Haya matatizo yalianzia kwa huyo mwendazake, ukiwa sio mfanyabiashara huwezi kulijua hili. TRA wakati ule walichukua fedha za wafanyabiashara kwa nguvu na hakuna aliyepewa nafasi kama hii ya kuhoji. TRA iliua watu kwa pressure kufuatia kufunga account zao na kuwabambikia madeni,, ukienda tofauti unapewa kesi ya uhujumu uchumi.. Msiongee kishabiki
Riziki anatoa mungu usijadili kapataje unakufuru .mungu humpa amtae na kwa muda wowote .umasikini na utajiri yote ni mitihani ya mungu anakuangalia utashukuru au utakufuru Mwenyezi mungu(s.w) atujajalie wenye kufanikiwa na mitihani aliotujaribu
Hawa tra wa Tanzania inatakiwa cku moja wapewe maduka yakuuza hata miez miwili alafu wafatiliwe mapato maan wao wananyang'anya hela zawatu hachukui kod nais vile2 masomo yao yakikodi hayako saw igen nchi jilani
TRA wanaonea na Wanaonewa vilevile, sasa uangalie hawa wakubwa kwa sababu wakubwa wanatumia mgongo la wadogo kuhalalisha mamboz zao....na walarushhwa ndo wanadidimiza uchumi na haki.....
Huyu mama anasema aja fanya biashara miezi minane pesa ya kununua nyumba mtaa wa nyamwezi na aggrey bilioni 10 kapata wapi? Huyu mama anatakiwa achunguzwe kiundani sanaa. Hujafanya kazi miezi minane alafu leo ukanunue nyumba bilioni kumi aaaaaahhhhh jamani kweli Tra wanazingua ila watu kama hawa tuwe makini nao
@@hilmialjahdhami9787..Kila biashara inauendeshaji wake na inajitegemea we mbn una chuki na mama wa watu.!? Kwahiyo asizungumzie changamoto za biashara ya nguo aliko wekeza kwa sbb ana Mali nyengine.!? Au wewe sio mfanya biashara.!? inamaana hujui km Kila biashara Ina mtaji wake na ili ikiwemo inatakiwa ijiendeshe kutokana na kile ulichowejeza.!?
Mi naona TRA watafute namna nzuri ya kukusanya kodi ambayo ni fair na sio kuwindana km panya road. Hafu ni aibu polisi kujifanya TRA kwani kazi zao zimeenda wapi?
Yaani watu wako na shida maskini sasa bilion kumi vitenge hiyo haki kweli?kwan viongozi kazi yenu nini hamuwatembelei watu wa chini?bila mgomo ina maana waziri mkuu usingefichuliwa hayo
Mtanikumbuka kwa mazuri nasio mabaya.
Na hawa ni wale wenye ujasiri wa kusema bado wale wanaosema namuachia Mungu RIP JPM😢
Kwa kweli Magufuli alikuwa jembe. Ndoo maana maafisa wengi serikalini hawakumpenda. Tutamkumbuka sana Magufuli.
Huyu Mama ni Mtu na Nusu, how does she get such massive power in business.... An example to keep learning..
Mtu na nusu nimeipenda hii
Wallah magu angekuepo hao tra wote kaz hawana na huyo mwigulu angejiuzulu bila kupenda. Ooooohh R.l.P mwendazake😭😭😭😭
Haya matatizo yalianzia kwa huyo mwendazake, ukiwa sio mfanyabiashara huwezi kulijua hili.
TRA wakati ule walichukua fedha za wafanyabiashara kwa nguvu na hakuna aliyepewa nafasi kama hii ya kuhoji. TRA iliua watu kwa pressure kufuatia kufunga account zao na kuwabambikia madeni,, ukienda tofauti unapewa kesi ya uhujumu uchumi..
Msiongee kishabiki
Waziri mkuu ukiona watu wanafunguka kiasi hiki, ujue watu wanaimani Sana na wewe. Kiukweli mamulaka ya mapato mh!!!!
Angekuwa magu TRA Jana kazi wangekosa hapohapo bila mjadala
Mwanamke Sasa awe jasili Kama huyu sio Kama Hawa nguchilo wahuku kitaa wa kutuma na yakutolea ❤❤❤❤❤
Sisi wa Tanzania niwashenzi sana atuoneani uruma atakidogo
Ndio mjue kwamba Magufuli Alikuwa Raisi😢
Tatizo sio Magu tatizo ni uzalendo wa Kiongozi,alikuwa anasema matajiri anataka waishi kama mashetani?yy ndo mwanzilishi wa ili
@@lidyakisoka-is4ru Hujui ulisemalo
Kaka hujui ulisemalo, magu alikuwa yupo vzr Sana kuweka nidhamu
Kbsaaaa huu uozo usingekuwepo
Tuulizeni cc wakulima wakorosho kuhusu magu
Kwakweli TRA inatunyanyasa sana yaani wafanya biashara tumekua kama watoto wa kufikia Kwa mama wakambo asiye na moyo wa Imani hataaaa.
Yaani ata ss bukoba ni hivyo2 wanatukomoa
Mama bonge anahera lak8n nchi ya tz inzazambi sana
Hivi Hawa ni Wazawa kweli eheeee!!! Mbona kama sisi ni Wakimbizi tu..Kwanini Tanzania..R.I.P. Magufuli... Tanzania itakulilia Daima milele!!!!!!
P
Pp
Hii nchi ya kishenzi sana inaviongozi washenzi walafi
ukiona mwanamke ana ndevu ujue ana akili sana.
ndevu na akili nini 😅😅😅 bro hii ni hormone za kiume tu
Umenenaa mubashara sanaa Ndugu yangu @kazumbelive1987.
Mungu akujalie maisha marefu damu yangu.
@@willykaovela5485 mbona mie ninazo😂😂😂
Ni kweli haswa
Hakika hujakosea ila zinakera sana tunakuwa kama wanaume
Wazili mkuu mheshimiwa wetu kiukweli liangalieni Hilo hawa tra wanawavuluga sana wafanyabiashala.pamoja na polisi nao wanakelo sana
Hivi mwingulu si ajiuzulu tuu.huyu mamaake nahisi hajiwezi kwake
inatisha mpaka unatoa machozi, huyu dada ni mfanyabashara
TRA Wamekuwa miungu watu. Utaratibu wa kudaiwa kodi wakati muda kampuni au jina la biashara inaandikishwa ni upuuzi mkubwa.
Hii Nchi kuna Watu unaweza kuwadharau kumbe ni Mabilionea. Wewe mbona bado Msichana hayo Mabilioni umefanyaje kuyapata? Kweli riziki ya Mtu
😂😂😂😂😂😂😂kwa kweli
Riziki anatoa mungu usijadili kapataje unakufuru .mungu humpa amtae na kwa muda wowote .umasikini na utajiri yote ni mitihani ya mungu anakuangalia utashukuru au utakufuru Mwenyezi mungu(s.w) atujajalie wenye kufanikiwa na mitihani aliotujaribu
Wenye pesa wakogo kawaida sana
Wala huwa hawaonyeshi, na ukimuona hapo wala huez jua, sas wewe uwe na vimilion vyako unatembea kwa maringo hatari
@@mwitaagness455 😜😜😜😜
Mungu awasamehe sn hawa viongozi kwani nimataperi sn ugumu wa maisha tunaopitia watanzania ni kwasababu ya TRA
Harafu wabunge wanasema mama hanaupiga mwinyi kwa sitairi hii kweri kupga mwinyi kwa kuwaibia wananch kweri haki itemdeke
Pole mama mungu atasimama upande wako
Kweli noma
Chadema njooni huku mseme maana mlikuwa mnasema Jpm alikuwa anaonea wafanyabiashara je haya yametoka wapi ?
nchi imeoza rushwa rushwa.kila ukicha
Magufuli angewaita ikulu chap, bi fulan yupo bize na mambo ya hovyo
Yaan TRA TRA TRA sijui kama watamwona Mungu siku ya mwisho
Waziri mkuu wetu ana busara ya kutosha umeenea kiti chako
Hii ndio nchi yetu, Mimi sijutii hata kdg kutoka huko. Tunawaambia mnawaumiza watu hawasikii. Na kushauriwa hawataki
TRA mhu lnna Lillah wainnaillaihi Rajiun 😭😭
Yaani hii nchi Kuna watu wananyanyasika kama wakimbizi
Yesu wangu nyie...
Oko sahihi boe,ila kwawakati huu hakuna atakaekuelewa kwakua wote wana perpressure juu ya yanga yao
Hongera sana kipenzi
Yaani hiki kikao laiti magu angekuepo idara ya TRA wote wangepigwa chini wote na waziri wa fedha angetenguliwa hapo
TRA Wapendwe zaidi na Mungu
Aibu aibu aibu kwa serikali ya Tz kushindwa kudhibiri RUSHWA kanakwamba inaruhusiwa rushwaTz🇹🇿
TRA jamani watumbuliweeee
Yaani mbn tunateswaa hv
nazani Marehemu angekuwepo hawa jamaa wangelala ndani
Pole mm
Rest in peace magu
Hawa wafanya kazi wa TRA inaelekea baazi yao niwatoto wawakubwa ndiyo
mana wanakuwa vibiri sana kwwafanya biashala
Huyu nae wazir mkuuu siyupo hapoo
Mhmm hichi chombo TRA ni hatari sana mtu anamkopo bank mzigo umezuiliwa yani sijui watu waishi vipi
Ndomaana Maisha yanakuwa magum njia zakuingizia pesa wameziharibu
Waambiee mamaanguu 😢😢
Hayo ni manyanyaso ya serikali kwa raia wake
Magufuli baba sijui nisemeje ....
Hawa tra wa Tanzania inatakiwa cku moja wapewe maduka yakuuza hata miez miwili alafu wafatiliwe mapato maan wao wananyang'anya hela zawatu hachukui kod nais vile2 masomo yao yakikodi hayako saw igen nchi jilani
TRA wanaonea na Wanaonewa vilevile, sasa uangalie hawa wakubwa kwa sababu wakubwa wanatumia mgongo la wadogo kuhalalisha mamboz zao....na walarushhwa ndo wanadidimiza uchumi na haki.....
Hata huo mzigo wako hauendani na hio pesa walizokutajia
Tanzania nchi ya hovyo kweli kwenye madini wageni mnawasamehe Kodi wazawa sasa wanavyokabwa
Mh wazili mkuu Kuna wakati Hawa tra wengine wawajibishwe tunatengtena roho za watu wanao Anza kuvaa roho za ujasili
Jamani jamani wazili msaidie huyu mama
Dah 😢
Hatari jamani
Hao mbwa tra hao siku yakihama wakwanza kutupwa motoni wanasiasa baadae tra
Mm sina iman na hii serikal ya dhaifu ya majangili magendo
🇹🇿INASIKITISHA SANA😭
Hii story haijakamilika, CD imeruka sana. Kuna shida kubwa zaidi.
Huyu mama anasema aja fanya biashara miezi minane pesa ya kununua nyumba mtaa wa nyamwezi na aggrey bilioni 10 kapata wapi? Huyu mama anatakiwa achunguzwe kiundani sanaa. Hujafanya kazi miezi minane alafu leo ukanunue nyumba bilioni kumi aaaaaahhhhh jamani kweli Tra wanazingua ila watu kama hawa tuwe makini nao
@@hilmialjahdhami9787..Kila biashara inauendeshaji wake na inajitegemea we mbn una chuki na mama wa watu.!? Kwahiyo asizungumzie changamoto za biashara ya nguo aliko wekeza kwa sbb ana Mali nyengine.!? Au wewe sio mfanya biashara.!? inamaana hujui km Kila biashara Ina mtaji wake na ili ikiwemo inatakiwa ijiendeshe kutokana na kile ulichowejeza.!?
Dhurma imeshika hatam rushwa shikamoo 🇹🇿
Mwigullu apumzike tuu jamani
Dah hawa TRA ndio mafisadi wakubwa wa nchi
Nchi yetu lkn tunaishi kama watumwa jaman hv watu wenye dhaman serikalin kwnn mnaona wasio na ajira kama machizi tu
Ya wafanya biashara ni hayo. Tusubiri ya wakulima.
10b???????
Watu wanabuliwa jamani .ila naimani na majaliwa atawasaidiq
Daaaa hakyamungu tra no nyoko kabisa
Mbona wasomi wapo wengi fukuza haya magumegume yanayotesa watu!
Na ambao hatuwez kuongea inakuaje?
Bilion 10 sasa hata upewe huo mzigo jaman ufanye biashara,itapatikana?????
Haiwezi kurudi,labda useme urudishe pesa kiasi basi tu
Inatia Huruma kabisa,TRA wanakera
Tra inahujumu uchumi wa nchi hii, hii ni hatari sana serikali inauwa wafanyabiashara wake
Ndo mama wafanya biashara wanafunga maduka kwa sababu hiyo
watu wanauliza hivi Term Kuubiga mwingi kwa hali hii Bungeni liendelee kutumika?
Huyu mama anapei aisee
Kwa nn mkurugenz wa tra asisimamishwe!!!?
@@leopardkomba8434 tutamsimamisha
Watanzania wanapitia mambo magumu sana.
Now nchi wanakla wakbwa t dadeki
Rip magufuli mtetez wawanyonge
Tanzania inatia aibu uchafu mwingi Sana. Mwigulu na jop lako mtalaaniwa
Wameshalaaniwa tayari
Tenda haki muongo mungu dunia mapito
Tunakutaman uwe rais
Pole mama angu 😭😭
Anadaiwa bajeti ya nchi hata bahresa halipi hivi
Hii nchi ni hovyo mno.
Tanzania wamachinga wanadaiwa billions kodi duuh sasa kama zambia ni wapo lockland bado chini hii ni aibu
Hatuna wasomi....
Naimani na Majaliwa oya oya2
Duuh mtihan sn wallah tz wanatia aibu kwa tabia zao chafu😢
Mama pole mungu ata simama
Daa
Yaani mzalendo ananyimwa TENDA anapewa mkenya na mzambia? Bongo viongozi ni hovyo
Katiba mpya nilazima
Haya yote si kwamba serekali hawajui, wajanja ndio wataelewa
Mi naona TRA watafute namna nzuri ya kukusanya kodi ambayo ni fair na sio kuwindana km panya road. Hafu ni aibu polisi kujifanya TRA kwani kazi zao zimeenda wapi?
Kuna watu wanateswa sa hivi
Eemungu tusaidie
Mfanya biashara atakayenunua ilo contena hapo kariakoo ni mpumbavu
Mahubili
Watu wana hela aise
Yaani watu wako na shida maskini sasa bilion kumi vitenge hiyo haki kweli?kwan viongozi kazi yenu nini hamuwatembelei watu wa chini?bila mgomo ina maana waziri mkuu usingefichuliwa hayo
Tra Mbingu wataisikia toshekeni na mishahara yenu