@@OscarAsukenie inaweza ikawa 220v lkn currenti 0.00001A, itashindwa hata kuchaji simu. Umeme una vitu vitatu vya msingi, current(A) volt(V) na resistance(R) , ni somo pana kidogo kwa coment huwezi elewa
Hiki chuo kina mainjinia nao wanapigwa kamba nao wanakubali. Tanzania elimu ni danganya toto, chuo kimeruhusu kutengeneza mashine isiyowezekana? Hili taifa lina ujinga mwingi sana
@@amanijampion3045 phisikia hicho kitu ilishaifanyia kazi kwa ukubwa mno, sio maramoja. Wajinga wengi wamepambana sana na hicho kitu, ndo phisics ikaja na majibu ya kwa nini hicho kitu hakiwezekani, hapo ni sawa na kusema kunakiumbe hai hakiwezi kufa je inawezekana? Kuna sheria ya newton inaitwa conservation of energy hyo ndo imemaliza kila kitu, usipo ielewa hyo sharia matokeo yake ndo haya
Hongera sana
Hapo kanuni za nishati zinagoma. Kilichofanyika ni energy transformation
@@hassanmtitu1687 watu wanapambana na kucreati energy kitu ambacho hakipo, basi wanajihisi ni wavumbuzi kumbe ni matokeo ya kuigopa physics
Hiko hakiwezekan maan ake n perpetual motion
Naomba namba ya mawasiliano ya huyo mbunifu wa mashine ya kufua umeme.
220vac ina power kiasi gani? Au ina uwezo wa kuendesha vitu gani kwa wakat mmoja?
@@OscarAsukenie inaweza ikawa 220v lkn currenti 0.00001A, itashindwa hata kuchaji simu. Umeme una vitu vitatu vya msingi, current(A) volt(V) na resistance(R) , ni somo pana kidogo kwa coment huwezi elewa
Hiki chuo kina mainjinia nao wanapigwa kamba nao wanakubali. Tanzania elimu ni danganya toto, chuo kimeruhusu kutengeneza mashine isiyowezekana? Hili taifa lina ujinga mwingi sana
Kwa nini haiwezekani? Falsafa za sayansi na fizikia zinabadilika