DUH! SHEIKH KADOGOO APOKEA SMS NA SIMU ZA KUSHANGAZA KUTOKA KWA MASHEIKH WA CCM, AWAPA ONYO KALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.ค. 2024
  • #TANZANIA: Sheikh Kadogoo apokea SMS na simu za kushangaza kutoka kwa Masheikh wa CCM, awapa onyo kali.
    Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE TH-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

ความคิดเห็น • 18

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 6 วันที่ผ่านมา +2

    Shekhe hongera upo vizuri mungu akulinde

  • @user-bx3ko9ft5t
    @user-bx3ko9ft5t 6 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera baba

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 6 วันที่ผ่านมา +2

    Uko vizuri sana shee kadogo big up

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 6 วันที่ผ่านมา +3

    No fear hao ni mashehee ubwabwa na kajimati that only what they expect to get from ccm kadogo tusiwaogope hao ni mashehee kazu na ubwabwa tuu

  • @amanmwalyambi1416
    @amanmwalyambi1416 5 วันที่ผ่านมา

    I admire this shekh

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole3971 6 วันที่ผ่านมา

    Nakupendaje.

  • @prospermalala6636
    @prospermalala6636 5 วันที่ผ่านมา

    MH Ally kadogoo elimu imepenyeza ndani ya Taifa na vichwani mwa watanganyika ndiyo maaana, unatumiwa SMS zisizo na afya Kwa Taifa letu

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 4 วันที่ผ่านมา

    Shehe umeongea vizuri

  • @user-qz2cs5wm5u
    @user-qz2cs5wm5u 5 วันที่ผ่านมา

    Ao mashehe wanao kulaumu wanaasili ya utumwa maana mtumwa anakua anaaki yoyote yakulalamika

  • @JosephIbrahimu
    @JosephIbrahimu 5 วันที่ผ่านมา

    Shehe ukovizi mno

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 6 วันที่ผ่านมา

    huyu jamaa ange kua nafasi ya tundu lisuu

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 5 วันที่ผ่านมา

    Kumbe kunà masheikh wa cccm

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 6 วันที่ผ่านมา

    tunaomba bendera za ccm kwa wingiii

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 6 วันที่ผ่านมา

    M SAIZ SIMUAMIN MWANASIASA YEYOTE N UPUUZ TU

    • @BrunoNamanga
      @BrunoNamanga 6 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 6 วันที่ผ่านมา

    We muongo chadema hakina nguvu

    • @andrewkissava9184
      @andrewkissava9184 5 วันที่ผ่านมา

      Unachuki za kidini na chuki za kisiasa chukiza uchawa kwa mama kilemba