UNAWEZA KULIA,PAUL CLEMENT ASIMULIA MAMBO MAZITO ALIYOKUMBANA NAYO,KUFELI SHULE,KUKOSA PA KULALA...
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
- Baada ya #PaulClement kuachia wimbo wake wa Mwema aliyomshirikisha Bella Kombo,kwa mara ya kwanza amefanya mahojiano maalum na Mfinanga kwenye kipindi chetu cha #TheSoundOfGospel akielezea jinsi alivyoupata wimbo huo baadae kufunguka kinagaubaga kuhusu milima na mabonde ya huduma yake,Hii ni moja ya interview chache sana ambazo Paul ameongea kwa uwazi kuhusu yeye,ebu cheki nae..
The Sound of Gospel is a radio and Online Program brought by SirMbezi, Mfinanga In Association with Bethel Radio going live every Tuesday at 2PM On bethel Radio and later on In this You tube Channel.
Executive Producers - SirMbezi & Ignas Yonah (Bethel Radio)
Presenter - Gadielson Charles Mfinanga
Cameras - Edward Fanuel, SirMbezi
Studio Set Up - Ignas Yona/Bethel Radio
Photography - SirMbezi
Editing - Sirmbezi,
Yaani Paul clement mungu akuinue kwenye uimbaji wako
Na pia pole sana Paul clement MUNGU AKUINUE KWENYE UIMBAJI WAKO
SirMbezi unaeza mfanya mtu apeane hadithi mingi kujihusu unaposema 'yah yah yah ' haha,,, Paul Clement Big fun of ours. Big up
Very inspirational
God bless you Paul
I'm from Drc but I can speak Swahili and I'm worshipper I strongly believe we'll meet in jesus name
Paul clemnt huwa napendaga san hekima yako Mungu azid kukuinua
This guy is very humble and grateful
Amina Sana kaka nimenote kitu 🤝imekua siku mpya nanzur
Mungu akulinde sana
Natiwa nguvu God bless you Sir Mbezi
It's wonderful i learnt somethng there
Your story is an inspiration Bro God bless you 🙏🏽
I am so blessed watumishi
Lipo jambo sahihi MUNGU anafanya kwetu katika maisha yetu hasa tunapo pitia mambo magumu mnooh
Appreciated 😊☺️
That's my mentor I always love his lifestyle....mob love from +254
Be blessed
Appriciated
great
Amen
Wow
Waooooo
I get something
🤯
MUNGU akutunze nimebarikiwa
Vingereza achen ktk coment
Kwan umeeandikiwa wewe 🤣