Wow! Jpm hapa umenichekesha . Eti watu wa TRA. Hawakusoma. Tatizo lililopo walizoea serikari zizopita walikuwa hawafwatiliwi . Kila kitu ilikuwa freedom .
MR. PRESIDENT DO NOT THINK THAT EVERY EDUCATED PEOPLE ARE CLEVER. LIKE I SAID THEY JUST CREEMING BOOKS. WHAT YOU NEED IS YOUR HEARD AND BRAIN TO WORK (THINK) . SO CHANGE THAT IDEA OF CHOOSING EDUCATED PEOPLE WITHOUT BRAIN.
Ni kweli muheshimiwa hata ukinunua.nyumba .pia wanakulipisha pesa nyingi na wao.pia wanataka pesa lakini ss dawa tushaijua tutawanyoosha tu TRA.na.kupenda rushwa kwenu kiukweli wananchi tumechoka
Kwako Mh.Magufuli Mheshimiwa mimi kula yangu utaipata iwapo tu utajibu masuali yangu haya - Kwavile wewe ni msema kweli. Na unadai unamuogopa Mungu : ___ 1. Uliahidi milioni 50 kila kijiji. Je! Ututajie kijiji Angalau kiMoja ulizowapelekea. 2. Utuambie hizo ndege. Ni nani alieizinisha ununuzi? Na zimenunuliwa kwa Kiasi gani. Na hadi muda huu zimeingiza faida Kiasi gani. Utuambie sababu za kuzuiliwa ndege zetu mala kwa Mala zikienda nje. Mbona zinaMADENI $ 133 milioni ? Utuambie wanaozipanda hizo ndege ni akina nani? 3. Utuambie Uwanja wa Chato wa kiMataifa ulijengwa kwa Kiasi gani. Nani alieizinisha . Na hela ya ujenzi imetoka wapi? Na kwanini Uwanja huo ujengwa kijijini CHATO ? 4. Utuambie zile Trilioni 1.5 mfuko wa hazina ya selikali zimepotea wapi? Au zimetumika vipi ? Na kwanini Ukamtumbua CAG Mzee Musa Asadi? 5. Mh.Laisi Utuambie kwanini vyombo vyako vya Dola vimeshindwa kuwatambua Na kuwakamata " KIKUNDI CHA WATU WASIOJULIKANA " .? kilichokuwa kinawanyonga Laia zako. Wengine kutekwa. Wengine kupigwa lisasi. Kama bado kipo inchini . Unawakikishiaje laia zako usalama wao? Ili Mo Dewji aondokwe Na hofu. 6. Utuambie wale " mafisadi wawili wa ccm " walioekeza nje ya inchi. Uliwachukulia hatua gani? Mbona hatukukuona ukifatilia miHela yao iyo kwenye Account za nje ya inchi? 7. Mh. Laisi unapoongelea COLONA. Kila kwenye kampeni zako. ivi ni Wapinzani ndio walioileta ? Na Je ! Imeondoka kwa Nguvu za mungu wa Chato au Mungu Mkuu wa mbinguni baada ya maombi yaliofanywa kanisani Na misikitini? 8.Mh Laisi ulidai uchaguzi huu utakuwa wa haki Na hulu. Mbona tayali tunaona wagombea wengi tu wa ccm Na wale wa upinzani wakienguliwa ? 9. Mh.Laisi uliahidi Utajenga mashule na MaHospitali hadi wilayani. Ni hospitali ipi iliojengwa hadi muda huu? 10. Mh.Laisi ulisema inchi yetu ni tajili sana. Mbona laia wako wanaishi maisha duni. Hela haionekani. ? Tunaowaona wakifaidika ni vigogo vya ccm / vigogo vya selikali na watu wa usalama taifa. Wanaozi kujenga majumba ya kifahali kila sehemu Bila ya wasiwasi. 11. Kwanini unawatumia wasanii kwenye kampeni zako zote.? Utuambie hiyo mikataba uliofanya na wasanii. .wanalipwa na hela za nani? 12 Mheshimiwa Laisi. Eti kama tunaitaji kuanzisha Kiwanda Tuanzie na CHELEHANI ngapi ? Suali la mwisho Muheshimiwa 13. Wanasema Ulitembea na shemegi yako. Je ! Ulizaa nae ? Au ulikuwa ukipita pita juu juu tu? KULA YANGU MHESHIMIWA NI KWAKO. UKINIJIBU VISUALI VYANGU IVO. BWANA YESU ASIFIWE ! CCM OYEEE !!
😄"Chai moto, kombe la bati, jua kali, pekupeku. Unaambiwa kunywa!!!" 😊"kwikwiikwiiiii.Bongo ile sio ya leo bhana!!!" 👴"Zama za kubembelezana na kulindana-lindana RIP"
Wale wa Chadema in blood muwe mnatoa hisia zenu. Mm huyu Raisi nampenda sana. Ati kuna mtu anajiita raisi wa Mbeya. Jamani!!! Watanzania wana vituko!!!
Tutamlaumu huyu mze kwamba ni mkali lakini watanzania walijisahau sana watu wanawabambikia watu madeni makubwa watu wanashindwa kufanya biashara mnamlaumu mze baba piga kazi Mungu atakulinda
Kweli kabisa baba nchi ni kodi. Mimi naishi us iwe hoter mfanyakazi anayetumika kutandika vitanda lazima check yake ikatwe kodi migahawa lazima ulipe kodi .
Nna wasi wasi nao hao unaowateuwa mh rais Tatizo ni wao na wizara zao Wanyonge bado wanalia lkn kwa Mungu watajibu, hatutoweza kumsukuma mtu sisi milioni 50 watanzania apenye kwenye tundu ya sindano mbele ya Mungu.bora wafukuze na uteuwe wanyonge ili nawe uje upate mwisho mwema, wasije kukukosesha pepo. kwani mtaulizwa🎁🎁🙏
Hapo ndipo Watz mtatambua kuwa pilipili siyo mboga. Changamoto siyo aina ya Rais bali ukosefu wa Mfumo wa kudumu na imara wa kusimamia mifumo mbalimbali Nchini.
Mjomba mmi japo c mwanachama wa chama chochote ila ni 1 mpenda mageuzi ya kweri ili kwa hiri mjomba 2po pa1. Ila2 mjomba labda nikupe nikupe neno hao viongozi wa t.r.a hata wabunge wengiwao ndani ya bunge akiwemo spika ndugai hao ndo wanaokuhujumu ili mwakani wamuweke mwizi wa nnchi anaeweza kuibanao
Usahau pia unakinyongo!!!!! Kwanini sheria muweke ya mtu kukadiria??? Upuuuzi!!! Utawabadilisha sana!! Kamishina hawexi kuwepo kila mahala!!!! Utapigwa sana!!! Mfumo!!! Maneno manenooooo!!
Nilimwamini sana Rais wetu ila kwa haya! Rais analalamika kama Mimi na we we du! sijui kama tutafika. Shida ya malengo binafsi au yakufikirika? Stglas, Rail ya kisasa kwa hela zetu! wakati bajeti iko wazi, ukweli tuambiwe tuu, mbona tunalipishwa kwa namna inayotuumiza hivi? Rais analalamika pengine kuliko walipa kodi! Serikali inabidi kujitafakari
Nyanda Misana ukitenda mema watu wanaweza kukuombea kumbuka yule mtu kwenye biblia aliombewa na watu kwa Yesu kwa sababu tu aliwajengea hekalu na Yesu akamsikiliza
Watu tulio wengi tunashindwa kuelewa kwamba maofisa wengi maofisini wanafanya kazi kwa woga mno. Hawako huru ktk kutekeleza majukumu yao. Wengi hujiuliza nikifanya maamuzi haya je yatamridhisha bwana mkubwa?!?!
This is JPM!! Penda sana rais wangu!!! MUNGU BABA AKUTUNZE MILELE!
WE NEED MAGUFULI IN KENYA JUST FOR A MONTH
SPONSOR 😂😂😂😂😂😂
No plz we need him for 20 yrs.
@@louisendunguru7106 hi 👋👋
Jamani watanzania tusome alama za nyakati nchi imebadilika hii. Yatupasa kufanya kazi kwa uadilifu sana.
Pliz tz tusaidieni na Rais Magufuli atawale kenya 2 weeks onlyy
Please please tusaidieni😂😂😂
Hahahahaha
Heshima kubwa kwa mheshimiwa Rais chapa kazi
"Waambie Tanzania is a peaceful country, politically stable" ninaikubali hii Kauli, viva Mhe. Magufuli.
JPM sijui ulikuwaga wapi ungeongoza hii nchi mapema tungekuwa mbali
Man in action not word, JPM kiukwel unastahili kuwa hapo.
Duuuuh!Safi sana mheshimiwa nakubali uamzi wako!Mungu akukumbuke
Ukicheka na nyani utavuna mabua. Nakupenda Sana Dr. JPM piga kazi
Tanzania sasa ni sehemu ya kuishi kwa mambo anayofanya mh raisi hata wazungu wataomba kuishi tanzania
Amen Amen. Pole Mzee wetu. Mungu akusaidie . Amen.
Safi mkuu mi nakuekewaga sana tangu zamani sana tena za kaleeee
Wow! Jpm hapa umenichekesha . Eti watu wa TRA. Hawakusoma. Tatizo lililopo walizoea serikari zizopita walikuwa hawafwatiliwi . Kila kitu ilikuwa freedom .
Dah asee Hongera JPM
Hongera sana rais wangu mungu akuongeze miakamingi sana yakuongoza nchihii miaka yote mpaka munguakupende zaidi
Mweshimiwa nakubali kazi unayopiga ni ya ukweli heee Mubarak rais wetu na pia mbarik mkuu wa mkoo wetu bwana Paul makonda pia ibarik tanzania
Uongozi ni shughuli ngumu sana waweza kuwa mwadirifu ila unaofanya nao kazi wakawa mabomu yakaja kukulipua
That's very true!!
Magufuri msema kweli .kukusanya kodiiiii
Rais uko smart kila sekta uko sawa.sijawai kuona mtu mwenye kipawa kama uyu baba.haiwezi kutokea tena.Piga kazi babangu.Ongera sana
Raisi wanaotumbuliwa wasishike tena nyazifa wapowengi mtahani wanao tafuta ajira
MR. PRESIDENT DO NOT THINK THAT EVERY EDUCATED PEOPLE ARE CLEVER. LIKE I SAID THEY JUST CREEMING BOOKS. WHAT YOU NEED IS YOUR HEARD AND BRAIN TO WORK (THINK) . SO CHANGE THAT IDEA OF CHOOSING EDUCATED PEOPLE WITHOUT BRAIN.
Wangapi mmeangalia hii baada ya report ya CAG ya 2023/2024
Tunaomba Mh Rais aaangalie sababu ya kupanda kwa ada za m-pesa elfu 5,000 makato 900 inatuumiza sana
Thomas umeongea point watu wanachekelea tumbuaaaa tumbuaa wanajisahau kuwa wanaliwa na mchwa wa mitandao
kila kitu yeye tu;;;.
Magufuri ulitakiwa uongoze zaidi ya miaka20
Sasa jmn hawa wanaoteuliwa na waliopo watafundshwa na jpm mpaka lini yani wamekuwa kama mazezeta pole father JPM una majanga na hawa watu tumbua
Sawa baba tunakupata vizuri mzee wetu Magu
Mzee hao Tra wanakuhujumu
He's actually sensible, and stands for truth and the benefit of every citizen! I love my president.
Ni kweli muheshimiwa hata ukinunua.nyumba .pia wanakulipisha pesa nyingi na wao.pia wanataka pesa lakini ss dawa tushaijua tutawanyoosha tu TRA.na.kupenda rushwa kwenu kiukweli wananchi tumechoka
kiongozi Shupavu ndiye Mwenye maamuzi.
Hata viwanja pia wanachukua pesa nyingi sana
Kwako Mh.Magufuli
Mheshimiwa mimi kula yangu utaipata iwapo tu utajibu masuali yangu haya -
Kwavile wewe ni msema kweli. Na unadai unamuogopa Mungu : ___
1. Uliahidi milioni 50 kila kijiji. Je! Ututajie kijiji Angalau kiMoja ulizowapelekea.
2. Utuambie hizo ndege. Ni nani alieizinisha ununuzi? Na zimenunuliwa kwa Kiasi gani. Na hadi muda huu zimeingiza faida Kiasi gani.
Utuambie sababu za kuzuiliwa ndege zetu mala kwa Mala zikienda nje. Mbona zinaMADENI $ 133 milioni ?
Utuambie wanaozipanda hizo ndege ni akina nani?
3. Utuambie Uwanja wa Chato wa kiMataifa ulijengwa kwa Kiasi gani. Nani alieizinisha . Na hela ya ujenzi imetoka wapi? Na kwanini Uwanja huo ujengwa kijijini CHATO ?
4. Utuambie zile Trilioni 1.5 mfuko wa hazina ya selikali zimepotea wapi? Au zimetumika vipi ?
Na kwanini Ukamtumbua CAG Mzee Musa Asadi?
5. Mh.Laisi Utuambie kwanini vyombo vyako vya Dola vimeshindwa kuwatambua Na kuwakamata " KIKUNDI CHA WATU WASIOJULIKANA " .?
kilichokuwa kinawanyonga Laia zako. Wengine kutekwa. Wengine kupigwa lisasi.
Kama bado kipo inchini . Unawakikishiaje laia zako usalama wao?
Ili Mo Dewji aondokwe Na hofu.
6. Utuambie wale " mafisadi wawili wa ccm " walioekeza nje ya inchi. Uliwachukulia hatua gani? Mbona hatukukuona ukifatilia miHela yao iyo kwenye Account za nje ya inchi?
7. Mh. Laisi unapoongelea COLONA. Kila kwenye kampeni zako. ivi ni Wapinzani ndio walioileta ? Na Je ! Imeondoka kwa Nguvu za mungu wa Chato au Mungu Mkuu wa mbinguni baada ya maombi yaliofanywa kanisani Na misikitini?
8.Mh Laisi ulidai uchaguzi huu utakuwa wa haki Na hulu. Mbona tayali tunaona wagombea wengi tu wa ccm Na wale wa upinzani wakienguliwa ?
9. Mh.Laisi uliahidi Utajenga mashule na MaHospitali hadi wilayani. Ni hospitali ipi iliojengwa hadi muda huu?
10. Mh.Laisi ulisema inchi yetu ni tajili sana. Mbona laia wako wanaishi maisha duni. Hela haionekani. ?
Tunaowaona wakifaidika ni vigogo vya ccm / vigogo vya selikali na watu wa usalama taifa. Wanaozi kujenga majumba ya kifahali kila sehemu Bila ya wasiwasi.
11. Kwanini unawatumia wasanii kwenye kampeni zako zote.?
Utuambie hiyo mikataba uliofanya na wasanii. .wanalipwa na hela za nani?
12 Mheshimiwa Laisi. Eti kama tunaitaji kuanzisha Kiwanda Tuanzie na CHELEHANI ngapi ?
Suali la mwisho Muheshimiwa
13. Wanasema Ulitembea na shemegi yako. Je ! Ulizaa nae ?
Au ulikuwa ukipita pita juu juu tu?
KULA YANGU MHESHIMIWA NI KWAKO. UKINIJIBU VISUALI VYANGU IVO.
BWANA YESU ASIFIWE !
CCM OYEEE !!
Watumbue baba.msema kweli mpenzi wa mungu
Hongera mh rais mungu akuzidishie uzima na afya njema
Tulichezewa mno rais wetu mungu akutangulie akupe afya njema
Mzee baba mm naomba tu unaibu waziri huo Moto mm ndo nauweza
Mnyonge mnyongeni... haki yake....
NICE SPEECH.
Dah kuongoza nchi n kaz
Pumzika kwa aman jpm
😄"Chai moto, kombe la bati, jua kali, pekupeku. Unaambiwa kunywa!!!"
😊"kwikwiikwiiiii.Bongo ile sio ya leo bhana!!!"
👴"Zama za kubembelezana na kulindana-lindana RIP"
Nimecheka sana
Wale wa Chadema in blood muwe mnatoa hisia zenu. Mm huyu Raisi nampenda sana. Ati kuna mtu anajiita raisi wa Mbeya. Jamani!!! Watanzania wana vituko!!!
@@badrudinrashidi7825 😀😀😀
WHAT WE DO AT SCHOOL WE JUST CREEM THE BOOKS , AND THAT EVERYBODY CAN DO IT . WHAT WE WANT IS ACTION.
Dawa ya wapenda vya dezo ni ndogo tu kujua majina yao na uzuri ni kuwa wafanyakazi wa serikali wanavaa vitambulisho na vina majina
Mh vipi kuhusu wastafu haki zao hadi wanakufa hawajapata tumbua na hawa wanakwama WAP?!
Kwamaamuz tu nakukubali
Watumbue baba wamezidi sn hawa
Mjomba magu naomba uwe baba wa taifa wa pill Tanzania ss masikini tunakuelewa sana
Hongera mh rais wangu sasa nitaanza kuipenda Airtel baada ya kuichukia miaka yote iliyopita.
Hahaaaaas
Kujengea wananchi nyumba nzuri zakuishi ni kodi
Kweli ni MUNGU ni mwema kweli tena ni mwesa wa kila kitu na hakuna mwingine badala yake HALLELUJAH
Formula ya mungu 😂😂😂
Tutamlaumu huyu mze kwamba ni mkali lakini watanzania walijisahau sana watu wanawabambikia watu madeni makubwa watu wanashindwa kufanya biashara mnamlaumu mze baba piga kazi Mungu atakulinda
Kweli kabisa baba nchi ni kodi. Mimi naishi us iwe hoter mfanyakazi anayetumika kutandika vitanda lazima check yake ikatwe kodi migahawa lazima ulipe kodi .
Tamaa,,, greedy will take us all to hell fire 🔥,,, tatizo lao tamaa tu roho hazija ridhika
Nna wasi wasi nao hao unaowateuwa mh rais
Tatizo ni wao na wizara zao
Wanyonge bado wanalia lkn
kwa Mungu watajibu, hatutoweza kumsukuma mtu sisi milioni 50
watanzania apenye kwenye tundu ya sindano mbele ya Mungu.bora wafukuze na uteuwe wanyonge ili nawe uje upate mwisho mwema, wasije kukukosesha pepo. kwani mtaulizwa🎁🎁🙏
Ukiwatoa uwafirisi. Maana wameshafisadi tayari. Sasa unatumbua na kuwaacha wale maisha.
Something is better than nothing 🙄🙄🙄 👏 👏
KICHERE AMESHINDWA CHUKUA KODI KWA BISHOP KAKOBE😉😉😉😎😎😎
Speed 180 magufuli
Sawa baba magu
Mhe. rais Magufuli akimaliza muda wake sijui tutapata wapi mwingine mwenye spirit kama yake.
Mungu wa mbinguni tuongoze.
Hapo ndipo Watz mtatambua kuwa pilipili siyo mboga. Changamoto siyo aina ya Rais bali ukosefu wa Mfumo wa kudumu na imara wa kusimamia mifumo mbalimbali Nchini.
Rais awaombe radhi messengers wote..kazi yao ni ya ajabu! 😂😂😂
Ukiilinganisha na ya umeneja wa forodha ndani ya tra kweli umessenger ni kazi ya ajabu
Haiwezekani mtu mwenye dhambi aende mbinguni et kisa watu wengi wamemuombea, matendo yake ndio yatamuweka mahari anapotaka
Nicca got two side 🤔🤔
Safisana mh. Rais waeleze ukweli
Pengine wanahisi hujawapa Uhuru huo walio wengi hawafanyi kazi kwa weledi wa taaluma zao ila wanaogopa huku wakisubiria kusukumwa
Katika siku ambazo nimekusikiliza mweshimiwa laisi leo umeongea ukweli mtupu
Hakuongea ukweli leo tu, kama ulikuwa hujui bac nikwamba anaongea ukweli siku zote...
Majosa Malundi k
Chumaa
Sema Raisi Wetu Hao Wanaonunua Mazao Shambani Wajitaidi Kupandisha Bei Kwa Wakulima Mana Kama Kodi Zinatolewa Hau Kupunguza Wakulima Wapewe Bei Nzuri
Its true...Something is better than Nothing...
Samahan jaman mwenye namba ya mheshimiwa raisi anipe tafadhali nateseka sana jaman
Wahivyo hatakwetu wapo ngongona dodoma
Maigizo tu haya ,yani anasifia kupandisha kodi huku anaponda malalamiko ni mengi
Mzee nakuelewa ujue
Mjomba mmi japo c mwanachama wa chama chochote ila ni 1 mpenda mageuzi ya kweri ili kwa hiri mjomba 2po pa1. Ila2 mjomba labda nikupe nikupe neno hao viongozi wa t.r.a hata wabunge wengiwao ndani ya bunge akiwemo spika ndugai hao ndo wanaokuhujumu ili mwakani wamuweke mwizi wa nnchi anaeweza kuibanao
Sasa nimekuelewa
Tumbua Tunduma
Mzee tumekukubali wazi wamezoea kutunyanyasa wanadhan nafas wameumbiwa wao hao ndio wanawafanya watu waish km tupo ukimbizn nchi mwetu dah hatar
Mng akupe miakaa km yoteee
Huu mwaka wa mafisad watanyooka tuu
Usicheke na mtu, we kaza tu one day tutaona matunda yake
walidekezwa sana
Unafanya vnzr baba
Wambie baba nadhani watakuelewa tu
Walegezee kidogo mkuu. Duuu 180 naona
Hamna kulegeza hapa
Usahau pia unakinyongo!!!!! Kwanini sheria muweke ya mtu kukadiria??? Upuuuzi!!! Utawabadilisha sana!! Kamishina hawexi kuwepo kila mahala!!!! Utapigwa sana!!! Mfumo!!! Maneno manenooooo!!
Uko vizul baba endelea vnyohinyo
Twende kazi ata uku wapo
tumbua wajingajinga wote wanao jinufaisha wenyew nchi c mama zao ni yawatanzania wote penda sana rais wngu
kodi kubwa mnoo
Sasa rais unatuhambia kodi kodi kodi, ila atuhoni kodi yetu inafanya nini? Barabara atuna kabisaaaaa. Dar kwenyewe barabara akuna. Kodi kodi kodi.
Huna busara
Mzee Wabusara kumbe huon eeh yanayofanyika bac watoto wako ama ndugu zako wataona
Barabara za Dar ni mahandaki utadhani hatulipi kodi mbalimbali!
Bonge la presida
👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Mzee kwani vipi! hutaki tena yale makusanyo ya kuvunja record 1.3 trillion? Au sasa unataka turudi kule kwa 0.8 trillion?
Ni kweli mh sasa unajenga taifa letu na mataifa mengine yataiga
mmmh asijal tutamsukuma ataingia tyuu mbingunii😅😅😅😅😅
Ninatamani, sana rais wangu, utawale miaka yoteeeee, uliyopewa na munguu
Hawa watendaji wangekuwa na akili robo tu za muheshimiwa Rais basi nisingekuwa na haja ya kuzeeka mapema.
Nilimwamini sana Rais wetu ila kwa haya! Rais analalamika kama Mimi na we we du! sijui kama tutafika. Shida ya malengo binafsi au yakufikirika? Stglas, Rail ya kisasa kwa hela zetu! wakati bajeti iko wazi, ukweli tuambiwe tuu, mbona tunalipishwa kwa namna inayotuumiza hivi? Rais analalamika pengine kuliko walipa kodi! Serikali inabidi kujitafakari
Haha, Mbinguni huendi kwa sala. Mungu ndiye anayeamua kutokana na matendo yako.
Cant you get a joke? Geees!
Rais tumepata
Nyanda Misana ukitenda mema watu wanaweza kukuombea kumbuka yule mtu kwenye biblia aliombewa na watu kwa Yesu kwa sababu tu aliwajengea hekalu na Yesu akamsikiliza
Zilipendwa enzi za kupiga dili mh jpm tumbua hao
Kweli ni MUNGU ni mwema kweli tena ni mwesa wa kila kitu na hakuna mwingine badala yake HALLELUJAH
Sawa baba magu
Wambie baba nadhani watakuelewa tu
Watu tulio wengi tunashindwa kuelewa kwamba maofisa wengi maofisini wanafanya kazi kwa woga mno. Hawako huru ktk kutekeleza majukumu yao.
Wengi hujiuliza nikifanya maamuzi haya je yatamridhisha bwana mkubwa?!?!
SAFISANA, TENAWATOE MOJAKWAMOJA WAKALIME, TUNAKUOMBEA RAIS WETU UDUMU TENA UWE RAIS WAKUDUMU