KIJANA MZALENDO ADUAA "JAMANI MAJALIWA HUYU NDIYE YULE WA MAGUFULI AU...!!!?, WAMUIGE Traore"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • KIJANA MZALENDO ADUAA "JAMANI MAJALIWA HUYU NDIYE YULE WA MAGUFULI AU...!!!?, WAMUIGE Traore"
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 692 318213)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

ความคิดเห็น • 359

  • @jamesloshilunye414
    @jamesloshilunye414 22 วันที่ผ่านมา +22

    Inaumiza sana kuona nchi yenye amani viongozi ndio wanao ongoza kuwanyanyasa wanachi,ni aibu kubwa sana

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 23 วันที่ผ่านมา +54

    Hawezi muziki wa IBRAHIM TRAORE,hawa wa kwenu ni VIBARAKA FULL VIBARAKA

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 22 วันที่ผ่านมา +9

      Traore hawezi fanana na hao waoga kwanza walipoingia tu madarakani wakenda dhurula ulaya na marekani kwenda kuomba msahamaha na kujikosha

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 22 วันที่ผ่านมา

      @@nakalikyumile3234 Mwimbaji wa mziki Kalikawa. Wimbo kaza moyo ndugu. Aliimba kuwa. Mwl Nyerere, Nelson Mandela, Kwame nkuruma, Peter tosh na Haile Selas Mzimu Wao Ulitokea wapi?. Akiwa na maana kua hawa ni uzao wetu. Wanaweza tu, kama Imbraim. Pindi wakitambua kuwa heshima ya kiongozi sio kapanda gari ya bei gani, ila anawatumikia watu wake kiasi gani. Na Raia tuwaelezea viongozi wetu maisha halisi. Sio nyimbo na sifa za unafiki.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 22 วันที่ผ่านมา

      @@FahadAbubakari Hi sifa ya elimu ya kutuandaa kutumikia mataifa ni mtu aliyepata elimu kutojitambua hasa nini kinamstahili kama yeye. Mfano JPM hakwenda sana nje tukasema hajui Kingereza. Sasa mfuasi wake JPM anakwenda huko kufungua nchi sasa shida tena. Kwa sababu Elimu yetu ni ya kutawaliwa mpaka leo hatujitambui kwamba sisi TUMEJIFUNGA WENYEWE. Viongozi wetu hawa ni zao la kijamii hii yetu. Tusitegemee miujiza. Labda tupate tena viongozi wa kuelekeza na kufundisha kuondoa Tatizo la kufikiri Kinyume nyume. Askofu Bagonza yeye anasema miafaka ila ni ngumu kuwa na mtu anayewaza na kutenda kinyume.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 22 วันที่ผ่านมา +4

      Hawa ni wezi, wanauza nchi sio vibalaka. WEZI WANAUZA NCHI

    • @HeriDunia-i7m
      @HeriDunia-i7m 22 วันที่ผ่านมา +3

      traole ni kwa najeshi sio kibalaka wa serikali sisi tuna vibalaka live kuanzia jeshi adi viongozi

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 22 วันที่ผ่านมา +16

    Kijana Mzalendo,you speak very fair sentiments.Thank you.

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 23 วันที่ผ่านมา +20

    Hii nchi shida ni kwamba wanaingia mikataba ya nchi kama vile wanaingia mikataba ya biashara zao binafsi na wanajali matumbo yao alafu mtu et anapigiwa makofi kaleta maji kama vile katoa hela mfukoni kwake ndugai aliongea ukwel akafukuzwa kama mmachinga kisa kasema kweli

  • @saleli8993
    @saleli8993 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ibrahim Traore Ni Kiongozi Haswa.Point Sanaa Kaka,Ubarikiwe

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 6 วันที่ผ่านมา +1

    Daaaah 😢😢😢 jamani moyo unauma sanaaaa ila sisemi shida nini ila nitongea na mwenyezi mungu kimoyo moyo naamini duwa atasikia na ajibu tu pengine duwaa hizi siombi peke yangu tupo wengi sanaaa ila one day yes 😢😢😢

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 23 วันที่ผ่านมา +18

    Kijana mzalendo
    Asante kwa hoja nzuri
    Pia hapo kwenye Ramli chonganishi umesema kweli
    Serikali isimamie hilo swala
    Watu baadhi ambao wanajiita watumishi wanachonganisha jamii kabisa.
    Utasikia I profesai naona umerogwa, Ndungu wa mke au mme wako . waongo wakubwa hakuna chochote ni matapeli tu , mimi ni Mkristo lakini Yesu Kristo mwenyewe hakuna sehem alifanya hayo mambo au manabii na mitume wote
    Watu tusome Biblia takatifu vizuri tuielewe , Neno la Mungu ndiyo uhai wetu

    • @NjombaNchumali
      @NjombaNchumali 22 วันที่ผ่านมา +1

      Kama hauna la kizunguza ni bora ukanyamaza

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 22 วันที่ผ่านมา

      Umevurugwa na Imani yako tafuta ulipojikwaa.

    • @jovinmancomedytz
      @jovinmancomedytz 13 วันที่ผ่านมา

      We kuma nn unajielewa kweli ww msenge

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 13 วันที่ผ่านมา

      @@jovinmancomedytz wewe ni miongoni mwa watu wapumbavu, wapumbavu

  • @HansChuma
    @HansChuma 22 วันที่ผ่านมา +12

    Rip Magufuli tanzania hakuna kitu yan 😂😂😂😂kazi tunayo dah!!!

  • @isamony58
    @isamony58 22 วันที่ผ่านมา +6

    Nikweli kabisa majaliwa kabadilika sana toka afe magufuli 😢😢😢

    • @isayamsisika6255
      @isayamsisika6255 18 วันที่ผ่านมา +1

      Kuna wenye sauti mbele ya rais majaliwa tutamlaumu bure

  • @judicamunisi1548
    @judicamunisi1548 22 วันที่ผ่านมา +4

    Nchi yangu Tanzania, viongozi wanajali maslahi Yao binafsi kuliko maslahi ya Watanzania, Ee Mungu usiwaache salama hao viongozi madikteta, wezi, majambazi, mafisadi,
    In Jesus might name
    Amen

  • @NjombaNchumali
    @NjombaNchumali 22 วันที่ผ่านมา +5

    Nakukubali sana kaka ALLAH akujaarie maisha malefu

  • @rashidmalilo3657
    @rashidmalilo3657 21 วันที่ผ่านมา +3

    Mwamba uko sawa kabisa viongozi wengi wasariti mwamba alikua magufuli tu

  • @juliussulana5343
    @juliussulana5343 22 วันที่ผ่านมา +4

    Brother big up waelimishe pia watanzania wajue kua wamasai pia ni watu na wastihili haki kama watanzania wengine

  • @ndaimtambo8845
    @ndaimtambo8845 11 วันที่ผ่านมา +2

    👊🏿👊🏿

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 22 วันที่ผ่านมา +3

    Jamaa amefanana na yule Askofu mwanamapinduzi sura kasoro sauti tu misimamo ile ile👏👏✌️

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 23 วันที่ผ่านมา +10

    Kwa samia sahauni uyo bibi ni kukiona Tanzania mbaya sana hana hata imani nyie msikilizeni ana kejeli mbaya huyu akiwa raisi 25 inshalah nahama tz nabadilisha uraia naenda Kenya

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 23 วันที่ผ่านมา

      Wewe unakili KUBWA SANA!!!

    • @BoniphasLukas-c3c
      @BoniphasLukas-c3c 22 วันที่ผ่านมา +3

      ​@@FrankMwakatundu-cu6bdupo sahihi kabisa mama hatufai kabisa akalee wajukuu zake nyumban hii nchi inataka kiongoz mwanaume jasil sio m,bibi huyu 25 akipewa tena tumekwisha habar yetu

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@BoniphasLukas-c3cNa ndiye yeye yeye.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 22 วันที่ผ่านมา +3

      Mjiandae kuondoka tu maana CCM haijawahi kushinda wao wanalazimisha hata Kwa kuiba 😂

    • @faustinebahenobi3412
      @faustinebahenobi3412 20 วันที่ผ่านมา

      Nishida uyu mama afai kwanza hatukumchagua

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 23 วันที่ผ่านมา +19

    Usimlaumu sana MajaliwA yeye na huyo mama wala hawaelewane ni basi tu anaomba musa wake uishe tu hakuna Waziri mzuri kama huyo Majaliwa alistahili awe Rais mama hamna kitu kabisa anarimotiwa

    • @rithaurassa
      @rithaurassa 23 วันที่ผ่านมา +2

      Majaliwa ana hofu kidogo ya Mungu.Ila NYUMA ya pazia Kuna kitu.Kilio cha WENGI ni JIBU tosha. Unaweza .

    • @abdallahkaskas6168
      @abdallahkaskas6168 23 วันที่ผ่านมา +2

      Angejiuzulu tungekubaliana na maneno yako

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 22 วันที่ผ่านมา +5

      u are very smart and intelligent,wanao murimoti samia kwanza ni kikwete mzee mbaya sana na watoto zake wauza unga!

    • @user-hj4bc5uh2x
      @user-hj4bc5uh2x 22 วันที่ผ่านมา

      Huyondo anatuharibia nchi
      Wemuangalie kindan kazikubwa kuwaunga vijana madinyao yakishenz tu kwatamaa zanjaazao ilamungu nikilakitui​@@JeanMuzaliwa-bs6qh

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 22 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@JeanMuzaliwa-bs6qhna yeye kashakuwa muumini, labda alionjeshwa sasa kanogewa, huko Ngorongoro ni yeye na hao waarabu, alianza Kikwete alivyokuja Magufuli akawabasa, sasa mama na Kikwete partners yaliyobakia yanafurahisha 😂😂😂😂😂😅

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 23 วันที่ผ่านมา +9

    Usimlaumu sanaaaa Majaliwa siyo yeye humo ndani kuna Makundi 3 Wajumbe ndiyo Ndumila kuwili ambao ndiyo wanafiki na wenye msimamo

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 22 วันที่ผ่านมา +1

      Si ajiondoe kumaintain usafi wake?

    • @AbdulhaamisSoud
      @AbdulhaamisSoud 9 วันที่ผ่านมา

      Nayy anahusika huna vyakumtetea kabisa

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 23 วันที่ผ่านมา +5

    KIJANA MZURI WA FIKIRA

  • @michaelngoda5933
    @michaelngoda5933 23 วันที่ผ่านมา +4

    Unaakilikubwa sna mtanzania mwenzangu pazasauti labda wakuu wetu wataelewa

  • @samwelshepa8443
    @samwelshepa8443 23 วันที่ผ่านมา +7

    Huyu jamaa amesahau kwamba haturuhusiwi kuwa na maendeleo bali nchi omba omba, misaada na mikopo. Ninachojua ukianzisha harakati za Magufuli kuleta maendeleo utagusa wasioguswa maana wao ndio wenye hii nchi pia utakatazwa kwenda Marekani na utashitakiwa Kwa uvunjifu wa haki za binadamu. kilichopo achana na watanzania maana tayari walishahukumiwa na wakaridhika.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 22 วันที่ผ่านมา +1

      Na mwisho wakuue kama walivyofanya Kwa Magu

    • @clememallya4257
      @clememallya4257 22 วันที่ผ่านมา +1

      Tusiogpe Tz tutetee nchi yetu ht Magu km amekufa kwa ajili ya nvhi yake, ila damu yake imeamsha Watz wengi wanaopambania haki zao. Mungu ibariki TZ

  • @OleSumaay
    @OleSumaay 22 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana ndugu, inchi yetu imeangamia tafadhali tusimame wote kwa pamoja

  • @storytownTv
    @storytownTv 23 วันที่ผ่านมา +10

    Ila hii inch 😢.. content za maana kabx zinapostiwa na midia changa, midia kubwa kama Millard ayo na wasafi kaz yao n kutupostia umbea,skendo na machawa(mwijak na baba levo)

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 22 วันที่ผ่านมา

      Machawa WA CCM hao na wanaogopa kufungiwa au kupewa figisu

  • @fadhilimoshi5754
    @fadhilimoshi5754 22 วันที่ผ่านมา +2

    Ongea baba huyo ndo mzalendo wa kweli nasi tuombe Mungu tupate kiongozi wa kijeshi awafilisi hawa wahuni tupate maendeleo

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 21 วันที่ผ่านมา +1

    Sawa kabisa mzalendo uko vzr sana..kinachoendelea kule ngolo ngolo sio uhungwana kwakwel

  • @DicksonMhenga
    @DicksonMhenga 8 วันที่ผ่านมา

    Nchi hii wenye Hela ni viongozi wakubwa, wanajeshi wetu wanahela za kunywea tu, na hawana lolote zaidi ya kubaka. Afrika hii raisi wa kweli ni TRAORE pekee MUNGU amlinde sana.

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 22 วันที่ผ่านมา +3

    Jamaa kichwa sana

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 23 วันที่ผ่านมา +3

    Elimu yetu, imepindwa na walio tutawala. Hivyo tunafikiri kinyume. Viongozi hawaoni kwa sababu elimu yetu inazalisha kizazi kinachofikiria kinyume.

  • @DaudLucas-qj3mp
    @DaudLucas-qj3mp 22 วันที่ผ่านมา +6

    Majaliwa asilaumiwe majaliwa nimtu nanusu Tena nimtu mwenye akili nyingi saana sisi wenye akili wenzie tumetulia tuliii

  • @FrankasamisyeMwaiswasu
    @FrankasamisyeMwaiswasu 23 วันที่ผ่านมา +6

    Viongozi wa Tanzania wenyewe wanavibiwa matumbo yao tu

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 23 วันที่ผ่านมา

      Mapinduzi ya kifikra ni kujinufaisha wenyewe tu bila kufikiria vizazi vijavyo

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 22 วันที่ผ่านมา

      @@adelinelyaruu3036 Biblia inasema nani alipewa nafasi ya kutenda zambi na asitende. Raia na viongozi wetu letu moja. Viongozi ni kama kioo tu. Uchaguzi wtz tunakuwa Rushwa na tunapenda sana. Msemo Wajumbe sio, umetuachaje. Kwa nini tumetengenezana kufikiri Kinyume nyume. Raia hawatambui madhara ya hongo wakati wa kura.

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 23 วันที่ผ่านมา +3

    Uko sahihi kweli

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 23 วันที่ผ่านมา +3

    Asante mzalendo

  • @georgedamas7097
    @georgedamas7097 22 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana ngosha...ingawa unakandamija lkn tumekuelewa.

  • @HansChuma
    @HansChuma 22 วันที่ผ่านมา +3

    Hapa tunaongelea uzarendo kakin mijitu mingi hasa hii miongozi yetu yakibongo Uzarendo hakuna kazi ukunguni na Uchawa😂😂😂😂

  • @sostenesbarnabas776
    @sostenesbarnabas776 5 วันที่ผ่านมา

    Sio mh majaliwa wa magufuli na wa Samia ni tofaut sana mkuuu

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 9 วันที่ผ่านมา

    Iko siku Mungu atawanganiza viongozi wote wezi na mafisadi na wale wanaowasujudia watu maana wamelaaniwa

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb 19 วันที่ผ่านมา

    Asante sana vijana tunapaswa kuchukua hatua inch etu inachezewa mnoo nahawa wamavi mavi tusimame vijana mana hawana uruma na sisi wavyonge vitengo wanapeana ukoo kwa ukooo jamani tuamke

  • @PineTree-n9y
    @PineTree-n9y 14 วันที่ผ่านมา

    Hi nchi wameshatengeneza mazingira ya upigaji. Hata akitokea kiongozi mwenye uzalendo watamshusha kwa kumtishia kifo au kuachishwa kazi na kupotezwa kabisa kwenye uongozi Yan wasubili kiama tu

  • @benjaminpaul9578
    @benjaminpaul9578 23 วันที่ผ่านมา +2

    Jukumu lao serikali kuchukua maono Bora bila kujali Tz inaweza kupata juu kiuchumi naomba serikali ikupe nafasi ya kuishauri zaidi na sio kukuchukia

  • @ayubumoha6313
    @ayubumoha6313 22 วันที่ผ่านมา +1

    Umeongea point sana kila siku kod zinaongezeka na tuna madin .mlima .mbugà.ziwa makaa ya mawe alafu tuna taka mikopo kweli ingekuwa ibrahim tusinge lipa hata kodi tanzania

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 23 วันที่ผ่านมา +2

    Kijana Mzalendo😂😂😂😂.Anaongea mambo makubwa na mazuri ila ana imani na CCM😂😂😂😂😂😂

  • @tomborathomas2124
    @tomborathomas2124 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wasaliti haoooo Magufuri lala salama

  • @jumaomari3842
    @jumaomari3842 8 วันที่ผ่านมา

    Kwani nchi hii Kuna watu wangapi wamefukuzwa makwao Nyerere mwenyewe kaongea na malikia kwa maslai ya wao kwa wao

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 22 วันที่ผ่านมา +1

    MAPINDUZI YA KIFIKRA. WELL SAID MWANAMAPINDUZI

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 23 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli kabisa kiongozi nchi zote dunia hawezi uza ardhi piga UA na hili lipo wazi watu waulize lakini viongozi wetu wamekuwa madalali hawawekezi kwa vijana wapo wapo tu

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm 23 วันที่ผ่านมา +2

    yupo sahihi

  • @AliyJumaIbrahim
    @AliyJumaIbrahim 4 วันที่ผ่านมา +1

    ACHA UNAAFIKI PAKA SHUME WEWE , MBONA HIFADHI YA IHEFU ILIYOKO HUKO MBEYA , HIFADHI YA MAJI YA MZAKWE ILIYOKO DODOMA NK , MBONA HAWAKUBWEKA , HAAWA WABWEKAO ????

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 22 วันที่ผ่านมา +1

    Inauma sana .wambie ukweli .ngorongoro kuhamishwa so halali

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 22 วันที่ผ่านมา +1

    Majaliwa ni kiongozi mzuri sanaaa.Amepigwa spana na waliojuu yake..Bora kujiweka pembeni.

  • @ezekielmatondane714
    @ezekielmatondane714 22 วันที่ผ่านมา +4

    Utawala wa kisilm ni mbaya sana

    • @clarencehilary5588
      @clarencehilary5588 22 วันที่ผ่านมา +2

      Kweri ndugu yangu utawala wa kiislam ni tatizo kubwa sana

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd 22 วันที่ผ่านมา +2

      unajua wewe huna akili uisilam unaingiaje kwenye utawala sasa kwani mkapa alikua Nani mbona tujua kwenye wiz aliofanya wa mabilion wewe sema mabaya ya selikali acha kuleta udini kenge ww

    • @khamis9187
      @khamis9187 22 วันที่ผ่านมา

      Kuna nchi gani inayoongozwa kupitia misingi uislam ukakuta mambo ya ajabu!!! Makao makuu ya dini yako VATCAN ndio makao makao makuu ya ushoga na iluminati duniani...!!!

    • @MwanaIddy-oi7lb
      @MwanaIddy-oi7lb 22 วันที่ผ่านมา

      Udini unaua,kwanza mama anaupiga mwingi

    • @khamis9187
      @khamis9187 22 วันที่ผ่านมา

      Hufai ata kua kiongozi wa familia yako, unaweza kugombanisha ata watoto...unaonekana elimu yako ni darasa la saba.

  • @user-ej7ki7nd5o
    @user-ej7ki7nd5o 7 วันที่ผ่านมา

    Nimekuelewa sana

  • @Wakateezo
    @Wakateezo 23 วันที่ผ่านมา +2

    👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

  • @ndutweshomari1366
    @ndutweshomari1366 20 วันที่ผ่านมา +1

    Iblahimu amejitoa sadaka kwa taifa lake,Sasa hapa Tanzanis hakuna kiongozi yeyote anayeweza kujitoa kwa Ajili ya Watanzania kwa sasa.zaidi ya Mwamba aliyeondoka Magufuli.waliobski wote wanakula bata.

  • @BravebouBravebou
    @BravebouBravebou 18 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mwanamke hafai kabisa hata kuwa mzazi

  • @abednego3876
    @abednego3876 23 วันที่ผ่านมา +3

    Majaliwa sio mjinga yeye hawezi kujitoa kafara kwa sababu ya wapumbavu wasiojielewa.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 22 วันที่ผ่านมา

      Mpumbavu nani? Watanganyika? Na yeye ni Nani? Labda sema hiyo ya kujitoa kafara maana uki WA oppose lazima wakuue

  • @ndayi7
    @ndayi7 13 วันที่ผ่านมา

    Isaiah 5:20,23
    [20]Woe unto them that call evil good, and good evil; that put darkness for light, and light for darkness; that put bitter for sweet, and sweet for bitter!
    Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu; watiao giza badala ya nuru, na nuru badala ya giza; watiao uchungu badala ya utamu, na utamu badala ya uchungu!
    [23]Which justify the wicked for reward, and take away the righteousness of the righteous from him!
    wampao haki mwenye uovu, ili wapewe ijara, na kumwondolea mwenye haki haki yake! Uvamizi wa Kigeni Watabiriwa

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 8 วันที่ผ่านมา

    Mawazo mazuri kaka

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 23 วันที่ผ่านมา +4

    Hivi mnadhani kuwa traore ni rahisi?traore ni type ya kina fidel castro,ernesto che guevara?hata kwenye majeshi haya yaitwayo ya wananchi hayana mtu hata wa kumfikia kijana shupavu IBRAHIM TRAORE" majeshi yenu yamejaa walawiti,na wapuuzi wengineo"kuwa kama traore ni lazima uwe na "Upendo na uzalendo" kinyume na hapo utabaki kuwa kibaraka tu na kuuza kila kitu katika taifa lako,

    • @KiwiaCasmir
      @KiwiaCasmir 23 วันที่ผ่านมา +1

      Huku tumebakiwa na uchawa kila mahali mkuu!.😴🥵

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 22 วันที่ผ่านมา

      @@nakalikyumile3234 Tumejikwaa. Miaka mingi Tatizo letu kwanza hatujitambui kwamba tunashambuliwa. Tunashambuliwa ila hatujawai kupingana na mashambulizi. Elimu yetu imesiginwa ili tusione au kusikia. Sisi msomi wetu anafikiri kinyume. Akifikiria jambo tunategemea liwe chanya lakini ukizama ndani unaona matokeo hasi. Hii sio bahati mbaya. Na kwa kuliona hilo Nyerere alipeleka vijana kwenye vyuo vya Gharama kubwa. Ndio maana tunaona udhubutu ile awamu ya kwanza. Africa yote mpaka sasa elimu yetu ni ya kufikiria kinyume. Hoja ya bandari ilipofika bungeni pale na wabunge kujadili ushaidi wa kufikiri Kinyume ulijionyesha wazi. Tuliona wakicheza na kutunzana, ukweli wabunge hawakujadili. Hata kukwama kwa katiba, ni matunda ya kufikiri kinyume. Kwani ingepita katiba ingezuia nini. Kuna kufikiri kinyume sehemu zote hata kwenye nyumba za Ibada.

    • @chrysanthushakaunga6560
      @chrysanthushakaunga6560 22 วันที่ผ่านมา

      Acha kudanganya jeshi ni taasisi

  • @seifkassim5872
    @seifkassim5872 22 วันที่ผ่านมา +2

    Majaliwa kapoteza sana imani kwa watanzania.ahaminiki tena kwenye uhongozi

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 22 วันที่ผ่านมา

      Karudi kwa Mungu, ametubia dhambi zake, enzi za mwendazake alikua naye mtiifu kwa boss wake juu ya dhambi walizokua wakisaidiana. Huo uchaguzi uliomuweka nafasi hiyo mgombea mwenziwe alipigwa na kuumizwa, kiongozi wa aina gani hiyo kwa Mungu awe mtakatifu.

  • @MuhojaMalicho
    @MuhojaMalicho 22 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli bro

  • @fxmeddy9567
    @fxmeddy9567 23 วันที่ผ่านมา +3

    Samia ndo changamoto

  • @SamwelEdward-on7if
    @SamwelEdward-on7if 22 วันที่ผ่านมา

    Hongera kijana mzalendo Mungu akutunze

  • @lusajomwankusye602
    @lusajomwankusye602 9 วันที่ผ่านมา

    Inauma sana

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 6 วันที่ผ่านมา

    Kucheza puli....🤣🤣🤣...kaka umeongea...wanatufanya ma ndi ndi ndi ...!

  • @AlfredGeorge-n2o
    @AlfredGeorge-n2o 16 วันที่ผ่านมา

    Huyu rais samia anamatatizo gani anacho tafta nn au mnatuona watanzania hatuna akili ipo sku mnacho tafta mtapata Magufuli kawainyesha njia lakini nyinyi mmeischa njia salama mnafata upumbavu mnailudisha nchi kwenye matatizo haya maiti ikiamka hugeuka zombi nyinyi endeleeni kuona watanzania hatuna akili ipo sku mtakuja kujilaumu mbwa nyie

  • @AwamiIssa-k6e
    @AwamiIssa-k6e 12 วันที่ผ่านมา

    Tátizo viongozi wetu wa África wanapenda sana misaada kuliko kufanya kazi

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 18 วันที่ผ่านมา +1

    Daaah uko vzr kaka mkubwa

  • @polokotomwalusamba1132
    @polokotomwalusamba1132 13 วันที่ผ่านมา

    Brother namuelewa sana

  • @ClemenceVenance
    @ClemenceVenance 10 วันที่ผ่านมา

    Viingozi wa nchi zetu za Africa wanapaswa kuiga mfano wa kijana huyu mzalendo wa kweli wa bukinabe 👊 for Ibrahim triore the president of united state of Africa

  • @NungulaRais
    @NungulaRais 15 วันที่ผ่านมา

    Asante sana kaka

  • @MgishaFerd
    @MgishaFerd 13 วันที่ผ่านมา

    Kuna mtu anamshauri mama kuuza hiyo ngorongoro harafu mama hana maamuzi anapelekeshwa tuu.

  • @ShaidaAfati
    @ShaidaAfati 13 วันที่ผ่านมา

    Huyo mama anajijali yeye na familia yake njoni mpaone kizimkazi alivyo pajenga ana Kijiji chake kina magorofa tupu Wana nchi tunalia njaaa😢😢😢😢

  • @user-jn2qj5wf6c
    @user-jn2qj5wf6c 20 วันที่ผ่านมา

    Kuongoza inch ni kaz sana kama upo siliaz sijui kama watu wangefika mda wa kustaafu maana mataifa ya magharib wanatupangia sana Jins ya kuish😭😭😭

  • @majaliwaharuna4064
    @majaliwaharuna4064 18 วันที่ผ่านมา

    Hapo unaweza kumlaumu waziri mkuu bila kujuwa,kwani mama Samia hakufanya kazi na magufuli? Tena akiwa makamu wa rais.so inapotokea mabadiliko makubwa kama haya ujuwe yametoka mamlaka ya juu ambapo pm hawezi kupinga ila analazimika kusimamia maagizo aliyopewa na boss wake.

  • @GerrardLaizzer
    @GerrardLaizzer 18 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂wamezoea ila kwa ngorongoro wamedunda Masai hakubali aache aridhi inaye mpenda ngombe

  • @JamesRajabu-yp7cb
    @JamesRajabu-yp7cb 14 วันที่ผ่านมา

    Haaa😂 maendeleo yanaitaji kuji toa kama alivyo sema mzee magu ila kujitambua Kwa watanzania ndo itakua mwanzo wa maendeleo ya nchi yetu.

  • @rajabukamote1226
    @rajabukamote1226 19 วันที่ผ่านมา

    Watu wanacheza kamari hadi vichochoroni tena saa24, sijui tunapelekwa wapi.

  • @smarty1064
    @smarty1064 17 วันที่ผ่านมา

    Mna tani za madini ila hamna tani za akili ... shida inayowafanya mkwame ndo hiyo mkishapanda ma V8 sababu wengi ni washamba hamna exposure mnajua ndo mmepatia kumbe mnajitafuna wenyewe na wajukuu wenu ... 😀😀😀😂😂😂

  • @joycmsokile9220
    @joycmsokile9220 22 วันที่ผ่านมา

    Uko vizuri sana

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 17 วันที่ผ่านมา

    Tz MGENI anathamani kuliko mzawa mbona hiyo inajionesha sehemu nyingi 😢😢😢

  • @jacksonpaulo8920
    @jacksonpaulo8920 11 วันที่ผ่านมา

    Aiseee

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 16 วันที่ผ่านมา

    Majaliwa kaishaingia kwenye mfumo Majaliwa huyu sio yule wa Magufuli hata yy anaogopa kujitokeza huenda akapotezwa ndio maan ameamua kuingia kwenye mfumo

  • @kambalakafuko7695
    @kambalakafuko7695 17 วันที่ผ่านมา

    Mh Majaliwa hawezi shindana na mfumo

  • @gilbertmagafu9929
    @gilbertmagafu9929 16 วันที่ผ่านมา

    Wengi wanatafuta umaharufu kupitia swala la Ngorongoro.Hivi kwa ule umati ulioandamana siku ile kama wote kweli ni wakazi wa Ngorongoro wasipo hamishwa miaka 50 ijayo hakutokuwa na hifadhi Tena. Na hata hao wenteji watalazimika kupakimbia

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 22 วันที่ผ่านมา +1

    Ata mm sielewi kuwa uyu ndiyo yeye au vip

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 23 วันที่ผ่านมา +2

    Wamuigee halafu utajiri wapate wapi

  • @charlesadolf1062
    @charlesadolf1062 7 วันที่ผ่านมา

    Tatizo ni uongozi wa mifumo fulani fulani na ndiyo tatizo kubwa kwa nchi nyingi za Ki Africa .

  • @twahathomas3514
    @twahathomas3514 19 วันที่ผ่านมา

    Mm naona majaliwa anafanya vile alivyoelekezwa na rais. Sidhan km anapenda watu kuhamishwa ngorongoro

  • @simonphabiano9050
    @simonphabiano9050 22 วันที่ผ่านมา

    Safi sana❤❤❤

  • @jamesjr6086
    @jamesjr6086 19 วันที่ผ่านมา

    Aaahaaha mzalendo anaongea kama dk ndodi nafkir ni mnyakyusa huyu........piga kazi huko sahihi nakuona waziri 2025 kwenye serikali itakayoongozwa na chadema rais akiwa gwajima aahaaahaa

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 12 วันที่ผ่านมา

    Huku kwetu rais wetu kanunua mashangingi

  • @ShabaniBaibai
    @ShabaniBaibai 4 วันที่ผ่านมา

    Kijana ana Samani wakati wa uchaguzituu

  • @greysondavid6445
    @greysondavid6445 18 วันที่ผ่านมา

    If you challange the government for goodness ;you'll be arrested,if you challange even an outhourity ;you'll be armedy..msikae maofisini mnashiba tu, hamsumbui akili zenu kusikiliza matatizo ya wananchi. Big shame on them.

  • @JosephKapanga
    @JosephKapanga 23 วันที่ผ่านมา

    Hoja nzuri sana.

  • @leonardramiye8207
    @leonardramiye8207 23 วันที่ผ่านมา +1

    Wamehongwa ili tuuzwe😓😓 yaani rasilimali zetu zooote zimeuzwa

  • @user-yi8pe8zz1t
    @user-yi8pe8zz1t 13 วันที่ผ่านมา

    Tanzania nchi yangu nakupenda,😢

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 22 วันที่ผ่านมา

    Maneno ya kweli kabisa 💯

  • @dieudonnekayobera933
    @dieudonnekayobera933 16 วันที่ผ่านมา

    From BURUNDI: Kama Africa Nzima inadaiwa Hela.nyingi nawa Zungu Ma TRILION....... Wakulipa ni Raia . Kazi ya Siasa niya Wizi na uwongo ila inapana HESHIMA .

  • @RashidKishambo
    @RashidKishambo 14 วันที่ผ่านมา

    Inauma sana kumkosa JPM waizi ndio husema mama anaupigamwingi upi Magu alisisitiza kua tz ni tajiri mbona mama haitamki hii kauli

  • @KMuleke-kk5eo
    @KMuleke-kk5eo 22 วันที่ผ่านมา +1

    Niwachache sanaaa