Napenda sana iyi interview nimependa ujumbe uliomo , na dada ulio apo Mungu akubariki vile unavyo jistiri . Umevaa vizuri sana , unadamsh comfortably and elegant . Ukweli umesemwa , unaushuhuda mzuri Pastor wetu . Utafika mbali sana
Mungu akutunze Kaka yangu mpendwa, huduma yako ni njema sana! Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu zaidi na zaidi! Barikiwa sana mtumishi wa Mungu!
God does not call the qualified,He qualifies those that He has called.He doesn't call the prepared,He prepares those that He has called.Long life Pastor Mugogo.
Haleluya watu wa Mungu. Ahsante kwa ujumbe pia kwa safari ya wokovu mchungaji. Nimesikiliza vizuri,,,, Yako mambo mawili nataka kuongezea hasa kwa habari ya dhambi ya uzinzi. 1. Ni kweli kabisa wengi walijua na wanajua dhambi zote ni sawa ila dhambi ya UZINZI ni kinara cha dhambi zote... Yusufu anasikika akisema nimtendeje Mungu dhambi kubwa kama hii mbele ya mke wa Potifa anakimbia pia dhambi zote ni nje ya mwili wa mwanadamu isipokua dhambi ya UZINZI. "ikimbieni zinaa" mpaka mtu ashiriki dhambi ya UZINZI huyu alikusudia kuitenda kwa gharama yoyote. Kwa swala la kutengwa halafu baadae arudi kundini hiyo si sawa,,,, lugha nyepesi hatakiwi kurudi tena kundini ndio maana siku hizi kuna mizaha sana makanisani maana wanajua watarudishwa tena. Wakirudu bado wanarudi na tabia zile zile za kale. MTU akibainika amezini asitengwe tu bali AFUKUZWE kabisa. 2. Nimezini nakufuata ofisini kwako ili wengine wasijue na unikingie kifua kwa sababu ya wadhifa nilionao yaani tajiri, msomi, mwimbakwaya, kiongozi wa ibada, sorolist maarufu, mtoaji sana, maskini nk... Dhambi ni dhambi tutafanikiwa kuficha mimi na wewe lakini KAMWE hatafichwa Mungu, maadamu mtu amekiri kuzini iwe ni kwa mchungaji au kiongozi mwingine huyo AFUKUZWE kwa staili yoyote ile... Kizazi cha leo utatenga wangapi na utarudisha wangapi ona watu wanavyovaa makanisani, wanavyosuka, wanavyonyoa, hakuna tofauti na wahuni wengine walioko mtaani tofauti ni Bwana asifiwe tu. Kanisa SIO sehemu ya kufanyia mizaha. Kanisa ni sehemu serious kwa watu serious. Mwishoni, Injili kabisa kabisa haikumwacha mwenye dhambi anacheka ilimpa afanye maamuzi mawili tu yaani KUMWUA aliyehubiri ama KUTUBU dhambi na kuanza maisha mapya... Njia ni Ile Ile bado haijabadirika. MATENDO 2:37, 5:33-42, 7:51-60. Amen
kabisa halafu eti utakuta anazaa mtoto wa kwanza anarudi kundini anabeba zaidai ya mimba tatu zote zinaa zote anarudi kundini Mungu anajua ila zinaa skuizi yani wameifanya kawaida kule kwa nabii Mkuu wanaenda waombewe ili wazae wakati hawapo kwenye ndoa dada yetu Wema analia apate mtoto lakini hajaolewa. onaona sasa mtihani huo leo kijana anakutongoza siku moja hiyo anataka uzini nae subhanaallah.
Ni kweli kabisa mtumishi,Dhambi ya uzinzi tumeona makanisani km kitu cha kawaida tu,na wakati ndo dhambi inayo beba mambo mabaya mengi cn, na km hilo la dharau,na mizahaa,ndo limekuwa nguzo kuu ndani ya makanisa.
Ni nakukubali san nayakumbuka mahubili yako yalisababisha baba na mama waokoke iringa makambako myaka ya tisini huko mwaka wa kwanza somo ni pombe ni kikopo mwaka wa pili wachungaji munapenda mikate makanisani, mwaka wa tatu ulisema mm ni nessi katumwa na dackital mungu agawe doz mbili mala tatu myaka hiyo
Mchungaji, uko vizuri sana. Endelea kutusaidia. Hiyo si hekima ya kawaida, mh! Umenibariki; umenipa majibu ya maswali yaliyonitatiza. Umebarikiwa.
Napenda sana iyi interview nimependa ujumbe uliomo , na dada ulio apo Mungu akubariki vile unavyo jistiri . Umevaa vizuri sana , unadamsh comfortably and elegant . Ukweli umesemwa , unaushuhuda mzuri Pastor wetu . Utafika mbali sana
Huduma yako ni first class. Naomba ifanye na masters kabisa katika kazi ya uinjilist. Nakuoembea sana Mungu aendelee kukuinua
Baba yangu tunawapenda sana kwakazi Mugu ametiya ndaniyenu,mubarikiwe sana tena sana❤❤❤
Ahsante Mch.Mgogo ushuda wako umenijenga Mungu akubariki.
Asante Mchungaji kutuelezea historia au njia yako tangu ulipoanzia kumtumikia Mola.
Mchungaji Mungu akubariki sana. Nakupenda maana una gusa maisha ya watu. Nimenufaishwa na Kubarikiwa sana na mahojiano haya. Mbarikiwe mno.
Pastor Mgogo kazi yako n kubwa sana katika kutusaidia sisi vjana na jamii kiujumla mungu akutunze na kkutetea katka huduma yako
Ukisikiliza kwa makini kuna sehem utalia kuna sehem utacheka kuna sehem utajifunza nk barikiwa sana mchungaji
Iyo ni kweli kabisa
Amen
I wish we don't have music on the background to distruct the attention of listening this good message
Ubarikiwe Mch. Daniel Mgogo. Unatuponya roho zetu. Ameeen.
Mungu akupe maisha marefu sana mchungaji
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu, kweli utumishi upo ndani yako.
He is nt jst a pastor but a role model to the society
Nafurahi sana nikimsikiliza Pastor yaani napata raha tu nina Enjoy.... nakuwa tu naraha Asante Nice interview
Hawa ndio wale tunaowaita WALIMU tena WALIMU wazuri katika huduma za KIMUNGU.
God Bless you man of God watching all the way from Kenya mombasa
My favorite pastor be blessed 🇰🇪
Powerfully testimony 🙏🏻Barikiwa sana mtumishi
Dada mtangazaji nimekupenda uko smart,vaa yako Hadi ongea yako
Tatizo makuchaaa hyoo
Kweli kajitahid
Kama hana pete vile, ngoja tuombe posa
Kweli aiseee.. mtangazaji yuko njema sanaaaa.. big up kwake.
Hakika dharau siyo nzuri . Mungu nisaidie nisiwe na dharau ndani yangu , nimpende kila binadamu .
Mgogo umefika mbali
Amen❤❤
Napenda sana mafundisho ya mch,na hasa hongera kwa aliendaa haya mahojiano,ila kimeniudhi huo mziki ni wanini hasa
Hata mm mziki hapana
Pole kaka
Pole kaka
Tunashukuru Mungu kwa kukuinua kutoka kwenye vianzo vidogo hadi uliko leo hii.Mungu azidi kukutumia kutukosoa,kutujuza na kutukomboa.Mungu akubariki 🙏
A very big testimony 🙏🙏🙏napenda mahubiri yako from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kweri
Anatumiwa sana na Mungu
Mungu akutunze Kaka yangu mpendwa, huduma yako ni njema sana! Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu zaidi na zaidi! Barikiwa sana mtumishi wa Mungu!
God does not call the qualified,He qualifies those that He has called.He doesn't call the prepared,He prepares those that He has called.Long life Pastor Mugogo.
Very true
@@ezekielmwasamboma9953 hello
Asante Sana Mch D mogogo unajenga mioyo ya wengi Sana endelea barikiwa na Elohim
Amen 🙏 baba nimesikia kubarikiwa sana ata Mimi MUNGU atanisaidia nijue kuongea kingereza vizuri nisawala la muda tu
Be blessed pastor you're so unique
Haleluya watu wa Mungu. Ahsante kwa ujumbe pia kwa safari ya wokovu mchungaji. Nimesikiliza vizuri,,,, Yako mambo mawili nataka kuongezea hasa kwa habari ya dhambi ya uzinzi.
1. Ni kweli kabisa wengi walijua na wanajua dhambi zote ni sawa ila dhambi ya UZINZI ni kinara cha dhambi zote... Yusufu anasikika akisema nimtendeje Mungu dhambi kubwa kama hii mbele ya mke wa Potifa anakimbia pia dhambi zote ni nje ya mwili wa mwanadamu isipokua dhambi ya UZINZI. "ikimbieni zinaa" mpaka mtu ashiriki dhambi ya UZINZI huyu alikusudia kuitenda kwa gharama yoyote.
Kwa swala la kutengwa halafu baadae arudi kundini hiyo si sawa,,,, lugha nyepesi hatakiwi kurudi tena kundini ndio maana siku hizi kuna mizaha sana makanisani maana wanajua watarudishwa tena. Wakirudu bado wanarudi na tabia zile zile za kale. MTU akibainika amezini asitengwe tu bali AFUKUZWE kabisa.
2. Nimezini nakufuata ofisini kwako ili wengine wasijue na unikingie kifua kwa sababu ya wadhifa nilionao yaani tajiri, msomi, mwimbakwaya, kiongozi wa ibada, sorolist maarufu, mtoaji sana, maskini nk... Dhambi ni dhambi tutafanikiwa kuficha mimi na wewe lakini KAMWE hatafichwa Mungu, maadamu mtu amekiri kuzini iwe ni kwa mchungaji au kiongozi mwingine huyo AFUKUZWE kwa staili yoyote ile...
Kizazi cha leo utatenga wangapi na utarudisha wangapi ona watu wanavyovaa makanisani, wanavyosuka, wanavyonyoa, hakuna tofauti na wahuni wengine walioko mtaani tofauti ni Bwana asifiwe tu. Kanisa SIO sehemu ya kufanyia mizaha. Kanisa ni sehemu serious kwa watu serious.
Mwishoni, Injili kabisa kabisa haikumwacha mwenye dhambi anacheka ilimpa afanye maamuzi mawili tu yaani KUMWUA aliyehubiri ama KUTUBU dhambi na kuanza maisha mapya... Njia ni Ile Ile bado haijabadirika.
MATENDO 2:37, 5:33-42, 7:51-60.
Amen
kabisa halafu eti utakuta anazaa mtoto wa kwanza anarudi kundini anabeba zaidai ya mimba tatu zote zinaa zote anarudi kundini Mungu anajua ila zinaa skuizi yani wameifanya kawaida kule kwa nabii Mkuu wanaenda waombewe ili wazae wakati hawapo kwenye ndoa dada yetu Wema analia apate mtoto lakini hajaolewa. onaona sasa mtihani huo leo kijana anakutongoza siku moja hiyo anataka uzini nae subhanaallah.
Ni kweli kabisa mtumishi,Dhambi ya uzinzi tumeona makanisani km kitu cha kawaida tu,na wakati ndo dhambi inayo beba mambo mabaya mengi cn, na km hilo la dharau,na mizahaa,ndo limekuwa nguzo kuu ndani ya makanisa.
Mungu atufanye tupone
Mchungaji nimekuelewa ubalikiwe sana
umeniponya moyo wangu mchungaji,hongere kwa kazi nzuri
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu,unaneno la Mungu ndan yako
Namkubali sanaa huyu Baba Mchungaji
Kazana Kuhubili Muchungaji MUNGU AKUBARIKI WEWE NIMUVUNAJI KATIKASHAMBA LABWANA YESU KIRISITO HUWATUNABARIKIWASANA
Napenda jinsi MUNGU anavyo mtumia kutangaza habari njema ya yesu Mungu akubariki
Listening from Kuwait,, You are real man of God.. You talk facts and you believe that we are human
Ongera sanaa mchngji mungu amekuinua kwa viwango vya juu na vya ajabu sanaa
Hapo umenena mchungaji, great testimony
Ubarikiwe sana Mch.Huduma yako ni nzr napenda kuskiliza mahubiri yako
Huyo ndo mchungaji wa kweli ana fundisha maisha halisi ya binadam na tabia zake .najinsi ya kumshilikisha mungu kurpuka mabaya
Neema yaa mungu izidi kuwa juu yako mchungaji napenda nondo zako zinaniponya mno.from Qatar amen
This testimony is so powerful and helpful. But the music is not necessary. Please leave the testimony be clear and neat.
Thanks you
You welcome my sister.
AMEN, Mungu akubariki sana pastor haki huwa wanibariki zaidi
Amen amen God bless u Pastor l like this papa so much thanks
Hongera mch mgogo bxarikiwa sana
Ubarikiwe pastor.
Walitazama kimwili kumbe rohoni uku vizuri hongera sana
Mungu anamtumia mtumishi wake barikiwa mnooo
acha mwanadam akushushe chin ili mungu akuinue
Ni Mungu sio mungu
Samaki haloi 😀😀😀 ubarikiwe sana mchungaji 🙏🙏
I listen to this pastor's teachings all the time Busia Uganda well represented
Watanzania tumekuelewa sana Mchungaji na ludia tumekuelewa hatakama wengine hawajasema ila wamekuelewa kimoyomoyo
Watumishi kama wewe ndio nguzo ya taifa,kwani biblia inasema akiwepo mcha Mungu moja wa kweli ktk taifa Mungu hulinda taifa hilo!!
Ahsante Sana pastor Mgogo ubarikiwe sana
I love your preaching
Ongera. Sana. Baba. Mchungaji
Amen sana mtumishi unanibariki sana kutoka Kenya
Lkn nimefurai Sana sema hapo t kwany kupenda Arsenal mmmh jamn tunakupenda lkn hii timu dah
Pastor be blessed 🙏🙏
Nimebarikiwa sana na kipindi hiki barikiwa mtumishi unaeleza vizur sana
Hivi unaimba gospel? ??
@@samwelsamwel2692 hapana siimbi ndugu yangu
That's mgogo much love to you championship
Hongera sana mwamgogo ulongite lukani!
Napenda maubiri yako from Kenya God bless you
Hukufeli darasa la saba bhaaaana isipokuwa shule zilikuwa chache wakati ule
Baba uko vizuri sana kweli mchungaji ana siri kubwa Sana
Hakika wewe ni mchungaji mwema,mungu anakutumia
Mchungaji mchekeshaji.uko vizuri.
Verry nice God bless
Asante sana kwa kipindi kinanijenga upya
Kipindi kizuri sanaaa.. hongera mchungaji na pia mtangazaji mmefanya vema sanaa. Mbarikiwe.
Mchungaji injiliyako inahekima, mungu azidi kufungua mlango injili itangazwe
Baba ubarikiwe Sana Ila nilipeda kujuwa kama Emmanuel Mugogo ni mwanao ?
Ubarikiwe sana mchungaji..
Palitokea mtu,palitokea mtu.......😂😂😂
Ubarikiwe mtumishi
God bless u pastor Daniel
Am following you from Uganda
Wow! Amina.. Umezungumza ukweli kabisa wa Utumishi. Barikiwa..
Pastor napenda Sana injili yako.
Natamani sana nikitumiwa maubiri yako yawe full Mzee
Mgogo,pasta,ukovizuli🙏🙏🙏
Ni nakukubali san nayakumbuka mahubili yako yalisababisha baba na mama waokoke iringa makambako myaka ya tisini huko mwaka wa kwanza somo ni pombe ni kikopo mwaka wa pili wachungaji munapenda mikate makanisani, mwaka wa tatu ulisema mm ni nessi katumwa na dackital mungu agawe doz mbili mala tatu myaka hiyo
Barikiwa sana Mtumishi!
This guy is really..plz the music is too ......
Pastor nakupenda mno Mungu azidi kuinua huduma yako
Jamani nampenda sana mungu aendelee kumu inuwa
Nabarikiwa sana na huduma yako pastor wangu
Nabarikiwa saaanaa mchungaji😊
Udumu ktk utumishi!! CC tulio wengi tunakuelewa.Amen.
Nakukubari mtumishi endelea kuponya , mioyo iliyopondeka.
I love listening to him!!! .He touches our hearts.
Mungu akubariki,akuzidishie hekima na afya njema ili uendelee kutenda kazi ya Bwana
Love you baba mchungaji
Hahahaaa barikiwa baba umenichekesha ama kweli
MCHUNGAJI jitaidi uje na kigoma napenda Sana mahubiliyako
Zidi kubarikiwa Mchungaji Daniel Mgogo na MUNGU azidi kukutumia zaidi🙏🏾
Hongera mchungaji
my favourate pastor
Mchungaji mgogo unatakiwa uwe mbunge Wa chama chochote maana mungu anakusimamia
Be blessed pastor maubiri yako huwa yananikusa sana nikiwa Saudi Arabian
Ulinitowa mbali sana mchungaji wangu
Najisikia haman nikimsikiliza mtumishi wa Mungu
Mungu azidi kukutumia baba yangu .
Nataka namba ya huyu mtumishi wa mungu mgogo
Thanks pastor,
God bless you mtumishi