LAZIMA UCHEKE: MCH. HANANJA AMVUNJA MBAVU KELVIN SHAYO KATIKATI INTERVIEW AKI..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ส.ค. 2022
  • LAZIMA UCHEKE: MCH. HANANJA AMVUNJA MBAVU KELVIN SHAYO KATIKATI INTERVIEW AKI..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #LAZIMAUCHEKE #MCHUNGAJIHANANJA #MCHRICHARDHANANJA #TIKITVKIAKILIZAIDI
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 100

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 ปีที่แล้ว +5

    Jaman hyu mchungaji nampenda xna❤️❤️❤️

  • @abdallahrashid169
    @abdallahrashid169 ปีที่แล้ว +7

    Mimi muislam ila huyu mchungaji namkubali na napenda sana mafundisho yake

  • @EradeErias-un3cm
    @EradeErias-un3cm ปีที่แล้ว

    Napenda sna mahubiri yako maan nabarikiwa Mungu aendelee kukutia nguvu

  • @theresiamwandara7990
    @theresiamwandara7990 ปีที่แล้ว +1

    Da!Tuwaheshimu watu wametoka mbali.Mchungaji Mwenyezi Mungu akubariki

  • @sabinakilian3176
    @sabinakilian3176 ปีที่แล้ว +4

    Nilijua nimemaliza kukutizama kupitia interview zingine kumbe kuna mengi ulikwa hujayasema leo nmekufaidi kweli, asanteni Tiki Tv.

  • @abdallahrashid169
    @abdallahrashid169 ปีที่แล้ว +5

    Na uislam wangu natamani kujua kanisa lake lipo wapi japo niende kwenye ibada zake.

  • @dianadaudi3380
    @dianadaudi3380 ปีที่แล้ว +4

    Naombeni like zangu cjasahau

  • @lobnalobna2393
    @lobnalobna2393 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mchungaji huwa namwelewa Sana mungu amu bariki Sana

  • @sacg9783
    @sacg9783 ปีที่แล้ว +2

    Mchungaji ww MUNGU akuweke miaka mingi kwakweli

  • @kalistamtanzania7220
    @kalistamtanzania7220 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli jamani kodi inakwelnda haraka kuliko mwendokasi mwenyewe nmelipa miezi sita juzi tu jana mwenye nyumba kanitumia msg kunikumbusha kuwa tar. 23 mwezi huu natakiwa kulipa kodi sielewi miezi sita imeisihia wapi.

  • @dianadaudi3380
    @dianadaudi3380 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂nampendaga sana huyu mchungaji aisee🙌

  • @emanuelmbaga6848
    @emanuelmbaga6848 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mchungaji anaonekana amemeza bible kuliko hata askofu wake

    • @lobnalobna2393
      @lobnalobna2393 ปีที่แล้ว

      Yaani umenifanya nicheke kwa lazima😂😂😂😂😂

  • @emanuelmbaga6848
    @emanuelmbaga6848 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo story ya kuku wa mazingaombwe imenichekesha kweli.

  • @neemamassawe3675
    @neemamassawe3675 ปีที่แล้ว

    Asante mchungaji Mungu akubariki saana

  • @makinitv4891
    @makinitv4891 ปีที่แล้ว +3

    Kwa interview hii wachungaji wasio wa haki watakuchukia sana ila usirudi nyuma

    • @stellamsokwa6785
      @stellamsokwa6785 ปีที่แล้ว

      Wamchukie kivipi kila mtu na historia yake ya aliyoyapitia. ..

  • @amangearge9594
    @amangearge9594 ปีที่แล้ว +2

    Nilikua natamani sana tiki tv mumuhoji huyu baba,nimeenjoy sana kuliko interview zake zote pole kelvin shayo kwa kuvunjwa mbavu😂😂😂😂

  • @davidwaziri8176
    @davidwaziri8176 ปีที่แล้ว +1

    Interview tamu sana hii Big up Tiki Tv and Kelvin

  • @jacksonbonifacekileo9652
    @jacksonbonifacekileo9652 ปีที่แล้ว +1

    Nahitahitaji number ya mch R. Hananjq

  • @felicianamutakyahwa1549
    @felicianamutakyahwa1549 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde mtumishi wako

  • @ukendemartin165
    @ukendemartin165 ปีที่แล้ว

    Mchungaji yupo vizur

  • @edithastephano7734
    @edithastephano7734 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Mzee wa ukweli

  • @tanzaniacarschannel6975
    @tanzaniacarschannel6975 ปีที่แล้ว +3

    Haya ndo mahubiri yenye uhalisia na sio Mambo ya Mwamposa

    • @happush2021
      @happush2021 ปีที่แล้ว

      Mchungaji barikiwa umenipa nguvu nakuenzi naomba nipate Hela niende bible school

  • @adolphendereyabandi5746
    @adolphendereyabandi5746 ปีที่แล้ว

    Ujengewe sanamu mchungaji,asei umefundisha ukweli

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว +1

    HAHAHAHA huwa nakukubali sana mzee shoyo kazinzuli

  • @mariahaloyce5190
    @mariahaloyce5190 ปีที่แล้ว

    Thank you Kevin

  • @ashabakke4733
    @ashabakke4733 ปีที่แล้ว

    Mchungaji km hutumii alcohol. Tuambie kilevi gani.unatumia mbona mimi naona km umekunywa sana. Tupe ukweli .

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 ปีที่แล้ว

    Kweli hata makabulini kuna misalaba,upo sahihi mzee

  • @marthakisanga5963
    @marthakisanga5963 ปีที่แล้ว +1

    Utoo utumwa ujana maswali uzee ugonjwa raia wa nchi mbili duniani na mbinguni😂😂😂

  • @wilfredbalohho2283
    @wilfredbalohho2283 ปีที่แล้ว +1

    Mungu tu!

  • @patyflaviank5199
    @patyflaviank5199 4 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba interview yake nyingine

  • @marthakisanga5963
    @marthakisanga5963 ปีที่แล้ว +1

    Hata nyau ana mke lakini kama ameoa😂😂😂

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 ปีที่แล้ว

    Tiki Tv nawapata vizuri nikiwa Babati huku.

  • @janeongala6684
    @janeongala6684 ปีที่แล้ว

    Kwel jamani kodi ni noma uku india tunaripa kira mwezi yani inaenda haraka sana

  • @salhakhamis4629
    @salhakhamis4629 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahahahaa et ukimwita lazima uimbe docta rouseee

  • @malabakalibata7227
    @malabakalibata7227 ปีที่แล้ว

    Umenifngua akili, San mchungaji.

  • @bahatikyusa8864
    @bahatikyusa8864 ปีที่แล้ว

    Dar interview Tam hiii

  • @princessmgaya1826
    @princessmgaya1826 ปีที่แล้ว +1

    Maake kwanza ncheke😂😂😂😂

  • @nasiraidid5861
    @nasiraidid5861 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa mfupi kama tairi ya gari lol! 😂😂😂😂😂😂😂

  • @habarikamili9408
    @habarikamili9408 ปีที่แล้ว

    Mhh.. sawa ila hapo kwa tundaman kuingia na Jeneza na msalaba ametukosea sana wana Yanga.

    • @missmwayway4704
      @missmwayway4704 ปีที่แล้ว

      Amewakosea nyie wanayanga tena, Sio wenye Imani ya upande wa pili? Kwani Yanga ni Dini au wenae umepuyanga

  • @kambulatamwambablaisenews5128
    @kambulatamwambablaisenews5128 ปีที่แล้ว

    Jamani

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 ปีที่แล้ว

    Mchungaji umejua kunichekeaha jamani

  • @esperancesudi2842
    @esperancesudi2842 ปีที่แล้ว

    To be continued

  • @kelvinmwangomo8718
    @kelvinmwangomo8718 ปีที่แล้ว

    Mchungaji umenikumbusha Chianga Tunduma.Na maneno yako yamenibariki.

    • @Hananja.r
      @Hananja.r ปีที่แล้ว

      Upo wapi sasa?

  • @cocorita8367
    @cocorita8367 ปีที่แล้ว

    Hata maji unywi mchunguji duh

  • @janeshayo1667
    @janeshayo1667 ปีที่แล้ว

    🥱🥱🥱 nmecheka hadi nmepaliwa 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @paulinaswalehe5298
    @paulinaswalehe5298 ปีที่แล้ว

    Chacha mwisho saa sita bila kukaangaa chips

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 ปีที่แล้ว

    Huyu baba maneno sijui anayatoaga wapi hapo kwenye wachungaji kutaka hela zetu halafu wanatulaana ukweli kabisa Yani unaenda kanisani unakalipiwa na unaambiwa utoe ubarikiwe daah ukifungua kanisa me ntakua muumini wako mchungani nikufurahi tu🤣🤣

    • @mariamswedi1140
      @mariamswedi1140 ปีที่แล้ว

      kwa hyo unataka maneno ya kufarijiwa alafu uende mbinguni barabara ya mbinguni n nyembamba sana

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 ปีที่แล้ว

    Warangi wazuri zaidi.

  • @deborahrehema5819
    @deborahrehema5819 ปีที่แล้ว

    😅😅🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣😅😅 huyu mchungaji

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅Aaaaaiiiiiiiii weweeeeeeeeee

  • @kalistamtanzania7220
    @kalistamtanzania7220 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌

  • @sabinamushi1003
    @sabinamushi1003 ปีที่แล้ว

    Mbavu zangu mimi jmn 🤣🤣🤣🤣

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 ปีที่แล้ว

    Leo hata wanaume wazuri😂😂😂

  • @raykim6420
    @raykim6420 ปีที่แล้ว

    Hahahaaa hananja oyeeee😂😂

  • @emanuelmbaga6848
    @emanuelmbaga6848 ปีที่แล้ว

    Baabah?😂😂😂😂

  • @pilimusa3217
    @pilimusa3217 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @feli6manangu182
    @feli6manangu182 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @davidwaziri8176
    @davidwaziri8176 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sabinamushi1003
    @sabinamushi1003 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂

  • @rsfdzxzx2274
    @rsfdzxzx2274 ปีที่แล้ว

    😄😄😄😄🤣

  • @genesishalisi7161
    @genesishalisi7161 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😅

  • @sacg9783
    @sacg9783 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kambulatamwambablaisenews5128
    @kambulatamwambablaisenews5128 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣niatari

  • @thelionwomen4970
    @thelionwomen4970 ปีที่แล้ว

    Uyo ni muchungaji ama comedian parsol

  • @gestinabunganiekuya6300
    @gestinabunganiekuya6300 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna mchungaji wa Mungu wa kweli anayeongea mizaha na lugha za kihuni huyu ameshavamiwa na roho chafu

    • @sabinamushi1003
      @sabinamushi1003 ปีที่แล้ว +2

      Kama ww mtakatifu tangulia mbinguni unafanyaje hapa duniani sipendi mijitu inayopenda kuhukumu wengine😏

    • @josephjohn2114
      @josephjohn2114 ปีที่แล้ว +2

      Na manabii wanaojiita bulldozer, komando mashimo, nabii mkuu, mzee wa upako utasemaje? .unahitaji kuongeza maarifa.

    • @amanlenatus9067
      @amanlenatus9067 ปีที่แล้ว +1

      Wewe maarifa yamepungua hujielew

    • @edwinmwiti8936
      @edwinmwiti8936 ปีที่แล้ว

      Nakuonea huruma

  • @khadijayusuf7968
    @khadijayusuf7968 ปีที่แล้ว +1

    Tiki tv kiakili zaidi tunawapenda

  • @esperancesudi2842
    @esperancesudi2842 ปีที่แล้ว

    To be continued