MJUE WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA -KUZALIWA -KUSOMA -SAFARI ya SIASA - "ALIWAHI KUWA KOCHA wa SIMBA"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- MJUE WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA -KUZALIWA -KUSOMA -SAFARI ya SIASA - "ALIWAHI KUWA KOCHA wa SIMBA"...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alizaliwa mwaka 1960 katika kijiji cha Nandagara, Kitongoji cha Nanditi (Lideko), wilayani Ruangwa mkoa wa Lindi, kusini mwa Tanzania.
Ni mtoto wa sita kuzaliwa kutoka kwa marehemu Mzee Hamisi Majaliwa.
Aliishi maisha ya ukiwa baada ya Mama yake mzazi, Binasa Issa Chikawe kufariki dunia akiwa bado mdogo, Shangazi yake Sharifa ni miongoni mwa walioshiriki malezi yake baada ya kufiwa na mama yake, aliyekuwa mke mdogo wa marehemu Mzee Hamisi majaliwa Hanga, aliyefariki dunia katika miaka ya 1990.
#PROFILE #KASSIMMAJALIWA
Https://www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website:
www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho
Wanaomkubali Kasim Majaliwa kama mimi tugonge like hapa
No one can be more than Majaliwa next president 2025. Thank U Jpm Kwa kumkuza Majaliwa now his so fantastic leader. Asante Mungu kwa Tanzania Safi na imara.
Kama unamkubali majaliwa gonga like
Yuko vizuri ana deserve
Nc
Namkubali. San hongela mwanangu
Huyu ndiye Raisi awamu ya sita atakayeendeleza filosofia ya hapa kazi tu. Awamu ya Tano imeweka misingi mizito ya nidhamu ya utendaji uliotukuka na mambo tunayoyaona ni vyema mikoba hiyo ikaendelezwa na Mh. Kassim Majaliwa.
Bravo kigonsera secondary and High school locates at Mbinga district in Ruvuma region hakika ni shule bora maana imetoa Waziri mkuu na hata Rais wa awamu ya 3 Hon Benjamin William Mkapa na mkurugenzi wa sasa wa usalama wa Taifa kasoma hapo hapo Kigonsera
Hongera Mheshimiwa Waziri Mkuu.
Nakuombea kwa Allah kila la kheri katika Maisha na Majukumu yako.
MIMI EX- DAS Urambo.
Maajaliwaa bila kipingamizi 2025 ndio rais wetu ajaee munguu mbariki majaliwaa. Mpe afya njemaa umjepushe na .achoo ya hasaad rais wetuu hakika uwiongoze tanzania mungu ibariki TANZANIA
super intelligent man namkubali sana mwalimu kassim majaliwa
"Mheshimiwa Waziri mkuu,
Mheshimiwa kassim Majaliwa Ni Kiongozi Mzuri Sana,
Ni mfatiliaji mzuri Sana,
Ninamuombea kila la Kheri kutoka kwa Mwenyezi Mungu Katika Majukumu yake.
Ana hekima huyu waziri mkuu
Story nzuri sana ila msomaji mmmm
Aisee,,,naamini kuna watu wako sehem lkn ndoto zao bado ndoto zao haziko kule kikubwa tuishi na malengo yetu tutatobowaaa,,💪💪💪
Tunaomba profile ya kange lugola
@@abdulakihanza9328 😀😀😀😀😀
Kaka you are best god bless you long live and have healthy life🙏
Kweli tutakula kwa jasho big up hastle in blood
mungu akuzdishie umri mlefu waziri mkuu majaliwa
Saiv nmepata historia ya mheshmiwa ndugai na majaliwa kwa u-tube! Lengo jema tunatiwa moyo..
safi cn,namkubali sana mh Majaliwa
hongera sana kiongozi wetu
Amezaliwa kabla ya uhuru wa Tanzania Kama umemuelewa bado kijana gonga like
Mungu akupe maish marefu na afya njema inshalaah
Kumbe waziri wangu msomi nakupenda sana waziri mkuu wangu
Mh kassim majaliwa tunakuomba mwaka 2025 ugombee urais maana una uzoefu wakuongoza nchi by Fedrick mwikwabe from tarime Mara Tanzania
Yani tunamkubali sana sana majaliwaa .mungu ampe afyaa njemaa
Kumbe hauna wazazi mh dar pore sana jembe letu
Sema pole siy pore
Sikudhani. Hongera
If mama will contest obvious Majaliwa will support her
Mungu akutangulie tunakupeda sana ujekuwa raisi
Next president! 🇹🇿
I like it congradulation MP majaaliwa
MtangaZaji unajua kutangaza vizuri sana !
yuko vizuri majaliwa
Spelling, spelling.
Dah, hatujui yajayo mbele
Huyo. Namkubari. Astimia100.
Allah amjaalie ampe nguvu na hekma kufanikisha majukumu yke
THE NEXT PRESIDENT
Eee Jina lake linaendana na istoria ya maisha yake MAJALIWA MUNGU AKUJALIE KILA SIKU BABA
Anafaa kuwa Mkuu wa Nchi
Hakika hakuna mwenye haki tazama msalaba yesu aliteseka lakini alifikia kilele chake usiwe na roho wa uwepesi mungu akubariki
nampendaa Rais wangu wa baadae
Jk inaelekea anamkubali
Majaliwa
Nakuombea Kwa Mungu Ukawe president kwa miaka ijayo
Atakuwa Waziri Mkuu wa Pili kuwa Raisi wa Tanzania baada ya Mwalimu J.K Nyerere kuwa Waziri Mkuu wa Kwanza na baadaye kuwa Raisi wa Kwanza wa Tanzania. Tunakutakia kila la Kheri.
Maingu Buremo mungu atusaidie maana anasifa kabisa kuwa Rais
Nauliza nyerere alikua wazir mguu wa tanzania ama tanganyika s
🎉
Sida ni nchi gani?
Baba majaliwa piga moyo konde uone 2025 usituache kama muhimili wetu spika wa mbunge mungu atatulea kiongozi mzuri zaidi yake usiwe na ona fupi tazama parefu mbele
Nic
@Given Mashishanga, profile ni nzuri ila, umefanya makosa kadhaa katika uwasilishaji wako, kiasi kwamba yanapotosha na kuharibu uhondo. Nitayaainisha hapa ili ujifunze na kuwa makini next time usomapo taarifa kama hizi.
1. Stokholm ni mji mkuu wa nchi iitwayo Sweden. Hakuna nchi duniani yenye jina la Sida, kama ulivyotamka kwenye taarifa yako.
2. Hakuna klabu Tanzania yenye jina la Namuongo, jina sahihi ni "Namungo"
3. Kwenye taarifa yako umetamka maneno: "...sakata la kabumbu..." halafu wala hukusema ni sakata lipi hilo. Huenda ulitaka kusema "...zaidi ya kusakata kabumbu, Mh. Waziri Mkuu ana fani nyingine..."
Muandishi wa habari anapaswa kuwa makini katika utoaji wa taarifa, kwa sababu, zaidi ya mambo mengine, kazi hiyo huelimisha jamii pia. Taarifa zinapopotoshwa, kwa kukosa umakini au kutojua au kutofanya uchunguzi kabla ya kutoa taarifa husika, wakati fulani huweza kuleta balaa katika jamii husika. Ni muhimu sana kuwa makini katika taarifa zitolewazo.
Umemuelewesha vizuri.
Ajifundishe kuwa Makini
Rejea pia "POSTIGLADUATE DIPLOMA'
SINGIDA UNAITED
Na weww jufunze kiswahili hakuna neno muandishi katika kiswahili bali huandikwa na kutamkwa "mwandishi" siyo muandishi
Safi sana, ila hujaeleza kuhusu familia yake.
Familia yake Ana mke mmoja na watoto was 4 .
Alikuwa na karama ya uongozi toka utotoni......
Ndo maana mpaka leo ni kiongozi anaependwa na wengi
frank mnale
x
Huyu ndie raisi wetu
Raisi wetu wa awamu ya sita bila kipingamizi🇹🇿
Nandagala nanyumbu nanganga Nachingwea Ruwangwa mpekenyela.
Namuona RAISI AJAE...WA JMTZ
Naomba profile ya Msukima - mbunge
Bonge la handsome
Kuna WAZIR OMAR ALL JUMA HAKUWA WAZIR MKUU
Alikuwa makam wa Rais kipindi cha mkapa
Hakuwa waziri mkuu alikuwa makamo wa rais
HUYU NI WA KIUMENI .. SINA MASWALI BALI MAJIBU TUU.. ANAFAA..! 2025..!
Kabisaa anafaaa kasimu majaaliwaa awe rais wa TANZANIA tunamuombea
dah namkubali huyu jamaa ni hatari ni mchapakazi haswaa na ni mzalendo sana nampenda majaliwa balaa
Kaieowtfd
Nampenda kama magu
Dah nakusubil majaliwa nikupe kura yangu .
Hizi zote ni asante zake kikwete kuanzia magufuli na majaliwa hawa ndio wamerejesha ccm yetu tena kweny fom ....magufuli oyeeeeeee majaliwa oyeeeeee .......
Hilo wengi tumelisahau.
Daaa
Profile ya mh. Waziri mkuu haikukamilika mbona hukusema alioa lini na mkewe anaitwa nani na mwenyeji wa wapi?
Given mashishanga ...baba yako alishawahi kuwa mkuu wa mkoa wa mwanza?
Haha ndio najua leo kwamba mzee Warioba aliwahi kuwa waziri
Rais wetu
Hapa naomba afafanuzi nyerere alikua waziri mkuu wa tanganyika ama tanzania sababu tunalishwa matango pori tu
Next next president
Waziri yuko sawa tunaomba awe rais ajae mbele
Mnisaidie kigosera nimbeya luvuma hapa mbona katudanganya
Wewe ni raisi ujae baada ya raisi magufuri kumaliza
Ni rais anaekuja rais wetu ataamua maana maamzi ya ukweli mheshimiwa pombe magufuri
Magufuri ndo kila kitu
Kuna kasoro nyingi sana umu mmedanganya
Wewe ndiyo raisi ajaye basi maana kuna watu mnapenda kupinga kilakitu.
Huyo ndio anayetufahaa kuwa rais wetu
Me nakuombea uwe raisi uendeleze kanuni ya hapa kazi tu
Mhe. Majaliwa atabaki kuwa juuu atabaki kileleniiiiiii
M/kiti CWT Mkoa Singida
Nchini Sweden
Huyu ndo raisi ajae
Alizaliwa...1960…........ Mamake.. alizaliwa..1990..hivi.... Kuna.mtoto.wa.miaka.10.wa. kulelewa na shangazi???? Taarifa yako inatisha
Kama amezaliwa 1960 mbona hana mvi?
Unafikiri ana shida kama wewe?
@@jumakapilima5674 mvi haziletwi na shida we choko muulize baba yako aliyeshindwa kukusomesha
Idiot
Umesaau km amewai kua mkuu wa wilaya ya bukoba mjini na kuwapiga walimu viboko
Makonda please!!!
Ukuu was wilaya alianzia ulambo baadae rufiji
anafaaa kuwa raisi akigombania nampa kura
Kwa mgombea wa ccm ukimpa kura usimpe ni rais tu
Sio kugombania ni kugombea
Kuna vingine huvijui unariport tuu
2025
Uyu ndio rais wngu wa baadae kassimu
Mwambaa ......🤔🤔🤔
NAMUNGO au NAMUONGO
Namungo
mbona walimu atukumbukan
Walimu Wenzangu tujuane Hapa
ajitangaza kuwa mgombea wa uraisi huyo kesha nunua radio hiyo imtangaze
Mbn hujazungumza kuwachapa waalimu akiwa DC
Kipindi hicho alikuwa naibu waziri Tamisemi
@@nelsonishengoma9548 alikuw DC
Wapi hiyo ndugu ?
Kura yangu kwako 2025
Yaan wewe dada umesma miaka ya tisini naa alikua chuo mlimani ghala unarud Tena miaka ya themanini naa aliajiliwa mbona hujui kupangilia ?? Haya mambo waachieni akina Edgar na mpagaze hujui kupangilia
Peter Ching'ole???
Waaakili
Majaliwa Jembe mchapa kazi anafaa kuvaa viatu vya JPM akimaliza mda wake
Sida ndio nini!!!
Sigfred sio sigifild
baada ya mzee magufuli rais wetu ni dr hussen mwinyi maarufu ruksa junior.Msisahau utaratibu wa tanzania kwanza miaka kumi rais mkristo na miaka kumi rais mwislam utaratibu uliowekwa na baba wa taifa mwl nyerere.Pili Rais wa kikristo wanakuwa wakali na wakiislam wanakuwa wapole.kwa historia baada mh magufuli rais mkali na baada yake ni dr hussen mwinyi (ruksa mdogo)ni mpole kama baba yake mzee mwinyi
Eti ruksa junior 😀😃😄
unaletaudino, ndio maana waafrica hamendelei koz mnawaza dini zilizo letwa na wageno ambazo zinatutenga hadi leo
Tunataka kiongozi sio dini
Jembe Majaliwa tunakupenda sana ,halafu wewe ujali wala nini kazi kazi.Tunakusubili 20..................
Unatosha kuwa rais
Magufuli
Ningependa uwe raisi ajae lakini kwabahati mbaya historia ya nchi yetu hairuhusu waziri mkuu kuwa RAISI baada ya ml: nyerere hatuja mshuhudia mwingine na sijui ni kwa nini.
Tunafata historia au katiba?.
ni utaratibu wa CCM, rais, makamu wa rais na waziri mkuu hawapaswi kugombea urais kwa uchaguzi unaofuata baada ya awamu yao
Nina mkubali saaana