Ukichaji gari hili la umeme nyumbani kwa umeme wa elfu 20 unatembea kwa zaidi ya kilometa 300

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 ปีที่แล้ว

    Wafanyabishara tz wamechelewa sana kuleta EV

  • @sifuelinyaki3341
    @sifuelinyaki3341 23 วันที่ผ่านมา +2

    Woi hii ni hasara ulitakiwa utumie luku ya afu tatu.

    • @HeliudKasonso
      @HeliudKasonso 19 วันที่ผ่านมา

      Kabisa yan erfu ishilini ruku sibora niweke mafuta

    • @sifuelinyaki3341
      @sifuelinyaki3341 19 วันที่ผ่านมา

      @HeliudKasonso hee banh nakubaliana na wew kbs..

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 หลายเดือนก่อน

    Bei ya hiyo gari ninunue

  • @vedastusmalimi5176
    @vedastusmalimi5176 3 หลายเดือนก่อน

    Mtoa maelekezo, how long/ durable the batteries is?. Na Gharama za battery replacement!?, reliability ushasema, 270, 300 hadi 340 km per full charge.

  • @CallieNoela-ey6qb
    @CallieNoela-ey6qb 7 หลายเดือนก่อน

    Asanta salut❤

  • @daviddeus6437
    @daviddeus6437 3 หลายเดือนก่อน

    Iv mnampango kuu biashra ya mafuta mnataka mwarabu ale wap

  • @savannahspace
    @savannahspace ปีที่แล้ว

    The most expensive part is battery replacement when the battery dies. It's like buying another car. But otherwise, the technology is good for our planet!

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 5 หลายเดือนก่อน

    Yakiwa mengi kodi inaongezwa kwenye LUKU😅😅😅

  • @Avith-lj2sp
    @Avith-lj2sp 4 หลายเดือนก่อน

    Nina charging stations in dar es salaam

  • @daudiswae2684
    @daudiswae2684 5 หลายเดือนก่อน

    Bei gani hiyo gari?

  • @YoungTiger-z4h
    @YoungTiger-z4h 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa uchaji siku nzima Yani hiyo kazi hapana kiukweli

  • @modomfupi9972
    @modomfupi9972 4 หลายเดือนก่อน

    Kibongo bongo bado .. hizo gari maintainace cost na teknology ipo juu qlaf atuna specialists sio za kumpelekea fund nyundo hizo .. ila pia mfumo wa uumeme ukizingua kufix sio kitoto ni mambo ya computer apo aisee na hzo battery zikifka bei yake unanunua gar mpya showroom

    • @BoscoSiria
      @BoscoSiria หลายเดือนก่อน

      Wabongo bwana kwa kukosoa