#breakingnews

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Wafanyabiashara zaidi ya 800 wanaodai majina yao hayamo kwenye orodha ya watakaorejea katika Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam, wamekusanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kujiandikisha, kisha wakaandamana kwenda ofisi za CCM kulalamika.
    Wafanyabiashara hao ni miongoni mwa waliohamishiwa kwenye masoko mbalimbali baada ya kuungua Soko la Kariakoo, kupisha ukarabati na ujenzi wa jingo jipya la ghorofa sita.
    Soko la Karialoo liliungua Julai 2021 na kuteketeza mali karibu zote za wafanyabiashara.
    Kutokana na hilo, Serikali ilitoa zaidi ya Sh28 bilioni kwa ajili ya kulikarabati na kujenga soko hilo dogo.
    #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

ความคิดเห็น • 46

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kenya

  • @salama1113
    @salama1113 3 หลายเดือนก่อน +6

    Make kwanza ncheke😂😂😂😂😂watu wanaanza kupambania haki zao sasa

  • @MAGIDACHIMIJA
    @MAGIDACHIMIJA 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ila mimi ni mjinga eti napendai kuona watu wamevurugwa hivi oyooooo

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ssamia,pole sana,mwaka huu unayo kazi.Vijana mliowasomesha na kisha mkawanyima ajira,sasa wameamua kujiari kwa njia ya maandamano.Ondoa Chalamila awafuate wasanii wenzie akina wema na Steve huko Korea.

  • @MonicaBeni
    @MonicaBeni 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tuwe tunapeana taarifa kua siku flani tunakiamsha jamani... Sasa ninyi mnakiamsha pekeenu mbona mnakuwa wachoyo ivo jamani? Me nawatamani sana hawa viongozi yani nawatamani kama nyama yakuchoma.

    • @gazzomaster9462
      @gazzomaster9462 3 หลายเดือนก่อน

      Nakuaminia na ulivo mtata utawaonesha Kenya kua wao pale walikua wanacheza

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 3 หลายเดือนก่อน

    Nafurahia sana hii Hali ili watu wawe na akili na ufahamu.
    Mkiambiwa ccm siyo hamuelewi

  • @TarimoMangi
    @TarimoMangi 3 หลายเดือนก่อน +3

    Naamini WATANZANIA kuna siku moja tu wataja amka kama kenya, Na hiyo siku haipo mbali.😅😅😅😅😅😅

    • @YassinRajabu
      @YassinRajabu 3 หลายเดือนก่อน

      mkileta mambo ya kenya mtagongwa kwa mujbu wa shelia

    • @MirajiMbolile
      @MirajiMbolile 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna mtu ataishi milele hapa duniani . Watauwa watagonga wangapi ?​@@YassinRajabu

    • @TarimoMangi
      @TarimoMangi 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe mshanba kweli mzee...

    • @TarimoMangi
      @TarimoMangi 3 หลายเดือนก่อน

      Tena WACHAGA ndo watakua wakwanza kuwasha moto kwenye hii nchi maana wale walisha amkaga zaman sanaa kabla ya watanzania wengine. na nyie mnao jifanya serikali mtaonyeshwa kwamba nyie ni mavi kunuka tu.

  • @augustinemainde
    @augustinemainde 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni ujinga Kama hawataki kufanya biashara na sisi tunayataka maeno hayo tufanye biashara

  • @YassinRajabu
    @YassinRajabu 3 หลายเดือนก่อน +1

    tunajua nyumayenu kunawana siasa lakini tambueni amani nibola kuliko soko ccm oyee oyeeeeee kidumu chamapinduzi kidumuuu

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 3 หลายเดือนก่อน +1

      Tunatambua nyuma yako Kuna wezi wa jasho la wananchi, tambua amani ya kuibiana ni ushenzi..! Haki yetu Oyeeeeee!

    • @mabondolawrence1812
      @mabondolawrence1812 3 หลายเดือนก่อน

      Kidimuuuuuuuuuuuuuuu

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 3 หลายเดือนก่อน

    Nani kama mama

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 3 หลายเดือนก่อน

    Sie tupo na furaha za kiiiiiiiii na chama

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mnaumiza watu na kodi kedekede,kumbe pesa yenyewe mnawapa akina makinda wanafanya siasa za kitoto,wanagwa pesa ovyo.Mkuu wa mkoa anasema kila arusi alipia Ukumbi.Jmn ,kweli huyo anajitmbua?Chalamila ndiyo kabisa !!Fukuzilia mbali wanatuletea umagufuli nani ana shida staili hiyo .Serikali inakumbatia vibaka, mara huyu anabaka,mara huyu analawiti.

    • @albertbunyinyiga7581
      @albertbunyinyiga7581 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa hapo magufuli amefikaje jieshimu huyo mtu mwache apumzike

  • @majutoomari7445
    @majutoomari7445 3 หลายเดือนก่อน

    Duh huu mwaka ni shida,

  • @emmanueljoseph3815
    @emmanueljoseph3815 3 หลายเดือนก่อน

    kazi ipoo

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 3 หลายเดือนก่อน

    MagenZ wa Kariakoo sio

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 3 หลายเดือนก่อน

    Ushauri.Yule DC wa Temeke mpe huu mmoa.Chalamila mpe mtaji akalime nyanya Iringa kwao.DC Magoti mpe mkoa Arusha.Makonda ukikosa pa kumpele mpeleke kizuizi panamfaa.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 หลายเดือนก่อน

      Shida sio viongozi, fursa iliyoko kariokkoo,haikidhi mahitaji ya raia. Ukumbuke kufunga na kufungua soko uwezekano wa kuondoana kutakotakana kunyanganyana fursa.

  • @magesagambajr3546
    @magesagambajr3546 3 หลายเดือนก่อน

    Hii lini mbona Leo nilikuwa hapa crdb vijana sijaona huu umati

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 3 หลายเดือนก่อน +1

    Vyombo husika wameshindwa kujua kiini cha migomo hii badala yake wanasingizia masuala ya ushawishi wa kisiasa. Watu wanachodai ni haki!

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 3 หลายเดือนก่อน

    ngoja tafuneni chuma icho magufuli hayupo acha manyangau watukomeshe😊

  • @ANRAHIMKADUMA
    @ANRAHIMKADUMA 3 หลายเดือนก่อน

    Kulikoni tena akariakoo

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 3 หลายเดือนก่อน

    Unatishaje watu kariakoo.Unakalia uchawa.mwaka mtachmba wima.

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 3 หลายเดือนก่อน

    WATENDAJI OMBENI USHAURI,HILI SI JAMBO LA PHD.

  • @IsraelMjita
    @IsraelMjita 3 หลายเดือนก่อน

    Something wrong

  • @NashoniKibuga
    @NashoniKibuga 3 หลายเดือนก่อน

    Waleta fujo

  • @nasramohd9924
    @nasramohd9924 3 หลายเดือนก่อน

    Mim kiushaur serekali wajarib kuwasikiz hawa watu nin wanatk ili kazi iendeleee hapa pana tatz kw hawa raiya sio wabaya bali kuna kitu serekal inahis Hakipo saw kw hawa watu ndio inahaki ya kubalidili kile kilichokuw hakipo saw lakini busara itumike zaidi kw mstakabali wa pande zote mbili

  • @HajiSimba-mq7tp
    @HajiSimba-mq7tp 3 หลายเดือนก่อน

    Je hawa wote ni wafanya biashara?au ndio sisi tuofuta msafara wa mamba

  • @YassinRajabu
    @YassinRajabu 3 หลายเดือนก่อน +1

    nyie Kenge mnavuluga Amani mnajifanya wakenya ee mta gongwa kwa mujbu wa Shelia

    • @YustaMfugale
      @YustaMfugale 3 หลายเดือนก่อน

      Sorry nadhan ni haki kuandamana kwa amani ,,,bila kuvuruga aman ya nchi ,,ila Kam ikitokea vurugu basi serikari inawajibu wa kuwajibika

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 3 หลายเดือนก่อน

      Hao si watoto si wajinga na si wahuni. Kuna jambo hapo

  • @NashoniKibuga
    @NashoniKibuga 3 หลายเดือนก่อน

    Wapigwe hao

  • @JoachimKisoka-d5l
    @JoachimKisoka-d5l 3 หลายเดือนก่อน +1

    Viongozi dalili hizi sio nzuri hata kidogo tuyamalize mapema haya.Challamila ana kosa gani kwa mnao mshambulia? Namuona kama kijana mmoja anayejitahidi kadri ya uwezo aliojaliwa na Mungu.

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 3 หลายเดือนก่อน

    Wanashinikizwa na wanasiasa,

    • @meryshekoloa961
      @meryshekoloa961 3 หลายเดือนก่อน

      Hapana tumetoka sokoni kupisha ukarabati baada ya ajari ya moto sasa hivi hawataki kuturudisha wameuza vizimba kwa watu wao

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 3 หลายเดือนก่อน

    mnataka haki gani nyie kenge

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hawa ni Raia sio kenge, sehemu muhimu ya maisha imeguswa. Bila ya watu kula wakashiba ni wabaya kuliko kenge. Swali ukishiba jiulize jirani au ndugu yako kashiba ili nawe ushibe kwa amani yako