Dan ne bless aki nilirudi tena kwa church juu ya kusikiza hiz nyimbo zako nilikua nimekataa tamaa ya maisha kabsa aki but know thanks aki nimesimama tena God bless you so much naeza shinda siku nzima nikisikiza hizo nyimbo hua nasikia faraja ya ajabu🎉🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sure aja tegemeo letu liwe mungu, Kwa Kila jambo anaweza ata mm nlkua nme backslide but I got back again am in Christ in full force na ninazidi kuona mkono wa bwana katika maisha yangu, 🙏🙏🙏
Nani ameenda kuchungulia original song ya 9ys tushikane tubariki heaven saund online 🎉🎉 uifundishee roho yanguu habari za mbingu😢😢❤❤mungu awabariki na awainue zaidi 🙏 🤲
Ni ombi langu Jehova uniondolee majivuno mbele zako ata machoni pa wanadam na unipe kunyenyekea kila siku maana majivuno mwisho wake ni dhambi( mauti)...Mungu unasema heri anayejishusha maana utamwinua
All you people care likes why can’t you say something from the heart about this song,yes this song is good it touched me a lot I don’t care if u like or not what I care is u people wanting fam
Why am I feeling as if the Lord is here for the church? Let us be ready for the second coming of our Lord Jesus christ, just a reminder "THE SECOND COMING OF THE LORD IS FULL OF JUDGING NOT FORGIVENESS"This is the best time to repent and turn to God, He is here for us. Be blessed, SHALOM
Uniondolee majivuno, komesha kiburi.. utukuzwe Mungu milele🙏 tuned from Patte island, Lamu county. Nashukuru kwa uwepo wako katika familia yangu ikiwa kule koyonzo Mumias.
Sijui kama kuna mtu anaguzwa na iyo chorus ya "watu wote tubuni tuache dhambi"? Mungu tusamehe yote tuliyotenda kinyume na neno lako kwa kujua na kutojua turehemu Baba yetu, tuondolee majivuno na kiburi, tuumbie mioyo mipya Mungu, mioyo iliyo na kiu cha kukutumikia wewe , kutenda mema kwa wengine na kuchukia dhambi Amen .Asante mtumishi tunabarikiwa sana
This song means a lot kwa nyimbo za Rosé zote ndio napenda especially in that chorus Uniondolee majivuno komesha kivuli Utawale akili zangu Uifundishe roho yangu habari za mbinguni Usikize kizazi changu Mungu anaishi
Niondolee Majivuno,tawala Akili zangu,eee Mungu wangu,wakati huu mngumu,nisije nkaingia kwenye nitego za adui 🙏🙏🙏, Glory be to God 🙏🙏,More Grace Bro Danny,be blessed
Am a malawian i dont understand the language but i feel the presence of the power of the holy ghost i don't know why am crying everytime i listen to this song 😢
Heri kiboshalo Mungu unae itika Jehovah shama Mungu anae itika Uniondolee majivuno komesha kiburi utawale akili zangu ufundishe Roho yangu habari za mbinguni gonga like mtu wa Mungu ❤❤
Amen amen amen Asante bwana,chunguza moyo wangu bwana,uniondolee Kila roho ya uharibifu ndani yangu,unitawale yesu unitakase nauniongoze nienende kiroho nisienende kimwili niongozwe na roho mtakatifu baba naomba🙏🙌♥️
Mungu akubariki zaidi yatunavokuwazia watu kamanyie mnatukumbusha mambomengi sana sikwamba tumesahau au hautujui no nikupitiwa tu..mungu nimwema sana kilanikitafakari
What a touching song to my hat...i called my friend in Zambia and explained the meaning....🎉God is able to serve to the utmost those who come closer to Him
Wenye tumekuja hapa straight from Ticktok to get the whole song tungoge likes tukisonga👍. I tap the anointing in Jesus name🙏🙏
Amen amen 🙏
Amen amen ameeen❤
Hallelujah I tap it too
Amen
Mimi hapa😂
Wenye tuko tayari kung,ang,ania yesu gonga like
💯💯💯💯✊
Amen ni lazima tumpiganie
Yesu/YESU, sio yesu
Wale wote tunaoamini kwamba iko siku Yesu Kristo atarudi kutuchukuwa twende kuishi naye paradise gonga likes kwa utukufu wa Jehovah Mungu wetu .
Amen amen
@@MINISTERDANYBLESS Amen mpendwa.
@@MINISTERDANYBLESSamen mung u anaishi kueli😊
Yes I believe and it's giving me headache 😭😭
@@nancychelagat6619 Jehovah Mungu wetu kweli anaishi, be blessed dear 🙏
Wale wote wanaoukubali huu wimbo kuanzia kwa Rose mpaka sasa remix gonga like hapa
Very sweet remix.
Kama umebarikiwa na nyimbo hii weka like hapa🎉🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉
❤❤❤Mungu asifiwe kwa nyimbo hizi
Bro, let me be frank with you, been constantly playing this piece on repeat mode...I feel Jesus' presence amidst my uncertainties. 4:36 ❤❤
🎉
Sio "nyimbo hii" bali sema "wimbo huu"
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mwenye hii song imeguza na kujikuta analia akiomba piga like tukisonga🙏🙏🙏
"moyo uliyotulia...kwa unyenyekevu"....
Eeeii this song aki😢🙏
Nipo hapa nalia😢
Ati kulia? 😂😂
Nice song.
"Na kizazi changu kiiishi kujua Mungu anaishi,Anaponya na ndiye Njia ya Uzima wa milele"🎉😊
Amen amen 🙏
@@MINISTERDANYBLESSmay God bless you
Hapo sasa
🙏 🙏 🙏
Ameen 🙏
We need Rose Muhando's like here too 👍👍👍
Akuje mbio uku muhando
Mungu baba simama na inchii yangu Kenya tumekukosea kwa mdaa mrefu twaomba msamaa baba😭😭😭😭
Amen amen 🙏
Amen tunajua sisi n watenda dhambi utusamehe mungu wetu🙏🙏
Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Set us free jesus Christ 😢😢
Who else is being blessed by this man of God? I am always blessed with his covers. Let us appreciate him by likes.
Amen 🙌🙏
@@mercyakech 🙏🙏
❤❤❤🙏🏿🙏🏿
Amen
Am always blessed but language barrier 😢
Wale tumekuja hapa kutoka tiktok nipeeni like....
niko hapa
Ndio natoka TikTok sai sema mbio Hadi you tube
Niko
He's blessed with good voice
Tuko
uniondolee majivuno,
komesha kiburi😢😢
utawalee akili zangu
bwana niongoze 🚶🏽♂️🚶🏾
uifundishe roho yangu habari za mbingu ⛪
"sikizeni eee kizazi changu, Mungu anaishi...." 🔥🔥
Thanks for makingi me understand this song❤
This part😢😢 may God renew his covenant with our hearts
Amen Mungu ambariki Rose alieutunga huwimbo🙏
Rose Mhando hapa alituliza akili sana. kuutunga huu wimbo
Am leaving this comment here for you to see if you are like or un like but if you like I'll be back to watch this video again 💪💪
Hallelujah Hallelujah
The way I love this song,Mungu nifundishe
Team Gen Z wale tunareject 2024 finance bill huku ebu niwaone
Amen
I am still rejecting 😂😂😂😂😂
In the same knot we also declare to reject devil
Niko apa...naskiza hadi inanitulisa naeza sema finance bill oiyeeee!!!😅😅
😂😂
Wale ambao tumehisi baraka kupitia huu Wimbo piga like tukianguka nayo
❤❤❤
God bless ❤️❤❤
God bless you ❤❤❤❤❤
Uniondelee kiburi na uondoe Chocho ambacho si chako ndani yangu mungu.....
Amen
Amen
Amen
Amen 🙏
From TikTok..am here now🙏🙏🙏
🙏 AMEN *Uniondolee majivuno, komesha kiburi, tawala akili zangu, Bwana niongozee, Amen 🙏 🙌
Amen amen 🙏
Direct from TikTok ❣️❣️nani amejaribu kuskiza hii wimbo kwa system with volume yote🔥🔥
Am here dancing with my husband, rejoicing.God has blessed us with a baby boy 😍😍😍🫂...
I did, the auto tune and the angelic ladies sounds are heavenly 🎉🎉🎉
Amen and Amen 😘 uniondolee majivuno....komesha kiburi...utawale akili yangu....🙏
Hallelujah
Niumbie moyo wa nyama..
Ameniguza Sana amen
Kama hii wimbo imefanya ufeel kuomba ukilia weka like😭🥳
Amen ... sauti ya Rose Muhando itaishi hata ulimwengu wa pili. Barikiwa ndugu kwa kudumisha uhai wa wimbo huu.
Amen
@@MINISTERDANYBLESS
Bless you for giving this song a new touch 🙏
May God bless Rose muhando for this song.
Mungu amzidishie Rose muhando ju kama sio yeye kutunga huu wimbo haungekua unaimbwa
🙏👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Who's here again 2025🙏🙏
Dan ne bless aki nilirudi tena kwa church juu ya kusikiza hiz nyimbo zako nilikua nimekataa tamaa ya maisha kabsa aki but know thanks aki nimesimama tena God bless you so much naeza shinda siku nzima nikisikiza hizo nyimbo hua nasikia faraja ya ajabu🎉🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tumushike mungu tena ndungu yangu pia mmi huu mwaka sichawai ikia Church kwa mambo ya mtu tu
am also a victim imagine 😮
@@Salashsalama hallelujah
Sure aja tegemeo letu liwe mungu, Kwa Kila jambo anaweza ata mm nlkua nme backslide but I got back again am in Christ in full force na ninazidi kuona mkono wa bwana katika maisha yangu, 🙏🙏🙏
May our good God amazingly uplift you...mambo bado mambo meupe mbele!!!....Ngai mbele....
Kaa wwe ndiye tegemeo kwa familia yenu ,,, may God multiple your hustle
Amina
Amen
Amen
Amina
In Jesus name Amen 🙏
Let's gather here to tap this anointing,be blessed son of God min Dan bless as you minister nations🙏🙏
Amen hallelujah
Amen 🙏
Nani amebarikiwa na hizi wimbo nipee likes
I am in tears when I'm listening to this song,I'm saying why may I going through this type of life people outside there please pray for my life.
May God see you through
May Lord bring change into your life
Nani ameenda kuchungulia original song ya 9ys tushikane tubariki heaven saund online 🎉🎉 uifundishee roho yanguu habari za mbingu😢😢❤❤mungu awabariki na awainue zaidi 🙏 🤲
Amen
Rose muhando ubarikiwe mama yangu ww ndiye uliefanyika Daraja kwangu kwa nyimbo zako ad ukanibadilisha dini Ooohh halleluya🙏🙏🙏🙏
I don't know the language but the holy Spirit always connects me with the song ❤️❤️❤️
Wooooow hii nsyo imenifanya i was to eat lunch nikaacha, mmmmh niondolee majivuno YESU KRISTO, komesha kiburi.😭😭😭😭😭🔥🔥🔥🔥🔥 May God forgive me.
Amen amen hallelujah 🙌
@@MINISTERDANYBLESSwhat are your social media minister you hve done well with this mix?
Kbc
The music i can't miss in my car,it blesses me every morning
I believe one day i will come back here and testify what the Lord has done 🙏🙏🙏 team gulf God is always with us 🙏
The Way I Lata Swahili Gospel Touch and It Really Touches My Heart.. Listening from Barotseland Known as Zambia
Ni ombi langu Jehova uniondolee majivuno mbele zako ata machoni pa wanadam na unipe kunyenyekea kila siku maana majivuno mwisho wake ni dhambi( mauti)...Mungu unasema heri anayejishusha maana utamwinua
Amen amen hallelujah
Yaan nmetokea tktok kukutafuta kwa yute kweli ya Kale ni dhahabu hongera sanaa rose muhando Kwa kz nxuri ambao vzazi wanajivunia mpka Leo 🎉
Mimi na nyumb Yangu tutamtumikia Bwana🙏🕊️🙏
Hallelujah
My morning Glory .....u always bless me alot my brother danny
Rozi muhando kutunga wimbo kama huu aliwaza nn huyu mama mbona kama na yeye ni malaika ila watu hatujui
Amen amen 🙏
Umeona eee
Siri yake naona ni kipawa Kisha akaamua kuimba bilblia haswa haswa zaburi na kujawa neno katika moyo🙏🙏🙏
Kabisaa
You never know, mungu huponya roho za watu Kila inapoitwa leo kupitia watumishi alowachagua na kuwainua
All you people care likes why can’t you say something from the heart about this song,yes this song is good it touched me a lot I don’t care if u like or not what I care is u people wanting fam
Nothing interesting than worshipping the lord in truth and in spirit..
Hallelujah
You're very right 👍🏾
And more so in a language you understand best
Huyu dogo ukimruhusu tu airudie nyimbo yako; Ujue kabisa utafunikwa😇😇😇
Mungu akupeleke mbali mutumishi wa Mungu umerundisha nyimbo ii kwemye ubora wake.❤❤
Why am I feeling as if the Lord is here for the church? Let us be ready for the second coming of our Lord Jesus christ, just a reminder "THE SECOND COMING OF THE LORD IS FULL OF JUDGING NOT FORGIVENESS"This is the best time to repent and turn to God, He is here for us. Be blessed, SHALOM
Amen Amen!
Baba wa mbinguni niondolee majifuno ili siku moja nikajipate kwako mahali pa mirere 🙏🙏🙏
Amen amen 🙏
Rose muhando songs to another level🎉❤
For sure may God bless Rose muhando for thinking for such good message
Uniondolee majivuno, komesha kiburi.. utukuzwe Mungu milele🙏 tuned from Patte island, Lamu county. Nashukuru kwa uwepo wako katika familia yangu ikiwa kule koyonzo Mumias.
Amen amen 🙏
Mungu kweli ana ishi mahali pasifa ubalikiwe sana🎉🎉🎉🎉
Sijui kama kuna mtu anaguzwa na iyo chorus ya "watu wote tubuni tuache dhambi"? Mungu tusamehe yote tuliyotenda kinyume na neno lako kwa kujua na kutojua turehemu Baba yetu, tuondolee majivuno na kiburi, tuumbie mioyo mipya Mungu, mioyo iliyo na kiu cha kukutumikia wewe , kutenda mema kwa wengine na kuchukia dhambi Amen .Asante mtumishi tunabarikiwa sana
Hallelujah Hallelujah 🙌 🙌
Amen
I was worshipping listening to this song..I was telling God to show me my purpose..God gave me revelation
This song means a lot kwa nyimbo za Rosé zote ndio napenda especially in that chorus
Uniondolee majivuno komesha kivuli
Utawale akili zangu
Uifundishe roho yangu habari za mbinguni
Usikize kizazi changu Mungu anaishi
Don't know who gonna read this but the truth is lord God loves 🇰🇪
Uifundishe roho yangu habari za mbingu eh bwana naomba amina
my love as your heart wishes my you receive
Waah,nilikuwa. Najiskia nikiwa mbali sana na mungu but after kuskiza wimbo huu,nmechange sana na roho yangu imepona
Unifinyange Bwana kama upendavyo 🙏
Wow uko sawa rudia nyimbo kama tatu za rose muhando ziko viti
Niondolee Majivuno,tawala Akili zangu,eee Mungu wangu,wakati huu mngumu,nisije nkaingia kwenye nitego za adui 🙏🙏🙏, Glory be to God 🙏🙏,More Grace Bro Danny,be blessed
Amen amen hallelujah
Am a malawian i dont understand the language but i feel the presence of the power of the holy ghost i don't know why am crying everytime i listen to this song 😢
I,don't how to speak English dada Agnes pole sana.
Uniondolee majivuno, uifundushe roho yangu habari za mbinguni, mm si kitu kwako
Amen amen
Heri kiboshalo Mungu unae itika Jehovah shama Mungu anae itika Uniondolee majivuno komesha kiburi utawale akili zangu ufundishe Roho yangu habari za mbinguni gonga like mtu wa Mungu ❤❤
Amen amen amen Asante bwana,chunguza moyo wangu bwana,uniondolee Kila roho ya uharibifu ndani yangu,unitawale yesu unitakase nauniongoze nienende kiroho nisienende kimwili niongozwe na roho mtakatifu baba naomba🙏🙌♥️
Amen amen hallelujah
@@MINISTERDANYBLESS amen
I'm here, 2025, there is nothing sweeter than knowing God❤
Ukikaa ukatulia vizuri balaka zina shuka zenyewe😊
I'm really blessed watching live here in Saudi 🙏🙏🙏
Aki wewe mungu na barikiwa bwana yesu asifiwe lord 🙏 💖 😂 😍 🤣 😅 🙏
Hallelujah
I love the song it gives me courage to keep on moving now that at this time my marriage is having issues, it touches my heart🙏🙏🙏🙏
I'm gorret from Uganda glory to God be blessed bro 🙏🙏🙏
Amen amen 🙏
Wangapi tumebarikiwa na huu wimbo🎉🎉🎉
Ohhh really touching song
Rose Muhando live forever
Iam a Catholic buh worship songs do touch me so much😭😭🙏
Nabalikiwa sana kwa uimbaji wako akika MUNGU atuponye 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Amen hallelujah 😊
What a blessings. This song really touches my soul.
Natamani siku moja nifike hapo umefika wacha mungu akubariki sana sana
Amen hallelujah
Tunashkur mungu sasa ni 2025,wp mpo nymbo ni nzur sana,
Amen mungu akubariki na aniondolee kiburi na majivuno nikamtumikie jinsi apendavyo
Amen amen
Mungu akubariki zaidi yatunavokuwazia watu kamanyie mnatukumbusha mambomengi sana sikwamba tumesahau au hautujui no nikupitiwa tu..mungu nimwema sana kilanikitafakari
My son be blessed huwa nabarikiwa na nyimbo zako
@@ANNEFAVOURED-wp3py Amen amen 🙏
Kwako nitaimba Amen Mungu niondolee majivuno 🙌
Niondolee majivuno na kiburi mungu wangu kisasi changu kikutambue milele ,,,my daily prayer
Amen amen 🙏
Amen
I tap the anointing for my son healing apon him in Jesus name Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙇🏾🙇🏾
Mungu wangu sikia maombi yangu ak ❤🙏🙏🙏🧎🧎🧎
What a touching song to my hat...i called my friend in Zambia and explained the meaning....🎉God is able to serve to the utmost those who come closer to Him
Mungu wangu sikia maombi yangu😭🙏🏽
I WANT TO WRITE IN CAPITAL LETTERS,,,, THIS SONG IS A BLESSING TO ME,, MAY GOD FULFILL YOUR HEART DESIRES BROTHER!!!
Oh Lord I can't stop listening this song makes Heaven connection easy Be blessed Rose Muhando and Danny Bless.❤❤
Ameeee mungu atufundishe jinsi ya kuishi Kwa unyoofu na ukamilifu ndani ya yesu kiristo
The uniondolee majivuno na ukomeshe kiburi part humbles me🙏 0:24
The song keep on repeating in my mind...oooh God i surrender all with holding nothing.tawala roho yangu😢😢😢😢
Wow🎉this team is talented buana😊taking me Back to Back the Rose Muhando oldies version✊️vivaa😊God bless you all💞🙏
Amen amen 🙏
And may God bless Rose muhando for such strong message through this song
Amen Aman ubarikiwe sana unaabudumugu rohayagu inifurahasana muguazidi kukuinuwa ufikeviwago veal juusana 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Amen tawala akili zangu 🙏🙏🙏🙏
Am blessed keep. Up brother
Atukuzwe bwana wa majeshi❤❤❤❤
God bless these men and women indeed for lifting our souls
Amen mungu akupe nguvu ya kuimba..kwa maana si rahisi amen and amen
Hallelujah
I've loved first for my mother Rose's sake, wowwwww tears now😭😭😭😭😭😭😭😭♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🤣🙌🙌🙌
Amen amen🙏naamini Mungu atanikumbuka dhiki yakukataliwa na familia kupitia maabudu haya
Amen amen
Wasamee dadangu nauwaombee sio hao bali ni shetani aliwaingia kaza kuwaombea uwasemee kilakitu itakuwa sawa
From tick-tock following this song here. Am so blessed from Zambia 🙏🙏🙏🔥🔥🔥