @zedekiahmagwega8044
    @zedekiahmagwega8044 2 ปีที่แล้ว

    Daaa inaumiza sana

  • @peterkaombwe6251
    @peterkaombwe6251 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa mbinguni aendelee kukutunza, kukupatia riziki kubwa zaidi ya hiyo kazi

  • @elvilamwambambale950
    @elvilamwambambale950 2 ปีที่แล้ว

    Basi umeniliza sanaa

  • @babycandy3225
    @babycandy3225 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole bamdogo naza

  • @mwanahamisbwanga1184
    @mwanahamisbwanga1184 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭nmelia dar pole pole sanaa

  • @annadaudi9266
    @annadaudi9266 2 ปีที่แล้ว

    Pole San kaka,, dhahab ili ing'ae lazm ipite kweny Moto hakik wew Ni dhahabu🙏

  • @vailethmduda4272
    @vailethmduda4272 3 ปีที่แล้ว +2

    Mshukuru Mungu kwa yote..Pia amekuonyesha njia sahihi ya kuiendea..Mtumikie Mungu kwa moyo wako wote na kwa akili yako yote...

  • @pasuakaratu2601
    @pasuakaratu2601 ปีที่แล้ว +1

    Ukiona lakwako zito jaribu kujifunza kwa wenzako🙆‍♀️

  • @angelinamichael7742
    @angelinamichael7742 3 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kukutetea

  • @devotaminga9352
    @devotaminga9352 2 ปีที่แล้ว

    Mwacheni Mungu aitwe Mungu

  • @tunaitwakiwovele7358
    @tunaitwakiwovele7358 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimelia mimi

  • @neemamwandalima5564
    @neemamwandalima5564 2 ปีที่แล้ว

    😭 Mungu atabaki kua Mungu

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 ปีที่แล้ว +1

    Nyie huyu kaka miye ananiliza, kila nikiona Story yake napata huzuni sana,nawaza kama hatuna wapelelezi wanayoijua kazi yao je ni wangapi wako gerezani kwa makosa yasiyowahusu,Mungu aingilie kati awatetee mwenyewe watu wake.

  • @beatriceminja2148
    @beatriceminja2148 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭 duh Mungu akutie nguvu!!! So sad

  • @azaliamathias414
    @azaliamathias414 3 ปีที่แล้ว +5

    To God be the Glory...🙏

    • @sophiamirambo9656
      @sophiamirambo9656 2 ปีที่แล้ว

      Nimelia sanaaaa😭😭😭Ila mama Samia aingilie Kati ili Apate haki zake kwa sababu kuna watu wanajua kujieleza sana wanawaeleza viongozi taarifa mbayaaaaaa yaani shetani Ana nguvu

  • @happynzunda7563
    @happynzunda7563 2 ปีที่แล้ว

    Dhuu!! Pole sana babaangu kweli mapito yapo duniani jamani likikukuta utadhani upo pokeako kumbe wenye mapito ni wengi sana

  • @rosenyato8729
    @rosenyato8729 3 ปีที่แล้ว +2

    Nazareth ninayekufahamu ulipitia haya kweli. Dah! Pole kaka yangu jamani. Nimeumia sana. Songa mbele usitembee na taarifa mbaya kichwani wewe ni mtumishi

    • @agneskaijage9757
      @agneskaijage9757 2 ปีที่แล้ว

      Mtafute umtie moyo kama unamjua natumai atafurah sana

  • @winniferogechi9336
    @winniferogechi9336 2 ปีที่แล้ว

    I feel it but pole sana

  • @rosemaryyohana6440
    @rosemaryyohana6440 2 ปีที่แล้ว

    Huyu Mungu ni mkuu sana. Sifa na utukufu ni kwake

    • @eliudiezekieli6293
      @eliudiezekieli6293 2 ปีที่แล้ว

      Kiukwel Hayo mambo ya kubamnikiziwa kesi yanauma sanaaa namimi niliuziwa kesi na police cplo jemsi wa kituo Cha kati mwanza nakusababisha kuzurumiwa milioni 7 stasahau Ila ashukuliwe mungu wa mbinguni nikitoka baadae ya kusota butimba mwanza

  • @janethchaz1813
    @janethchaz1813 2 ปีที่แล้ว

    pole sana kaka😭😭😭

  • @willymwakasonda8043
    @willymwakasonda8043 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa ninamfahamu kabisa nilipokuwa Askari gereza la segerea nilikuwa nae kabisa na alikuwa kiong ozi katika misa as mahabusu na alikuwa jamaa poa sana mwenye kusali sana, hakika Mungu yu mwema sana atukuzwe sana bwana wa majeshi

  • @tupilikeiswasu5474
    @tupilikeiswasu5474 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndagha nkamu, akapango kikulisya fijho😭😭

  • @ruthsinkamba8209
    @ruthsinkamba8209 2 ปีที่แล้ว

    Aisee ,MUNGU NI MWEMA

  • @ndipomwakalindile4337
    @ndipomwakalindile4337 ปีที่แล้ว

    NAMFAHAMU SN NAZARETH NI KAKA ANGU TUMEKUA NAE KIJIJI KIMOJA NA TUMESOMA NAE SHULE YA MSINGI TALATALA ILIYOPO KYELA MBEYA HALAFU NI FAMILY FRIEND NAFURAHI KUSIKIA YUPO HURU SN

  • @gracemwakalukwa8352
    @gracemwakalukwa8352 2 ปีที่แล้ว

    Kaka naza pole kwa yote zidi kumuomba mungu

  • @justinamsidada1296
    @justinamsidada1296 2 ปีที่แล้ว

    Hongera brother.. Wachache wanaweza kuvaa kiatu chako

  • @petermundele7301
    @petermundele7301 ปีที่แล้ว

    Dah mungu huyu acha binadamu aitwe binadamu ,ndo maana binadamu mdogo but anatengenezewa mabomu makunwa

  • @mariamethod4537
    @mariamethod4537 3 ปีที่แล้ว

    Nan kama mama, 😭😭😭

  • @Joshchris24
    @Joshchris24 2 ปีที่แล้ว

    Ndagha nkamu, akapongo kikulisya fijho 😭

  • @kourtneykourtneyismaile7745
    @kourtneykourtneyismaile7745 2 ปีที่แล้ว

    Ulipitia rafiki yangu

  • @ameniameni617
    @ameniameni617 3 ปีที่แล้ว

    Pole Sana uyo polisi aliyekutaja ndiye chanzo cha kupoteza familia yako

  • @gracekalihose8504
    @gracekalihose8504 2 ปีที่แล้ว +1

    Miaka 9 mahabusu!mmmm

  • @mpalleymwaipola7435
    @mpalleymwaipola7435 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakumbuka hii story na kaka Isaya mwakiswalele naye aliunganishwa kwenye hiyo kesi

  • @devothaisaya5833
    @devothaisaya5833 2 ปีที่แล้ว

    Nimeumia san hii story ingekuwa vyem upewe fidia .

  • @focuseric4109
    @focuseric4109 2 ปีที่แล้ว +1

    Shetani alinyänganywa MAMLAKA AKUNYANGANYWA MAARIFA kwaio anaona yalioko mbełe yako kwamana iyo wewe unaepanga mipango mizuri Leo,kesho, kila siku shetan anaiona nae anapanga jinsi yakuzuia na kuiaribu kwakutumia ma agent kupitia ajał ,magonjwa,kwenda jela, magomvi,MITHALI 4:6 usimwache nae atakusitiri,umpende nae atakulïnda .

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani shetani akiamua kukutesa anakutesa mno. Hii mi roho ya mateso ambayo ilikupata kukupoteza

  • @pescopenterprises2728
    @pescopenterprises2728 2 ปีที่แล้ว

    Msaada namba za hoyo mwinjilisti

    • @jdjhdj6973
      @jdjhdj6973 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo kubwa hii yote ni ukosefu wa kamera km ungekuwa huku bs ukweri ungejulikana

  • @sophiankwera9020
    @sophiankwera9020 2 ปีที่แล้ว +1

    Jomon 😭😭😭

    • @bonyemuelelwa3440
      @bonyemuelelwa3440 2 ปีที่แล้ว

      Pole sana mtumishi wa mungu uli pitiya majanga mengi makubwa sana mungu aha chii walio wake bila kuwa futa machozi lazima awape faraja ya moyo umeku mbukwa kwa lolote lile tumsifu mungu wetu kabisa

  • @jonsongabriel937
    @jonsongabriel937 2 ปีที่แล้ว

    Sifa utukufu na heshima ni kwake Muumba wa mbingu na nchi.

    • @gracestewartmchaky6650
      @gracestewartmchaky6650 2 ปีที่แล้ว

      Pole saana Naza Mungu akutiye nguvu ,,ktk maisha yako ,, .kifo cha mkeo kiliniuma saana nafika Muhimbili nawakuta ndio wanamzungushia PAZIA LA kijani

  • @yasintaraphael8334
    @yasintaraphael8334 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ni mtumishi wa MUNGU mkubwa sana shetani alijalibu kuondoa hatma yako akashindwa .ubalikiwe mtumishi wa MUNGU kwenye huduma yako

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 ปีที่แล้ว

    KWAHYO kumbe hata mm naweza kuzaa mtoto nkamuita dar es Salam 😅 au

    • @hyacintagugu7
      @hyacintagugu7 ปีที่แล้ว

      Yes...Au ukamuita ubungo upendavyo

  • @BGHaule
    @BGHaule 2 ปีที่แล้ว

    Pole na Hongera Kwa kushinda na kuendelea kumtumainia Mungu,kwa kweli machozi yamenitoka,sijui ni machozi ya nini,ila Mungu ni mkubwa....but nadhani katika hilo inabidi serikali wakufikirie angalau ulipww fidia kwa yale yaliyokukuta,ingawa tunajua haiwezi kurudisha roho za wale Wapendwa wako but itakusaidia angalau kuhisi bado Taifa linakupenda. Mungu akubariki sana mtumishi was Mungu

  • @BGHaule
    @BGHaule 2 ปีที่แล้ว

    Pole na Hongera Kwa kushinda na kuendelea kumtumainia Mungu,kwa kweli machozi yamenitoka,sijui ni machozi ya nini,ila Mungu ni mkubwa....but nadhani katika hilo inabidi serikali wakufikirie angalau ulipww fidia kwa yale yaliyokukuta,ingawa tunajua haiwezi kurudisha roho za wale Wapendwa wako but itakusaidia angalau kuhisi bado Taifa linakupenda. Mungu akubariki sana mtumishi was Mungu

  • @BGHaule
    @BGHaule 2 ปีที่แล้ว

    Pole na Hongera Kwa kushinda na kuendelea kumtumainia Mungu,kwa kweli machozi yamenitoka,sijui ni machozi ya nini,ila Mungu ni mkubwa....but nadhani katika hilo inabidi serikali wakufikirie angalau ulipww fidia kwa yale yaliyokukuta,ingawa tunajua haiwezi kurudisha roho za wale Wapendwa wako but itakusaidia angalau kuhisi bado Taifa linakupenda. Mungu akubariki sana mtumishi was Mungu

  • @BGHaule
    @BGHaule 2 ปีที่แล้ว

    Pole na Hongera Kwa kushinda na kuendelea kumtumainia Mungu,kwa kweli machozi yamenitoka,sijui ni machozi ya nini,ila Mungu ni mkubwa....but nadhani katika hilo inabidi serikali wakufikirie angalau ulipww fidia kwa yale yaliyokukuta,ingawa tunajua haiwezi kurudisha roho za wale Wapendwa wako but itakusaidia angalau kuhisi bado Taifa linakupenda. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu