Kisa Wasanii, Msukuma Awalipua TRA kwa JPM, Maagizo Mazito Yatolewa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 60

  • @punguwasasa7975
    @punguwasasa7975 5 ปีที่แล้ว +8

    Maana unavyojilipua kwa ukaribu sana na kufatilia sema ulishatuacha pale kwenye ngo'mbe,ukaenda kwenye madini akuenda kwenye mabasi ukamalizia CD ndo ikawa kwikwi apo ila uko nyuma pia kwikwi mh kweli msukuma upo vizuri ulivyopangilia asee Allah akulinde na husda na akupe mwisho mwema msukuma kwa kuongea ukweli kutoka moyoni inshaallah

  • @fidelismukandara932
    @fidelismukandara932 5 ปีที่แล้ว +7

    Safi Sana'a Msukumaa true definition of leader

  • @deusmgema1204
    @deusmgema1204 5 ปีที่แล้ว +17

    Msukuma uko vizuri unauwezo mkubwa wa kutengeneza hoja na kuisimamia hongera sana

  • @deograthiusalphonce6977
    @deograthiusalphonce6977 5 ปีที่แล้ว +15

    Akili ya kuzaliwa ya Kisukuma

    • @venancemagodi5913
      @venancemagodi5913 5 ปีที่แล้ว +2

      Kwakweli kuwa wazili sikujuwa kuongea ,hongela msukuma:

  • @zenaamani371
    @zenaamani371 5 ปีที่แล้ว +14

    Kwa kweli Wafanyabiashara wengi wamefunga biashara kwa sababu ya watu wa TRA.

  • @ALOYCE007
    @ALOYCE007 5 ปีที่แล้ว +8

    Msukuma asante kabisa

  • @yangoshatv5327
    @yangoshatv5327 5 ปีที่แล้ว +7

    bado hawajauheshimu uongozi uncle magu

  • @margarethsaramaki1100
    @margarethsaramaki1100 5 ปีที่แล้ว +8

    Yaani ni kweli kabisa uonevu ili wachukue hela,hawana fair tena wanakwambia nenda hata kwa waziri.

  • @user-cl2jr3re4s
    @user-cl2jr3re4s 5 ปีที่แล้ว +6

    Thanx President magu bless you 😁

  • @augustinomwakanyamale9887
    @augustinomwakanyamale9887 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde mh raisi

  • @binlubawa8387
    @binlubawa8387 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuweke Mh. Rais

  • @kelvinmarisi6825
    @kelvinmarisi6825 5 ปีที่แล้ว +2

    Big up msukuma

  • @gottacheckintorehab7697
    @gottacheckintorehab7697 5 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe magu ana hotel 😱😱😱😰

  • @yasinjumahamis6267
    @yasinjumahamis6267 ปีที่แล้ว

    Nakubar sana msukuma

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 3 ปีที่แล้ว

    Hiii speech iendeleee iwekenii yotee

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +5

    Watanzania wenzangu tuzidi kuwaombea viongozi wetu kwa mwenyez MUNGU azidi kuwaongoza vyema

  • @josekaze7710
    @josekaze7710 3 ปีที่แล้ว

    Thats why I said Musukuma his new president off Tanzania.

  • @fabianfaustine444
    @fabianfaustine444 5 ปีที่แล้ว +8

    Wekeni vijana haya mazee yameishanyonya sana Mali za watu

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 5 ปีที่แล้ว +12

    Msukuma pamoja na kuwa darasa la saba, ningekuwa na uwezo ungekuwa waziri angalau uwe wa mifugo

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 5 ปีที่แล้ว +4

    Amen

  • @WaziriJuma-m2p
    @WaziriJuma-m2p 8 หลายเดือนก่อน

    Haya tutayamisi sana kuyaona dah Rip magu

  • @zakiazakia4552
    @zakiazakia4552 5 ปีที่แล้ว +5

    Watumbue kabisaa

  • @nyanziratatou5404
    @nyanziratatou5404 8 หลายเดือนก่อน

    Huwa Kuna mda niache kuangaliya izi video , napatwa na uchungu sana.

  • @athumandoka9168
    @athumandoka9168 5 ปีที่แล้ว +5

    Daaa uyu jamaa angekua mkoani kwangu hasimami tena jukwaani kura yangu ingekua ya milele

  • @EsterBurugu
    @EsterBurugu 11 หลายเดือนก่อน

    Emanuel saimon kasongj

  • @allymahamudu9492
    @allymahamudu9492 4 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe umefika

  • @ngasikajoel9576
    @ngasikajoel9576 5 ปีที่แล้ว +3

    It's better Rais akateua watu walio na uchungu na hii nchi sio wapigaji tu ..kuna wasomi vijana wengi tupo tu mtaani tuna hasira na maendeleo ya nchi yetu...wazee waliostaafu achana nao kidogo

  • @CharlesWambura-e9j
    @CharlesWambura-e9j 2 หลายเดือนก่อน

    Charles chacha wambura

  • @emanuelmuna2296
    @emanuelmuna2296 5 ปีที่แล้ว

    kwa kweli TRA ni kero sana! mh. Rais pole sana maana hawa walishazoea kupiga dili kuna uchafu mwingi sana kungekuwa na uwezekano ukawasikiliza na wafanyabiashara wa kati ungejua madudud mengi zaid ushaur wa msukuma kuweka jeshi ni sahihi kabisa! walau kwa mwez mmoja tu!!

  • @madirishasimon9692
    @madirishasimon9692 4 ปีที่แล้ว

    Jembe hili

  • @jumannejuma4796
    @jumannejuma4796 3 ปีที่แล้ว

    turiomariza darasa rasaba tunajitaidi kupembua mambo makubwa tena mazito tunauhujasiri natena tunaweza Kira jambo zito josefu msukuma unatosha sana

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 5 ปีที่แล้ว +1

    Musukuma nakupenda sana ispokua bangi tu ndiyo naipinga ktk maoni yako.

    • @mrope348
      @mrope348 5 ปีที่แล้ว +2

      Bangi ni dawa ndio inampa misimamo yakutoa nondo zote hizo, bangi ni mmea mtakatifu believe or not

    • @leilainnocent6532
      @leilainnocent6532 5 ปีที่แล้ว +1

      @@mrope348 no way

    • @mufasamufas6023
      @mufasamufas6023 5 ปีที่แล้ว +1

      @@mrope348 kweli

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 5 ปีที่แล้ว +1

      @@mrope348 that's true👏

  • @manenoalex7453
    @manenoalex7453 5 ปีที่แล้ว +4

    umenena king hao T E R wanasumbua xna tena xna hasa ifakara

    • @neemalaizer1871
      @neemalaizer1871 5 ปีที่แล้ว

      Maneno Alex I will 8m:yy:y77th :676;u7777777:9# to get get 7u

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 10 หลายเดือนก่อน

    Baadhi ya watendaji wa serikali ni ovyoo

  • @zackrichard3617
    @zackrichard3617 5 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏👍👍👍👍👍

    • @tomaskijigo8341
      @tomaskijigo8341 5 ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @tomaskijigo8341
      @tomaskijigo8341 5 ปีที่แล้ว +2

      Kweli muzee magafuri nakukubari

    • @uswegemwakyusa3950
      @uswegemwakyusa3950 5 ปีที่แล้ว

      Umenena mr Msukuma, inasikitisha sana kuona jambo linaloleta maendeleo linapingwa na watu wachache...iyo idara ichunguzwe

  • @godfreypaulo236
    @godfreypaulo236 5 ปีที่แล้ว

    Hapo umeongea msukuma

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao 5 ปีที่แล้ว

    😎

  • @menicomichael9345
    @menicomichael9345 5 ปีที่แล้ว +1

    Uyo jamaa wa pemben kwa msukuma ananyonga jicho

  • @niokoemahenge4312
    @niokoemahenge4312 4 ปีที่แล้ว

    Kitu msukuma

  • @punguwasasa7975
    @punguwasasa7975 5 ปีที่แล้ว +3

    Msukuma inabid upewe uwaziri wa biashala

  • @tomaskijigo8341
    @tomaskijigo8341 5 ปีที่แล้ว +2

    Wee

  • @SmilingBowtieCat-yn2dm
    @SmilingBowtieCat-yn2dm ปีที่แล้ว

    Zuchu

  • @binlubawa8387
    @binlubawa8387 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuweke Mh. Rais