Jinsi ya kupanga malengo kitaalamu Paul Magola

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ค. 2019
  • tatizo la watu wengi kushindwa kutimiza malengo hutokana na kushindwa kupangilia malengo yao katika mpangilio sahihi . Kupitia video hii Paul Magola amechambua na kutofautisha aina za malengo na jinsi ya kuyapanga kitaalamu .
    Kwakujifunza zaidi unaweza ku subscribe kwenye channel yetu ya Paul Magola
    au kwa maoni na ushauri tuandikie;
    magolapaul@gmail.com
    #paulmagola
    @paulmagola

ความคิดเห็น • 16

  • @farijanibakari9018
    @farijanibakari9018 ปีที่แล้ว

    Good Mr welcome tanga bumbuli

  • @datiuskamushanga8972
    @datiuskamushanga8972 4 ปีที่แล้ว +2

    Namiss 90 yangu mkuu

  • @johnmakame8449
    @johnmakame8449 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kaka sema jina tumeshea me john magola

  • @mpazijuma962
    @mpazijuma962 3 ปีที่แล้ว +1

    I really enjoyed that day, may Almighty God raise you up bro.

  • @wilsonkitundu8835
    @wilsonkitundu8835 2 ปีที่แล้ว

    We n mkali cn kaka mungu akupe maixha marefu kwa elim unayoitoa

  • @priscamaganga4136
    @priscamaganga4136 2 ปีที่แล้ว

    Je ukitaka kufanikiwa katika masomo

  • @mathiashenerco3698
    @mathiashenerco3698 ปีที่แล้ว +1

    Malengo madogo madogo ndio kama yapi??

  • @annastaziachille2204
    @annastaziachille2204 4 ปีที่แล้ว +2

    Tuyakutafuta magola tutakapofikia hatua ya pili, tuko 7 tunajipanga kuanzisha mradi. Tumeshaanza kuchukua hatua ya malengo ya muda mfupi kwa ajili ya kufanikisha lengo LA muda mrefu

  • @octaviankulaya9839
    @octaviankulaya9839 3 ปีที่แล้ว

    Paul nimepata madini mengi na nikupongeze sana na jifunza mengi sana toka kwako

    • @paulmagola1842
      @paulmagola1842  3 ปีที่แล้ว +1

      Amen kaka usisahau kushea na wengine video zinazokupendeza ili unisaidie kubadirisha wengi zaidi kaka

  • @emanuelsengenge8043
    @emanuelsengenge8043 2 ปีที่แล้ว

    Kaka mm nina kipaji cha kuimba ila cjui namna kukuza kpaji changu ili kila m2 aweze kukitambua

  • @allyzahoro655
    @allyzahoro655 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba zako kaka nahitaji Sana msaada wako kaka

  • @priscamaganga4136
    @priscamaganga4136 2 ปีที่แล้ว

    Je ukitaka kufanikiwa katika masomo