Kwanini wakuu wa mikoa mengine msiwe kama huyu mwamba hapa, wakuu wa mikoa mnakwama wapii, chukueni hiii spirit muiokoe nchi, nchi inahitaji maendeleoo, tuko nyuma sana, tuko nyuma ya muda.
Sasa jeshi likifanya biashara na sisiraia tufanye Nini unakuta jeshi linafanya biashara ya baa siyo vitu adimu hata matofali viwanda vya tofali ni vingii kuliko wateja pia baa siyo hitaji la msingi Wala ukumbi wa harusi tuachieni sisi raia jamani na Kodi zetu ndio zinazo walipa yie Sasa mnatunyanga Tena wateja acheni serikali ikusanye Kodi isifanye biashara pamoja na vyombo vya ulinzi
Hii approach ya makonda kwa miradi mikubwa ya serikali ni kama ya JPM..kutumia vikosi vya jeshi. Kwa mpango huo ni vigumu pesa kuja kwa wananchi...makampuni wananchi itumike kufanya miradi mikubwa..watalipa kodi,wataajiri vijana, watauza vyakula nk ili kuongeza mzunguko wa pesa mtaani
Huyu jamaa atakuja kua Rais kwenye hii nchi,haya maneno yangu naombeni myaweke mahali Kuna siku isiyokua mbali sana.
Mkuu umetisha mungu azidi kukuweka
Kwanini wakuu wa mikoa mengine msiwe kama huyu mwamba hapa, wakuu wa mikoa mnakwama wapii, chukueni hiii spirit muiokoe nchi, nchi inahitaji maendeleoo, tuko nyuma sana, tuko nyuma ya muda.
❤❤❤💯 Tanzanian icon
Good job
Umenifanya nifurahi
💪
I think this is similar to UPDF
❤❤❤❤❤❤
Jembe kazini.
Sasa jeshi likifanya biashara na sisiraia tufanye Nini unakuta jeshi linafanya biashara ya baa siyo vitu adimu hata matofali viwanda vya tofali ni vingii kuliko wateja pia baa siyo hitaji la msingi Wala ukumbi wa harusi tuachieni sisi raia jamani na Kodi zetu ndio zinazo walipa yie Sasa mnatunyanga Tena wateja acheni serikali ikusanye Kodi isifanye biashara pamoja na vyombo vya ulinzi
❤❤❤❤❤❤❤❤
Good