HIVI NDIVYO JPM ALIVYOKULA KIAPO CHA RAIS LEO DODOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2020

ความคิดเห็น • 107

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 3 ปีที่แล้ว +5

    Hongera Rais wangu. Mola akutangulie kwenye kazi zako🙏🙏

    • @suleimanhassan6624
      @suleimanhassan6624 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akumpe mahono yakuifanys kazi yawana hichi kwauuwaminifu nabils ubanhuzi wadin Wala wskabila mungu akpe uzima,

  • @mariamuseifu3065
    @mariamuseifu3065 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akupe maisha marefu Rais wetu Inshallah 🙏🙏

  • @karirekinyana9759
    @karirekinyana9759 3 ปีที่แล้ว +4

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏Asante Mungu
    Magufuli kweli wewe siomutumishi wawa Tanzania pekee pia wewe nimutumishi wa Mungu Mwenyezimungu akujalie nakukupangufu watuwa
    Danmark tunagupenda sana
    Congratulations 🤝🤝🤝🤝🤝

  • @zainabujuma7252
    @zainabujuma7252 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunakupenda Baba Magufuli go go go Ikulu yako ningekuwa na Amri ningekupa 20 kabisaa

  • @rehemashabhay2205
    @rehemashabhay2205 3 ปีที่แล้ว +4

    Mh Rais wangu hongeraaaa sanaaa.mwisho wa yote ushindi tumepata Mungu ni mwema. Alhamdulillah Molla ni muweza wa yote.

  • @KM-hx8zy
    @KM-hx8zy 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwanangu Joseph, Kazi njema na Mungu akutangulie, usibadirike, moyo wako ni mkarimu kwa watu wako.
    Mungu akushike mkono wake!!

  • @tukuyufm
    @tukuyufm 2 หลายเดือนก่อน

    dah, nimemkumbuka sana raisi wangu JPM, pumzika kwa amani

  • @fredymgina8404
    @fredymgina8404 3 ปีที่แล้ว +15

    Wakwanza leo jmn team jpm like zetu hapa 😍

  • @latifapolena7649
    @latifapolena7649 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akupiganie

  • @bernakajoro4083
    @bernakajoro4083 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi mungu akulinde na kukuongoza kiongoz wetu mpendwa ,uliebarikiwa na mungu,mungu awajalie saana viongoz wetu,tunawapenda tunajivunia kuwa na ninyi kwani mfanyanya Mambo makubwa mazur ndani ya nchi hii,tunategemea makubwa Zaid mazur,tunawakubali saana.amina.

  • @mluziwajini4734
    @mluziwajini4734 ปีที่แล้ว +1

    Endelea kupumzika vyema hakuka mwendo umeumaliza

  • @alexmilalu3031
    @alexmilalu3031 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Rais

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Raisi wangu Mungu akusimamie katika utumishi wako.

  • @annadotto2429
    @annadotto2429 3 ปีที่แล้ว +1

    Kura yangu haijapotea wa sijakosea kukuchagua, hongera sana Rais wetu Mwenyez Mungu azidi kukulinda, wanaosema wameibiwa walikuwa wap wakat wana ibiwa?

  • @johnmasalumasalunjire5887
    @johnmasalumasalunjire5887 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Magufuli Mungu akuriend

  • @eliachniyonkuru9797
    @eliachniyonkuru9797 3 ปีที่แล้ว +3

    Congratulations DKT JPM GOD be with you!! Voice from Burundi

  • @uwezowamunguutendaokazi3043
    @uwezowamunguutendaokazi3043 3 ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN. MUNGU MKUU AKUBARIKI NA KUKULINDA RAIS MAGUFULI NA HEKIMA YA MUNGU MKUU IWE JUU YAKO.BARIKIWA MAMA YETU. AMEN.

  • @peterandrew2795
    @peterandrew2795 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana baba yangu

  • @nkambapunguja1519
    @nkambapunguja1519 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde rais wangu Magufuli 🙏🙏🙏

  • @user-un3df1sl2h
    @user-un3df1sl2h 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuweke raisi wetu

  • @kusinayusuph3949
    @kusinayusuph3949 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongera Sana Raisi wangu niliekuchagua mwenyewe

  • @petersabai6801
    @petersabai6801 3 ปีที่แล้ว +1

    Hegeraw sana mh jhon pombe magufuri kwa ushindi wako

  • @christinebelinda3498
    @christinebelinda3498 3 ปีที่แล้ว +3

    Congra JPM💝💝💝💝

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 3 ปีที่แล้ว

    Hongera rais wetu

  • @deborahdeogratius4447
    @deborahdeogratius4447 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukubariki kukulinda na kukutunza

    • @haithamalharthy68
      @haithamalharthy68 3 ปีที่แล้ว

      Mama SAMIYA ALLAH akubariki na akusaidiye inshaAllah

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ameshamkataa ndio maana kura za wizi zimeonekana bado umelazimisha utangazwe umeshinda hakika Mungu atakupiga mchana kweupe

  • @magrethmussa6404
    @magrethmussa6404 3 ปีที่แล้ว +1

    Chapa kazi baba tunakuaminia

  • @uwezowamunguutendaokazi3043
    @uwezowamunguutendaokazi3043 3 ปีที่แล้ว +1

    Bado nasema yanga wabadili jezi. Hii njano ibaki ya Ccm tu.

  • @danieljeromelyimo6673
    @danieljeromelyimo6673 3 ปีที่แล้ว

    Mungu aku samehe Mna thubutu Kuapa😥😥😥😥😥

  • @lomayanilaiza8205
    @lomayanilaiza8205 3 ปีที่แล้ว

    Jemn President of naona unakula kiapo bythewei ngai 2mikia inch vizr

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 3 ปีที่แล้ว

    Amina yarabi allah akungoze

  • @raqikhalf6415
    @raqikhalf6415 3 ปีที่แล้ว +2

    Utabaki kua raisi wa tanzania hakuna wakukupinga

    • @haithamalharthy68
      @haithamalharthy68 3 ปีที่แล้ว

      Allah akusaidiye JMP.
      una apa kwa makini. MUNU akusaidiye

  • @teacherd
    @teacherd 3 ปีที่แล้ว

    JINSI YA KUFAULU MTIHANI WAKO BILA KUSOMA
    th-cam.com/video/Jt0oh4NkVf0/w-d-xo.html

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 3 ปีที่แล้ว +2

    MASHA ALLAH.

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 3 ปีที่แล้ว +3

    Watz wamekuonyesha jinsi gani hawakutaki

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 3 ปีที่แล้ว

      Kama humtaki ni wewe usiseme Watanzania wote hatumtaki sisi bado tunamhitaji sana wewe nenda kajifungie ndani kwako kimya

    • @toxicharmful4938
      @toxicharmful4938 3 ปีที่แล้ว

      Walifumbwa ubongo tuwaache watajuta wenyewe

    • @lilianpabro5511
      @lilianpabro5511 3 ปีที่แล้ว

      Humtak wew c wote

  • @toxicharmful4938
    @toxicharmful4938 3 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania tutaibiwa mpala mwisho kama kura zinaibiwa nn hakiwezi ibiwa

    • @melkizedekiwiliam5533
      @melkizedekiwiliam5533 3 ปีที่แล้ว

      Kuna uthibitisho wa kuibiwa kura? Au ni kusikia tu ya mtaan

  • @linetwafula7107
    @linetwafula7107 3 ปีที่แล้ว

    Rip president magufuli

  • @herieltadeus4722
    @herieltadeus4722 3 ปีที่แล้ว

    Ongera baba munga akupe hekma kubwa kwa kuongoza taifa letu

  • @mrsruweidaabdallah8704
    @mrsruweidaabdallah8704 3 ปีที่แล้ว

    Mh hongera tena

  • @msstudiosoficial8825
    @msstudiosoficial8825 3 ปีที่แล้ว +1

    ASSANTE SANA

  • @hafidhchoi3186
    @hafidhchoi3186 3 ปีที่แล้ว +3

    Kz kz

  • @ChangchunRealstateDragon
    @ChangchunRealstateDragon 3 ปีที่แล้ว

    Pumzika baba

  • @mrsruweidaabdallah8704
    @mrsruweidaabdallah8704 3 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli hoye hongera.

  • @lomayanilaiza8205
    @lomayanilaiza8205 3 ปีที่แล้ว

    I shall a

  • @cliffkidd_
    @cliffkidd_ 3 ปีที่แล้ว

    R.i.p JPM

  • @phylis1464
    @phylis1464 3 ปีที่แล้ว

    Leo hii ni marehemu😭😭😭

  • @natariaboniphace7127
    @natariaboniphace7127 3 ปีที่แล้ว

    Kula yangu imenipa furaha.

  • @ArarsoAli
    @ArarsoAli 3 ปีที่แล้ว +2

    Shanguwee na vigelegele

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 ปีที่แล้ว

    Bora umeziba tundu

  • @wangariann6044
    @wangariann6044 3 ปีที่แล้ว

    Siningekuwa mtazania aki ama nihame Kenya nije TX huku hakuna upuzi

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 3 ปีที่แล้ว

    Hv yule CHIBA amehudhuria kweli hii shughuli 😄😄😄😄😆😆😆😆

  • @selemanizakarizakaria9371
    @selemanizakarizakaria9371 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @razibchowdhury9869
    @razibchowdhury9869 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu.atawahukumu.hapahapa.duniyani.wauwaji.wakubwa.nyiye.akhera.kwendahebu

    • @khalifaalmugheiry9232
      @khalifaalmugheiry9232 3 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @kiyabolnjemu9646
      @kiyabolnjemu9646 3 ปีที่แล้ว

      Hujui kusoma brooo

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 3 ปีที่แล้ว

      Ndugu zako wangapi wameuliwa broo

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 ปีที่แล้ว

      Wewe umefanya manfapi

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 ปีที่แล้ว

      Allah Hana sifa kama ya binadamu Allah anasamehe mpaka washirikina ambao Allah alisema anasamehe dhambi zote ila ushirikina tu ndie aliahid hatowasamehe washirikina basi kwa hiyo mdomo wako huwezi muingiza mtu motoni Wala peponi angalia yako wewe huna dhambi wewe

  • @mussahamis1367
    @mussahamis1367 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina 5tena

  • @razibchowdhury9869
    @razibchowdhury9869 3 ปีที่แล้ว

    Na.mwenyezi.mungu.kashawandalia.makaziyenu.yamilele.motoni

    • @joshuaandrew386
      @joshuaandrew386 3 ปีที่แล้ว

      Hakuna mwanadamu anaekaa kikao na MUNGU juu ya wanadamu chini ya jua

    • @mangeleoporod2704
      @mangeleoporod2704 3 ปีที่แล้ว

      Imeandikwa wapi iyo wewe mwenyewe apo hujui utaenda motoni ama kwenye laha ya milele ndo uhukumu mwenzako

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 ปีที่แล้ว

      Umefanya kosa kubwa sana kumuhukumu mtu akiwa hai kua yeye nimtu wa motonn nadhani wewe unaweza kua huujui uislamu kabisa unachukua mamlaka ya Allah ya kujua mtu wa motonn na WA peponإسغفرالله يا رجل

  • @toxicharmful4938
    @toxicharmful4938 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama baba anashinikiza watoto wake wote wawe na vyeo familia gani zinatengenezwa hapo na maendeleo gani yatapatikana bila changamoto mfumo wa vyama vingi unaovunjwa huo tutajuta

    • @lewismugo4070
      @lewismugo4070 3 ปีที่แล้ว +1

      kweli kabisa hakuna vile anataka chama chake tu kwa mbunge hakuna maendeleo.

    • @lilianpabro5511
      @lilianpabro5511 3 ปีที่แล้ว

      Mtanyooka

    • @toxicharmful4938
      @toxicharmful4938 3 ปีที่แล้ว

      @@lilianpabro5511 na mamaako pia ngoja tuwaache simnajifanya fyatu

    • @lilianpabro5511
      @lilianpabro5511 3 ปีที่แล้ว

      @@toxicharmful4938 Et ee c fyatu n tunajielewa nyie mtaponda mwisho mtaacha tu amna jipya hapo tushazoea na mitano tushaampa afu kuhusu mama co unaechat nae plz heshima ifwate mkondo wake

    • @lewismugo4070
      @lewismugo4070 3 ปีที่แล้ว

      @@lilianpabro5511 mwenye kuumia ni sisi wanainchi, hii ndunia hakuna inchi iko na chama moja kwa mbunge labda kwa dictator maendeleo hakuna hapo.

  • @dsagagang3802
    @dsagagang3802 3 ปีที่แล้ว

    Ushuru wa mbuzi kutoka 3000 hadi 6500 tutaisoma wote

  • @switbertntibashima5238
    @switbertntibashima5238 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongeraaa jpm

  • @stevenfabian2208
    @stevenfabian2208 3 ปีที่แล้ว

    Kama umeona tai ya pink JPM kavaa na wakati akiimba wimbo wa taifa rangi nyingne gonga like

  • @dhakomodherooherokoko6037
    @dhakomodherooherokoko6037 3 ปีที่แล้ว

    Hapa ni Dar ama?

  • @dogoibrah5902
    @dogoibrah5902 3 ปีที่แล้ว

    wapili leo jamana samahani sana kwa usumbuf na poleni na kazi ila naomba unisaidie ku subscribe TH-cam channel yangu na kushare ku comment please jina dogo_ibrah

  • @razibchowdhury9869
    @razibchowdhury9869 3 ปีที่แล้ว

    Nyote.mbwa.nyinyi

    • @mangeleoporod2704
      @mangeleoporod2704 3 ปีที่แล้ว

      Acha tabia yakuita watt wawenzako mbwa wewe haujui kuumba hata kuku kwan alie waumba mbona hakuwakosoa

  • @johnkyara2016
    @johnkyara2016 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii nafasi ya lisu kabsa

    • @justice607
      @justice607 3 ปีที่แล้ว

      😂 😂 😂 Mmeishiwa wapinzan, kwendraaaa lisu akaongoze vichaa wenzake uko 👌👌👌 sio Tz

    • @josephinanikwelimdacki3330
      @josephinanikwelimdacki3330 3 ปีที่แล้ว

      @@justice607 kama nafas yake si umpe

    • @kiyabolnjemu9646
      @kiyabolnjemu9646 3 ปีที่แล้ว

      Umemuona akiapa hapo??? Mashiga mkaape bejium

    • @paulbaynet1396
      @paulbaynet1396 3 ปีที่แล้ว

      Wazi kabisa hahahaaa

    • @liutapro
      @liutapro 3 ปีที่แล้ว

      Kila mmoja ni mchunga na kila mchunga ataulizwa jinsi gani alivyowachunga watu wake, 😭 tuandae majibu siku ya kiama😭

  • @rumb9691
    @rumb9691 3 ปีที่แล้ว +4

    Nyumbani kumenoga 🇹🇿