Wanadanganywa sio kupenda, nisababu watu waleo hawana uaminifu, ndizo sababu kuishi kwa matumaini na kubahatisha, yawezekana ikawa kweli unampenda na vile vile unaweza uko kwa nia tofauti.
Hakuna mwisho wa kusamehe, kumbuka hata sisi wanadamu kila siku tunakosea lakini tunaporudi kwa Muumba wetu anatusamehe, sembuse wanadamu tunao ishi nao kila siku?. Ni muhimu kusamehe na kuweka umbali kati ya huyo mtu uliye msamehe, endapo utajiridhisha kwa kuona kama utaendeleza nae uhusiano atakuridisha shimo, ni bora mkaweka gap kama kuna uwezekano mkaendelea kwenye maisha mengine endapo ya ndoa yatashindikana(aidha ya kirafiki au mzazi Mwenza)
Dada nakupenda kwa ajiri ya Allah
Huyu Madam , anatakiwa atengeneze wigo mkubwa kwa wanawake wenziwe yuko vizuri.
Masha a Allah
Sana
Mashallah❤ madam uko vizuri akili yako ni kubwa, sauti yako nzuri mnoo. Nakupenda Dada. Sijaoleka lakini umenifundisha vingi.
Mashallah Mashallah tunajifunza mengi sana my dear ❤❤❤🎉
Kwel kabisa madam...apo kwenye kushindwa kuzikontroo hisia zako ...apo sasa ndo nimepapenda sana mana nimaneno yakishujaa sana
Mimi ni Théophile badesirwe nikiwa UVIRA Sud Kivu DRC nashukuru kwa mafundisho haya munayotufundisha. Mubarikiwe ya zaidi
Mashallah
Kiukwel leo nmefrah nmecheka na nimeelimika.
Real wisdom, it's important if many young and even mature people are good to listen to what you say on family life.
Wanadanganywa sio kupenda, nisababu watu waleo hawana uaminifu, ndizo sababu kuishi kwa matumaini na kubahatisha, yawezekana ikawa kweli unampenda na vile vile unaweza uko kwa nia tofauti.
"Maneno yapendezayo ni kama sega la Asali;
Ni tamu nafsini na Afya mifupani".
Mashallah utengenezewe Sanam
Hongereni saana,, Allah baariq,,aa Tanga ndio kwa kuoa.
Nuur ipo juu africa mashaliki nuur ala nuur.
وفوق كل ذي علم عليم ما شاء الله 🙌🙌🙌
Jazakallah khayran
Assalam Alaykum, nawapenda sana kuwaskiliza
Upo sawa kabisa
Maashaaallah
Assalam alaykum madam Leyla apo kwenye tabia ndo kwenye maharibiko zaidi na kipato 😢😮😊
Assalamu alaykum hajjat you need more time to explain this issue
MashaAllah ❤
Assalm alaykum madam nami nataka niwe km wewe🎉❤
Jmn nimecheka kama mazuri hapa feeling 😂😂😂😂
Mashaallah ukt
Ukweli kabisa madam leila.
Yani madam Leila anachanganua kwa ufasaha saana.
Hapo pa sensing madam umenipatia 😂
Assalam aleikum, huyu Dada anayo hikma, kwa kweli kama unae mume,unauwezo wakumbadilisha maono au mtazamo wake, anavyo angalia mambo mengi.
Wanaume tunamiss wanawake kama hawa....madam afungue chuo cha wanawake wajifunze mengi kwake.
Wazazi wake walimlea vyema mashallah.
mafunzo mazuri kabisa
Mimi sipo tz nitaipataje redio nuur live naipenda sana jaman
Pakua App ya Radio garden kisha ndani yake tafuta redio nuur tanga
❤😂😊😅❤❤
@@radionuurfm mbona naingia lakini naambiwa station is unreachable
❤
Madam unamafundisho mazuri naomba namba yako nipone
M
Naomba namba za simu za huyu dadad
jaman iachien hii video
mwisho wa Kusamehe ni mara ngapi?
Kwamana iyo madam wewe unahitaji attention...hata mim napenda sana ivyo
Acheni uchoyo basi iachieni hii video iwe downloaded
Mbn mimi nime download tayar ww umeshndwa wapi
Sijaona kitufe cha download hapo, nielekeze ume-download vp
Kwani huyu madam keshafanyiwa nusra siwez muoa mimi
Sasa Hao perceiving ni Arabs. Yani Hao watu acha tu
Maashaaallah
mwisho wa Kusamehe ni mara ngapi?
Hakuna mwisho wa kusamehe, kumbuka hata sisi wanadamu kila siku tunakosea lakini tunaporudi kwa Muumba wetu anatusamehe, sembuse wanadamu tunao ishi nao kila siku?.
Ni muhimu kusamehe na kuweka umbali kati ya huyo mtu uliye msamehe, endapo utajiridhisha kwa kuona kama utaendeleza nae uhusiano atakuridisha shimo, ni bora mkaweka gap kama kuna uwezekano mkaendelea kwenye maisha mengine endapo ya ndoa yatashindikana(aidha ya kirafiki au mzazi Mwenza)