AMBWENE MWASONGWE - KWANINI ALICHELEWA KUOA/ALIVYOKUTANA NA MKE WAKE/CHANGAMOTO ZA NDOA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024
  • AMBWENE MWASONGWE - KWANINI ALICHELEWA KUOA/ALIVYOKUTANA NA MKE WAKE/CHANGAMOTO ZA NDOA

ความคิดเห็น • 93

  • @hurumamsinjili4819
    @hurumamsinjili4819 4 ปีที่แล้ว +26

    Kiumbe kimetoka mbinguni kinakula mahindi oooooooooooh !!!!!!!omg! Ambwene ubarikiwe sana

  • @imeldakawawa
    @imeldakawawa 10 หลายเดือนก่อน

    God bless you ambwene ,good songs nabarikiwa sana na nyimbo zako

  • @JustineCosmas
    @JustineCosmas 3 หลายเดือนก่อน +2

    Justin nail kibamb mm napend nyimbo yake upendo❤

  • @mrmartinipaul2464
    @mrmartinipaul2464 6 หลายเดือนก่อน +3

    Very smart Ambwene yaan kama ningekuwaga naamua mimi IQ aliyonayo Ambwene anafaa kuwa hata Raisi wa hii nchi

  • @gracekiarie4259
    @gracekiarie4259 4 ปีที่แล้ว +19

    Amaizing..napenda nyimbo yako hili niombi langu so inspiring

  • @TzwatotowetuAzina
    @TzwatotowetuAzina ปีที่แล้ว

    Mungu awape maisha marefu maisha ya ndoa ni changamoto

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 4 ปีที่แล้ว +4

    Abwene anamtumikia Mungu aliye hai kabisa bila shaka kabisa anajiheshimu na anajua Nini Cha kufanya kama mtumishi.

  • @furahasanga2534
    @furahasanga2534 4 ปีที่แล้ว +7

    Wow! Mtumishi kaka
    Mfinanga kumbe
    Ni mtangazaji mzuri
    Mungu azidi kukubarika.

  • @lynelee5846
    @lynelee5846 4 ปีที่แล้ว +7

    Gari unapeleka mtaroni hapo fahamu zimeganda😂😂😂😂vp Malaika anakula mahindi lool taniua 🤣🤣much love from Kenya

  • @esterwillison9077
    @esterwillison9077 2 ปีที่แล้ว

    Eeee mungu nakuomba umuongee Sikh zakuishi mtumshi wako ambwene jitwalie utukufu kotokana na huduma take yakweli

  • @frankmnale1900
    @frankmnale1900 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa nampenda sana Bwana YESU azidi kukupigania katika safari zako

  • @bellogregory7175
    @bellogregory7175 2 ปีที่แล้ว +2

    Uncle ambwene my favourite singer all the time...barikiwa mtumishi

  • @ezekielenock5470
    @ezekielenock5470 4 ปีที่แล้ว +6

    Product ya TIA safi sanaa tujuane na wengine

  • @JacquelineJanuary-ll8oz
    @JacquelineJanuary-ll8oz 4 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣Ambwene umetisha sanaa. Big up.👍Mungu akuongoze.

  • @IrenMushi-vg7bu
    @IrenMushi-vg7bu 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka mungu akubariki sana huwa na barikiwa sana nyimbo zako

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 4 ปีที่แล้ว +10

    🤣🤣🤣🤣.... uko vzr Mt.
    Tulipotoka ni mbali wimbo unanigusa sana haujaisha wala kuchuja kwangu....barikiwaa

  • @doraruffintemu6263
    @doraruffintemu6263 4 ปีที่แล้ว +13

    Ambwene is so calm and collected, I like him.

  • @janethhenry8307
    @janethhenry8307 4 ปีที่แล้ว +6

    Ambwene barikiwa sana napenda wimbo wako wa watoto yatima

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +14

    Loh kwani kuna kuchelewa kuoa?Kila mtu ana wakati wake kwa Mungu

  • @barakannko1995
    @barakannko1995 4 ปีที่แล้ว +5

    Brother nabarikiwa Sana na nyimbo zako akutunze Mungu pekee katika huduma yako

  • @mankatemba4746
    @mankatemba4746 3 ปีที่แล้ว +1

    Namshukuru mungu kwa kuangalia hii video nimesaidikaaa

  • @nashipai9888
    @nashipai9888 2 ปีที่แล้ว +4

    My favorite gospel musician may God bless you

  • @naomigerald9917
    @naomigerald9917 4 ปีที่แล้ว +3

    Am so happy seen mfinananga my college mate,, barikiweni Sana wote

  • @falsondamasi2783
    @falsondamasi2783 4 ปีที่แล้ว +4

    Kiukweli Kaka nyimbo zako Zina niguusa haswa yaani mungu akujalie Sana.has Ile wimbo wa imani

  • @janecolleter
    @janecolleter 4 ปีที่แล้ว +2

    Broo Ambwene, upo vzr napenda sna wimbo wako wa misuli ya imani, pia broo Mfinanga barikiwa mno

  • @euniceenock9869
    @euniceenock9869 4 ปีที่แล้ว +3

    Waooooh! Story imenibariki, zaidi huduma yako ya uimbaji inanigusa Sana,namtukuza Mungu aliyekuumba na kukuwekea kusudi hili.

  • @AliMohamed-kd1uc
    @AliMohamed-kd1uc 4 ปีที่แล้ว +2

    Duuuuu ama kweli mapenzi ni kitu kingine, big up bro

  • @priscillanyondo8578
    @priscillanyondo8578 4 ปีที่แล้ว +7

    Ombi langu i love that song mungu akubalikiye 😚😚😚😚😚

  • @AnordKinyanda
    @AnordKinyanda 5 หลายเดือนก่อน

    Armani itawale maisha yako yakiroho

  • @mishymorgani5828
    @mishymorgani5828 2 ปีที่แล้ว +3

    Namkubali sana huyu kaka ,nyimbo zake ninyimbo nzuri sana.

  • @TajieliMrombo
    @TajieliMrombo 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera kaka

  • @danchomwamtobe4150
    @danchomwamtobe4150 2 ปีที่แล้ว

    Ambwene unajua sana mungu mwema tuna injoy kupitia nyinbo zako

  • @victoriavictoria9778
    @victoriavictoria9778 4 ปีที่แล้ว +4

    Nime cheka sana yani daaa

  • @geofreykangaho1149
    @geofreykangaho1149 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Sana 🤝 Mtumishi hujawai niangushaa

  • @samuelhenry9194
    @samuelhenry9194 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Ambwene

  • @merrythomas4483
    @merrythomas4483 4 ปีที่แล้ว +1

    Mpe hi San sister jack nmemmiss Sanpind yup kiluvya mung awabarik

  • @merryhaonga5094
    @merryhaonga5094 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kaka ambwene

  • @basabwaflora7636
    @basabwaflora7636 2 ปีที่แล้ว

    Stay blessed Ambwene u make me feel the presence of God when u sing.

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo zake huyu bro zinabariki sanaa

  • @valeriaally4770
    @valeriaally4770 4 ปีที่แล้ว +6

    Hakuchelewa wakati wa Mungu ni wakati sahihi

  • @upendokininki6897
    @upendokininki6897 ปีที่แล้ว

    Ahaaa😀😀😀 hongera.

  • @reginaedward4645
    @reginaedward4645 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow kumbe amesoma TIA

  • @gorgeakongo9385
    @gorgeakongo9385 4 ปีที่แล้ว +1

    Brother Amwene unanibariki sana

  • @elishangomele9937
    @elishangomele9937 4 ปีที่แล้ว +2

    Good interview nabalikiwa Sana na wewe ambwene

  • @eneliakisindakisinda7089
    @eneliakisindakisinda7089 4 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwe Sana mtumishi

  • @mrmartinipaul2464
    @mrmartinipaul2464 6 หลายเดือนก่อน

    Waaaao imenivutia sana

  • @jacklineshedafa9189
    @jacklineshedafa9189 4 ปีที่แล้ว +4

    Umenenepa ndoa tamu

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen5833 4 ปีที่แล้ว +3

    Nampenda sana uyu kaka Mungu aendelee kukutunza

  • @czechzyamwaga1088
    @czechzyamwaga1088 2 ปีที่แล้ว

    Una mke mzur sana

  • @josiahkamugisha9193
    @josiahkamugisha9193 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen ubarikiwe mtumishi

  • @Rumbalover
    @Rumbalover 8 หลายเดือนก่อน

    Kiumbe cha mbinguni kinakula mahindi 😂😂😂😂😂 mweeeeeee ambwene jamani

  • @elizabethsumbe9063
    @elizabethsumbe9063 2 ปีที่แล้ว

    Ambwene Hisia zipo mwilini baba hazipo rohoni🙈🙈🙈🙈

  • @mariamayoob8734
    @mariamayoob8734 4 ปีที่แล้ว +5

    😄😅😅😅😅😅 🚶Broo Ambwene umeni chekesha

  • @MilycentMilycentomondi
    @MilycentMilycentomondi หลายเดือนก่อน

    Unafanya Michele Sana iyo siku ulipatika🤣😂🤣hayo yalikua ya mungu

  • @hasnasaif1075
    @hasnasaif1075 4 ปีที่แล้ว +4

    Napenda nyimbo zako mtumishi barikiwa

  • @remigimtenga7608
    @remigimtenga7608 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana Ambwene

  • @geraldbenjamin9302
    @geraldbenjamin9302 4 ปีที่แล้ว +4

    Nimejifunza kitu hapa, wengi tunakurupuka

  • @danieldafaa981
    @danieldafaa981 4 ปีที่แล้ว +2

    Blessing ambwene

  • @nasmafarmsltd9146
    @nasmafarmsltd9146 4 ปีที่แล้ว +6

    Màpèñź haya muachag mtu salama unaambiwa hyo ñ sukar ya Mùñģù walisema watoto wa wawil nilio soma ñàò mtoto wa mbingun pastor Shekheh Imammu

  • @JustineCosmas
    @JustineCosmas 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamn namm munipe like 😢

  • @rehemakalamba5249
    @rehemakalamba5249 4 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂😂😂😂umenichekesha jmn maraika anakula mahindi

  • @conjetamhagama8428
    @conjetamhagama8428 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa!

  • @jacklnjoseph5519
    @jacklnjoseph5519 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahaaa kakaa ungeingia mtaron asee

  • @umulisamarce9191
    @umulisamarce9191 4 ปีที่แล้ว +1

    Nabapenda sanaaa

  • @tinachangala9250
    @tinachangala9250 2 ปีที่แล้ว

    God bless you

  • @liliannamanofficial
    @liliannamanofficial 2 ปีที่แล้ว +1

    God protect you and bless you

  • @lovenesjames5572
    @lovenesjames5572 2 ปีที่แล้ว

    😆😆😆😆kiumbe Cha Mungu knakula mahindi dah bro nmecheka

  • @elishahaule171
    @elishahaule171 4 ปีที่แล้ว +5

    Najifunza vingi kwako

  • @elizabethmaige6033
    @elizabethmaige6033 4 ปีที่แล้ว +4

    Haaaa Kiumbe kinakula mahindi...good mke hatafutwi Bali hukutanishwa, safi

    • @embruno3533
      @embruno3533 4 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli kabisa

    • @emmymallya7836
      @emmymallya7836 3 ปีที่แล้ว

      Nabarikiwa Sana na nyimbo zako,ubarikiwe

  • @dsdaniel_
    @dsdaniel_ 4 ปีที่แล้ว +1

    good job big-bro

  • @richardmpelasoka5309
    @richardmpelasoka5309 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka mtumishi

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 ปีที่แล้ว

    Zile za Neyo na Mondi sio?

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 4 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂Abwene balikiwa sana

  • @jasonjaso1492
    @jasonjaso1492 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wamistari barikiwa Sana naba

  • @angelhermany5263
    @angelhermany5263 4 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe mdada ni mkubwa mm najua ni kadogo duuu hii miili yetu bhana

  • @daddydadamtabo998
    @daddydadamtabo998 4 ปีที่แล้ว +1

    yani patamu apo

  • @millicentochieng5740
    @millicentochieng5740 2 ปีที่แล้ว

    Amen and Amen.

  • @Kuhani_Yakobo_Mbuba
    @Kuhani_Yakobo_Mbuba 2 ปีที่แล้ว

    🔥

  • @sostensdaniel4096
    @sostensdaniel4096 4 ปีที่แล้ว +2

    god bless u bro

  • @barakabenoni857
    @barakabenoni857 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @alexpaul2981
    @alexpaul2981 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/H9dkUeeOiS4/w-d-xo.html usiache kupita hapo

  • @salimabyaka3601
    @salimabyaka3601 2 ปีที่แล้ว

    Huuuuuuuuuuuuuu

  • @isabellanjesa6326
    @isabellanjesa6326 4 ปีที่แล้ว +4

    😂

  • @salmaalimusa547
    @salmaalimusa547 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha