MBOWE AAPA KUACHA SIASA ENDAPO CCM WATASHINDA HATA KITI KIMOJA CHA UBUNGE ALIAMSHA LUSHOTO NA SAME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.com/@kusagatv6320...
    Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

ความคิดเห็น • 7

  • @emmanuelmndeme9740
    @emmanuelmndeme9740 17 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana kamanda

  • @emmanuelymganga5737
    @emmanuelymganga5737 15 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna kuacha Uenyekiti Mbona china wamemuamini raisi wao na kumpa uraisi wa kudumu hata sisi pia tunakuamini MKUU wew ñdio mwenyekiti wetu wa kudumu

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 16 วันที่ผ่านมา

    Kaka hongera kwa kufanya utalii wa ndani ya nchi
    Ebu wape nafasi wenzako kwenye uenyekiti wa chama Taifa

    • @emmanuelymganga5737
      @emmanuelymganga5737 15 วันที่ผ่านมา

      Mbona inakuuma unataka upewe wewe hio nafasi huyo ñdio mwenykiti wetu Wa kudumu Kama raisi wa China anavyo aminiwa na wananchi wake na sisi pia Mbowe tunamuani

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 17 วันที่ผ่านมา

    Hivi mnatarajia Ubunge mtachukua kweli , mtaongea sana kwa lipi hasa mlilofanya zaidi ya kutafuta matukio na kuyaongelea. na kuanza kutukana watu.

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 17 วันที่ผ่านมา

    Huwezi kuacha siasa. Utawakatisha tamaa wenzako. Unaweza achia ngazi ya uenyekiti ndii. Ukawa baba mlezi wa chama

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 17 วันที่ผ่านมา

    Mbona wapo wachache Nawaonea huruma.