AMBWENE MWASONGWE FT BOAZ DANKEN & TAG FOREST YA KWANZA - MWANA WA AZALI (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024
  • Wimbo huu wa MWANA WA AZALI ni wimbo unaomzungumzia YESU KRISTO kama mwana wa MUNGU na ukuu wa kazi zake zilizofanyika kwa utofauti na wale wengine waliotumwa na MUNGU kabla ya kuja kwake. Ni wimbo wa ibada karibu na ubarikiwe na kazi hii
    Audio Producer SAMUEL MBOYA
    Video Producer STEVE TOBS MEDIA
    Subtitle JAGALI DAVID
    Watch All Music Videos by Ambwene Mwasongwe: • Ambwene Mwasongwe All ...
    Follow Ambwene Mwasongwe
    Instagram: / ambwenemwasongwe_
    Subscribe to Ambwene Mwasongwe: / @ambweneobadiamwasongwe
    Digital Branding & Marketing By:
    Black Ozen Entertainment Limited: / blackozenentertainment...
    Mwana Wa Azali ft. Boaz Danken & Praise Team Tag Forest Ya Kwanza - Ambwene Mwasongwe (Lyrics)
    Wakaulizana mtu huyu ni nan?
    Jina lake nan?
    Na ametoka wapi?
    Wakashangaa vile anavyosema
    Ni tofauti na viongoz wao!!!
    Anamamlaka na nguvu ya asili
    Je mtu huy si mwana wa yusuph??
    Hawakujua ametoka mbingun
    Huyu n Mungu pamoja na wanadam
    Ni mwana wa mungu……..
    Nimwana wa Mungu
    Katoka kwa Mungu…..
    Mwana wa ..
    Mungu kwel kwel kwel…….
    Mungu kwelii kweliiiiii
    Anauwezo wotee…….
    Yeye hanamwishoo
    Ni mwana wa Mungu…
    Ni mwana wa Mungu
    Katoka kwa Mungu….
    Yeye hajauwaa…
    Mungu kwelii kwlii
    Anauwezo wote…
    Yeye hanamwisho.
    Akauliza ninyi mwanisemaje??
    Tofaut na watu wa nje”
    Wakamjibu…ya kwamba ni kristo
    Mpakwa mafuta wa mungu mwenyew
    Akauliza ninyi mwanisemaje??
    Tofautii na watu wa njee”
    Wakamjibu…ya kwamba ni kristo
    Mpakwa mafuta wa Mungu mwenyewe
    Wewe apo ni mkuu kuliko Eliaaa, maana hauchomi watuu…
    Unasamehe hata wale waliokukosea
    Kwasabb wewe n Mungu
    Upo apa…
    Mkuu kuliko,kiongoz Mussa
    Yule wa toratii…
    Mzigo wako ni mwepesii,
    Nira ako ni lainii
    Unasamehe hata wenye dhambii
    Upo apa….
    Mkuu kuliko,Samwel nabii
    Yulee wa mafuta
    Mafuta yako, unapaka rohon kwa roho mtakatifu
    Hupaki mwilinii
    Upo apa……
    Mkuu kuliko,mfalme Daudi
    Aliyekufaaaa…
    Ufalme wako hauzuiwi na mda na sehemu wadumu hata milele…
    Ni mwana wa Mungu
    Mwana wa Mungu
    Ni mwana wa Mungu
    Mwana wa
    Ni mwana wa Mungu
    Mungu kweli kweliii
    Ni mwana wa Mungu
    Yeye hana mwishoo
    Katoka kwa Mungu
    Mwana wa Mungu
    Katoka kwa Mungu
    Mwana wa…
    Katoka kwa Mungu
    Mungu kwel kweliii
    Katoka kwa mungu
    Yeye hana mwishoo
    Ni mungu mwenyewe..
    Mwana wa Mungu
    Ni Munguu mwenyewe..
    Mwana wa
    Ni Mungu mwenyewe..
    Mungu kwelii kweliii
    Ni Mungu mwenyewe….
    Yeye hana mwishoo
    Yeye hakuumbwa mwana wa asali
    Hana mwanzo wala mwisho
    Anazo funguo
    Yeye n njia ya kwenda mbinguni
    Kama ww unataka kukutana na mbingu
    Muanimi…
    Fungua moyo wakoo…
    Aingie anagonga atawale maisha yako
    Ni bwana…
    Mwenye uwezoo
    Fungua fungua x2
    Funguaaa…moyo wakoo
    Fungua fungua x2
    Fungua….moyo wako
    #AmbweneMwasongwe #MwanaWaAzali

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @boazdanken
    @boazdanken 2 ปีที่แล้ว +482

    Mwana wa Azali Nimefurahi Sana Kaka Siku zote tunajifunza Sana kwako hasa unapomtaja Bwana YESU kwa undani na ufasaha wa Uzuri Wake

    • @mbokaandbahatitv8509
      @mbokaandbahatitv8509 2 ปีที่แล้ว +27

      Napenda nisiwazoee nisikae karibu na nyie ili niwaheshimu, nipokee mlichopewa na Mungu kwa kiwango kinachostahili.
      Nawaheshimu sana watumishi wa Mungu Ambwene na Boaz

    • @barikimlawa970
      @barikimlawa970 2 ปีที่แล้ว +4

      Mungu awabariki sanaa

    • @milkahjoshua4760
      @milkahjoshua4760 2 ปีที่แล้ว +7

      Hakikaa🙌 Bwana azidi kuwatunza nyie watumishi wake.. tunawahitaji sana katika nyakati hizi🙌

    • @miriamlinga4750
      @miriamlinga4750 2 ปีที่แล้ว +5

      MUNGU awabariki sana kwa utumishi huu!
      An kuna nyimbo mnaimba mtu aspokuwa na roho mtakatifu hawez kuelewa. MUNGU azidi kuwatumia zaidi.🙌🙌🙌

    • @yusuphharamba7520
      @yusuphharamba7520 2 ปีที่แล้ว +13

      Kuna tofauti kati ya gospel (injili) music ya kuokoa roho za watu
      Na Worship music
      This is Gospel tena inasema fungua Moyo wako mwana wa azali aingie..
      Am truly blessed
      Mungu awabariki mzidi eneza injili.

  • @rtlusungu
    @rtlusungu 2 ปีที่แล้ว +31

    Mathayo 16:13 Basi Yesu akaenda pande za Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake akasema, Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani?
    14 Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.
    15 Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani?
    16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.

  • @bonirapha796
    @bonirapha796 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimesikiliza nimefuatilia nyimbo nyingi sana ila huu umenizidia nyimbo zote nilizosikliza humu na malaika walioko zamu na wale wasioko zamu wamo na wameimba na humu ndani upako wa ajabu mbingu zinashuka uwepo wa Mungu unatanda. Be blessed More.

  • @gwamakamwakalinga6705
    @gwamakamwakalinga6705 2 ปีที่แล้ว +29

    Kaka Ambwene Huu wimbo jamani🙌🙌🙌🙌🙌neno La Mungu tupu.Yani unatupa changamoto vijana kweli.We need to come back to the source rather than singing short choruses

    • @ambweneobadiamwasongwe
      @ambweneobadiamwasongwe  2 ปีที่แล้ว +7

      Mungu akubariki Sana mtumishi..... Wewe ni Moja ya waimbaji wanaowakilisha vizuri mbingu..... Asante sana

    • @emes602
      @emes602 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa kweli ... wazee wa short chorus amen amen amen haleluya haleluya wimbo wote mpk unaisha

    • @huimamilambochoir2453
      @huimamilambochoir2453 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/PHphQJ15o-0/w-d-xo.html

    • @huimamilambochoir2453
      @huimamilambochoir2453 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/PHphQJ15o-0/w-d-xo.html

    • @estherwilliam5125
      @estherwilliam5125 ปีที่แล้ว

      @@emes602😂😂😂😂😂

  • @kingdomvoices_ke
    @kingdomvoices_ke 2 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo umebariki moyo wangu.

  • @suzanakiwele1832
    @suzanakiwele1832 ปีที่แล้ว +10

    HIZI NI NYIMBO AMBAZO KAMA HUNA ROHO MTAKATIFU HUWEZI KUONA KAMA UNANGUVU KUBWA NDANI YAKE,,,UNANIBARIKI SANA, 🙏

  • @UR.Christiano-m4d
    @UR.Christiano-m4d 6 วันที่ผ่านมา +1

    Baba Yangu Ambwene Ubarikiwe

  • @neemamwamini2
    @neemamwamini2 2 ปีที่แล้ว +3

    I have to say huyu ndo mwimbaji Kati yawaimbaji walio salia ambao hawaimbi blahblah. Unakuta mtu nimwimbaji anitumia 13min Kuimba tu maneno yasio namaana, eti ni nyimbo za injili. Mungu akupe ikima Ambwene yakutunga nyimbo pamoja na Malaika zake Bwana Yesu.

  • @nellykakore8375
    @nellykakore8375 2 ปีที่แล้ว +10

    Mwamba uko vizuri sana napenda unavyoiimba biblia unaimba neno la Mungu unahubiri Mungu akutunze

  • @MpenjaTV
    @MpenjaTV 2 ปีที่แล้ว +26

    Woow!🔥🔥Mungu ni mwema

    • @pieedisc3306
      @pieedisc3306 2 ปีที่แล้ว

      Amazing

    • @lightnesskweka4774
      @lightnesskweka4774 2 ปีที่แล้ว

      Ameen na ww pia jaman. Wooow saut ya radi hongera winbo mtam Sana sanaaa

  • @sarungiester8061
    @sarungiester8061 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiweni sana mafuta ya Mungu tunapaka Rohoni sio mwilini hapo mmenigusa kweli barikiwen kwa kazi njemaaa. Injili ya kweli iende mbele.

  • @yusuphharamba7520
    @yusuphharamba7520 2 ปีที่แล้ว +8

    Kuna tofauti kati ya gospel (injili) music ya kuokoa roho za watu
    Na Worship music
    This is Gospel tena inasema fungua Moyo wako mwana wa azali aingie..
    Am truly blessed
    Mungu azidi kukutumia Kaka Ambwene kumhubiri Kristo. 😭😊
    Mungu awabariki mzidi eneza injili.

  • @carolinegondwe3706
    @carolinegondwe3706 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu was mbinguni awainuie kwa ajabu ya pekeee ..Mwana wa azali

  • @AbsalomNanyaro
    @AbsalomNanyaro 2 หลายเดือนก่อน +3

    Natamani siku moja nikutane tuyy na Abwene toka utoto nimekuwa nikimfuatilia nakuimba nyimbo zake.nindoto yangu Sana .Mungu atimize aja ya Moyo wangu 😢 .napenda kujifunza kwa tai niliye mfananisha nawewe.nakumbuka nikiwa mdogo.upendo.ninamkumbuka mama mmoja .majaribu ni mtaji .tulikotoka nimbali. Nimeachilia and so many songs and now mwana wa azali .be blessed servant of God 🎉

  • @victoryilima2737
    @victoryilima2737 2 ปีที่แล้ว

    Nimemwabudu Mungu 🔥🔥🙌😍😍

  • @min.jameskabuka6769
    @min.jameskabuka6769 2 ปีที่แล้ว +5

    Me ni kijana ninayekuwa na kristo, chemchem inayotokana na YESU Haiachi nafsi Wala roho Wala moyo salama kama wimbo huu, lazima viguswe Tena vinaguswa kweli.
    MUNGU Awabariki sana watumishi wa MUNGU.

  • @piellaleo1391
    @piellaleo1391 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukutunza hakika Mafuta ya Roho mtakatifu yako Juu yako na Ndani yako tunabarikiwa na vya ufalme wa Baba yetu

  • @gladysmwendwaofficial4997
    @gladysmwendwaofficial4997 2 ปีที่แล้ว +144

    No one has ever described jesus in this manner through a song , only mature people can understand this song congratulations

    • @stephenmakau4410
      @stephenmakau4410 2 ปีที่แล้ว +5

      Gladys my sister I tell you I am overwhelmed by the describing of Jesus Christ, leave alone the best instrumental accompaniment, the wording of who Jesus is
      May God bless you Minister Ambwene ft Boaz

    • @kelvinsimkoko8070
      @kelvinsimkoko8070 2 ปีที่แล้ว +3

      SURE SURE good song indeed
      I have been repeating several times to listen the song

    • @janethjonas1700
      @janethjonas1700 2 ปีที่แล้ว +2

      Why Jesus in small latter...

    • @nassepeter8089
      @nassepeter8089 2 ปีที่แล้ว +1

      @@stephenmakau4410 qppmmp

    • @joanmisiko1718
      @joanmisiko1718 2 ปีที่แล้ว +2

      True

  • @MWALIMUCHAKATV
    @MWALIMUCHAKATV 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuna Nyimbo halafu Kuna upako wa uimbaji. Amina Amina Amana. Pokea sifa zote Mwana wa Mungu , Mwana wa Azali katoka Kwa Mungu Baba amejaa Neema na Kweli

  • @seththeyoung5778
    @seththeyoung5778 2 ปีที่แล้ว +23

    Mistar ya nyimbo hii iko vzr sana,sio ya kawaida..stay blessed always

  • @tuntufyeambukege877
    @tuntufyeambukege877 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukutunza na kukubariki mtumishi wa Mungu. Tunaponywa. 🙌🙌🙌🙌🙏🤝👏

  • @komandowainjiliyayesu
    @komandowainjiliyayesu 2 ปีที่แล้ว +22

    Nyimbo zako Ambwene zimenifusha Sana maaana nakumbka nikiwa kijijini nilikuwa sichoki kusikiliza nymbo zako mpaka saizi sichoki kusikiliza nymbo zako . Ubarikiwe Sana kwakalama yako .

  • @bahatinyalile1639
    @bahatinyalile1639 2 ปีที่แล้ว

    Injili katika ufunuo wake inaongea na fahamu na nafsi. Yesu Kristo tangu torati hata agano jipya...Mwana wa Azali. Asanteni kukubali kufanyika watumishi wa Mungu. Wengi tunaumega mwingi toka kwenu Ambwene na Boaz

  • @neemalawrencenzowa403
    @neemalawrencenzowa403 2 ปีที่แล้ว +14

    Hongereni kwa kazi nzuri daima Yesu azidi kuwainua viwango hadi viwango. Huu wimbo umenibariki

  • @roselynemwaipopo4911
    @roselynemwaipopo4911 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen amen ni Mungu kweli kweli yeye hana mwisho 🙏🏼🙏🏼Ambwene Mwasongwe, Boaz Danken Mungu awabariki sana

  • @foodie2660
    @foodie2660 2 ปีที่แล้ว +26

    Huu wimbo huu! Muujiza wangu nimeukuta hapa. This kind of music is direct from the Holy Spirit. Explaining the mystery and revelation of Jesus.

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 2 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri sana,sifa na utukufu zimrudie mwenyewe Bwana Yesu Kristo.be blessings

  • @neemashirima1617
    @neemashirima1617 2 ปีที่แล้ว +12

    Mwana wa Azali jamaniii...fungua moyo wako aingie, ukimsikiliza jinsi kaka yetu abwene amemuelezea kwa undani ni mzuri mnoo na ukitaka kumjua yupoje Zaid mpe moyo wako🥳🥳 Mungu akutunze sana kaka abwene 🙏🏼🙏🏼

  • @GeoffreyEchakara
    @GeoffreyEchakara 2 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo huu unanibariki sana .Mbinu na mtindo wa uimbaji ni wa kipekee .Pokea upako maradufu.

  • @nazarethamulike8807
    @nazarethamulike8807 2 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe masiya wa kristo kwa wimbo uliojaa mafuta ya Roho Mtakatifu

  • @pastorstevenmwasilembo3135
    @pastorstevenmwasilembo3135 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika hii neema izidi sana juu yako mtumishi huu ni zaidi ya wimbo

  • @adamsonkyando682
    @adamsonkyando682 2 ปีที่แล้ว +8

    Dar!!!wimbo mzuri mno Mungu aendelee kukutumia siku zote za maisha yako

    • @dismasndilwa71
      @dismasndilwa71 2 ปีที่แล้ว

      MUNGU aendelee kukutumia ili nasi tujifunze jinsi ya kufanya ili tufanye kile kinachompendeza MUNGU katika uimbaji. AMEN.

  • @nvpmedia6467
    @nvpmedia6467 2 ปีที่แล้ว +1

    Hatimae Mwana wa Azali nimebarikiwa na kazi hii

  • @jotv6383
    @jotv6383 2 ปีที่แล้ว +3

    Naona maraika kwafuraha wakicheza huu wimbo ❤️

  • @ephraimkyando6744
    @ephraimkyando6744 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni baraka Kubwa...Barikiwa mtumishi wa Mungu aliye Hai.

  • @btsshorts6859
    @btsshorts6859 2 ปีที่แล้ว +4

    Kaka Mkubwa Mungu Wa Mbinguni Azidi Kuwainua Na Kuwatia Nguvu #Godisreal Boaz Danken Siku Moja Tutafanya Kazi Na Nyinyi Kaka Yangu Mbarikiwe Mno #mwanawaazali

  • @everlynkilimba3963
    @everlynkilimba3963 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana AZIDI kutumia kimtambulisha .Barikiwa MTUMISHI

  • @richardkazungu1224
    @richardkazungu1224 2 ปีที่แล้ว +3

    Ni mwana wa Mungu
    Mungu mwenyewe🎶

  • @nurukidakule9468
    @nurukidakule9468 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka ingekuwa vipawa vinaambukizwa, ningeomba uniambukize kipawa cha utunzi, napenda jamani, mpangilio wa maneno,
    Barikiwa Kazi njema mnoo kaka

  • @winmoi2019
    @winmoi2019 ปีที่แล้ว +8

    My Veins are shaking
    This name Jesus ❤❤❤
    I’m In a bus feeling falling on my knees and worship 😢😢😢😢😢

  • @bonifacelazaro1025
    @bonifacelazaro1025 2 ปีที่แล้ว +1

    Sichoki kusikiliza huu wimbo jaman unanigusa sana,Mungu awabariki naazidi kuwatumia nataman saba milichonacho na mm niwenacho jmn, nawapenda sana wimbo huu umenitoa hatua 1 kwenda nyingine

  • @benedictyona6196
    @benedictyona6196 2 ปีที่แล้ว +17

    Yesu awakumbukee wote wanaopitia mapito,yatima,wagonjwaa na wajane pia,,asantee ambwene, you're song it connect me with Jesus Christ

  • @joelmoses3789
    @joelmoses3789 2 ปีที่แล้ว +1

    Acha Mungu aitwe Mungu, hakika yeye hana mwisho mwana wa azali, hakika kumtegemea Mungu kunafaida kuu.

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 2 ปีที่แล้ว +6

    Ambwene mwasongwe kaka penda sana Boaz danken penda sana sasa mungu akuwage naninyi siku zote za huduma yenu❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️

  • @jessekairira171
    @jessekairira171 2 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥 keep it up man of God

  • @nehemiamudala
    @nehemiamudala 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu awabariki, Leo nimesikiliza wimbo huu mara nyingi Zaidi na kugundua kuwa, wimbo huu umebeba upako na nguvu ya Roho mtakatifu.

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 ปีที่แล้ว +1

    Shkamo Kaka ambwene💓💓💓💓💓💓🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @nellymtumishi3717
    @nellymtumishi3717 2 ปีที่แล้ว +5

    Mwana wa Azali 🔥🔥🔥

  • @johnmalugu487
    @johnmalugu487 2 ปีที่แล้ว +1

    ili goma bwana duuu 🙌🙌🙌🙌

  • @jacklinejosam3713
    @jacklinejosam3713 11 หลายเดือนก่อน +7

    Ila Kaka uliyeingiza sauti ya tatu unajua aiseee❤❤❤

  • @salomerobert3583
    @salomerobert3583 2 ปีที่แล้ว +1

    Nausikiliza kuanzia asbh hadi sasa siuchoki,Ubarikiwe na Yesu

  • @ndeshukurwakaaya4385
    @ndeshukurwakaaya4385 2 ปีที่แล้ว +5

    Absolutely mwana wa Azali yupo kwenye stage ananena kupitia watoto wake na mtoto mwana wa azali ambaye aliiufungua moyo wake kwa miaka Lukuki . Huyu mwana wa mungu ndani ya AMBWENE amekuwa na anashuhudia marika yote Tanzania, Afrika, sasa ameiguza dunia . Asante mungu nimeifungua moyo wangu. 🙏

  • @Filopolazalo
    @Filopolazalo 2 ปีที่แล้ว +1

    Sifa na utukufu nikwa mwana wa AZALI

  • @kamaulukasblessedofficial786
    @kamaulukasblessedofficial786 2 ปีที่แล้ว +17

    Wimbo unaimba Kwa akili yangu usiku wote...
    May God increase you Sir
    You make us Understand Our God in a deeper way

  • @kemilembekamugisha4765
    @kemilembekamugisha4765 2 ปีที่แล้ว +1

    Biblia imesomwa vizuri hapa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏👏👏👏👏💯💯💯💯💯💯💯

  • @pastorshadrachmutukuoffici7523
    @pastorshadrachmutukuoffici7523 2 ปีที่แล้ว +40

    Every time I listen to Ambwene's Songs I get much inspired to know God more and more, I feel Fanuel Sedekia alive again. May God keep refreshing you from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I love you....

  • @joycemtuhi4287
    @joycemtuhi4287 2 ปีที่แล้ว

    Oooh Yes umekuwa Baraka kwa Tz , this song is spiritual ,tunamjua Mungu kupitia ww Blessed Kaka,i like hapooooo,YEYE HACHOMI , MAFUTA YAKO UNAPAKA ROHONI KWA ROHO MTAKATIFU HUPAKI MWILINI 🙌🙌🙌NI MWANA WA MUNGU MWANA WA AZALI🇹🇿🇹🇿🇹🇿💕💕

  • @ogbundi5731
    @ogbundi5731 2 ปีที่แล้ว +30

    Wow! Nimekuwa nikiwaambia watu, kuwa wewe ni story teller. Yaani you have a unique way ya kuandika and sing. Yaani you pull in your audience. May God keep anointing you with His Oily, blessings. Nimebarikiwa mno na huu wimbo.

    • @yusuphsimon575
      @yusuphsimon575 2 ปีที่แล้ว +1

      yeah truth , huyu mtu anaimba matukio

    • @joanmisiko1718
      @joanmisiko1718 2 ปีที่แล้ว +1

      My first time to listen to his songs and am getting in love with them coz they are ministering to my soul.

    • @everlyngarugi8594
      @everlyngarugi8594 2 ปีที่แล้ว +1

      I tell you this man of God describes Jesus like no other person,🙌🙌🙌🙏

    • @simonkash649
      @simonkash649 2 ปีที่แล้ว +1

      Bwana yesu asifiwe , mtumishi wamungu , huu wimbo umenibariki sana, haswa biti ya kwanza

    • @matildamkilima8211
      @matildamkilima8211 ปีที่แล้ว +1

      Mimi nalia tu huu wimbo nimeupenda bure ninyi watu wa Mungu mbarikiwe

  • @zabronalex5052
    @zabronalex5052 2 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa xana na huduma yako na mungu akuinue zaidi na zaidi

  • @samuelrandu2278
    @samuelrandu2278 2 ปีที่แล้ว +8

    Mungu awabariki sana this song is a blessing to me imeniinua kiwango kingine

  • @bettykaranja4966
    @bettykaranja4966 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi safi sana, pia utunzi ni wa Kiungu. Barikiwa Kaka

  • @Thanks254
    @Thanks254 2 ปีที่แล้ว +9

    Nimeisubiri sana hii nyimbo... Imenibariki sanaaaaa

  • @emmanuelmtonyole9958
    @emmanuelmtonyole9958 2 ปีที่แล้ว +1

    Oooooooh hallelujah hallelujah mwana wa Azali uinuliwe milele yoteeee 😭😭😭maana wewe unastahili

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 2 ปีที่แล้ว +15

    Hallelujah! BWANA YESU ni Hekima yetu toka kwa Mungu Haki yetu toka kwa Mungu, Utakatifu wetu toka kwa Mungu na Ukombozi wetu kwa Mungu! 1Wakorintho 1:28-31
    Barikiwa sana Mtumishi Ambwene na wote ulio nao

  • @BeautyforAshes24-SET
    @BeautyforAshes24-SET 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo unauzito fulani ; fungua , fungua, fungua Moyo Wako..

  • @rehemamwanjokolo542
    @rehemamwanjokolo542 2 ปีที่แล้ว +5

    Ni mwana wa Mungu,mwana wa azali.Mungu mwenyewe Haleluya!!!

  • @francsadock3062
    @francsadock3062 2 ปีที่แล้ว

    Wewe wewe!!!, mungu ni mkuu kwako kabisaaa, nyombo zako hunipatia faraja yaajabu,

  • @yusuphharamba7520
    @yusuphharamba7520 2 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania yetu inakosa Gospel(injili) music ya kutoa watu katika dhambi
    Tumebaki na nyimbo za kusifu na kuabudu tuuu
    Am blessed ninapoona kaka Ambwene.. You haven't lost your Gospel injili taste..
    MUNGU akusaidie 😭 kuendelea kuhubiri.

  • @emmanuelmwaikambo5516
    @emmanuelmwaikambo5516 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubarki Sana Kazi yako n njema Sana Bwana azidi kukuinua na zaidi

  • @kellymwandiga8953
    @kellymwandiga8953 2 ปีที่แล้ว +14

    Ambwene Mwasongwe
    Umemtaja Yesu kwa undani vile alivyo
    Umembainisha na kumtanabaisha alivyo na alicho
    This song flows in my veins

    • @lightnesskweka4774
      @lightnesskweka4774 2 ปีที่แล้ว

      Hakika amemtaja kiundan Sana sana sana.yn kiugum mnoo jaman Mungu wa ajabu sana

  • @mosesmatindetz
    @mosesmatindetz 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina wimbo mzr unaujumbe mzr mbarikiwe sana

  • @josephmutungamusau141
    @josephmutungamusau141 2 ปีที่แล้ว +13

    Love from Kenya...Nairobi..utunzi wa nyimbo zako kaka wafutia sana.. congrats bro.

  • @sifaelkikoti3141
    @sifaelkikoti3141 2 ปีที่แล้ว +1

    Aaaise brother ambwene naona kitu cha tofauti ndani yako hakika namwona Mungu kwenye hii nyimbo hii nyimbo imejaa nguvu za Mungu Sana . Imefrika na mafafanuzi ya undani wa Yesu wetu l love you my brother ambwene Tanzania na Dunia nzima tunaiona nuru ya Mungu ndani yako ikiwa juu ya kiango

  • @sabhunistewart1900
    @sabhunistewart1900 2 ปีที่แล้ว +3

    What a worship song is. One of the song that moves us into strong prayer. A moving prayer. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Unauhudumia ulimwengu wote kwa wakati mmoja. Nakupenda mnoooo

  • @meritha8424
    @meritha8424 2 ปีที่แล้ว

    Mmh, huu wimbo mzuri saaanaaaaa, mnooo, unaleta utulivu fulani hivi maneno yanaingia taratibu.... msucians mmeutendea haki, vocals, leads, mixing, video, mavazi ya waimbaji yako vizuri sana....yaani on point

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 2 ปีที่แล้ว +8

    My fevorite artist of all the time.... Yaan nyimbo zako daah sinaniinua kila siku 👏👏👏

    • @neemamahhu2562
      @neemamahhu2562 2 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe sanaaaa kaka kweli wewe ni mfano ....na haujui namna unavyookoa nafsi zetu zilizo lnama

  • @watsonally3195
    @watsonally3195 2 ปีที่แล้ว +2

    Bro huu wimbo unaudumia Moyo wa Mungu sana,Bwana anapoinuliwa anawavuta wengi waje kwake(waugeukie Msalaba)
    Mungu azidi kukusimamisha sana ktk huduma yako,,song is living.

  • @kidenyarichard6386
    @kidenyarichard6386 2 ปีที่แล้ว +6

    Glory! Glory! Nimefungua moyo wangu hakika ameingia nina feel uwepo wake kabisaaa !Mwana wa Azali

  • @godfreygamalieli7086
    @godfreygamalieli7086 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen, Bwana pokeya utukufu, hakika wastahili,

  • @simonnzumbi1026
    @simonnzumbi1026 2 ปีที่แล้ว +5

    MUNGU akubariki kwa wimbo mzuri Sanaa hakika Mwana wa Azali ni Nuru ing'aayo gizani tena yeye ni Alpha and Omega 🙏🙏

  • @johnmbwile5141
    @johnmbwile5141 2 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @arthurkiana6585
    @arthurkiana6585 2 ปีที่แล้ว +5

    The person of Christ. Ni mwana wa Mungu what a blessing

  • @isaackamando8484
    @isaackamando8484 2 ปีที่แล้ว +12

    Hiko kipande cha mwisho kama worship got me in tears and speak in tongue frequently 😭😭 nothing can describe the son nothing can describe JESUS,,,MUNGU Awatumie zaidi

  • @neemadickson4068
    @neemadickson4068 2 ปีที่แล้ว

    God bless you, umenibariki sana huu wimbo, Mungu awabariki watumishi wake

  • @ikupachaula2609
    @ikupachaula2609 2 ปีที่แล้ว +4

    Nice Song in deed.....Glory to God.

  • @pastorimaniboaz5081
    @pastorimaniboaz5081 2 ปีที่แล้ว +1

    Ooh powerful song 💪🏻Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu

  • @beatricedalius5186
    @beatricedalius5186 2 ปีที่แล้ว +4

    Niseme ukwel nyimbo zako zinanigusa sanaaaa mungu akubariki❤❤❤🙏

  • @goodluckleonard1581
    @goodluckleonard1581 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa utume mwema

  • @stevenmanenomwambaba6812
    @stevenmanenomwambaba6812 2 ปีที่แล้ว +4

    Kaka wimbo wa baraka sana Mungu alichokupa kikubwa aendelee kukutumia kwa ajili ya kanisa la sasa nimebarikiwa sana ni Mungu mwenyewe mwana wa Azali da very anoint

  • @magdalenamkenge6274
    @magdalenamkenge6274 2 ปีที่แล้ว +1

    Yeye Hana mwishoo.....mwana wa Azali

  • @christinebura6235
    @christinebura6235 2 ปีที่แล้ว +7

    Haleluya !!!Ni mwana wa Mungu,,,mwana wa Azali... powerful,💪

    • @8019bm
      @8019bm 2 ปีที่แล้ว

      Mungu kweli kweliii
      Yeye hana mwisho.

  • @danielpallangyo380
    @danielpallangyo380 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda SANA😍😘😘😘😘😘😘

  • @Tedy1994
    @Tedy1994 2 ปีที่แล้ว +6

    Why did i find this song late? Omg nimesikia kama yesu amenishukia omg😭😭😭 i started crying nikapata na nguvu ya kuomba baada ya kusikiliza hii nyimbo mbarikiwe watumishi wa Mungu

  • @raphaelkyando1094
    @raphaelkyando1094 2 ปีที่แล้ว +1

    Utunzi alikupa Mungu kwa kweli

  • @rachaelondimu4553
    @rachaelondimu4553 2 ปีที่แล้ว +3

    Oh God! All I am allowed to do is just worship the most high God.Blessed be His name forever.More grace servants of God.Indeed I will follow your steps because I am convinced beyond doubt that you follow Christ.

  • @katsuvakamatedaniel7893
    @katsuvakamatedaniel7893 2 ปีที่แล้ว +1

    Mubarikiwe na Bwana watumishi wa Mungu

  • @florarog548
    @florarog548 2 ปีที่แล้ว +6

    My God, my God, this is too much oooh, you deserve honor and glory. Yaani huu wimbo kwa kweli una nguvu ya Mungu. Nimeifuma nikiwa kwenye daladala, nilishindwa kabisa kujizuia kutikisa kichwa changu oooo Jesus, mzidishe mtumishi wako. Nimeshairudia zaidi ya mara tano.

  • @nurumwambalaswa5312
    @nurumwambalaswa5312 2 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kuwatumia watumishi🙌🔥🙏

  • @anethleonardchengula1887
    @anethleonardchengula1887 2 ปีที่แล้ว +46

    Every time I listen to ur songs I realize ur levels of knowing God are much higher, some singers sing like they don't know their God but not you brother, through ur songs I have known characters of God that I was not knowing, I have been blessed. Yo are always doing best for ur God may he keep you and protect you endlessly.

    • @christiankusaga1934
      @christiankusaga1934 2 ปีที่แล้ว +1

      He is the man of God... His Lyrics are spiritually composed ✍️✍️✍️

  • @gracemhaya3707
    @gracemhaya3707 2 ปีที่แล้ว

    Haleluya Haleluya Haleluya...... Hakika yeye nii MUNGU mwenyewe 😭😭😭 YESU Ni MUNGU Hana Mwisho..... Najifunza kwako Kaka Ambwene since Nina miaka 11 nilianza kusikiliza nyimbo zako Hadi leo Nimejifunza mengi😭😭😭🙆🙆...... MUNGU akutunze tuuu