82 Hakuna kitu kinachoweza kutufanya tukatae Ujumbe huu. Wala jela wala mateso kwa sababu Ujumbe huu wa Mwana-Kondoo ni kitu kikubwa zaidi ambacho Mungu ametupa hapa duniani na ni kupitia kwake tutamwona Mungu. Yeye ni nira na mzigo kwa wana wa giza, lakini yeye ni umande mtamu na furaha kwa wana wa nuru.
Sio vijana tu ata dunia kwa ujula saiv saiv wanawake wanajiinua na kuwanyea vichwan wanaume wanajigamba na kujimwambafai et wanaweza..mwishoe ndio dunia inaalibika
Baba ni kichwe cha Familia vile Kristo ni kichwe cha Kanisa . Lakani mamma anavyote ambavyo mme wake anahitaji. Furaha mapendo utulivu hiyo yote mme akiikosa kwa av mukewe mali haisaidie chochote
Barikiwa kwa kuendelea kufuatilia mafundisho haya mazuri tunaamini utakuwa balozi wa kuwajulisha na wengine ili waendelee na wao kufuatilia mafundisho haya ya Ndoa
Ubarikiwe baba sasa kunawanaume wengine wameokoka kweli kuhusu upande wapesa niwafichi . kuliko kumushiri kisha mke anashirikisha mudongo wake hapo unasemaje?
Asante kwa kuendelea kutufuatilia Swali lako litajibiwa kipindi kijacho cha Tarehe 26/4/2022. usikose kufuatilia. wataarifu na wengine ili tuendelee kujifunza pamoja
Swali langu liko nje ya mada kidogo , binadamu wa kwanza kuubwa alikua Adamu na badae kaumbwa Hawa na badae kupata watoto wa wili Kaini na Abeli badae Kaini alimuua Abeli na kwenda kuishi nzi ya mbali na kuoa huko ,swali je? Alimuoa nan ikiwa Adam na hawa walikua na watoto wa wili Kaini na Abeli ?
Hizi Biblia tunazopewa zinaficha mambo Mengi, inahitaji UtashI kujua yaliyomo ila Walianza kuumbwa Adam na Lili, Lili akasaliti akaletwa Eva inamaana kuna vizazi Vilitolewa nje ya Eden Kabla ya Tunda Kuliwa..........Tafuta Kitabu cha Enock
Imani!! Kama unaamini waliumbwa hao wawili na vizazi vikaanzia kwao ndivyo ilivyo,kwahiyo kaini aliondoka na dada yake kuwa mke wake na iliruhusiwa,kwani Seth alioa wapi?Adam alizaa watoto wa kike pia hawakutajwa kama desturi zao na hao ndio walizaa na kaka zao Kwa ndoa za Kwanza na haikuwa dhambi,mpaka bàadaye Sana ndio Mungu alizuia ndugu wa Karibu kuoana,Kwa kusema,na alaaniwe mtu alalaye na umbu lake.........babaye...nk.
@@annenankozi8297 haya ni masimulizi ya kiyahudi na hayako kibiblia,kwahiyo biblia imfiche Lilith Kwa faida ya nani!!?feminists wengi shujaa wao ni huyo Lilith kwamba alimgomea adamu tendo la ndoa Kwa kudai kwamba yeye na adamu wako Sawa kwani wote wameumbwa Kwa udongo,sasa hao watoto walipatikana vipi bila tendo la ndoa? Ukifuata elimu iliyoko hapa duniani ukaacha neno la Mungu linasema nini utapotea na dunia ndio inapotosha ukweli sio biblia,ila wewe kama unaamini Eva ni mke wa pili wa Adam bàada ya talaka Kwa mke wa Kwanza ni juu yako.lakini Mimi naamini Kaini alioa dada yake na ilikuwa kawaida Hadi pale Mungu alipotoa katazo Kumbukumbu la Torati 27:22.
Barikiwa mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri
Hongera mchungaji kwa mafindisho
God bless you servant of God
Hongera Mchungaji kwa kupata Mke MZURI
Hiyo nzuri sana baba mchungaji ila wanaume wengine hawajielewi kabisa,hawatulii hata kidogo
Tuwaombee Sana bila kuchoka Mungu Ni Mwaminifu Sana
Amin mtumishi mungu akubarki mm swali lungu yesu aliowa ama akuowa
Kweli hananja ni mwalimu tosha katika jamiii ,nilitamani afungue kituo cha ushauri. Wa vijana juu maisha halisi katika jamii
Mtumishi Bwana akubariki sana, Asante Sana kwa mafundisho mazuri, hakika umenibariki na kupanda mbegu mpya ndani yangu.
Amina. Nice to see Dr.Rose. Thank you Servant of GOD.
Amina
Jamani Raisi wetu amsaidie Huyu baba kuendeleza miradi ya kulijenga taifa ktka kuwasaidia vijana.❤Am e n
Barikiwa Mtu wa Mungu kwa neno na mafundisho. Mbarikiwe waandaji kutuletea hili.
Kabisaaa umepatia Wanaume Wasali ndoa ziwe Tamu
Mm namuomb mungu akupe maish malefu hapa dunian
Mungu akubariki babasanaaa
Amen,watie nguvu wanaume Pastor
Barikiwa sawa mtumishi
Ubarikiwe san mtumishi wa mungu
Mafundisho mazuri sana,
Hongera sana
Ubarkiwe mkuu
😅Ubarkiw san
Umeongea vibaya ukianza kumfananisha Mungu umekufuru
Amen mtumishi
Pamoja sanaaa!!!
Asante saaaa
Mungu akutunze baba
Amen amen mchungaji, mungu akubariki sana
Ujumbe poa sana.
Unarikiwa sana kwa. ujumbe wa neno
Mungu akupe uzima milele✅
Sure mchungaji nakupenda bure
Hongera Sana mchungaji mahubili yako ni mafundisho harisi ya yanayo endana na halihalisi ha sasa
82 Hakuna kitu kinachoweza kutufanya tukatae Ujumbe huu. Wala jela wala mateso kwa sababu Ujumbe huu wa Mwana-Kondoo ni kitu kikubwa zaidi ambacho Mungu ametupa hapa duniani na ni kupitia kwake tutamwona Mungu. Yeye ni nira na mzigo kwa wana wa giza, lakini yeye ni umande mtamu na furaha kwa wana wa nuru.
Mafundisho mazuri saana
Asante sana na pia karibu uungane nasi kila siku Jumanne saa moja kamili jioni huwa tunakuwa live
Ikp kweli baba umeongea vizuri mwnaume akifanya chochote inawezekana umeongea mapenzi ya mungu
HONGERA sana Mchungaji, MUNGU akubariki .
Unaeleweka mchungaji
Good sermon
Amen Mungu akubariki Sana Kwa ujumbe huu kutoka Mbinguni
Aaaamen
Good teachings pastor may the Lord bless you
Amen. Asante Baba Mchungaji kwa ufunuo huu.
Thanks 🙏🙏🙏🙏
"MUNGU Awatunze Sana,Maana Mnafanana Kweli Kweli"
Hananja asaidiwe na serikali ktka kuwaokoa vijana wetu❤
Sio vijana tu ata dunia kwa ujula saiv saiv wanawake wanajiinua na kuwanyea vichwan wanaume wanajigamba na kujimwambafai et wanaweza..mwishoe ndio dunia inaalibika
Kweli tupu jamani baba mungu akutie nguvu
Ubalikiwe mtumishi.
Ana speed ya kuongea balaa. Hongera sana
True
Deep!
Tunahitaji huduma zako mchungaji mala kwa mala zitufikie ubarikiwesana .
Mhungaji wangu nakukubali
Ameen Baba Mchungaji Mi Nakuerewa sanaa
Speed balaa
Baba natafuta sana mawasiliano yako. Kama umefanikiwa kuona ujumbe huu tafadhari nisaidie
Zidi kubarikiwa mtumishi
Aminaaaa
Hallelujah,Mimi nauliza ukiwa umeowa na mwanamke aka wacha
Haleluya Mtumishi mimi ni wathamani kwa Mungu
Haleluya Mtumishi mimi ni wathamani kwa Mungu
Kabisaaaaa Mchungaji
Tunakoelekea wanawake wataanza kusema kwa jina la mama
Hiyo ni hatari sana na haikubaliki
Ameni kubwa
yaani mafunzo mazuri Sana na clear
Nataka nisome vitabu vya huyu mzee aisee... ✍️
Ana speed ila hakosei, so amazing
3:24
Amina
Ubarikiwe sana Mchungaji.
Ubarikiwe sana Mchungaji.
Safi sana
Namkubalisana mchungaji nikiskiliza mafundishoyako napatautukufu sana
Aminaaa 🙏
Wamefananaaaa...kama mtu na dadaake
Mchungaji mi nakuelewa Sana jamani nakuelewa mnooo
Kumcha Mungu Ni chanzo Cha maarifa
Kumbe hujasoma Biblia Mungu ni Mwanaume kabisa
Hujamuelewa
Mchungaji kichwa kwa kushika vifungu vya bibilia
Baba endelea kutuelimisha mtumishi
Ubarukiwe
Ameeen....
Leo umewaweza Wanaobisha Kusherehekea Sikukuu za Kuzaliwa Mkombozi
Bongo pastor mama akipenda ndoa inaharibika kabsaaaaa. Sasa kwa nini hamukuumbwa nyinyi wanaume tuuuu.
Sikuelewi. Yaani katika ujumbe huu hakuna kweli hata neno moja la kujifunza?. Hapa ipo shida kweli. Barikiwa.
Hallelujah!
Balikiwa mchungaji
Maneno haya yamekokolea munyu,yana radha nzuri kuyasikiliza:
Amen
👏
Ameen
Baba ni kichwe cha Familia vile Kristo ni kichwe cha Kanisa . Lakani mamma anavyote ambavyo mme wake anahitaji. Furaha mapendo utulivu hiyo yote mme akiikosa kwa av mukewe mali haisaidie chochote
Barikiwa kwa kuendelea kufuatilia mafundisho haya mazuri tunaamini utakuwa balozi wa kuwajulisha na wengine ili waendelee na wao kufuatilia mafundisho haya ya Ndoa
We baba wewe ubarikiwe sana. Wanaume na wanawake wakuelewe sana. Hasa wanaotafuta wachumba
Amina mtumishi wa Mungu
Simba yanga
Ubarikiwe baba sasa kunawanaume wengine wameokoka kweli kuhusu upande wapesa niwafichi . kuliko kumushiri kisha mke anashirikisha mudongo wake hapo unasemaje?
Asante kwa kuendelea kutufuatilia Swali lako litajibiwa kipindi kijacho cha Tarehe 26/4/2022. usikose kufuatilia. wataarifu na wengine ili tuendelee kujifunza pamoja
Swali langu liko nje ya mada kidogo , binadamu wa kwanza kuubwa alikua Adamu na badae kaumbwa Hawa na badae kupata watoto wa wili Kaini na Abeli badae Kaini alimuua Abeli na kwenda kuishi nzi ya mbali na kuoa huko ,swali je? Alimuoa nan ikiwa Adam na hawa walikua na watoto wa wili Kaini na Abeli ?
Hizi Biblia tunazopewa zinaficha mambo Mengi, inahitaji UtashI kujua yaliyomo ila Walianza kuumbwa Adam na Lili, Lili akasaliti akaletwa Eva inamaana kuna vizazi Vilitolewa nje ya Eden Kabla ya Tunda Kuliwa..........Tafuta Kitabu cha Enock
Imani!! Kama unaamini waliumbwa hao wawili na vizazi vikaanzia kwao ndivyo ilivyo,kwahiyo kaini aliondoka na dada yake kuwa mke wake na iliruhusiwa,kwani Seth alioa wapi?Adam alizaa watoto wa kike pia hawakutajwa kama desturi zao na hao ndio walizaa na kaka zao Kwa ndoa za Kwanza na haikuwa dhambi,mpaka bàadaye Sana ndio Mungu alizuia ndugu wa Karibu kuoana,Kwa kusema,na alaaniwe mtu alalaye na umbu lake.........babaye...nk.
@@annenankozi8297 haya ni masimulizi ya kiyahudi na hayako kibiblia,kwahiyo biblia imfiche Lilith Kwa faida ya nani!!?feminists wengi shujaa wao ni huyo Lilith kwamba alimgomea adamu tendo la ndoa Kwa kudai kwamba yeye na adamu wako Sawa kwani wote wameumbwa Kwa udongo,sasa hao watoto walipatikana vipi bila tendo la ndoa?
Ukifuata elimu iliyoko hapa duniani ukaacha neno la Mungu linasema nini utapotea na dunia ndio inapotosha ukweli sio biblia,ila wewe kama unaamini Eva ni mke wa pili wa Adam bàada ya talaka Kwa mke wa Kwanza ni juu yako.lakini Mimi naamini Kaini alioa dada yake na ilikuwa kawaida Hadi pale Mungu alipotoa katazo Kumbukumbu la Torati 27:22.
Adam na hawa walikuwa na watoto wawili wa kiume na mabinti kadhaa kaina aliondoka na dadaake akawa mke wake akaenda kuanzisha familia nchi ya mbali
@@geofrey4403 dada zake walikua wanaitwa kwa majina gan?
Ameeen
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Add
Wanaume wanalala usipomwamsha haendi kanisani kuangalia familia hata chakula mwanamke usipotafuta watoto wanalala njaa
Mafundisho yake yanatia moyo maana ndoa ni ngumu dadek
Yani kazi kubwa
MUNGU HAFANANISHWI NA CHOCHOTE. NUKTA
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Amen amen
Amina ❤
Amina
Amen
Amen 🙏
Amina
Asante mchungaji kwa somo ubarikiwe
Mungu akulinde ufikishe umri wa miaka zaid ya 80 ili sisi tupate ukombozi wa fikra kupitia mafundisho yako,amen
Amen
Amen
Amina
Amen
Amen
Amen