MKURUGENZI: "UMEWAPA MAELEKEZO WASAIDIZI WAKO HAWAFUATI, TUMERUDI KWAKO UTUSAIDIE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 มิ.ย. 2019
  • #DhruvJog
    #Magufuli
    ##Wakandarasi

ความคิดเห็น • 149

  • @kiuwamhina2802
    @kiuwamhina2802 5 ปีที่แล้ว +30

    Raisi wangu uko sahihi na upo vizuri, Mungu ibariki Tanzania, Amen

  • @ErickMkinga
    @ErickMkinga 5 ปีที่แล้ว +18

    We must clean the house! 👍

  • @clausemsemwa3704
    @clausemsemwa3704 5 ปีที่แล้ว +14

    Well informed talking with numbers.....like this!

  • @tanzaniakwanza9564
    @tanzaniakwanza9564 5 ปีที่แล้ว +7

    Well said Mr. President "we must clean the house" wafanyabiashara tuondoe uoga Rais ana nia njema ila watendaji wachache ndo wanamuangusha.

  • @erickmbembati6337
    @erickmbembati6337 5 ปีที่แล้ว +19

    Definitely we have the President

    • @eventelias3566
      @eventelias3566 5 ปีที่แล้ว +2

      Absolutely..msemakweli mpenzi wa Mungu.

  • @isaacnicolao5684
    @isaacnicolao5684 5 ปีที่แล้ว +12

    Put the house in order Sir! We need this so much for the betterment of this beautiful homeland... #Thankyousir#

    • @lewiskamryn6813
      @lewiskamryn6813 2 ปีที่แล้ว

      you probably dont give a shit but does someone know of a tool to get back into an Instagram account??
      I was stupid lost the login password. I appreciate any tricks you can give me.

  • @yusufumalenda895
    @yusufumalenda895 5 ปีที่แล้ว +6

    Huyu jamaa kama ananishawishi I love u my president

  • @rajabsudi6909
    @rajabsudi6909 3 ปีที่แล้ว +1

    Well done Druv you hit to the point

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +11

    Watanzania wenzangu nazidi kuwaomba tuzidi kuwaombea viongozi wetu kwa mwenyez MUNGU kwa imani zetu

    • @salminiyussuf989
      @salminiyussuf989 5 ปีที่แล้ว

      Tunawaombea wenye weledi tu.Kama ili lijemedali kuu dk Magu.Mingine ni mifisi tu!

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 5 ปีที่แล้ว +21

    Rais wetu Mungu Akulinde na Akupe Afya njema.

  • @clausemsemwa3704
    @clausemsemwa3704 5 ปีที่แล้ว +39

    Rais John Pombe Magufuli.....hatumuelewi sababu ya uvivu wetu na ugoigoi!

  • @mbwanaomary7537
    @mbwanaomary7537 5 ปีที่แล้ว +8

    Mh raisi hii ni zaidi ya bunge coz wachangiaji wote wanachangia kwa maslahi mapana ya taifa, lakini wabunge wanachangia kwa mirengo ya vyama vyao na matumbo yao, mh Raisi naomba uwe unakutana na hawa watu hata mara mbili kwa mwaka utayapata mengi na nchi itanyooka tu

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 5 ปีที่แล้ว +23

    @MagufuliJP. Kazi unayoifanya Rais Magufuli hajawahi kufanya yeyote kabla yako. Kura kwa hakika 95%✓✓✓★★★★★★★♥️🇹🇿🌻👏🏽 Magufuli Daima Juu Daima Oyeee ♥️🇹🇿🌻👍🏽👏🏽 UBaarikiwe Kipenzi Chetu Rais wetu Mwema Mzalendo Mwadilifu Mkweli Jasiri Mwenye-Enzi-Mungu-Allah-Subhana-Mlezi AkuTangulie Daima na AkuLinde Daima na Milele ♥️

  • @fellaanikulapo4712
    @fellaanikulapo4712 5 ปีที่แล้ว +69

    Hakyamungu sijawahi kutegemea majibu mazuri namna hii kutoka kwa magufuli tangu Leo Mimi nimeamua kurudisha imani yangu kwa RAIS magufuli

    • @christophermwisombe2389
      @christophermwisombe2389 5 ปีที่แล้ว +1

      swalehe msemo umechelewa brother 😂😂😂😂 watuu tulimuelewa kitaaaaambo

  • @gregorychogelo2013
    @gregorychogelo2013 5 ปีที่แล้ว +2

    Naiona Tanzania yetu mbali sana.
    Mungu aendelee kukusimamia.

  • @kulwasalum1538
    @kulwasalum1538 5 ปีที่แล้ว +7

    Rais wetu uko vizurii kweki baadhi ya wasaidizi wako wanakuangusha jamani.Washughurikiwe haraka hao

  • @ks-qv9xd
    @ks-qv9xd 5 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania would have been the next Germany jameenii mnapangilioo. from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 5 ปีที่แล้ว +26

    Mi naona TRA waondolewe wote na badala yake wapelekwe wafanyakazi Toka benki kuu na Wizara ya Fedha na wanajeshi
    Kuna network hapo dawa Ni kufumua wote

    • @jazirymasunga7355
      @jazirymasunga7355 5 ปีที่แล้ว

      Umeongea vizuri

    • @mbwanaomary7537
      @mbwanaomary7537 5 ปีที่แล้ว

      Well said brother

    • @josephsilla2271
      @josephsilla2271 5 ปีที่แล้ว

      Haswa wanajeshi

    • @shakamohamed5544
      @shakamohamed5544 5 ปีที่แล้ว

      Kweli tumezoea kuwalaumu sana TRA hata mimi nawalaumu lakini ukweli lazim niseme sanasana brokers pia nii tatizo sana

  • @janeypheremmanuel9844
    @janeypheremmanuel9844 5 ปีที่แล้ว +12

    mzeee kweli mzee

  • @jacksonolotu9318
    @jacksonolotu9318 5 ปีที่แล้ว +10

    Fear is a great enemy

  • @clausemsemwa3704
    @clausemsemwa3704 5 ปีที่แล้ว +12

    Sisi sijui vipi....tunamtesa raising kha!

  • @exaverymwakalinga8564
    @exaverymwakalinga8564 5 ปีที่แล้ว +9

    We are supposed to clean the house

  • @elvismtai7044
    @elvismtai7044 5 ปีที่แล้ว +14

    Huyu mzee yuko vzr,tungepata viongozi 100 kama hawa ni miaka 5 ulaya inaomba msaada tanzania

    • @shammusfredy4158
      @shammusfredy4158 5 ปีที่แล้ว

      Uhanisio, do you know ulaya? Unadhani ulaya ni Dodoma , paka wee

    • @faza4023
      @faza4023 5 ปีที่แล้ว

      😂😂nakubalii

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 5 ปีที่แล้ว +5

    HONGERA SANA MUHESHIMIWA RAIS NIPO GERMANY ILA NAKUELEWA SANA JPM

  • @eaglecrown3872
    @eaglecrown3872 5 ปีที่แล้ว +7

    Mzungumzaji wa construction industry hongera sana MUNGU akubaliki kwa nia njema na nchi.

    • @zakariamaria9397
      @zakariamaria9397 5 ปีที่แล้ว

      Siyo akubaliki sema akubariki

    • @eaglecrown3872
      @eaglecrown3872 5 ปีที่แล้ว

      Nashukulu sana maria

    • @eaglecrown3872
      @eaglecrown3872 5 ปีที่แล้ว

      R na L imeasili sana tarime na ww ni wa hiyo kanda maalumu

    • @zakariamaria9397
      @zakariamaria9397 5 ปีที่แล้ว

      @@eaglecrown3872 sema nashukuru siyo nashukulu

    • @eaglecrown3872
      @eaglecrown3872 5 ปีที่แล้ว

      @@zakariamaria9397 hahahahaaa Tata mura Tarime kabisaaaaa

  • @shau78
    @shau78 5 ปีที่แล้ว +14

    kwa kweli nimeshamaliza kumchagua rais mwaka ujao. Magufuli ni mfano wa kuigwa

  • @hkdarmys
    @hkdarmys 5 ปีที่แล้ว

    Safi Sana Majibu ya His Excellency to the Point ....

  • @jacksonolotu9318
    @jacksonolotu9318 5 ปีที่แล้ว +23

    You are doing well Mr Presidents but your assistants are spoiling you

  • @shau78
    @shau78 5 ปีที่แล้ว

    9:00 that is my President. ILI NIWASAIDIE WENGINE KUFANYA KAZI HARAKA😘

  • @petermwantole9433
    @petermwantole9433 5 ปีที่แล้ว +4

    Miaka mia Uncle Magu

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 5 ปีที่แล้ว +5

    Good

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 5 ปีที่แล้ว +16

    TRA ni kikwazo kikubwa, dili zao! RUSHWA CANCER

    • @deusijohn8935
      @deusijohn8935 5 ปีที่แล้ว +1

      TRA ni kikwazo kikubwa sana tunaomba uingalie kwa undani Sana,.

  • @georgekimasa7393
    @georgekimasa7393 5 ปีที่แล้ว +10

    asiye mpenda huyu raisi ujue ni mchawi.

  • @oliverwabwire2836
    @oliverwabwire2836 5 ปีที่แล้ว +1

    Will we ever have such in Kenya....ever? Huku ni usiri, ubadhirifu na utepetevu kwa agencies za umma, na corruption!

    • @billalphilip5776
      @billalphilip5776 5 ปีที่แล้ว +1

      Wakenya tunafaa kupigwa viboko...ni ujinga ya kujiwekelea tunachagua hao wakora... sasa tujilaumu na tuvumilie kuwa wakenya

  • @horizongroup-tanzania6363
    @horizongroup-tanzania6363 5 ปีที่แล้ว +2

    Haijawahi kutokea.! Mh Rais uko sawa sana

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 5 ปีที่แล้ว +6

    We are domant that's why we don't understand him, halafu haturiziki kuibaiba tuuu na rushwa tunapenda fujo na uongo kutoka mataifa na watu walionunuliwa na wazungu

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 3 ปีที่แล้ว

      Acha siasa talk business.you one of the failures

  • @ababuumwana5102
    @ababuumwana5102 5 ปีที่แล้ว +1

    My President Love

  • @margarethsaramaki1100
    @margarethsaramaki1100 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi sans

  • @khalekichambo2143
    @khalekichambo2143 5 ปีที่แล้ว +2

    Clean the house indeed uncle Magu

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 5 ปีที่แล้ว +6

    Tupo wafanya biashara tatizo milongolongo mingi bandarini

  • @josephmajinge1650
    @josephmajinge1650 5 ปีที่แล้ว +4

    Jaribu kuelewa nimezunguza nn sijamwambia mtu yyt kutompigia kura mtu anaeona yy anamfaa tatizo mnakurupuka kuchangia mada

    • @marcmakata254
      @marcmakata254 5 ปีที่แล้ว +1

      Kama ulivyokurupuka wewe

  • @allymohamed1563
    @allymohamed1563 5 ปีที่แล้ว +8

    Now days RAIS anaongea friendly sana,tukienda hivi tutafanikiwa sana

    • @freddymello3227
      @freddymello3227 5 ปีที่แล้ว +1

      Ally Mohamed ,Toka zamani huwa anaongea hivi,sema wewe tuu masikioni uliweka pamba!!

  • @tumahamza8972
    @tumahamza8972 5 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana uncle. Ubarikiwe sanaaaa

  • @nuranzubail1240
    @nuranzubail1240 5 ปีที่แล้ว +4

    Rais mimi naomba kwakua umeanza ziara za nje ya nchi uende na wafanyabiashara mbalimbali wapate nafasi

  • @kulwaswetu4457
    @kulwaswetu4457 5 ปีที่แล้ว +7

    Bb Wataifaaliwahi kusema ikulu nimahlapatakatifu naraisi anaekwendaikulu asije kupageuzakuwa pango LA walanguzi nakwabahtinzuli tumempta laisi mtaktifu naasiye pafanya ikulu Kuwa pango lawalanguzi sasawtz kwanini laisikm huyu ndoto yabbwataifa zinatimia kwanini tusimpe nchi aongoze mpka 2045?kmawatz tunaakili tmamu hki kichwa c chakukiacha mpka2045

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 5 ปีที่แล้ว +1

      kati ya haya magonjwa mawili unaumwa ugonjwa gani?? chagua moja hapa: Ukichaa na Uwendawazimu

    • @adrianmanja7540
      @adrianmanja7540 5 ปีที่แล้ว +1

      @@annassuleiman4508 una muona jamaa kama hana hakili vile ila ukweli tume Pata rais tuliye muhitaji na kumu ongezea muda wa miaka ata 5 ni kitu cha muhim sana maana tunapaswa kujenga nchi ya wazarendo na wa kujenga ni huyu jamaa unless tuna rudi kwa upigaji tena

    • @wbairi79
      @wbairi79 5 ปีที่แล้ว

      @@adrianmanja7540 China washamaliza, Xi Jiping hatakuwa na ukomo wa kutawala, huenda akatawala maisha ( China clears way for Xi Jiping to rule for life) huku ukisema unaonekana punguani.

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 5 ปีที่แล้ว +24

    Magu Jembe! Km hutaki kalale,huyu Ni Jembe

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 5 ปีที่แล้ว +8

    Mzee utaumiza kichwa chako bure serikalini kote kumejaa urasimu jambo lakufanyika siku moja na kwisha linachukua miezi kadhaa. Hawawezi kwenda na kasi yako. Sasa chagua wanaoweza kuamua jambo maramoja

    • @DrFatmaKhanPanAfrikan
      @DrFatmaKhanPanAfrikan 5 ปีที่แล้ว +2

      Kweli kabisa. Namonea huruma sana Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa Magufuli,♥️🇹🇿🌻👏🏽

    • @issakawanya648
      @issakawanya648 5 ปีที่แล้ว

      Tahasisi za Huma Zina ihangusha serekali wafanya kazi awamo

    • @issakawanya648
      @issakawanya648 5 ปีที่แล้ว

      Ulasimu umwingi

    • @allymazige964
      @allymazige964 5 ปีที่แล้ว

      Mbwana Mungia hongera presindent magufuli

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 5 ปีที่แล้ว +2

    Kuna kitu nagundua kwamba kuna watendaji wa serekal ambao lengo lao nikmhujumu Rais na kuharibia ikiwezekana watengeneze mambo hovyo ili kupoteza matumaini ya wananchi kwa Rais.

  • @mimizlove6992
    @mimizlove6992 5 ปีที่แล้ว

    We have the best president sijui tunakwama wap yani hatuna shukrani

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 5 ปีที่แล้ว +3

    Kama anaongea kiingereza kizur hadi raha

  • @josephharri9015
    @josephharri9015 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu angeongoza angalau 20 years.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 5 ปีที่แล้ว +5

    your workers they are thinking only how to fill their pocket and nothing els

  • @antipaschaulo87
    @antipaschaulo87 5 ปีที่แล้ว

    Tanzania itaendelea kwa kuwa Raisi Tulie nae anauchungu na Tz
    Hongera Magufuli

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 5 ปีที่แล้ว +2

    Penye nia pana njia nakuamini Magufuli

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzee zidi kufumua hawa wapiga dili.

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 5 ปีที่แล้ว +2

    RAIS YUPU SAWA, TATIZO WAFANYI KAZI WA SERIKALI

  • @zuwenaissa2690
    @zuwenaissa2690 5 ปีที่แล้ว +1

    Amahakika choo kitabaki kuitwa chootu hata ukishafishe nakukitia manukato yadunia mzima badokitaendelea kuitwa chootu kamwe hakitaitwa chumba kulala kwahio baba wasaidizi ndio wanaoiuwa nchi hii

  • @abrahammwambije6135
    @abrahammwambije6135 5 ปีที่แล้ว +3

    Magufuli mwanzo mwisho

  • @mokhimji
    @mokhimji 5 ปีที่แล้ว

    kwa ufupi hayo mapendekezo zenu sitozipitisha mpaka mmpunguze unafiki wenu hahaha

  • @izzataman6219
    @izzataman6219 5 ปีที่แล้ว

    Smart

  • @abdulrahmanhassan3825
    @abdulrahmanhassan3825 5 ปีที่แล้ว

    Alivyokuwa anapiga pusha kweje kampeni watu wengi hawakumuekewa ila sasa watu wanamuelewa

  • @AK-ho2lb
    @AK-ho2lb 5 ปีที่แล้ว

    Jembe la Tanzania. Nakuombea Uwe raisi wa milele.

  • @stanleyjacob6744
    @stanleyjacob6744 5 ปีที่แล้ว +1

    Tangazo tuu lishakula bandoo,,,😣

  • @clt9914
    @clt9914 5 ปีที่แล้ว

    Rais gani mkweli kuliko huyu munayemuhitaji wana-TZ? Rushwa nyingi na kubwa nchini TZ ni kati ya TRA na wafanyabiashara. Wako wapi wafanyabiashara wakweli mbele ya rais? Wafanyabiashara hamfai kabisa!!

  • @abbakariabbas6135
    @abbakariabbas6135 5 ปีที่แล้ว +2

    Ndo nimeelewa haja ya kumwacha JPM atawale 2035...anaweza.

  • @mathiasmsumeno8516
    @mathiasmsumeno8516 5 ปีที่แล้ว

    Mbona Sumbawanga wakitaka ku export mahindi serikali inaweka zuio?

  • @iddysalum7621
    @iddysalum7621 5 ปีที่แล้ว +1

    Mh magufuli kumbuka na wanaoacha kazi,wapate mafao yao sio wanaofukuzwa tu.

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว

    .

  • @margarethsaramaki1100
    @margarethsaramaki1100 5 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania utekelezaji bado uko slow

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 5 ปีที่แล้ว

    Mbowe Roho inamuuma ataongea nini Uchaguzi ujao Magufuli changamoto anazitatuwa

  • @mswanawamswana3129
    @mswanawamswana3129 5 ปีที่แล้ว

    Which is that?😂😂😂 law of contractitation ???

  • @augusttemu8968
    @augusttemu8968 5 ปีที่แล้ว +2

    Hivi aliyezuia mazao yasisafirishwe nje ya nchi ni nani? Au mm ndo sielewi?

    • @marcmakata254
      @marcmakata254 5 ปีที่แล้ว +2

      Usijifanye juha kalulu, elewa lengo là zuio lilikua ni nini, na wakati wa zuio hali ya mazao ilikuaje, jiongeze sio kila kitu uambiwe

    • @raphaelmartin7301
      @raphaelmartin7301 5 ปีที่แล้ว +1

      Mvivu kufikilia wewe ndugu yangu na ndio shida ya Wa Tanzania tulip wengi

    • @augusttemu8968
      @augusttemu8968 5 ปีที่แล้ว

      Ooooh! Sawa. Je ile sababu imeshatenguliwa? Juzi nikawa napeleka mchele Nairobi kilo 70 tu, just like chakula cha home, mbona nilinyang'anywa pale Namanga???? I'm talking by fact. Sipo kisiasa,... Hali ni tofauti na inavyoelezeka na kuwa reported... #Raphael Martin & Marc

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 5 ปีที่แล้ว +1

      Umesahau mlipomlazimisha atangaze baa la njaa???? Kina Temu wengi ni wapumbavu .

  • @yusufumalenda895
    @yusufumalenda895 5 ปีที่แล้ว

    Km mahindi yapo mpk reserve mbn unga umepnd

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 5 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo sio TRA..tatizo ni MFUMO MZIMA ulioasisiwa na CCM

    • @powerofchoice3176
      @powerofchoice3176 5 ปีที่แล้ว +1

      Unaongea pumba na kitu usichojua, unajua

    • @nondombilizi6624
      @nondombilizi6624 3 ปีที่แล้ว

      Pumbavu kabisa umasikini una kusumbuwa

  • @josephmajinge1650
    @josephmajinge1650 5 ปีที่แล้ว +2

    Anatafuta kura maana akishatuona wananchi kama punda mm nasema hayo kwasababua kasema mafao kutoa lkn hadi leo watumishi wake hawajakubali na yy mwenyewe hajauliza agizo lake limetekelezwa kwa kiasi gani kwa watu wake

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 5 ปีที่แล้ว +11

      Joseph Majinge tatizo nini kutafuta kura, sisi tutamchagua kama tulivyonchagua.
      Kutafuta kura ndio kazi ya kila anaesubiri kuchaguliwa uchaguzi mmoja ukiisha ujipange kwa mwengine.

    • @reubenbusanji2904
      @reubenbusanji2904 5 ปีที่แล้ว +9

      siyo dhambi kutafuta kura

    • @DrFatmaKhanPanAfrikan
      @DrFatmaKhanPanAfrikan 5 ปีที่แล้ว +13

      Huna aibu wewe. Kazi anayoifanya Rais Magufuli hajawahi kufanya yeyote kabla yake. Kura kwa hakika 95%✓✓✓★★★★★★★♥️🇹🇿🌻👏🏽 Magufuli Daima Juu Daima Oyeee ♥️🇹🇿🌻👍🏽👏🏽 UBaarikiwe Kipenzi Chetu Rais wetu Mwema Mzalendo Mwadilifu Mkweli Jasiri Mwenye-Enzi-Mungu-Allah-Subhana-Mlezi AkuTangulie Daima na AkuLinde Daima na Milele ♥️

    • @salumkhamis7818
      @salumkhamis7818 5 ปีที่แล้ว +6

      Wewe kweli joseph majinga

    • @yudamwinami6011
      @yudamwinami6011 5 ปีที่แล้ว +5

      Mpumbavu mkubwa