KANUNI NANE ZA MATUMIZI YA SIMU - JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 89

  • @janetmbwana553
    @janetmbwana553 4 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂 àsante sana kaka Joel kiukweli Mimi ni mhanga wa mipayuko, Yan daah niwe popote napokea tuu na sauti juu khaa Yan apa naona aibu wallah🤣🤣🙌🙌🙌🙌na naacha rasmi

    • @Madam255
      @Madam255 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂upone

  • @neemasempombe1853
    @neemasempombe1853 ปีที่แล้ว +13

    All people should listen this For sure 😊

    • @furahakabage4464
      @furahakabage4464 ปีที่แล้ว +1

      Kwa kweli hii ni muhimu mnoo kwetu sotee🎉

  • @shijandoya1780
    @shijandoya1780 ปีที่แล้ว +2

    Habari yako Joel nashida na vitabu vitatu ,TIMIZA MALENGO 2.NJINSI YA KUTOKA KWENYE MADENI, KANUNI ZA MAFANIKIO

  • @KhajraMchimae
    @KhajraMchimae 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika ww ni msaada katka maixha yangu,, Mungu aendelee kukupa maarifa ili tupone 🙏🙏

  • @mahambagislain9618
    @mahambagislain9618 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atusamehe sana tume kosea watu wengi bila kujua, asante kwa somo nzuri sana, ya kuongeza ina omba mbele mtu anunue simu apate mafundisho kwanza, ✍️🇨🇩

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 ปีที่แล้ว +2

    WaTanzania na Waaftica hiyo inatusumbua mno ,Asante saana hadi saa 8 usiku wanatuamsha aise

  • @mansourkhamis457
    @mansourkhamis457 ปีที่แล้ว +4

    Nanauka leo umenichekesha sana Haha 😂😂😂😂 (Ety Okay sawa tumeshajua umeongea na waziri lkn inatusaidia nini 😂😂😂) Big up sana nanauka

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  ปีที่แล้ว +2

      😅😅😅

    • @hildakayun6445
      @hildakayun6445 3 หลายเดือนก่อน

      SI wazir tu hapo kwenye shangaz mchawi nacheekaa mpka 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ponsianaprotas8990
    @ponsianaprotas8990 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa Elimu nzuri. Joel wale wa kupayuka, umenichekesha san. Mimi huwa naona aibu badala yao. Nahisi huwa wanaongea na viziwi nusu.

  • @elisawildlife5358
    @elisawildlife5358 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa somo Zuri sana Life Coach, nishawah kukuta missed call 42, 38 za mtu Mmoja niliogopa sana nikawaza kapatwa na nn...🤣🤣
    lakin hizi 4 za watu wa na baadae nilivyomrudia hakuwa na jambo kubwa sana.
    Kuna vitabia vingine vinakera
    1. mtu anaepokea simu Kisha anakaa kimya anakusikilizia kwanza ww😂🙌🙌
    2. Mtu anaepigiwa simu na ana muda wa kupokea lakn anaacha inaita mpka karibia ikate Kisha ndo anaipokea🤔

  • @arseriusrutaihwa179
    @arseriusrutaihwa179 ปีที่แล้ว +1

    Namba nane inakera sana. Tunajifunza kila siku, unakutana na zinazokukera lakini pia kuna kanuni ambazo unazikiuka 😂. Asante sana

  • @MariamuChidaga-bp1rr
    @MariamuChidaga-bp1rr ปีที่แล้ว +2

    Nashukuru sana kwa kufundisha hizi kanuni nimefurah sana ,pia nimejifunza kitu kikubwa hasa iyoo ya 7 aloooo huwa inakera sana lakn umenisaidia sana iyoo ya 8 ni mm kabsaa 😂😂

  • @academiazsoft
    @academiazsoft ปีที่แล้ว +2

    Ahsante sana... was waiting

  • @geoffreylema-wt2yd
    @geoffreylema-wt2yd ปีที่แล้ว

    Ahsante sana Kwa elimiu hiyo,Mimi nimeshakutana na kama zote,na pia nimejifunza mengi nililokua nayafanya nilizania ni ushamba kwangu.

  • @furahakabage4464
    @furahakabage4464 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli zote ni muhimu sanaaaa lakini hiyo ya tatu ni kama dharau Kwa huyo aliyepo hapo maana haiwezekani unaongea Naye lakini AKILI yako bado inaendelea na Mengineyo Kwa mwingine 🎉🎉

  • @PriscillaMunishi
    @PriscillaMunishi ปีที่แล้ว

    Asante sana nimejifunza.Nimekutana na upo kwenye kikao unasikia simu inalia kama bomu, upo kwenye daladala unasikia anaongea kwa sauti asema mimii nipo Dodoma Mjomba kumbe yupo Dar.

  • @Ipyanag
    @Ipyanag ปีที่แล้ว +3

    Thanks Joel. Was waiting as well. Blessed.

    • @Ipyanag
      @Ipyanag ปีที่แล้ว

      Nimekutana nazo zote. Na moja nilikuwa nikiifanya mara chache nikiwa nimepanick au nataka majibu ya haraka katika KAZI.

  • @upperclass68
    @upperclass68 3 หลายเดือนก่อน

    yourso legend for my future

  • @rizikylaizer1602
    @rizikylaizer1602 ปีที่แล้ว +1

    Mm Huwa najitahidi sana hizo vitu but wenzangu na mm wanaonaga kawaida tu

  • @antonyojode5500
    @antonyojode5500 25 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe kaka video zako zimenifanya change🙏🙏

  • @user-je5wy4bi4d
    @user-je5wy4bi4d ปีที่แล้ว +2

    Broo kwa asilimia kubwaa hivyo ulivyovizungumzaa nimekutana navyo au baadhi ya vyengine nimevifanya kwa Bahati mbaya,
    ila watu wanaonishangaza ni Waleee wanao ongea viasi vya pesa ndefu utasikia usiwaze hiyo MILION 60 ntakufoardia mda sio mrefu,
    wakati hapo una jero lako la nauli unalipapasa mfukoni kila wakati lisije likayayuka ukashindwa kulipa nauli ya daladala,😂😂
    Ila hongera sanaa bro kwa kazi nzuri na Mungu akubariki sana.Ameen

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  ปีที่แล้ว +2

      😂 ndio maisha yalivyo

    • @user-je5wy4bi4d
      @user-je5wy4bi4d ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka Haya kaka nashukuru

  • @bonifacewanyonyi3555
    @bonifacewanyonyi3555 ปีที่แล้ว

    Asandi pro nakufwatilia sana kutoka Kenya nakukupali sana❤❤

  • @hildamasonda6528
    @hildamasonda6528 ปีที่แล้ว

    Wooooooh hili somo vzr sana asante

  • @user-ib9cs4rf8m
    @user-ib9cs4rf8m ปีที่แล้ว

    Asate sana kaka joell umetufunndsha wengi😊

  • @Khadij-v3m
    @Khadij-v3m 14 วันที่ผ่านมา

    Jamni kwanza nimefurahi mie apo kwenye no 8 duu noma sana

  • @BarakaMartin-ge7tf
    @BarakaMartin-ge7tf 11 หลายเดือนก่อน

    Sawa kaka

  • @ipyanamwaisekwa8209
    @ipyanamwaisekwa8209 ปีที่แล้ว +1

    Mwl. Hii Elimu wengi hawaizingati na tunaoishi nayo tunaonekana tunadharau, na huwa tunaambiwa tutakosa Fursa. Mimi kuondoka mazabe haya nina namba mbili "block" na "unblock" nikiwa Kikao, darasani ninafundisha au mahali ambapo ninaona simu inaweza kuwa kwazo ninacall Block na inablock incoming calls zote, ila ntapokea Sms zinazoonyesha nilitafutwa, then nikimaliza shughuli husika ninacall Unblock naendelea na maisha ya kawaida.
    Kuna watu Simu ni zaidi ya mtoto wake 😅 yaaani ikiisha charge au mtandao hamna moyoni na akilini anahisi kama kuna kitu kimeondoka

  • @nassoromussa2423
    @nassoromussa2423 ปีที่แล้ว

    Dah! Yaani ucku wa Jana tu nilikutana na huyo wa nane (8). Mbona nilijuta!

  • @rejoicekamonya8995
    @rejoicekamonya8995 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mwalimu

  • @KhajraMchimae
    @KhajraMchimae 3 หลายเดือนก่อน

    Ila nimecheka hapo ukipiga cm mara nyingi,, unaseviwa msumbufu🤗🤗🤗🤗,, mwisho mara 2 sasa

  • @sixberthcostantini9290
    @sixberthcostantini9290 ปีที่แล้ว

    Jambo jema snaa kaka

  • @mtotompole1040
    @mtotompole1040 ปีที่แล้ว

    Nakukubali Sana Mwalimu Wangu 😊

  • @girshonmatha1037
    @girshonmatha1037 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo zuri

  • @user-yw1jr8pi5h
    @user-yw1jr8pi5h 5 หลายเดือนก่อน

    umetisha sana nilikuwa vibaya leo angalau nimepata tabasam😂

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 หลายเดือนก่อน

    Kweli shukran

  • @humphureyurasa8424
    @humphureyurasa8424 11 หลายเดือนก่อน

    Nice lesson

  • @194summer
    @194summer ปีที่แล้ว

    Thanks my mentor

  • @salumukyara8416
    @salumukyara8416 ปีที่แล้ว

    Good point brother

  • @cymone6159
    @cymone6159 ปีที่แล้ว

    Always my mentor

  • @JumaMussa-nr2zr
    @JumaMussa-nr2zr 11 หลายเดือนก่อน

    True

  • @EdnahJames-eq7bl
    @EdnahJames-eq7bl 11 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelew unafundish vizr san

  • @jacklinemwandoloma285
    @jacklinemwandoloma285 ปีที่แล้ว

    Sth amazing

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli mwalimi tunafaa kujivunza njisi ya kutumiasimu.hatatukiwa kwenye manyumba,yani kama bibi na bwana tusijifanye sana kuwa na simu kuliko kuwa na wenzetu,kwanihizi simi zimeharibu sana ndowa

  • @SaidMsuya-hb7to
    @SaidMsuya-hb7to 11 หลายเดือนก่อน

    Kupayuka Sana joeli😢

  • @abdulisalim798
    @abdulisalim798 ปีที่แล้ว

    Nimekutana na mtu kwenye mgahawa wakati twapata lanchi bc simu yake ikaiti daaah alipayuka huyo ooh kama hela yangu hamtaki kunipa bc mimi namwachia mungu daaah ilinikera

  • @EdisaLaulian
    @EdisaLaulian ปีที่แล้ว

    Mimi nina hii kuongea kwa kupayuka siwezi kuongea kwa utalatibu nitajitahidi kupunguza asantee🙏

  • @SOSPETERSIMBA
    @SOSPETERSIMBA ปีที่แล้ว

    Elimu nzuri sana Mr. Nanauka japo nmecheka sana wale wanaoongelea personal topics ile ya yaan unajua ww shangazi mchawi sana we😂😂😂😂

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  ปีที่แล้ว

      Yaani hatari sana

    • @EdnahJames-eq7bl
      @EdnahJames-eq7bl 11 หลายเดือนก่อน

      unafundish vizur nimekuelew san

  • @judithgodfrey6503
    @judithgodfrey6503 ปีที่แล้ว +6

    Kuna watu wanakera jamani. Anatoa maelekezo ya chakula Cha kupika nyumbani kwake akiwa kwenye bus. Anapayuka mno. Huyo kuku myonyoe vizuri na hayo maharage yasiungue😂

  • @ramseymaster6714
    @ramseymaster6714 ปีที่แล้ว

    Asante kwa darasa

  • @jmmobilefix7588
    @jmmobilefix7588 ปีที่แล้ว

    Hii nzuri

  • @nyamoyenyamoye6077
    @nyamoyenyamoye6077 9 หลายเดือนก่อน

    Wa kupayuka kwenye pablic au kwenye bus, pia na kikaoni simu inaita Kwa sauti

  • @SELPINVESTMENTS
    @SELPINVESTMENTS ปีที่แล้ว +1

    Hii naisubili

  • @EPALATA
    @EPALATA ปีที่แล้ว +3

    Ni vizuri sana

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @BarakaMartin-ge7tf
    @BarakaMartin-ge7tf 11 หลายเดือนก่อน

    Missed call 25

  • @hajiissani8201
    @hajiissani8201 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 ya kupayuka mmmmmh

  • @pikanaauntzuu1466
    @pikanaauntzuu1466 ปีที่แล้ว

    Hata mimi huwa nachukizwa sana na mtu anakutafuta na anajua huna namba yake lkn hajitambulishi nachukia sana kwasababu mimi nikimtafuta mtu na najua hana namba yangu lazima nijitambulishe tena km namba nimepewa na mtu anayemjua lazima nimwambie ba nimepata wapi kisha nieleeze shida zangu ila watz hatupogo hivyo sijui kwann

  • @ETT3
    @ETT3 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri kaka ila tunaomba ulete mbinu za kujifunza mambo kwa haraka kwa wanachuo

  • @194summer
    @194summer ปีที่แล้ว

    Ninamjua jamaa mmoja ni rafiki yangu ngoja nimtumie hii aelimike,Yeye huongea kwa kupayuka sana sindani kama kuna mtu mwingine anaweza kuongea na cm kwa sauti kubwa kama huyu jamaa!

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 ปีที่แล้ว

    Haha mimi tabia ya no nane nimimi kabisa mimi nikimpigia mtu hashiki narudia hata mara 10😂😂😂

  • @stuntkizzy
    @stuntkizzy ปีที่แล้ว

    ❤❤❤

  • @HeriethSylvester-dm3nb
    @HeriethSylvester-dm3nb ปีที่แล้ว

    Nilipanda bus na mdada tulikuwa tunatoka Morogoro kwenda Dar alikua anaongea personal issues hadi kero ile milioni 10 nitakupa ile pesa kwenye account imeingia yaan nilitamani kushuka

  • @adamummy4363
    @adamummy4363 ปีที่แล้ว

    Mimi nakutana sana na hii ya 8 dah ni balaaa mtu anapiga mwanzo mwisho😂😂😂

  • @abuusaidy1506
    @abuusaidy1506 ปีที่แล้ว

    Daah hao wakupayuka ndio mtihan wako wengi utamkuta mmama au mdada anaongea kwenye daladala mpka unaogopa yaan 😂😂😂😂

  • @neywilly9817
    @neywilly9817 ปีที่แล้ว

    Umesema Vizuri kaka, zote nimewahi kukutana nayo.
    Umesahau moja. Mtu anakupigia na namba tofauti halafu anakuambia hujui mimi ni fulani..😅

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 ปีที่แล้ว

    Hatujakwepa kwa kusumbua watu

  • @enoshmukama4783
    @enoshmukama4783 ปีที่แล้ว

    Watu wanapayuka sana na kutokujari wakiwa kwenye mazungumzo, ila Kuna watu unaweza ukawaambia nitakupigia Niko mahali sio sahihi wao wakazidi kuongea ukimkatia ahisi umemdharau je kwa huyo nifanyaje???

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂🙌🏿🙌🏿🤝

  • @sixberthcostantini9290
    @sixberthcostantini9290 ปีที่แล้ว

    😂😂 niliyowah kukutana nayo niyakupayuka,nakumbuka nilikuwa kwenye daladala alafu mtu akaamekaa seti ya nyuma akawa anaongea kwa saut sana ila katika mazumzo yake akaongea...bhana sasahivi nina sim ndugu yangu uwe unanipigia 😂😂😂 basi nikajuwa siyo kosa lake

  • @KhajraMchimae
    @KhajraMchimae 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika ww ni msaada katka maixha yangu,, Mungu aendelee kukupa maarifa ili tupone 🙏🙏

  • @antonyojode5500
    @antonyojode5500 25 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe kaka video zako zimenifanya change🙏🙏

  • @user-fv7mi7qx9j
    @user-fv7mi7qx9j ปีที่แล้ว

    Asante

  • @g2mh704
    @g2mh704 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤