MILIONI 774 ZA UJENZI WA BWALOMMEZIPELEKA WAPI - WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA.

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 13

  • @HamadiMgeja
    @HamadiMgeja 6 หลายเดือนก่อน

    Yaan Mimi kiukweli hua nashindwa nikupe Nini wazili mkuu kwa kazi unayo ifanya nakukubali sana mungu akuongoze vizur kwenye Kaz yako

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 6 หลายเดือนก่อน

    Weka ndani wote MH waziri mkuu🤝

  • @kelyenmosha5433
    @kelyenmosha5433 2 หลายเดือนก่อน

    uyu pm awe rais❤

  • @DanKanyange
    @DanKanyange 6 หลายเดือนก่อน +1

    Niliwahi kusikia mtu akisema et Mwl Nyerere alisema kufikia2010 Watanzania wote watakuwa wezi. Hakukosea sana! Siku hizi kila anayeteuliwa anakuwa mwizi. Waaminifu ni wachache sana

  • @MiriPeter
    @MiriPeter 3 หลายเดือนก่อน

    Majizi hayo

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 6 หลายเดือนก่อน

    TAIFA LIMEJAA WATU wezi sana

  • @johnshagama4326
    @johnshagama4326 หลายเดือนก่อน

    An mmi hii serikali ya sita kiongoz tunae muamini mmoja tuu wengne wote hapana wanaturudisha nyuma sana kwa kweli

  • @johnshagama4326
    @johnshagama4326 หลายเดือนก่อน

    Wenda utaleta nuru baba ila tunavunjika moyo kuona campeni ni gharama nying kwa nin watanzania hawataki rushwa sahvi watu wanahitaji kiongozi kama majaliwa tumetokea kukuamin sana ungejaribu kuchukua hata fom pls ya urahis tunaimani na wewe sana

  • @israelgeogia
    @israelgeogia 5 หลายเดือนก่อน

    Israel komboeni kwa changudoa

  • @johnshagama4326
    @johnshagama4326 หลายเดือนก่อน

    Tunakuomba an kweli hela zetu mnachezea hivi mmhi hapana ila hatuna cha kufanya ila baba tunakuomba pls chukua fom kama mifumo haijabadilika an mmh hapana majaliwa tunajua hata mzee alikua anakuandaa uje kua rais maana mmh

  • @Users2523
    @Users2523 6 หลายเดือนก่อน

    Huwa tunailaumu serikali bure ila mara nyingi inajitahidi tatizo baadhi ya viongozi si waaadilifu. Mahakama ya majizi bora ianzishwe tu. Na sheria kali zitungwe kupambana na majizi

    • @IsayaFidelys
      @IsayaFidelys 6 หลายเดือนก่อน

      Ukumbuke kuwa serikalin ndo.inayowateua hao majiz unao.waona

    • @johnshagama4326
      @johnshagama4326 หลายเดือนก่อน

      Acha upuuzi wew hii nnch haitakiw iwe hivyo an kuna nnh zinategemea ki2 kimoja zinasonga na sisi kila ki2 tunacho jaman tumeenda tanga kilind hamna hata maji mmh kweli mbaka leo bara bara ina miaka 4 inajengea hata klm 5 hawajamaliza ndo nni