Maisha Ya Ricard Hananja, Ubondia, Kuvuta Gari Kwa Meno Hadi Uchungaji.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 127

  • @heronimomsefya3190
    @heronimomsefya3190 7 หลายเดือนก่อน

    Dah nimecheka sn huyu mchungaji una upeo na maono sana mwenyezi mungu mwingi wa rehema akutangulie daima

  • @nganyanyukahumphrey37
    @nganyanyukahumphrey37 2 ปีที่แล้ว +1

    Aisee

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmh ,huu moyo aisee lazima uwe na Mungu tu sio rahisi kuchukuliana na kuvumiliana na watu unaowasaidia!
    Mungu akubariki sana uwe unawaombea pia hao watu

  • @fabiankilato6911
    @fabiankilato6911 3 ปีที่แล้ว +5

    Akili zetu zinatumika kwenye migogoro badala ya kutumika kwenye mambo ya maendeleo. Shukrani Mchungaji, upo sahihi kabisa.

  • @DIDASTUMAINI
    @DIDASTUMAINI 2 ปีที่แล้ว +3

    Hawa ndio wachungaji ambao dunia inawahitaji saaana.Kichwa cha mzee kina mamillion ya GB, Bible ameikariri sana.👏....Mungu azidi kumtangulia katika kazi aitendayo.

  • @safhe-mpungi6075
    @safhe-mpungi6075 3 ปีที่แล้ว +4

    Memory yako ni nzuri sana Mchungaji. Anasimulia kama vile anasoma, safi sana.

  • @ahimidiwerishya8523
    @ahimidiwerishya8523 2 ปีที่แล้ว +1

    Oh my God very intelligent pastor Wazo tunamkumbuka Sana. Ibada za mazishi badala ya watu kulia alituchekesha hatusahau. Ukikaa naye lazima upone

  • @gardenchaneli5838
    @gardenchaneli5838 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda hananja

  • @jacksonnduna4419
    @jacksonnduna4419 3 ปีที่แล้ว +8

    🤣🤣🤣🤣 khaa, huyu pastor noma sana kawanunulia DCM mateja wakamgonga traffic, 🔥🔥🔥🔥 mapastor wote wamjini watasubiri sana anatililika na mistali yabibilia hadi raha

  • @joshuamagoti5029
    @joshuamagoti5029 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri mchugaji nabarikiwa sana

  • @RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny
    @RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny 8 หลายเดือนก่อน

    Amazing

  • @marymichael8197
    @marymichael8197 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa baba Mchungaji. Hekima zako zimenibariki.

  • @frankfiretz
    @frankfiretz 2 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji umetisha umetembea kwetu ileje iwiji noma sanaaa

  • @angelinamichael7742
    @angelinamichael7742 2 ปีที่แล้ว

    Mchungaji uko vizuri sana Mungu akubariki sana

  • @gracehenga1980
    @gracehenga1980 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri Mchungaji nakupenda unaongea point.

  • @robertsebanyota8499
    @robertsebanyota8499 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kukutumia kwa mashauri yak mema barikiwa xana

  • @Papaahansmo
    @Papaahansmo 3 ปีที่แล้ว +1

    Hananja ni jembe alihudumu kibangu yaniiii👍👋👋👋

  • @chandekasita6695
    @chandekasita6695 2 ปีที่แล้ว +1

    Great interview... Pastor yuko poa sanaaaaa

  • @onesmomassawe6230
    @onesmomassawe6230 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sanaaaaa

  • @nteghenjwamnaya3757
    @nteghenjwamnaya3757 3 ปีที่แล้ว +1

    . Safi sana mchungaji ameni

  • @piusjusto2602
    @piusjusto2602 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika leo nimefurahi Sana kwa maneno yako Mchungaji

  • @Issa414
    @Issa414 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwel mubeba maono hafi lazima yatimie baba kwavikwazo ulivyo pitia mungu tu ndo anajua

  • @franktimothkisimbo5354
    @franktimothkisimbo5354 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaah upoo vzr baba mchungaji

  • @zacharialubazu3481
    @zacharialubazu3481 2 ปีที่แล้ว +2

    "Utoto Utumwa,Ujana Maswali,Uzee Ugonjwa"-Mch Richard Hananja.

  • @madorosilver7411
    @madorosilver7411 2 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji Mungu akubariki sana nimecheka kama.mwehu

  • @jessejulius9735
    @jessejulius9735 2 ปีที่แล้ว +2

    Amazing testimony Pastor

  • @emiliusfrance8286
    @emiliusfrance8286 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu

  • @simonringo4701
    @simonringo4701 3 ปีที่แล้ว +1

    Great guy!

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukivaa jeans unapewa mke bure😁
    Shetani haonei mtu asie na akili,kitu...
    Mwizi haibi nyumba isiyo kuwa na kitu..
    Kumpenda mwanamke mwisho siku 90 baada ya hapo ni mazoea,unaziea hips ...🙌
    Kupendwa ni kuliwa...🏃😂
    Kupenda ni kula ...😁
    Jana historia, leo zawadi,kesho maono..🤔🙌hakyamama nimecheka mi leo!
    Kweli Yesu ana watu jmn!
    Barikiwa!

  • @leskarmeikok8956
    @leskarmeikok8956 3 ปีที่แล้ว +2

    Pastor anajua sana ni hazina kwa taifa inapaswa aisaidie jamii kwa conceling.

  • @MariamSanga.
    @MariamSanga. 3 ปีที่แล้ว +3

    Dah nimecheka sana lkn somo nililolipata ni kubwa kuliko ...Mungu akutunze mtumish huduma yak ni kubwa sana kuwakumbatia waliokataliwa na kuwa positive kiasi hiki ni hekima ya hali ya juu.....

  • @fredrickpius9182
    @fredrickpius9182 2 ปีที่แล้ว

    Daah..hyu mchungaji nmemwelewa sna kusema kwel... Nadhan hyo awe mfno kwa wengneee

  • @nwntz
    @nwntz 2 ปีที่แล้ว

    Hananja love you

  • @zaitunabdala6385
    @zaitunabdala6385 2 ปีที่แล้ว

    Nimependa Sana mchungaji

  • @adrianhilary1241
    @adrianhilary1241 2 ปีที่แล้ว

    Interesting..Kudos..Mchungaji anaongea kwa utani ila ana hoja za msingi sana!

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 2 ปีที่แล้ว

    Ameni barikiwa sana mtumishi ❤❤

  • @MrJuniorwonder
    @MrJuniorwonder 3 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana

  • @anthonygikuri
    @anthonygikuri 2 ปีที่แล้ว

    Huyu Pastor big up

  • @ashrafchillah9857
    @ashrafchillah9857 2 ปีที่แล้ว

    Daah Mungu Akuongozee Point Zako Nzuri God Bless You.

  • @enjorbertleverian5356
    @enjorbertleverian5356 2 ปีที่แล้ว

    Ameni

  • @basictv7661
    @basictv7661 3 ปีที่แล้ว

    Very nice

  • @zacharialubazu3481
    @zacharialubazu3481 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna Mkaa Safi,Kuna Mkaa Bora.

  • @ujenziwanyumbakisasatanzan6343
    @ujenziwanyumbakisasatanzan6343 3 ปีที่แล้ว

    Yupo sawa Sana!!

  • @nelsonchivaula6574
    @nelsonchivaula6574 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂 duuuh huyu comedian sanaaa.

  • @eliasurious7419
    @eliasurious7419 2 ปีที่แล้ว

    Big up sanaa

  • @fadhilismnekajr8514
    @fadhilismnekajr8514 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂. Dah ya uyu mchungaji komed kweli ngoja nicheke kwanza

  • @edwardlawrence3615
    @edwardlawrence3615 3 ปีที่แล้ว +1

    Stay blessed

  • @thomasmwaruka8247
    @thomasmwaruka8247 2 ปีที่แล้ว

    Jamani huyu Mtumishi nampenda Sana, sana..!

  • @emilymngongo5173
    @emilymngongo5173 2 ปีที่แล้ว

    Power Bernard!!🤗🤗

  • @kelvinchaula5075
    @kelvinchaula5075 3 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji Hananja Mungu akubariki

  • @samsonmwakikuti5318
    @samsonmwakikuti5318 3 ปีที่แล้ว +3

    Mchungaji wangu usharika wa Wazo hill

  • @saidikobossa7489
    @saidikobossa7489 3 ปีที่แล้ว +4

    'Nimenunua DCM nikawapa mateja, wameendesha wee wakamgonga Traffic, nikalala ndani'

  • @williamuphilipo7447
    @williamuphilipo7447 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana na hii interview.

  • @hurumaevarest6803
    @hurumaevarest6803 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukuinua. Niwatu wachache wako Kama wewe Mungu AKUTUNZE uishi kwaajili yawengine wapate kupona

  • @usanifumaandishi7519
    @usanifumaandishi7519 3 ปีที่แล้ว

    Dah pastor kiboko

  • @maryschroeder521
    @maryschroeder521 2 ปีที่แล้ว

    Amazing 😂😂😂🙏🏾

  • @dianajohn3493
    @dianajohn3493 3 ปีที่แล้ว +3

    Ukisikia ule wimbo wa Yesu ni bwana, ametubadilisha yesu. Tulikuwa wababe kuliko wew.. Ametubadilisha yesu

  • @francislovemore3858
    @francislovemore3858 3 ปีที่แล้ว

    Kweli wewe Mch mungu akutunze

  • @laizerlekisongo1216
    @laizerlekisongo1216 3 ปีที่แล้ว +2

    Yan unasema kweli cyo
    Spika anatudanganya

  • @dicksonkilupa6881
    @dicksonkilupa6881 3 ปีที่แล้ว +2

    HANANJA UKO VIZURI UNAIKUMBUKA CHIYANGA NI MBOONZO. NIMEKUELEWA SANA. TENA UKIFUNDISHA KANISANI UNANIFRAHISHA. NA UKO NA KUMBUKUMBU NYINGI

  • @najmasaleh9231
    @najmasaleh9231 3 ปีที่แล้ว

    Duu Rexonal inanikumbusha mbali sana Creartone ilikuwa ni cream tumekimbiza hizo gari za sukari lkn maduka ya ugawaji ni kitambo sana

  • @amanam2735
    @amanam2735 2 ปีที่แล้ว +1

    Penda sana huyu mchungaji. Kichwa

  • @dorcasfaith5050
    @dorcasfaith5050 3 ปีที่แล้ว

    Amina kwa story

  • @francofrederick972
    @francofrederick972 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe uliabdaliwa kwa kazi maalumu kweli

  • @mrematvbabakoku8336
    @mrematvbabakoku8336 3 ปีที่แล้ว +2

    Mchungaji mbavu zanguuuuu. Azisha kipindi utawafunika wasanii woootee

  • @julianamahu776
    @julianamahu776 2 ปีที่แล้ว

    Baba yangu nimebarikiwa sana.pia nimejifunza kitu

  • @thomasmwaruka8247
    @thomasmwaruka8247 2 ปีที่แล้ว +1

    Great testimony Ooooh God Almighty

  • @andreaotaigo40
    @andreaotaigo40 3 ปีที่แล้ว

    Mmh hakika napata buludani sana nikiwa nakuskiliza mchungaji

  • @felixlamar9196
    @felixlamar9196 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimecheka kinoma ila nimejifunza mengi

  • @elisantemrita9894
    @elisantemrita9894 3 ปีที่แล้ว +1

    Watangazaji wameishiwa maneno

  • @erickmanyeck3913
    @erickmanyeck3913 3 ปีที่แล้ว

    Muhubiri 9:3

  • @christiannyamamba9089
    @christiannyamamba9089 2 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo la wachungaji wa sasa wanacomplicate sana na wanataka wenye pesa na wanaofanya kazi maofisini nawakati waliopotea wapo mitaani

  • @kumekuchaonlinetv
    @kumekuchaonlinetv 2 ปีที่แล้ว +1

    Pastor Rich yuko vzuri sana,hachoshi kumsikiliza?

    • @georgeigogo9259
      @georgeigogo9259 2 ปีที่แล้ว

      Nikweli utadhani ni kurya wa kenya

  • @thomasjohn7176
    @thomasjohn7176 3 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaha... nimefurahi na kubarikiwa sana Mchungaji

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 ปีที่แล้ว

    😁😁duh aisee🙌🙌

  • @subimbeba4526
    @subimbeba4526 2 ปีที่แล้ว

    Mzeee

  • @msafiriaugustino2957
    @msafiriaugustino2957 3 ปีที่แล้ว

    Umejua kunifurahisha aisee mchungaji 😂😂😂🤣🤣

  • @janesemngindo4878
    @janesemngindo4878 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendelee kukutumia kwa utukufu wake mchungaji huduma hii ni adimu nchini hapa

  • @godfreymlowe4815
    @godfreymlowe4815 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Mchungaji ni nouuuuuuma Sana mwanzoni nilikuwa simuelewi kabisa lakini kwasasa nalala macho kumsikiliza Ana akili Sana uwezo wake wa kukalili vitu ni mkubwa sana

  • @georgemngodo9546
    @georgemngodo9546 3 ปีที่แล้ว +1

    Tafadhali naomba kupata contact za mchungaji. Mungu akubariki mchungaji

    • @sulemankileo5605
      @sulemankileo5605 3 ปีที่แล้ว +1

      Fuatilia mwishoni kaitaja shida mnaaraka ukiamua kufuatilia fuatilia kitu adi mwisho chukua namba mwishoni apo

  • @fadhilismnekajr8514
    @fadhilismnekajr8514 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Ngoja nicheke kwanza

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 2 ปีที่แล้ว

    Ukimsikiliza mchg Hananja unaongeza siku lazima ucheke unaongeza siku za kuishi

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว +1

    Unayeshangaa si mkristo wa Kweli

  • @deusoden3614
    @deusoden3614 3 ปีที่แล้ว +1

    😀😀

  • @georgeigogo9259
    @georgeigogo9259 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni Kama Man Kush wakenya

    • @belindagiliard8977
      @belindagiliard8977 2 ปีที่แล้ว

      Hapana, man kush ana mizaha na anasema ukimkuta njiani usimuite mchungaji.......... Huyu anamkiri Yesu

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 2 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji an akili sana pia ni mwalimu mzuri sana kwan anafundisha kwa mifano huku anakuchekesha

  • @barakakings
    @barakakings 2 ปีที่แล้ว

    Mchungaji ana kipaji cha Kuongea sio cha nchi hii. Ana maneno milioni 8 laki 7 kwa sekunde 1

  • @farajameshack7907
    @farajameshack7907 ปีที่แล้ว

    hananji juz tembe za ndoa

  • @martindepores6309
    @martindepores6309 2 ปีที่แล้ว

    turudi sasa kwenye mstari!!! hahahhah, unahitaji ujiandae kuendesha interview na mtu kama huyu , la sivyo utajikuta unacheka tu

  • @samsonmwakikuti5318
    @samsonmwakikuti5318 3 ปีที่แล้ว

    Baba Mchungaji una hazina kubwa ya mistari ya biblia kichwani

  • @christiannyamamba9089
    @christiannyamamba9089 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee dah ana mafunzo huku unafurahi

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 2 ปีที่แล้ว

    Tulibwino kwa mbili

  • @leahswedy4895
    @leahswedy4895 3 ปีที่แล้ว

    Mmmmmh !! Mchungaji anaongea ... mbavu zangu ...

  • @erastonicholas5589
    @erastonicholas5589 3 ปีที่แล้ว

    We dada nawe mpana unajua hadi tandam

  • @mrsloganthevoiceofinspirat4982
    @mrsloganthevoiceofinspirat4982 3 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂

  • @benjaminmartin4548
    @benjaminmartin4548 ปีที่แล้ว

    Mchungaji upo vizuri mwanzoni nilikuwa sikuelewi.sasa nimekuelewa una akili sana.

  • @mrematvbabakoku8336
    @mrematvbabakoku8336 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakika majuto hajafa

  • @colinmhema530
    @colinmhema530 2 ปีที่แล้ว

    Mchungaji wetu wa Kibangu huyo

  • @zacharialubazu3481
    @zacharialubazu3481 2 ปีที่แล้ว +1

    shetani haonei MTU asiye na akili.

  • @neemalucas464
    @neemalucas464 3 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣