Sisi ni sababu tu mengin ni mipango ya Mungu..Kuna nyakat nahis unatoka ktk misingi ya dini hasa ya Qadar na uwezo wa Allah kuwa analotaka anasema kuwa na likawa..Ktk mazungumzo mengi hapo huwa una changamoto...Mtume alikuw anaombea watu hakusema ety kama wamepgwa mhuli hiyo ni siri ya mja na mola wake...Somo la tauhid unapaswa ukalisome san...Kuna nyakat utaja kosea na walio kupenda hasa ktk dini wakakuchukia na ata Allah ukamkosea
Kila mja Allah amemkadiria Rizki yake na ajali yake,Allah hajaqadiria mtu awe mwizi,Muuaji au mzinzi.Allah ndio akasema mkibadilika na yeye atabadilisha.Allah atupatie sote ufahamu wa Dini.
Nakupenda dada Laila kwa ajili ya Allah unatuelimisha sana dada.
Mashaalah mashaalah ya Salam ya Salam
Naitwa muu Roja nashukuru madam mengi najifunza unaniamsha. Usingizini Asante mungu
❤❤🙏🙏🙏🇰🇪👍🤝
🙏🇰🇪🤝👍🤲
Mashallaah
Haasbunna Allah huuu waaneemal waak
Neemal Maulaa Waneemal Nnaswiir
Salamghaikum madam laila mim nilivyotapeliwa siwezi kutowa tena hela yangu tena kwa watu matapeli hawana mapenzi ila utapeli tu
Waalaikum salaam kutoa hela kumpatia Mume wako inakua hiari yako na inaonyesha unamjali pia kama anavyokujali.
😅