Kaka naomba msaada,Mimi nimeanza biashara toka mwaka 2015,lakini sipigi hatua yoyote ktk hii biashara,ni Kama biashara yangu imedumaa,nafika wakati nahisi kukata tamaa,maana natumia nguvu nyingi Ila matokeo ni madogo saana,tafadhali naomba msaada
Bro mm napata utata nisaidie, ktk ktabu hatua 6 za kujiajiri umeshauri njia Moja wapo inayowafelisha wengi n kufanya mambo mengi (Lack of focus) sasa nawezaje kupanua biashara yang km sitaongeza matawi mengne?
Asante sana life coach .Nikama kuchukua idea ileile mtu mwingne Anaya ifanyia kazi nakwenda mahari pengine kufanyia Kaz👏
Yaan sometimes unaeza kumwangalia mtu ukatamani angekuwa ata ndugu yako ... Much love to you Kaka Joel , nakuelewa sana .
Na wewe unaweza ukawa ili wengine watamani hata ungekuwa ni Dada yao , unaweza ukawa mfano wa kuigwa
Nahitaji kitabu joel
My brother ur still BLESSED 🙏🙏 FOREVER FROM GOD✨✨✨✨✨🌟🌟⭐✨✨⭐🌟🌟✨🌟🌟⭐⭐🌟
Ubarikiwe kaka Joel
I appreciate Br thanks for proceeding to give us more knowledge especially business knowledge,God together with you.
Asanteee Mwl nimeongeza maarifa mengine tena
Kaka hongera sana nakuelewa! Ila maomba ushauri kuhusu biashara ya saroon ya kiume nmna ya kuiendesha au kuisimamia please.
Asante hii elimu
Thank you kk joel god bless you
Be blessed
Five star for you!
Safi nimekupata
Big up again bro..see you at the top zone
Asante bro
Kaka naomba msaada,Mimi nimeanza biashara toka mwaka 2015,lakini sipigi hatua yoyote ktk hii biashara,ni Kama biashara yangu imedumaa,nafika wakati nahisi kukata tamaa,maana natumia nguvu nyingi Ila matokeo ni madogo saana,tafadhali naomba msaada
Tuko pamoja kaka Joel
Cool lessons always
Bro nawezaje kujoin madarasa yako
Tunaomba uje hosipitali ya rufaa ya kanda mbeya(MZRH) nakufuatilia Sana training zako zimenipa matokeo mazuri,je Una mafunzo ambayo ni audio?
asante
Asante sana kaka
Thank you brother
Nakufatiliaga sana uko vzr
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
✍
Bro mm napata utata nisaidie, ktk ktabu hatua 6 za kujiajiri umeshauri njia Moja wapo inayowafelisha wengi n kufanya mambo mengi (Lack of focus) sasa nawezaje kupanua biashara yang km sitaongeza matawi mengne?
Kujiajiri ni raaha sana nidham binafsi inahitajika.
Kufanya kazi kwa Bidii
Ukiwa na mikakati inayowezekanika kutimiza ndoto zako
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇨🇵🇨🇵
Nauza handbag karibu tuwezi kupiga hatua