MCHUNGAJI HANANJA: HAKUNA MTU ALIYEANZA NA MWANAMKE MMOJA HUYO MUONGO LAZIMA UNAPAPASAPAPASA KWANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ค. 2022
  • #MCHEZAKWAO #MCHUNGAJIHANANJA #STARTV
    Fatilia kipindi cha Mchezakwao Kila Siku ya Jumapili saa 12:00 Jioni

ความคิดเห็น • 58

  • @IsraelReuben-wc1gw
    @IsraelReuben-wc1gw ปีที่แล้ว +4

    Mungu azidi kukulinda na kuzidi kukupa maarifa ya kufundisha

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Mchungaji jamani...Swali jibu linakuja hapo hapo..Big up sana kwake ❤

  • @malobamoise3081
    @malobamoise3081 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mchungaji hananja mafunzo mazuri ya maisha,msemwa wa feza na zahabu nimali yangu asema bwana wa majeshi,siyo Malaki ni hagai2:8

  • @gnas1235
    @gnas1235 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mch ni Kama dhahabu halisi maana kwa mapito aliyoyapitia ni mafunzo tosha ####ubarikiwe sana mch Amini kwamba utaishi muda mrefu kwa jina la Yesu

  • @abdallahsweed2132
    @abdallahsweed2132 2 ปีที่แล้ว +7

    Asante sana mzeeee tunahitaji wazee kama ww kwenye maisha yetu ya ujana

  • @user-gs9up4gb6j
    @user-gs9up4gb6j 5 หลายเดือนก่อน

    Sema mchungaji upo sahihi

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 ปีที่แล้ว +5

    Namwombea Mungu ampe maisha marefu. Pia wewe mtangazaji unahekima yaku uliza maswahi ongera sana ❤❤❤❤❤❤❤

  • @emanuelnassari983
    @emanuelnassari983 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akupe maisha marefu uzidi kutufundisha mchungaji barikiwaaa

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 2 ปีที่แล้ว +6

    Aisee hiyu mchungaji kichwa sana utaokoa sana vijana kwakweli na kuwapa moyo tunaomba uendelee kuhubiri kila siku

  • @officialdaudipaul1199
    @officialdaudipaul1199 2 ปีที่แล้ว +3

    Daah pastor hiyo akilii ni balaa🤣🙌🙌

  • @WmareteMarete
    @WmareteMarete 6 หลายเดือนก่อน

    Mmempata wapi mchungaji huyu? Mbona mmechelewa ssna kumpata? Tumepoteza madini mengi kabla yake. Asanteni sana, Mungu ambariki na kumdumisha azidi kutumegea!!

  • @janechacky3810
    @janechacky3810 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mchungaji Hananji

  • @dannyrwankbahati1290
    @dannyrwankbahati1290 ปีที่แล้ว

    Shukran Mchungaji kwa maelezo mengi haya

  • @maryschroeder521
    @maryschroeder521 ปีที่แล้ว +2

    God bless this man 🙏🏾🙏🏾

  • @michaelpatrick9137
    @michaelpatrick9137 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi yuko Sawa sana, Mungu amsaiiidiee

  • @roseallen7198
    @roseallen7198 ปีที่แล้ว +1

    Dah hongera sana Mr hananja

  • @DOABIGKAY
    @DOABIGKAY 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki pastor.

  • @frankbenandi8764
    @frankbenandi8764 2 ปีที่แล้ว +5

    mzeeeeee safi sana anamajibu yote

  • @user-gs9up4gb6j
    @user-gs9up4gb6j 5 หลายเดือนก่อน

    Sawa

  • @blessedtumaini516
    @blessedtumaini516 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimepata kilicho bora. Barikiwa Fabian.

  • @user-ed9or1tl3j
    @user-ed9or1tl3j 5 หลายเดือนก่อน

    🙏🥰

  • @riungumuthomi6452
    @riungumuthomi6452 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimepata kilicho chema,Asante Fabian

  • @msafirimfyagichi5942
    @msafirimfyagichi5942 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @jagadineneka6857
    @jagadineneka6857 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi san

  • @elithachusi3167
    @elithachusi3167 ปีที่แล้ว

    Mungu akutunze akulinde

  • @jozay50
    @jozay50 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji hapo kwenye nauli umenigusa 😆

  • @fadhililukwaro5637
    @fadhililukwaro5637 2 ปีที่แล้ว +5

    🤓🤪.....muuliza haya maneno yanashuka tu mdomoni au anayafanyia mazoezi kabla 😆😂🤣😁😄😀

  • @jamesmwainunu9009
    @jamesmwainunu9009 2 ปีที่แล้ว

    Mchungaj yupo safii kabisa maubili yake yanamafunzo kinoma

  • @user-qx5cf7qs2z
    @user-qx5cf7qs2z 5 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji unapatikana wapi kwa Dar?

  • @emmanuelmsangi7793
    @emmanuelmsangi7793 ปีที่แล้ว +1

    Mwendazake ..............

  • @Rugemalilatv1994
    @Rugemalilatv1994 2 ปีที่แล้ว

    Asante mch. Hananja

  • @nyakyantandu3232
    @nyakyantandu3232 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 ปีที่แล้ว

    Nimepata kitu chema Dr. Hananja

  • @brownpatrickkaduma7106
    @brownpatrickkaduma7106 ปีที่แล้ว +1

    Baba unamwambia mtoto akafagie Banda la kuku wakati mtoto anafikilia kurusha ndege baba akili imeishia kufuga kuku mtoto anawaza kusonga mbele mzee Hananja asante kwa mafunzo Mungu aendelee kuku tumia na asifute mistali yake kichwani mwako barikiwa Baba

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 ปีที่แล้ว +2

    Lakini ni kweli Tanzania hata Seminar ya ndoa unakuta watoto wamo kanisani wanasikiliza haziwajengi. Watoto na Vijana wanalala kanisani sababu uelewa wao ni tofauti.

    • @sunrisetv6110
      @sunrisetv6110 ปีที่แล้ว

      Kanisa la kisabato naona wao wanahitaji kutenga kutokana na umri

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 6 หลายเดือนก่อน +2

      Ndio maana Romani kuna Ibada ya watoto peke Yao hawachanganyiki na wakubwa labda watoto WA kubebwa

  • @erickndelwa8288
    @erickndelwa8288 2 ปีที่แล้ว +1

    Enenden dunian kote mkaeneze injili neno lake ni taa ya moyo wang

  • @tunsumemwajumba7149
    @tunsumemwajumba7149 ปีที่แล้ว

    Pamoja mchungaji

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 2 ปีที่แล้ว +2

    Wapo wakina yusufu usitumie akili yako

  • @gracefeldinandi838
    @gracefeldinandi838 2 ปีที่แล้ว

    Safi mtumishi😄😄

  • @agtbss3463
    @agtbss3463 ปีที่แล้ว

    Imebaki siasa safi tuuu kituo kifuatacho ni maandamano

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

    Ukiona ww mchafu usifikirie wote wapo hivyo.

  • @mohamedally121
    @mohamedally121 ปีที่แล้ว

    Wapo walioanza na mwanamke mmoja bhnaa

  • @nelsonmdaimali431
    @nelsonmdaimali431 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubari Sana mutumishi

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 2 ปีที่แล้ว

    Lecture konk ya Mch.Hananja

  • @northerntanzaniatv4033
    @northerntanzaniatv4033 ปีที่แล้ว

    Aisee huyu mchungaji anamadini sana

  • @davidmloge7277
    @davidmloge7277 2 ปีที่แล้ว

    Mchungaji 🔥🔥🔥

  • @masalujames6687
    @masalujames6687 2 ปีที่แล้ว

    Mchungaji hananja nafatilia sn mahubiri yako, ukialikwa kwenye kanisa lolote kusema na wanawake ktk semina inawezekana?

  • @abelmakapi5274
    @abelmakapi5274 2 ปีที่แล้ว +4

    Njoo Kanisani KWETU tunaruhusu maswali

  • @revstephencharo3953
    @revstephencharo3953 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji mwenzangu kunao vijana waliovumilia mpaka ndoa yao. Kwa hivyo statement yako iko general

    • @fatymnyama2839
      @fatymnyama2839 ปีที่แล้ว

      Acha uongo ww nani tangu akue katomba demu mmoja tu na huyo ndio amemuoa na mwanamke alietobwa na mwanaume moja na akamuoa naanza na ww kichwa moja

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 6 หลายเดือนก่อน

      Matusi ya Nini wapo Inakataa nini

  • @willson7428
    @willson7428 ปีที่แล้ว

    Amen