hii elimu yake aliyonayo ndio imefanya Nnchi kama China kukuwa zaidi ki technolojia na uchumi ,hili kwa nnchi zetu za kiafrika linaturudisha nyuma sana. Nafikili ipo haja ya sisi kama nnchi inabidi tukae pamoja na kulijadili hili . huyu jamaa kama kweli wataalamu wazawa wote tukikutana kuna kitu kikubwa sana kama nnchi tutakivumbua ,kikubwa sana naomba tuwasiliane tu aisee
Wewe asili ya akina Gwajima Hongera sana
Nilishawahi kufikiria hii, safi sana bro natamani niwe karibu yako❤
Hongera Sana Kwa Kipaji choko Mungu akuzidishie kipaji zaidi na zaidi.
I'm very impressed aisee ...endelea kupambana mkuu siku moja utafanikiwa zaid.
Kazi aise hongera sana kazi iko juu
Umefanya Jambo la maana Sana sikuamini free energy wheel ya mchina mpaka nimeona inayo
Hongera Sana!
This guy is Very right.
Kiongozi Yuko vizuri🔥🔥
kabsa kaka wabunifu wako weng sana tatzo sapot tu
Kwa swala la free energy ni uongo coz inapingana na laws of physics broo
hii elimu yake aliyonayo ndio imefanya Nnchi kama China kukuwa zaidi ki technolojia na uchumi ,hili kwa nnchi zetu za kiafrika linaturudisha nyuma sana. Nafikili ipo haja ya sisi kama nnchi inabidi tukae pamoja na kulijadili hili . huyu jamaa kama kweli wataalamu wazawa wote tukikutana kuna kitu kikubwa sana kama nnchi tutakivumbua ,kikubwa sana naomba tuwasiliane tu aisee
Bro hiyo ukiwa umelala kichwa kinatulia asili ya ubongo urudia kupitia matukio ulioyafanya ndo maana wagunduzi wengi hawakuwa na family
Uyu jamaa anaongea ukweli ongera
tatizo la afrika ndio hili hawa wachawi au wabunifu wanakufaga na siri zao... baadala ya kufundisha watu
Sawa mkuu
Hamna kitu kama free energy,ni utapeli,labda utumie solar,kwenye physics it's impossible kuzalisha nguvu bila kutumia nguvu.
Unataka kusema katumia nni ssa? Wwe kama engineer ?