Nakushukuru mtumishi wa Mungu umenifundisha kitu hapo kwenye Sala ya Bwana na ya kwamba tupo kwa ajili ya wengine, Mungu akubariki sana na kukupa maisha marefu yenye baraka mafanikio na amani tele.
Kitu kigumu duniani ni kukubali udhaifu wa wenzetu..ni kigumu sana,na Biblia inaelekeza sio tu kuchukuliana nao lkn kuwapenda na kuwasaidia wasio na nguvu!!Mungu atusaidie..Asante Sana Mchungaji Hananja
Yesu kasema siombei ulimwengu nawaombea Hawa ulionipa, Tena imeandikwa watu wawili hawaendi pamoja wasipopatana Amos 3:3 kuhusu kuchukuliana ni wale wa njia moja Imani moja Roho mmoja ubatizo mmoja sio aliebatizwa na asie batizwa ati kisa anaitwa mKristo anaimba Kama sisi anahubiri na kukemea pepo au kutoa pepo Kama sisi jmn kunatofauti Kati ya wakristo na wale wasiobatizwa hujiinua nakusema wao ndio halisi japo ishara na miujiza hazifuatani nao , na usipoijua miujiza ya Mungu hutoijua ya shetani
Wewe mia unagomga kabisaaaa tena na ishirini juu miaka ya biblia. Sio kwa kujifurahia huku ufeje mapema kwa mfano mchungaji. Huko vizuri spiritually and mentality. Mungu akutunze sana kiukweli vijana wanakuhitaji sana🤲🙏 kweli unajicho la ndani sana. Hawa watu wanahitsji zaidi msaada kuliko maeneo mengine
👍👏🙏 Live long pastor, your eyes oppener. I appreciate your knowledge, experience and understanding, you deserve a 21st century Pastor life... for the marginalised and underprivileged big up for to day msg.
Hakuna kitu kizuri sana duniani kama ufahamu,huyu mtumishi amejikita kwenye ufahamu mimi napenda vipindi kama hivi kwakweli. vinaponya watu wengi sana.
Hivi wengine mna nini au yaani hakuna mitume Kwa hiyo wewe unaakili kuliko Mungu alosema kuna mitume, waalimu, wainjilisti,Wachungaji,manabii,kwa nini wachungaji wawepo alafu mitume wasiwepo someni neno acheni ushabiki huu sio mpira
Zaburi 69: 6 Wanaokungoja Wewe wasiaibishwe, Kwa ajili yangu, Bwana, MUNGU wa majeshi. Wanaokutafuta Wewe wasifedheheshwe, Kwa ajili yangu, Ee Mungu wa Israeli. *TUKAE KATIKA HALI YA KUMNGOJA BWANA!! AIBU, FEDHEHA NA UOVU WOTE UONDOKANE NASI SASA!! TUMWONE MUNGU KWA USHINDI WA KISHINDO!! KWAKE YEYE NI HESHIMA, UTUKUFU, ENZI, NGUVU, UWEZA NA MAMLAKA, HALELUYA!!!*
PENYE MZOGA NDIPO WAKUSANYIKAPO TAI, alisema YESU neno hilo ukiona watu wanajaa kwa Mwamposa msikilize Mwamposa anaongea habari zake au za YESU?ukijaliwa Neema ya Mungu utajua Lile Neno UFALME WAKO UJE limetimia pale hata watu wanafunguliwa matatizo yao
@@azaransari7307 utamu wa ngoma ingia ucheze,imeandikwa Wana macho hawaoni,Wana masikio hawasikii ivi watu wanatakaje kumuona Mungu zaidi ya kwenda kanisani na magongo na kurudi unayaacha huko unatembea kwa miguu yako ,kwenda mgonjwa unarudi mzima , Nani awezae kumponya mtu Kama sie YESU wa uzima, je atakuepo YESU kwenye kusanyiko lake alafu asifungue mtu? Lah hasha Kama watu watakuwa wajinga Basi ujinga huu ni mzuri wa kupata uzima kwa mwenye uzima YESU
Una Mungu mkubwa Sana Ndani yako mzee barikiwa Mno
😂😂😂😂
Waliosikia mwanamke ni mratibu wa safari ya maisha gonga like hapa
Ndio
Sio wote sasa😅
Nakushukuru mtumishi wa Mungu umenifundisha kitu hapo kwenye Sala ya Bwana na ya kwamba tupo kwa ajili ya wengine, Mungu akubariki sana na kukupa maisha marefu yenye baraka mafanikio na amani tele.
Kitu kigumu duniani ni kukubali udhaifu wa wenzetu..ni kigumu sana,na Biblia inaelekeza sio tu kuchukuliana nao lkn kuwapenda na kuwasaidia wasio na nguvu!!Mungu atusaidie..Asante Sana Mchungaji Hananja
Yesu kasema siombei ulimwengu nawaombea Hawa ulionipa, Tena imeandikwa watu wawili hawaendi pamoja wasipopatana Amos 3:3 kuhusu kuchukuliana ni wale wa njia moja Imani moja Roho mmoja ubatizo mmoja sio aliebatizwa na asie batizwa ati kisa anaitwa mKristo anaimba Kama sisi anahubiri na kukemea pepo au kutoa pepo Kama sisi jmn kunatofauti Kati ya wakristo na wale wasiobatizwa hujiinua nakusema wao ndio halisi japo ishara na miujiza hazifuatani nao , na usipoijua miujiza ya Mungu hutoijua ya shetani
Nimekupenda bure mchungaji, unavyowatendea mema wasioweza kukulipa unamkopesha Mungu
Kwakweli! Ukimpenda mwenye tatizo akajua umemthamini. Anapona kabisaaaa. Upendo ni dawa maishani🤲
Wafanye upendo Basi tuone watu wakiacha magongo kanisani na kurudi wakitembea sawasawa
Haleluya nimefurahi nimefarijika saaana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻Asante Mchunjaji
Aise huyu mchungaji amenibariki sana... Nimejifunza na kucheka sana😂😂😂😂😂😂aaaiiiy.... Jamaa sheedah sana
Mungu akubariki saana Mchungaji
Asante sana pastor,Kwa Neno zuri na kujitoa Kwa vijana mwenyezi mungu akupe Maisha marefu
Ameen kweli kabisa watu wamekalia ugomvi tu kugombanisha ishu ni moja tu kumjua Yesu
" MTAZAMO " MTAZAMO "MTAZAMO" kitu mtazamo kinatutesa sana tulio wengi hasante sana PASTOR HANANJA mimi binafsi nimekuelewa
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu.
Nimebarikiwa mno
Hiyo ni huduma sahihi ya kitume kwa waliobezwa. ubarikiwe mchungaji.
Like kwa mimi mtazamaji wa kwanza, Hananja ana madini sana
kaka naona upo
Aamen Baba. Songa mbele Mungu aibariki huduma yako waponywe mwili na roho
Mchungaji uko vizuri ubarikiwe
Wewe mia unagomga kabisaaaa tena na ishirini juu miaka ya biblia. Sio kwa kujifurahia huku ufeje mapema kwa mfano mchungaji. Huko vizuri spiritually and mentality. Mungu akutunze sana kiukweli vijana wanakuhitaji sana🤲🙏 kweli unajicho la ndani sana. Hawa watu wanahitsji zaidi msaada kuliko maeneo mengine
Mungu wa mbinguni asimame na wewe na akulinde siku zote za maisha yako
Uko vizuri mtumishi. Hekima uliyonayo inafaa kwetu pia.
Nimebarikiwa sana natamani niendelee kupata mafundisho yake
Mungu akubariki saana muundaji na mchungaji Hiki ni chakula cha watu wazima
Kweli kabisa mchungaji upo sahihi
Yaani mchungaji Hananja ana maneno yenye hekima sana na Mungu aendelee kumtumia apendavyo
Kwa kweli nimepata ufahamu mkubwa,Mungu ibariki Chomoza Mungu mbariki mtumishi wako
MUNGU NI MUNGU wa wote kwenye mwili.
Asante kuwajali watu walioktaliwa na jamii.
👍👏🙏 Live long pastor, your eyes oppener. I appreciate your knowledge, experience and understanding, you deserve a 21st century Pastor life... for the marginalised and underprivileged
big up for to day msg.
Ubarikiwe sana Paster. Mungu akuzidishie siku za kuishi. Nimejifunza kitu.
mchungaji uko vizuri sana Taifa ungelisaidia sana kama utagombea
Hakuna kitu kizuri sana duniani kama ufahamu,huyu mtumishi amejikita kwenye ufahamu mimi napenda vipindi kama hivi kwakweli. vinaponya watu wengi sana.
Usingizi wa kodi unawahi kuisha
Mchungaji kwa maandiko TU nakurespect barikiwa sana!
Mungu akubariki aendelee kukupa moyo huohuo
Nimepata elimu tofauti hapa a see Du
Mhubiri 12:7
Nawe vumbi utarudia udongoni ulimotolewa na roho yako itamrudia Mungu aliyeiumba.
NIMEELIMIKA SANA,MUNGU AKUBARIKI MCHUNGAJI
Amina, nabarikiwa na elimu unayotoa
Upovizuri saana nyanyua vijana
Asante sana mch nebarikiwa sana na huduma yako
Kazi nzuri,Mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu unafanya kazi nzuri
Hakuna Mtume bwana mnadanganya sana
Hivi wengine mna nini au yaani hakuna mitume Kwa hiyo wewe unaakili kuliko Mungu alosema kuna mitume, waalimu, wainjilisti,Wachungaji,manabii,kwa nini wachungaji wawepo alafu mitume wasiwepo someni neno acheni ushabiki huu sio mpira
Mungu akulinde akupe nguvu mtumishi tnakupenda
Amen baba Mchungaji, barikiwa sana
Mchungaji tunakumiss sana morning glory. Msalimie mama Mchungaji Roouuuse usimuite Kama afande 🤣🤣🤣
MUNGU akutie nguvu, na kukuwezesha zaidi.
Endelea kuwa myenyenyekevu, UTAFIKA MBALI SANA.
Nakuombea.
Amin
Mimi nimebarikiwa sanaaaaa
Mi muislamu,lkn huyu jamaa mnamuona anafurahisha lkn ni mtu ana ufahamu mkali sana ktk kuongea na anaongea point,nimejifunza kitu kwake
Kweli
BARIKIWA BABA
Amina mch hahaha nmefurahia gar ya mkaa
Nakuelewa Sana my lovely pastor hata Mimi huwa nakuwa na maswali mengi yasiyo kuwa na majibu
Mchungaji upo vizuri,mtangazaji maswali yako mepesi sana,akili kubwa kama hizi fahamu haina ya maswali ya kuuliza.
Ubarikiwe sana mtumishi, Mungu azidi kununua kazi yako ni njema sana pastor ❤❤❤
Be blessed pastor 🙏🙏🙏🙏
Asante Mtumishi kwa ujumbe mzuri.
Zaburi 69:
6 Wanaokungoja Wewe wasiaibishwe, Kwa ajili yangu, Bwana, MUNGU wa majeshi. Wanaokutafuta Wewe wasifedheheshwe, Kwa ajili yangu, Ee Mungu wa Israeli.
*TUKAE KATIKA HALI YA KUMNGOJA BWANA!! AIBU, FEDHEHA NA UOVU WOTE UONDOKANE NASI SASA!! TUMWONE MUNGU KWA USHINDI WA KISHINDO!! KWAKE YEYE NI HESHIMA, UTUKUFU, ENZI, NGUVU, UWEZA NA MAMLAKA, HALELUYA!!!*
Hahaha dah mzee mungu akuweke
Duuh aisee huyu pastor nimempenda
Kazi njema kabisa
Uko sawa mtumishi
Daaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣ukinunua toa risiti uyo ni dada powa wakishua 😂😂😂😂😂
Ungempa air time ya kutosha
nimejifunza ving sana Pastor ....Mungu akubariki weka namba tutoe sadaka kidogo kwa ajil ya Foundation
Mchungaji hongera sana
Nimebarikiwa sana
Mungu akubariki
Mzee kweli anamadini kinoma mpaka anakera sema namuelewa sana huyu pastor
Mchungaji hananja nakukubali
Very wise!
Haka kawimbo mwishoni kanaitwaje mwenyekujua tafadhal 😔
Jama na mwelewa sanaaa
Deeep. Be blessed.
Huyu mzee namkubali sana
Chuki ya nini?? asanteeeeeee mlezi
Amina mchungaji
Mchungaji umeniacha hoi!!!
Nimejifunza baba
Tupo kwa ajili ya wengine
Aise jaman huyu mchungaji yuko wapi nataka nikasali kanisani kwake nisikilize hizo nondo
Niliwai kumuona Moshi akifungisha ndoa mbokom
🙏🙏🙏Mungu akubariki
Nimepta chakula Cha akili Sana asant
I really fancy you bwana mwamposa
Hallelujah!! I respect my Dad🙏
Salutiiiiiiiii
PENYE MZOGA NDIPO WAKUSANYIKAPO TAI, alisema YESU neno hilo ukiona watu wanajaa kwa Mwamposa msikilize Mwamposa anaongea habari zake au za YESU?ukijaliwa Neema ya Mungu utajua Lile Neno UFALME WAKO UJE limetimia pale hata watu wanafunguliwa matatizo yao
Wanateseka sana na Mwamposa watu wanataka majibu ya changamoto zao, Na wanataka kumwuona Mungu anayetenda sawasawa na Neno lake.
@@azaransari7307 utamu wa ngoma ingia ucheze,imeandikwa Wana macho hawaoni,Wana masikio hawasikii ivi watu wanatakaje kumuona Mungu zaidi ya kwenda kanisani na magongo na kurudi unayaacha huko unatembea kwa miguu yako ,kwenda mgonjwa unarudi mzima , Nani awezae kumponya mtu Kama sie YESU wa uzima, je atakuepo YESU kwenye kusanyiko lake alafu asifungue mtu? Lah hasha Kama watu watakuwa wajinga Basi ujinga huu ni mzuri wa kupata uzima kwa mwenye uzima YESU
huyu anachekesha sana mambo ya MUNGUmlmm
Nimemuota mwenye nyumba 🤣🤣🤣🤣
Hahaa asee amesema kweli
Kindly help huyu mchungaji Ni mwalimu wangu nilipotezana nae muda mrefu nawezaje kupata namba yake?
Kweli kanisa limekomaa na miradi siku hizi kitu ambacho sio jukumu lake naunga mkono hoja ya vitegahuduma na sio vitegauchumi
Mchungaji Yuko vizur, nimempenda Sana,anachekesha na anafutahisha
Haleluya nimefurahi nimefarijika saaana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻Asante Mchunjaji from zambia
Yaan wachungaji wote na manabii wangekua na akili Kama ya huyu jamaa tungekuwa tunalala kanisani tukiwajibika ipasavyo. Ila wengine Hawa tumepigwa
Ni kweli kabisa aisee
wow...
Namba yake jamani
💟
❤️❤️❤️❤️
Amen
Hahahaaha
Hallelujah!! I respect my Dad🙏
Very wise!
Amen
Amen