Ndg joel nanauka ninajambo la kifamilia linanitesa sana😢😢😢natamani ningepata mawasiliano yako ya moja kwa moja iliniweze kukushirikisha juu ya jambo hilo ili nijue uamuzi hupi nisahh kwangu kuufanya plz kama utasoma comment hii naomba nipate hata no yako ya what’sapp ili niweze kuwasiliana nawe mtumishi wangu
VITU VINAVYOKULA MAJIRA 1.KUAMBATANA NA WATU WASIO SAHIHI(GOOD PEOPLE BUT NOT RIGHT PEOPLE) WATU WASIO SAHIHI WANAKULA MAISHA YAKO NA SEASON ZAKO 2.KULAZIMISHA KUONEKANA KABLA YA WAKATI(PREMATURE EXPOSURE LEADS TO PREMATURE DEATH,SEASON NDIO MWAMUZI.PEOPLE CAN NOT ATTACK WHAT THEY DON'T KNOW,MOJA YA KITU HATARI NI INTERNET 3.MAKOSA YA GHARAMA KUBWA KWENYE MAISHA,MADHARA YANAYOTOKANA NA MAKOSA, 4.KURIDHIKA KUNAKULA MAJIRA YAKO . COMPETITION COMPARISON NI FACTOR 2 ZINAZOKUFANYA URIDHIKE,ISHI KAMA ULIZALIWA PEKE YAKO 5.KUFANIKIWA KWENYE VITU VISIVYO SAHIHI(JOSEPH THE BEST HOUSE BOY) TRANSITION SUCCESS NI YA KUKUVUSHA KUKUPELEKA MAHALI .
...kuambatana na Watu wasio sahihi,,,kulazimisha mambo(Eg pre mature exposure),,,makosa ya gharama kubwa kwenye maisha,,,kuridhika,,,kufanikiwa kwenye vitu visivyo sahihi,,, Blessed morning with Heaven Sent 👏👏👏🙏
Ndg joel nanauka ninajambo la kifamilia linanitesa sana😢😢😢natamani ningepata mawasiliano yako ya moja kwa moja iliniweze kukushirikisha juu ya jambo hilo ili nijue uamuzi hupi nisahh kwangu kuufanya plz kama utasoma comment hii naomba nipate hata no yako ya what’sapp ili niweze kuwasiliana nawe mtumishi wangu
Ingia Instagram nirahisi kupata no yake
Mawazo yangu fatilia video zake nyengne kaweka namb za mawasiliano
Nina namba yake ndugu
@@MrJuma-in5io asanteh sana kaka
@@diabyboy5162nitumie na meme basi dah
VITU VINAVYOKULA MAJIRA
1.KUAMBATANA NA WATU WASIO SAHIHI(GOOD PEOPLE BUT NOT RIGHT PEOPLE)
WATU WASIO SAHIHI WANAKULA MAISHA YAKO NA SEASON ZAKO
2.KULAZIMISHA KUONEKANA KABLA YA WAKATI(PREMATURE EXPOSURE LEADS TO PREMATURE DEATH,SEASON NDIO MWAMUZI.PEOPLE CAN NOT ATTACK WHAT THEY DON'T KNOW,MOJA YA KITU HATARI NI INTERNET
3.MAKOSA YA GHARAMA KUBWA KWENYE MAISHA,MADHARA YANAYOTOKANA NA MAKOSA,
4.KURIDHIKA KUNAKULA MAJIRA YAKO .
COMPETITION
COMPARISON NI FACTOR 2 ZINAZOKUFANYA URIDHIKE,ISHI KAMA ULIZALIWA PEKE YAKO
5.KUFANIKIWA KWENYE VITU VISIVYO SAHIHI(JOSEPH THE BEST HOUSE BOY) TRANSITION SUCCESS NI YA KUKUVUSHA KUKUPELEKA MAHALI .
nimebarikiwa sana na somo lako ,Mungu azidi kukuinua sana
Asante sana Mentor wangu. Unacho ongea ni sahii, Mungu akupe maono marefu Mentor wangu.
True kaka joel barikiwa sana🙌🙏
kaka nimeekubali sana Nina shida za kifamilia mzee Wang anaitaji msaada wa saikolojia unanisaidiake
...kuambatana na Watu wasio sahihi,,,kulazimisha mambo(Eg pre mature exposure),,,makosa ya gharama kubwa kwenye maisha,,,kuridhika,,,kufanikiwa kwenye vitu visivyo sahihi,,,
Blessed morning with Heaven Sent 👏👏👏🙏
Asante kaka Joel nakukubali Sana Sana Sana.
Wewe ni mtu sahihi kuwahi kumshuhudia kwenye maisha yangu japo sijapata kukuona Kwa macho Asante sana
From south Africa Durban na kosaje somo unadhani❤
Ukovzuri kwaushauri asantee kaka
Asant kwa kuendelae kutuelimisha na kutufundisha , Mungu azidi kukulinda
Somo nzuri sana mungu akubariki sanaaa
Ukweli mtupu unaeza kuwa unatumika ,yaani wanakutumia wao waendelee wewe ubaki pale 😊..........................
Ahsante sana ubarikiwe sana
Be blessed servant of God
Wewe ni azina yetu, ichi unachokifanya nikweli nikusudi la wewe kuwepo duniani MUNGU akulinde na akufikishe kwenye maono yako Amina...❤
Shukran sana kaka
Hili la kulazimisha kabla ya wakati mi ndo linanitafuna sana😢
Pole
Asantee numejifunza
Asante sana kiongozi 🎉🎉
Ndg joel ww ww ni zaidi ya mwalimu big up
Namshukuru kwa kuwepo kwako duniani
Nabarikiwa sana nawewe bro mwenyezi mungu azidi kukuweka
Nashukuru bro
Asante sana. Ninazidi kujifunza mambo mazuri kutoka kwako BARIKIWA SANA
amina baba mungu akutenzee
Asante Mtumish lakini kilawakati na Najambolake
asante kuna kitu nimejifunza
Somo zuri sana, Mungu akubariki sana Kaka Joel Nanauka
Asante sana brathar Joel full respect for you 🎉🎉🎉
Me nakukubar sana bro mungu akulinde ,unasema kwel kabisa
Fact🎉🎉🎉
🙏🙏🙏🙏
👏👏👏🙏🙏
Mungu aendelee kukutunza kwaajili yetu
We jamaa ni genius
Destiny city church
Good people but not right people
Hapa nimeelewa sanaaaa brother
Much appriciate brother
Ubarikiwe na Somo zuri sana, ila Je Mtu atajuaje Majira yake yakutoka?
🙏🏾🤲🏽
Kweli kaka
Life is not competition
Kaka Joel nina shida naomba mawasiliano yakokaka
🤲🏽🙏🏾
Thus true
🙏
🎉🎉🎉🎉✍️🇨🇩
🙏🏾🤲🏽
🤲🏽🙏🏾
🙏🙏🙏