Musukuma aweka wazi utajiri wake, Ndege, VXR, na MIJENGO anayomiliki; ajibu wanaosema amehongwa V8

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มิ.ย. 2023
  • Mbunge wa Geita Vijijini (CCM) Joseph Musukuma akieleza utajiri alionao wakati akiwajibu wanaosema kwamba amehongwa gari aina ya V8 ili atetee sakata uwekezaji kwenye Bandari.

ความคิดเห็น • 415

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 ปีที่แล้ว +23

    msukuma ni mfanyabiashara mkongwe wa DHAHABU tangia miaka ya 80,,,,,ni mtu mwenye utajiri Long time na wala sio mtu wakujiskia saana ni mtu simpo saana pia ni mtu wa watu,,,,,ana real eastate kanda ya ziwa bab kubwa..pia ana kamuni za transport na etc

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 ปีที่แล้ว +11

    Msukuma shikamoo!! nakupenda toka rohoni Mungu akulinde baba yetu

  • @PauloPetro-nv6pi
    @PauloPetro-nv6pi 7 หลายเดือนก่อน +6

    Hongeraa sanaaa MUNGU akufanikishe katika mambo yote

  • @user-mj1hq3fn1m
    @user-mj1hq3fn1m 8 หลายเดือนก่อน +3

    Shukran msukuma swali umefanya wema mzuri sana na je wewe ni mwislam au mkristo maana naona unapendeza sana

  • @rosechuwa9493
    @rosechuwa9493 ปีที่แล้ว +19

    Huyu mwamba namkubali sana, msukuma mungu akubariki sana wewe ni hazina muhimu sana hapa Tanzania

    • @ramadhanihamisi9393
      @ramadhanihamisi9393 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wananchi was geita mnakila sababu ya kujivunia kwa mbunge mlie nae ni jembe msukuma namkubali Sana akisimama bungeni utafurahi mungu akulinde na Kila baya

    • @AndrewMasaga
      @AndrewMasaga 9 หลายเดือนก่อน

      Hakuna lolote tunataka ndege yetu

  • @josephatmtweve6534
    @josephatmtweve6534 6 หลายเดือนก่อน +4

    Msukuma uko vizuri Sana kaka naomba nmawasiliano yako kaka

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nchi Hii Wasomi Ndio Kikwazo Hongera Sana Dr.Msukuma

  • @mosesbaruti306
    @mosesbaruti306 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ninachukia sana kutoka moyoni Nchi yetu na Watanzania kuitwa masini,Namuombea Mungu ampe mama yetu Rais wetu Samia Suluhu Hassani ujasiri wa maamuzi mazito.

  • @Sharifarajabudebe
    @Sharifarajabudebe 11 หลายเดือนก่อน +5

    Mashaallah watu heshimu msio wajua ache dharau

  • @NurudiniNdoka
    @NurudiniNdoka 20 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana msukuma.

  • @gloryjacson
    @gloryjacson 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera brother unamalengo mazuri sana umefika pazuri sana mbunge tajiri

  • @JohnSteven-ox3pv
    @JohnSteven-ox3pv 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dah.. doctor msukuma me nakuomba uje ugombee uraisi maana asaiv c.v unayo ya usomi so nakuona mbali sana ndg yangu ❤❤❤ tunataka uje kua raisi wetu bhn....

  • @josephatmtweve6534
    @josephatmtweve6534 6 หลายเดือนก่อน +3

    Naomba mawasiliani yako mheshimiwa uko vizuri Sana kimtazamo

  • @user-yk5gm5qj4u
    @user-yk5gm5qj4u 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera kaka uko vzr kiukweli huna shida

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty 10 หลายเดือนก่อน +3

    Msukuma uko vizuri umewapigilia msumari wa moto

  • @Zubaiba
    @Zubaiba หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki mbunge msukuma, nakupenda sana ❤

  • @kelvinimasagasi7398
    @kelvinimasagasi7398 ปีที่แล้ว +5

    King msukuma Ly umeuwa huo ndio ukweli Mungu akubarik %100

  • @LukasiJeremiah
    @LukasiJeremiah 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera bro uraisi unakufaa chukua fomu ya mgombea

  • @withomsigala4389
    @withomsigala4389 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana kwa majukumu ya kazi ya kuwatetea wanyonge Mheshimiwa Mbunge Msukuma

  • @SammitindoJeremia-jv4qb
    @SammitindoJeremia-jv4qb 10 หลายเดือนก่อน +3

    Daaaah umetisha mzeebaba uko vizuri sana

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera baba mungu akubariki sana umeaso sana

  • @metusalnganga1002
    @metusalnganga1002 ปีที่แล้ว +6

    Msukuma Big up🎉🎉🎉🎉

  • @musasaguti4760
    @musasaguti4760 4 หลายเดือนก่อน +2

    Musukuma uko vizuri, huna baya mdogo wangu

  • @patriceomolo232
    @patriceomolo232 หลายเดือนก่อน

    Asante sana msukuma you are a good man. May God bless you and provide for you long life. You speak the truth

  • @farajamwakifuna303
    @farajamwakifuna303 3 หลายเดือนก่อน +3

    Respect sana Mheshimiwa

  • @user-pc1cs6nd4y
    @user-pc1cs6nd4y หลายเดือนก่อน +1

    Msukuma salute kula yangu kwako

  • @winnerkondejunior1890
    @winnerkondejunior1890 6 หลายเดือนก่อน +1

    MH Musukuma myooshe. From Mozambique

  • @EdithaMgoha-jy7ev
    @EdithaMgoha-jy7ev 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akujalie Baba wa wetu achana na maneno ya wakosaji

  • @DanielKagoma-nx8ff
    @DanielKagoma-nx8ff 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka msukuma uko vizuri Mungu akubariki Sana tunakuombea Sana Mimi Niko Tabora mjini naomba namba zako mkuu naitwa Daniel kagoma

  • @mussamkumbukwa5053
    @mussamkumbukwa5053 หลายเดือนก่อน +1

    Safi Mh Msukuma umesema ukwelii.

  • @user-yk5gm5qj4u
    @user-yk5gm5qj4u 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera musukuma

  • @user-px6px4tf2g
    @user-px6px4tf2g 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akulinde na maaadui uishi miaka ming

  • @daudifungo5521
    @daudifungo5521 28 วันที่ผ่านมา

    Sana Mzee Baba Kazi Iendelee Umetisha Sana
    Waache Majungu Watafute Pesa

  • @sofiamfaramago3820
    @sofiamfaramago3820 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kaaah sawa baba !

  • @SashaOscar
    @SashaOscar 2 หลายเดือนก่อน

    Nampenda xana msukuma, Mungu ampe maisha marefu

  • @user-zn7vw3pj6p
    @user-zn7vw3pj6p 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka
    Nakuelewasana.barikiwasana

  • @mambotv1233
    @mambotv1233 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana msukuma

  • @meroymollel9156
    @meroymollel9156 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Mh. msukuma

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +4

    Kazi kazi , Jembe kama Jembe

  • @zabrongermanus-co1jj
    @zabrongermanus-co1jj ปีที่แล้ว +5

    Sema umeongea sana facts your the best

  • @abadharkhamis5909
    @abadharkhamis5909 ปีที่แล้ว +2

    Mskuma umetisha sana

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 หลายเดือนก่อน +1

    Hawakukujui hao kua wew ni king

  • @hamadmhchande5633
    @hamadmhchande5633 2 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni unafiki hivi viblog uchwara tangia lini anamiliki ndege msukuma?

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana ndugu

  • @kaburaprince3596
    @kaburaprince3596 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asanteni

  • @praygodmunisi8999
    @praygodmunisi8999 ปีที่แล้ว +17

    😂aliye mchokoza msukuma kazi anayo,, Siyo Kwa michambo hiyo😂😂

    • @abdulsataribashiri8300
      @abdulsataribashiri8300 ปีที่แล้ว

      😅😅

    • @PamelaJonas-dh6lg
      @PamelaJonas-dh6lg 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂 nimecheka nimecheka tena😂😂😂😂😂😂 yan msukuma namkubali sana

    • @abdulsataribashiri8300
      @abdulsataribashiri8300 11 หลายเดือนก่อน

      @@PamelaJonas-dh6lg 🤣🤣🤣🤣balaa

  • @aidatimakunda387
    @aidatimakunda387 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kweli Big up MP. Msukuma

  • @wachachesana
    @wachachesana ปีที่แล้ว +2

    Nakubali sana mbunge wangu vijijini geita

  • @SaimonKazimoto-xt1zo
    @SaimonKazimoto-xt1zo 11 หลายเดือนก่อน +2

    Safi m'bunge ayo ndo mambo tunayo yataka bandari ya kisasa sio maneno ya kuku kashifu mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe

  • @mariamusaulo4429
    @mariamusaulo4429 ปีที่แล้ว +3

    Big up msukuma

  • @user-vy9pz7sk4z
    @user-vy9pz7sk4z 5 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu jamaa kiongoz mzur

  • @khatimushabani3941
    @khatimushabani3941 ปีที่แล้ว +3

    Nakubali kaka

  • @HappyKiteboarder-du9th
    @HappyKiteboarder-du9th 12 วันที่ผ่านมา

    Mungu akupe umri mrefu wewe ni mtu Wa maana sana

  • @robertpaul7714
    @robertpaul7714 ปีที่แล้ว +8

    Nilichokiona humu watu mna makasiriko sana tafteni hela acheni kelele mtabakia kutoa comments za kutukana bure tu hii nchi usijifanye unaijua sana we kua mzalendo tu pia fanya kazi kwa bidii 💴💸

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 ปีที่แล้ว +1

      Kwa kweli watu wanamakasiriko na roho mbaya!

    • @Bikhafija
      @Bikhafija ปีที่แล้ว

      Mungu akujaalie

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mheshimiwa Dr. Tafadhali njoo kwetu Umfundishe mbunge wa Bukoba vijijini asaidie wananchi wake hata maji hakuna watu wanakunywa maji yanayo nyweshea Ng'ombe na wakati wa kuomba........

  • @user-el2qg1zj4l
    @user-el2qg1zj4l ปีที่แล้ว +1

    Hongera

  • @FidelisiKavishe
    @FidelisiKavishe 2 หลายเดือนก่อน

    Msukuma hongera baba chukua maua yak❤️❤️❤️❤️❤️❤️💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋

  • @prosperkimaro4660
    @prosperkimaro4660 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mwbamba upo vizuri

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 ปีที่แล้ว +2

    Msukuma hongera sana,naomba ninunulie japo IST niendee Kanisani, sio kwa utajiri huo.

    • @emmanuelmauki2938
      @emmanuelmauki2938 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

    • @mariakibwana3700
      @mariakibwana3700 ปีที่แล้ว

      @@emmanuelmauki2938 Emmanuel nimechoka kutembea na boda wakati wengine wanautajiri wote huo.Msukuma anielewe tu.Yaaani IST tu na Mungu atazidi kumbariki.

  • @rashidlwengo6940
    @rashidlwengo6940 ปีที่แล้ว +4

    Kasheku msukuma we Ni noma PhD ilikuwa haki yako baba

  • @jacksonjosephmollel3833
    @jacksonjosephmollel3833 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naombeni namba ya MUSUKUMA...

  • @deusvincent1489
    @deusvincent1489 ปีที่แล้ว +3

    Bandari sawa lakini sio kwa Mkataba huo Kaka. Povu jingi linatushangaza.

  • @user-hv6pc8kq5c
    @user-hv6pc8kq5c 9 หลายเดือนก่อน +2

    Tajiri tu

  • @user-wp8yk6ow8h
    @user-wp8yk6ow8h 2 หลายเดือนก่อน

    Wabunge wote wangeliikuwa kama msukuma nchi ingepiga hatua kwa mda mfupi sana hongera sana msukuma

  • @user-wb5pk9km5o
    @user-wb5pk9km5o 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli uliniuzia simu mbovu Ta nga ugomvi ulimalizwa na Mfanya biashara mmoja wa kiasia aliyerudisha pesa zangu na kunisihi nimwachie simu take ugomvi ukaishia hapo kumbe ni home boy wangu Swagger wazijua

  • @user-cg5ly5rg8z
    @user-cg5ly5rg8z 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekuelewa sana mbunge

  • @hafidhbarau9981
    @hafidhbarau9981 ปีที่แล้ว +7

    Mungu akubariki brother, mungu akulinde na maadui wako, mungu azibariki Mali zako, mungu akupe moyo wa huruma na upendo uwe na moyo wa kuwasaidia wasiojiweza pamoja na wananchi wako,

  • @user-jo3ip7zq9j
    @user-jo3ip7zq9j 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mheshimiwa athanasius na vyako mbona kimya kuhusu bandari.

  • @amimumufaumekikwasa5921
    @amimumufaumekikwasa5921 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee upo asahihi kabisa unafudha watu jisi ya kuishi na watu, na kukubali mzee wangu.

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 ปีที่แล้ว +4

    King msukuma

  • @shurungubunzari9474
    @shurungubunzari9474 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yes my boss

  • @adinanimussa5484
    @adinanimussa5484 ปีที่แล้ว +2

    King Msukuma👍

  • @khaalidcheo5383
    @khaalidcheo5383 ปีที่แล้ว +9

    Jamani aliemchokoza msukma akamuombe msamaaa

    • @PamelaJonas-dh6lg
      @PamelaJonas-dh6lg 11 หลายเดือนก่อน

      Nakweli aende tu maana kachooza moto

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera msukuma wewe ni mbunge wa kwanza kuwajali watu wa jimbo lako na hakuna aliefanya kama wewe hata magufuli hakuwahi kufanya jimboni kwake wape ukweli hawo waliohongwa kupinga huo uwekezaji nadhani hao wanafaidika na ule wizi mkubwa unaofanya bandarini wacheni wapige kelele bandari itaingia ubia washenzi

  • @KisuraJohn
    @KisuraJohn 2 หลายเดือนก่อน

    Nice❤

  • @augustinomtongi711
    @augustinomtongi711 ปีที่แล้ว

    Mmmmnh Mungu anakuona

  • @abdulkarimmgunya513
    @abdulkarimmgunya513 6 หลายเดือนก่อน

    Pamoja sana ndugu yangu

  • @ramadhanihamisi9393
    @ramadhanihamisi9393 10 หลายเดือนก่อน +2

    Bradha msukuma mm binafusi nakukubali hoja na ushauri unao shauri serekali au mtu binafusi bigapu mungu akulinde na Kila baya zaidi akuongeze riziki zaidi

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 2 หลายเดือนก่อน

    Ukweli ni ukweli sawa baba you big up

  • @gindamaster1784
    @gindamaster1784 ปีที่แล้ว +17

    Men lie women lie, numbers don't lie. Kudos Msukuma, am inspired

    • @jdanny497
      @jdanny497 ปีที่แล้ว

      Danganya Dar na Dodoma sio mwanza

    • @noramkendamunishi6902
      @noramkendamunishi6902 11 หลายเดือนก่อน

      Si kweli. Kuwa na hela hakuzuii kupokea rushwa. Ila Kama hajapokea ni vizuri Sana.
      Ila swali langu kazi ya mbunge ni kutoa misaada kwa wananchi au kufikisha hoja za wananchi bungeni na kuziweka kwa ufasaha ziweze kufanyiwa kazi na serikali?

    • @GaudenceTesha
      @GaudenceTesha 9 หลายเดือนก่อน

      Halo sawa mku

  • @mhangwacastory8765
    @mhangwacastory8765 ปีที่แล้ว +4

    Msukuma shikamooo, mwenye namna ya kupata namba ya msukuma ninaomba aisogeze hapa

  • @johnginni9926
    @johnginni9926 ปีที่แล้ว +4

    We mpigaji tu na ukianza Kwa msukuma mwenziee

  • @josephdaniel7341
    @josephdaniel7341 ปีที่แล้ว +5

    Mh Msukuma .Mimi naomba Unisaidie hata mtaji wa ml 2,000,000/= Ninashida sana ..

  • @michaeldoroleo4864
    @michaeldoroleo4864 29 วันที่ผ่านมา

    Siku naambiwa jamaa ana miaka 60 nikaendelea kushangaa sana.

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt หลายเดือนก่อน

    Allahu akbar

  • @suleimanrodriguez9484
    @suleimanrodriguez9484 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa ndo watetezi wa uma

  • @Nsajibjsnsdreamerztz
    @Nsajibjsnsdreamerztz ปีที่แล้ว +1

    Uko vizur

  • @oskabajumz3210
    @oskabajumz3210 9 หลายเดือนก่อน +1

    Maizii kamawegine

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 7 หลายเดือนก่อน

    HONGERA SANAA NDUGU MSUKUMAA. KUSOMA SANAA , HAIMAANA NDO UNAAKILI SANAA. AKILI MTU ANAZALIWA NAYO. WAPE SIRI YA MAFANIKIO YAKOO.

  • @Lunemyabahati1
    @Lunemyabahati1 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pongez kwako

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 8 หลายเดือนก่อน +1

    Anahongwa sana huyu

  • @FulbertFisoo
    @FulbertFisoo ปีที่แล้ว +8

    Kwani ukiwa tajiri unashindwa kuhongwa kubali kuwa umekula unga wa ndere kwa hilo

  • @emeliasiame
    @emeliasiame 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa bb msukuma nakukubali saana boss huna baya na mtu

  • @user-jy2qz8hh7w
    @user-jy2qz8hh7w 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekukubali msukuma ukweli unao hili

  • @user-bp7pu4fy3v
    @user-bp7pu4fy3v 11 หลายเดือนก่อน

    We ni bos wetu

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 ปีที่แล้ว +6

    Tanzania mabilionea wako wengi Sana sema wamejificha tu na awataki kujionyesha

    • @irhamseif
      @irhamseif ปีที่แล้ว

      Kama uyu nikitambo ela anayo sana madin mabasi na mfugaji mzuli sana ng'ombe kibao

    • @Bikhafija
      @Bikhafija ปีที่แล้ว

      Mashaalh

  • @MrNibiru2112
    @MrNibiru2112 ปีที่แล้ว +3

    Msukuma unaweza kumuelewa kama elimu yako inalingana na yake.Ukimaliza kukomenti tuandikie na level ya elimu yako pia

  • @allymuhamed7295
    @allymuhamed7295 6 หลายเดือนก่อน

    sawa mkubwa

  • @janethedward4631
    @janethedward4631 ปีที่แล้ว +8

    Tatizo la Tanzania wengi wao awajishuhulishi 1)wanaume wazoea kuongwa 2) wanawake wamezoea kujiuza Japo c wote awapendi kazi wanaume wamezoea kumshusha suruali matakoni nywele kueka dawa starehe nyingi, nguo, Sasa Mtu anaenda kununua kiatu 70000 wakati anaweza nunua mbuzi 3 wakufuga Kwa mwaka ana mbuzi Wangapi !!!? Mtu anaenda nunua jinsi 30000 niela ya kuku wakufuga unapata kuku 6 Kwa mwaka ana kuku Wangapi na Ndo mana akiona Mtu ana maendeleo km msukuma wawatu utasikia mwinzi mara frimanson sio kununua bandar tu nunua na Zanzibar kabisa baba

    • @detlantamarooned1809
      @detlantamarooned1809 ปีที่แล้ว

      Mimi nanunua kiatu 90,000 na suruali hata ya 45,000 au ziadi. Kununua suruali au kiatu cha gharama haikufanyi uwe masikini,ila jambo la kuzingatia ni kwamba mahitaji yaendane na kipato chako. By the way,hela ninayo ya kutosha.

    • @joyceassey2347
      @joyceassey2347 ปีที่แล้ว

      @@detlantamarooned1809 eeeee kaka mwenye mihela tugawane basi😅

    • @detlantamarooned1809
      @detlantamarooned1809 ปีที่แล้ว

      @@joyceassey2347 Usijali,tutagawana tu bila tatizo nikikuoa😂😂😂

    • @joyceassey2347
      @joyceassey2347 ปีที่แล้ว

      @@detlantamarooned1809 daaah mpaka unione jmn

    • @joyceassey2347
      @joyceassey2347 ปีที่แล้ว

      @@detlantamarooned1809 🤣🤣🤣

  • @BrianBruno-nb8tz
    @BrianBruno-nb8tz หลายเดือนก่อน

    Kwer Mh.