NOMA!! KIJANA WA KITANZANIA AMETENGENEZA PAMPU YA MAJI INAYOTUMIA KADI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 65

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 5 ปีที่แล้ว +3

    Kweli we chamsingi usisubili Serikari, itakuchelewesha itakwambia uende Veta. naomba anzisha kampuni yako itakuwa kubwa sana kwasabu watu tunahitaji sana big up na Hongera sana bonyeza picha kujifunza vitu vingi subscribe like Share na rafiki zako

  • @matingo-bk1248
    @matingo-bk1248 5 ปีที่แล้ว +7

    Kazi mzuri ayo tv kutangaza vipaji na ubunifu unaopatikana Tanzania, Ionesheni dunia kuwa hata Tanzania tuna magenous

  • @bushiyadotto5266
    @bushiyadotto5266 5 ปีที่แล้ว

    hongera kk gibson kawago mungu akutangulie kipaji chako kitaonekana

  • @Deboracharles-pw6wg
    @Deboracharles-pw6wg 11 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kumbe umetoka mbali

  • @franceslenis4512
    @franceslenis4512 5 ปีที่แล้ว

    Brilliant Mr mseminari make a company

  • @manyandatimoth7
    @manyandatimoth7 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Millard hii ni kazi nzuri sana

  • @christiantariq7263
    @christiantariq7263 5 ปีที่แล้ว

    Hahaha dgo nimesoma nae o-level nilimtangulia darasa moja pale don bosco seminary....alikuwa mbunifu kwel...he is gifted for real

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 5 ปีที่แล้ว +1

    Here you are.....

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 5 ปีที่แล้ว

    Masha allah

  • @aginiweyessayakyando9855
    @aginiweyessayakyando9855 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana nimependa kazi yake lkn ni mtu confidence sana anajua sana anachokifanya

  • @deokalonga127
    @deokalonga127 5 ปีที่แล้ว +1

    Ombi la sim namba yake nijue bei yake, Kasoro niliyoona kaongeza kadi haifai kwa wanavijiji hatubagui mtumiaji.
    Nabii wa milenia hii ya sayansi na teknologia. Mkulima Puge Tbr Tanzania.

    • @snetiengineering_hub
      @snetiengineering_hub 5 ปีที่แล้ว

      Tuma msg kupitia number hii 0715 106 973 hii ni yangu kisha niaangalia u serious wako ili nikupeleke moja kwa moja kwa mtaalam

  • @bakariluhala7332
    @bakariluhala7332 5 ปีที่แล้ว +1

    GiB carter upo fresh kaka Iringa wanakutegemea kwaajili ya ubunifu Na ugunduzi zaidi

  • @alonesamson8508
    @alonesamson8508 5 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana gipson

  • @MISHIONARYSHUKURU
    @MISHIONARYSHUKURU 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba za kijana huyo

  • @jescaswai2343
    @jescaswai2343 2 ปีที่แล้ว

    Serikali isipouona mkono wa mzungu kwenye jambo lolote wanafunga macho roho za kwann na mipango ya kutaka mtukati kwenye kila kitu tunawavunja moyo watu kama hawa,inaumiza SANA

  • @lunyatheprodigy
    @lunyatheprodigy 5 ปีที่แล้ว

    mngempa na muda wa kuonesha ufanyaj kazi wa pump hiyo.....ingekua poa sana

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 2 ปีที่แล้ว

    Tuambieni uwezo wa pampu hiyo ni kumwagilia ekar ngapi kwa muda gani au inaweza kutembeza maji umbali gani pia weka namba ya mawasiliano

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 5 ปีที่แล้ว +3

    Sasa hapa ndio tunataka,

  • @issackjapan8510
    @issackjapan8510 5 ปีที่แล้ว +1

    Great a man is to implement his dreams

  • @saidmosh2550
    @saidmosh2550 5 ปีที่แล้ว

    Good

    • @saidmosh2550
      @saidmosh2550 5 ปีที่แล้ว

      Vizur Umelifanyia kaz wazo lako

  • @belamicheal3353
    @belamicheal3353 5 ปีที่แล้ว +2

    Jaribu kuongezea uzuri hiyo systems uifunike isiwe inaonyesha hizo waya waya sana utafika mbali

  • @fazobean2487
    @fazobean2487 5 ปีที่แล้ว +1

    noma kwel

  • @chefsbakingshop3130
    @chefsbakingshop3130 5 ปีที่แล้ว

    Uko wapi nikotiari uje uniunganishie nyumbani kwangu

  • @emmanuelmasali8449
    @emmanuelmasali8449 3 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako ya simu

  • @jumabusabi4081
    @jumabusabi4081 4 ปีที่แล้ว

    Dogo nifollow inbox nimeispire your work

  • @maligisadotto8631
    @maligisadotto8631 5 ปีที่แล้ว +2

    Naomba namba yako kijana Gibson tafadhali.

  • @tuphujekumuhkunonyiile3739
    @tuphujekumuhkunonyiile3739 5 ปีที่แล้ว

    Mm mawazoyangu hawa wabunifu wote TANZANIA wangeandaliwa sehemu moja kilamwaka waonyeshe vipaji vyao iwe kama maonyesho ili wagunduzi wayambulike wapate mikopo

    • @snetiengineering_hub
      @snetiengineering_hub 5 ปีที่แล้ว

      Kutengeneza mfumo hadi ukamilike kuna gharama kubwa sana broh

  • @mariuscyprian1235
    @mariuscyprian1235 5 ปีที่แล้ว +1

    Dawasa wamchukue ili hawasaidie kwenye shuguli zao

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 3 ปีที่แล้ว

    Mimi sijaona kipaji apo nikupoteza muda tu

  • @osmanmustafa2925
    @osmanmustafa2925 5 ปีที่แล้ว +1

    Dogo mjanja nimekuelewa hatabkujieleza unajiamin Zaid that's good

  • @mtuwawatumtunamtu2520
    @mtuwawatumtunamtu2520 5 ปีที่แล้ว

    Ongera kwa hilo. Lkn hata hivyo wametengeneza watu.

  • @nehemiahbudi5753
    @nehemiahbudi5753 5 ปีที่แล้ว +2

    ,serikali na watu binafsi ni wadau wanaweza kukusaidia au lah hakuna uwakika, cha msingi atafute mtaji kwa kuwafanyia hiyo huduma watu wanaohitaji halafu anzishe kampuni na alipe kodi. Akitumia njia hii atafika anapotarajia.

  • @michaelipius2660
    @michaelipius2660 5 ปีที่แล้ว

    👏🏽👏🏽👏🏽🔥🔥🔥

  • @emmanuelmkeba7901
    @emmanuelmkeba7901 5 ปีที่แล้ว +1

    Serikali imtumie ili tuwe na vyetu ili hii iwe Tanzania ya viwanda anayotaka mheshimiwa Raisi wetu Magufuri

  • @philiposhemaiya6607
    @philiposhemaiya6607 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi san bro tz inahitaji san wat kama nyie

  • @iddymbuma5272
    @iddymbuma5272 5 ปีที่แล้ว

    Anaehojiwa anaongea kama radio

  • @minhokid604
    @minhokid604 5 ปีที่แล้ว +1

    Ebwaaaaana ehhhh HIKI NI KICHWA NO MATTER WOT, AFU KIPO NA ROHO NZURI

  • @rajabumasembe3366
    @rajabumasembe3366 2 ปีที่แล้ว

    No.yako ya whats up tafadhari.

  • @mozzaninga2380
    @mozzaninga2380 2 ปีที่แล้ว

    Nianomba namba yako samahan

  • @MajaxiFx
    @MajaxiFx 5 ปีที่แล้ว

    Wizara ya maji kazi kwenu badilini mfumo kijana ameonesha kitu iwe chachu kwenu kuuweka mfumo mkubwa katika vyanzo vya maji adi majumbani

  • @fundi.505
    @fundi.505 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mtangazaji fake sana !!yani nasikiliza interview yote na sijaelewa nini huyo mvumbuzi kagundua

  • @khatibalamin401
    @khatibalamin401 5 ปีที่แล้ว +1

    Prototype 😅😅😃

  • @mahamedismail601
    @mahamedismail601 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu msaidieni millard ayo serekalini anahitajika huyu

  • @bahatihassan
    @bahatihassan 5 ปีที่แล้ว

    Kwel kijan hay nimatumiz druino

  • @famitoissanawanda7011
    @famitoissanawanda7011 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbona anaongea asicho ulizwa?!!!

  • @tollesmbekwe1742
    @tollesmbekwe1742 5 ปีที่แล้ว

    Kaka nakubali kazi yako ningependa kujifunza kutoka kwako 0620137541 naitwa Daudi

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 5 ปีที่แล้ว

    Dogo una akili

  • @jeanbonnet-michel4974
    @jeanbonnet-michel4974 4 ปีที่แล้ว

    bin bin

  • @minhokid604
    @minhokid604 5 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @rajabumasembe3366
    @rajabumasembe3366 2 ปีที่แล้ว

    No.yako ya whats up tafadhari.

  • @rajabumasembe3366
    @rajabumasembe3366 2 ปีที่แล้ว

    No.yako ya whats up tafadhari.