Mchungaji hakika wewe una upako mkubwa sana wa Mungu . Nabarikiwa sana na mahubiri yako....kichwa chako kiko vizuri mno ...injili imekaa vizuri sana kichwani mwako. .Mungu akuinue sana katika huduma yake......Ameen
Pastor nakuelewa Sana yila ngoja nisemetu nilichoona mzee umemeza vitabu aaaakingine nimependa misamiat yako yila tunafulah watu watavunja mbavu MUNGU akubaliki👍🙏🙏🙏🙏💅
Thanks to you who encourage the world to focus worship and believe in JESUS CHRIST rathan wasting time listing the Apostles and Prophets. Take this after all you have passed through ISIAH 12:2. GOD BLESS YOU MORE
Pastor Wewe ni Zawadi Ya Mungu,Sifa Azipokee Yeye Mungu,Amina
Big up mchungaji. Hufundishi mambo ya kiroho pekee. Unatufindisha maisha halisi ya binadamu. Ubarikiwe sana mchungaji
😊😊
Mungu AKULINDE
Na huyu mchangaji anayafahamu maandiko matakatifu vizuri sana.He is very real in his preaching.
Mchungaji hakika wewe una upako mkubwa sana wa Mungu . Nabarikiwa sana na mahubiri yako....kichwa chako kiko vizuri mno ...injili imekaa vizuri sana kichwani mwako. .Mungu akuinue sana katika huduma yake......Ameen
Amina. Ubarikiwe
Mimi nimusilamu lakini nampenda mno😂😂😂
@@ameenaameena1224 sio pekeyako voo
Very nice mchungaji kalirax halafu mungu anapenda watu wanyenyekevu kama huyu mchungaji anaomba kwa kulirax safi sana new levolution
Hananja. Wewe ndie uriyebaki. Kusema ukweri. Wengine. Porojotu. Mungu akutunze. Amen.
Hiki kichwa Mungu azidi kukubariki Hongera saana
Nakubali saaana kamanda wa munguu natamani cku tuonane uso kwa usooooo nitafrahahi sanaa
Amina Mtumishi. Karibu sana katika kanisa la wanataaluma (CHAPLAINCY) Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Genius huyu Mchungaji.Ninafurahia sana huduma yako mtumishi wa Bwana
Amina ubarikiwe piah
Nimeketi kama bosi flani. Ameen Mungu akupe maisha marefu huduma yako inatubariki sana.
Mchungaji hatari sanaMungu akuzidishie
Amina
Haleluya Amina hakuna kuchoka katika jina la Yesu Kristo Amina. Barikiwa Mtu wa Mungu Richard Bilionea Hananja.
Ameni
Baraka tele barikiwa sana.
❤🎉,Nimejifunza. Mafundisho bila kuchoka, yaani laini .Hakika mchungaji huyu ni mwalimu wa kuokowa watu .Ubarikiwe mchungaji.
Kwa Neema twaokolewa na kusamehewa dhambi ,🙏
upako usio na mfano. MUNGU AKUBARIKI SANA MCHUNGAJI HANANJA
Great Pastor ,Karibu KKKT USHARIKA WA KIMANDOLU-ARUSHA DKAK
Kweli mungu ni mwema nimetoka kazini nimechoka rkn nipoangalia mahubili haya nimepata nguvu
Mungu azidi kukupa nguvu. Ameni
From TikTok pastor nalipenda neno lako na mafundisho wakenya njooni 🏃🏃🎤🎤🙏🙏🙏
Mimi huyu hapa
Mchungaji una wito Haleluya
🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
hakika mungu ni mkuu aapate kukubaliki na kukuongoza MCHUNGAJI HANANJA
Mchungaji upo vizuri sana ,mbona mwanzo tulikuwa hatukusikii
Hallelujah Hallelujah Ubarikiwe Pst.
Mchungaji wangu kipenzi I love baba napenda Sana mahubiri.
Barikiwa Sana mchungaji ...napenda Sana huduma yako.kila mara nasikia kufarijika kutoka Kenya.
Mchungaji mungu akupe maisha marefu kwa ujumbe ulio na uweza wa mungu
Thiki zipo lakini Yupo Yesu Ameeen
Nimesikiliza mwanzo mwisho, ninahisi moyo wa dhiki kuu unabubujika. Mchungaji, ubarikiwe sana...
Amen pastor! Mahubiri Yako yananitia moyo sana
Amen sana mmenifanya nitake kuokoka sas
Umeokolewa kwa Jina la Yesu pokea baraka zako.
Jaman Mchungaj huyu nimempenda Jaman uwe unahubir kila cku ameeen
Amina mtumishi barikiwa sana
Hizo vifungu zinavyotolewa khaai Jesus is Lord 🙏 more grace mtumishi
Pastor anajua aisee kaongea mengi sana only the positive #Facts.
Barikiwa
Mungu akubliki ktk maombi Yako kweli mungu ameisha kuwekea upako ktk maubili Yako amina
Upo vizuri mchungaji
Tunasikiliza mahubiri huku tunacheka
Ubarikiwe
Sifa na utukufu ni Kwa Mungu,Muumba wa Vyote,Amina
Mungu edelea kumfunika mtumishi wako kwa kipaji ulicho mpa
Amen baba asante sana kwa Neno la Kweli....Mungu akubariki sana.... ila umestaafu ukiwa bado una nguvu sanaaa aisee
Asante Mchungaji Mungu azidi kukutia nguvu. Mafindisho yako yanabadilisha wengi kwani yanagusa watu wote.
Amina
Hongera Sana!mchungaji mungu kakuinua,mistari yote kichwani mchungaji,
Amins
Kwa hakika mafundisho ya huyu mchugaji no mazuri kupita kiasi
Mungu ambariki Sana.
Mchungaji nakubali unaweza nimecheka kalibu nife
Mungu akubarik mchungaj Yan tunabarikiwa San 🙌🙌
Barikiwa sana mchungaji. Mafundisho yako ni hali halisi ya maisha yetu.
I love how pastor Hananja preaches. God bless you
🤣🤣🤣🤣🤣jamani nyie unachekeshA
daa naeza pata namba yke ya simu
Pastor nakuelewa Sana yila ngoja nisemetu nilichoona mzee umemeza vitabu aaaakingine nimependa misamiat yako yila tunafulah watu watavunja mbavu MUNGU akubaliki👍🙏🙏🙏🙏💅
Asante mchungaji wangu
Hongera Kwa neno mashavu yatasimama na smile tuu nakucheka
Ameen Mungu aendelee kukuweka Baba Kwa ajili ya watu wake
Amen pastor mbarikiwa sana kwa mafundisho yako.
I'm Miss Rich Billionaire 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Asante mchungaji,nmepaga amani ya moyo ubarikiwe 🙌
Bibilia imelala kwa kichwa ya huyu pastor . 🔥🔥
Mungu akubariki Sana mtumishi. Napata furaha na amani Sana moyoni
Shilingi haipotei thamani yake, hata ikichafuka, ikisafishwa inarudia thamani yake.
Nimeipenda hiyo.
Hakika ndugu yangu!
Mungu akubari sana mtumishi wa Mungu
Hongera sana Baba mch nimevuna kwako
Amen Amen... yan nmecheka weuh I like this
Mimi nimekukubali sana.
Mungu anipe nguvu za kujua kama unavyojuwa wewe mchungaji.
Amina 🙏
woooow tumebarikiwa 🙏
Amina Mungu azidi kukubariki zaidi
Ubarikiwe sana mch. Hananja
Thanks to you who encourage the world to focus worship and believe in JESUS CHRIST rathan wasting time listing the Apostles and Prophets. Take this after all you have passed through ISIAH 12:2. GOD BLESS YOU MORE
Mungu akubariki
Asante MUNGU azidi kukutunza sana
Pastor Hananja is a true man of God- so much Grace & Spiritual Wisdom coming our of this man. This gotta be the best preaching of a life-time.
Umenitia nguvu Sana mtu wa mungu mahubiri yako yanaponya mioyo ilio choka na kukata tamaaaa 🙏🙏🙏
God uplift your preaching to reach many souls which are thirst for word of God.
Mchungaj Umetisha you are Prophetic
This man is a really comidian, best preaching
Mungu akupe ushindi Billioneir Hananja
Mahubiri yenye mashiko, ubarikiwe sana
Mchungaji tukuone ukihubiri UPENDO TV siku moja. Amen
Ubarikiwe sana mcungaji mungu akuongezeze mafuta unatubariki sana Amen
Nice nimefulahi sana pia nimafundisho kwanjia yafulaha
nakupenda sana mtumishi unafuraisha sana
Mungu akubariki Mchungaji Richard.
Ninabarikiwa Sana mtumishi na mahubiri yako mungu akubariki sana
Mwenyezi mungu akutie nguvu mchungaji kwa kuiongea kweli ya mungu ilove sanaa 😅
The way this pastor preaches it's soo real he can really relate to day to day life and still relate it to the Bible ,God bless you man of God.
Mchungaji ubarikiwe sana,
Aaaaa
Bwana atukuzwe Milele🙏🏿
Wow what a powerful God help me and give the knowledge of understanding of you word blessed.
God bless you nime cheka mwanzo mwisho nikweli tume choka tuna hitaji msaada wako tu
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu
Hongera,.
ooooo MUNGU anawatu wake asante baba.
😂😂😂😂aah we mchungaji mselaaaa jamaniiiiii mmmmmh unahubiliii vz mungu akubarikiiiiiiiii
Be blessed man of God 🙏🏼 you uplift my spiritual life 🙏🏼
Estomihi
Amina Mungu akubariki sana mchungaj
Halafu anajua all verses off head in th whole Bible both Old & New Testament....maajabu ya mtumishi wa Mungu
Barikiwa Mtumkishi
Hakiya mungu mm nina barikiwa mm nina jifunza vitu vingi sana
Ubarikiwe sana kwa mahubiri mazuri.
Woow natamani kumjua Mungu kiasi hiki
Wewe niwa pekeee mungu aku bariki
Ubarikiwe Sana pastor coz mahubiri yako yananijenga
Mungu akulinde unafundisha vema sana nakuelewa sana
Mungu akulinde mchungaj kwa hudum nzuri
Amina sanaaa
This is serious and it's really happened kwenye Maisha yetu 🙌🙌🙌
Amen hallelujah.
Poster Kweli nimekubali mafundisho yako mungu akutie nguvu.
unanichekesha sana na haya MAHUBIRI kweli
Amen amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sanaaa
😂😂😂😂😂❤❤❤❤
TALENTED, NO ONE CAN MIMIC THEY WAY YOU PREACH.
Zs
Safi Pastor Hananja
Kwakweli asante paster kwa mafundisho ,, hii ni shule kuu
Mungu akubariki Sana Sana Jamani Uwiii
Amina, asante Pastor
gracias pastor por enseñar nos vida real