Joely sorry nahitaji vitabu vyako lakini nashindwa namna ya Ku access kupata mawasiliano yako!! Thanks najifunza vitu vingi Sana kutoka kwako na wewe ni Mwalimu wangu!! na naendelea kujifunza
Mm sehemu inayonishinda usimamizi wa fedha mpaka sasa sijui natumia sh. Ngapi kwa mwezi na familia yangu kwanza dharula nyingi harafu pesa nashika mwenyewe! Sasa hapo unanisaidiaje Mr Joel?
Somo zuri sana MUNGU BABA wa Mbinguni Akubariki
from south Africa Durban nimipitwa na somo nakosa hata nguvu kazini I'm waiting
Kaka madini yako ni adimu mno Mungu akubariki sana yani wewe nimtu muhimu sana kwetu tunao endelea kupambania kesho yetu❤❤
Kaka @joel ni Sanga tenaa apaa 🔥 nashukuru kwa elimu
Kaka J kwenye upande huu wa biahara huwa unanikosha sana na Ninajifunza vitu vingi ubarikiwe sana
Darasa nzuri,, Endelea kutubariki maarifa uliyobarikiwa na Mungu.
Mimi sijaanza biashara ila nitaanza hivi karibuni asante kwa mafundisho,ubarikiwe.
naku siki liza apo kweli ❤
Kaka nimelewa nitumie soft elements nitagi asa naamini nitafanikiwa na nitakutafuta tuonane nikishafanikisha ahasant Kwa msaada wako
Thanks br.. Joel 🙏.. Big respect... mungu awe pamoj nawe.🎉🎉🎉
Yaaani kaka Joel asante sana kwa hili somo
Dahh kumbe biashara ni noma hivi basi me sifanyi biashara natania
Me pia Napenda Unavyofundisha Nasubiri
Brother shukrani kwa somo la biashala Mungu azidi kukupa nguvu na maalifa ya kuwa fudisha watu wengi
Wow nice information Mr Joel,thank you sir God bless you abundantly
Kaka asante kwa kitu kipya ichi ni chakula cha maarifa naitaji vitabu vyako kaka napataje😇😇😇😇
Thanks🙏
Somo zuri kaka.
Asante sana kaka🤝
Barikiwa sana
Joely sorry nahitaji vitabu vyako lakini nashindwa namna ya Ku access kupata mawasiliano yako!!
Thanks najifunza vitu vingi Sana kutoka kwako na wewe ni Mwalimu wangu!! na naendelea kujifunza
Mm sehemu inayonishinda usimamizi wa fedha mpaka sasa sijui natumia sh. Ngapi kwa mwezi na familia yangu kwanza dharula nyingi harafu pesa nashika mwenyewe! Sasa hapo unanisaidiaje Mr Joel?
🏆🏆🏆🔥
🎉🎉
👍
Nakuelewa sana mwamba
Nakwamini wewe San unatufundisha sn
Balikiwa sana