Tusisahau kumshukuru Raisi Kikwete kwa kutupatia Raisi Magufuli na kumpatia opportunity ya kunawiri kama waziri vile vile. That is also strong leadership
Samia ndo kumbe Rais ajae 17:14-17:38..Ila dah Magufuli alikuwa machine kali kweli. Tunakushuku MUNGU Mkuu Uonae mbele zaid ya mwanadamu. Utukufu Kwko Baba. tunakushukuru kwa zawadi ulitupa Magufuli
Ndg Rais mstaafu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania najivunia kuwa na Rais kama wewe, busara, hekima, maarifa na welendi ulivyonavyo vilikuwezesha kuitangaza nchi yetu kimataifa, umekuwa mfano wa kuingwa na watu wema na wazuri, nakutakia kila la kheri mzee wa tabasamu
Msingwa kaka tunaomba videos zingine za kumbukizi kipindi cha uwaziri cha dk.john pombe joseph magufuli Hakika huyu ni raisi mchapa kazi anachukiwa na mafisadi wala rushwa huyu ni raisi wa wanyonge Ccm Oyeee 2021 4march
Anaeangalia mwezi huu october 2024 like tuwe wote ....dah hii video ina watu wengi mno ambao hatuko nao tena....Mungu awalaze pema peponi
nakupenda babaangu wa dhat mungu akulaze sehem pema pepon
Tusisahau kumshukuru Raisi Kikwete kwa kutupatia Raisi Magufuli na kumpatia opportunity ya kunawiri kama waziri vile vile. That is also strong leadership
Maigufuli amekufa kimwili kiroho yupo hai daima milele The best president ever John pombe Maigufuli
Amekufa ameoza huyo hayupo tena he was the best jambazi
Samia ndo kumbe Rais ajae 17:14-17:38..Ila dah Magufuli alikuwa machine kali kweli. Tunakushuku MUNGU Mkuu Uonae mbele zaid ya mwanadamu. Utukufu Kwko Baba. tunakushukuru kwa zawadi ulitupa Magufuli
Msigwa voice 💥
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭baba umelala😢😢😢😢😢😢 R. I. P JPM
2021 mungu ibaraki Tanzania 🇹🇿 mungu mbariki magufuli our president 🙏
Naiangalia mwaka huu (2020) namuona Mh. Kikwete akitabiri tunayoyaona nchini mwetu sasa hivi. Big up bulldozer
Mushukuru Mungu kila siku maanake mzee Kikwete alifanya jambo nzuri kumidhinisha JPM.
Tinga tinga bulldozer R,I,P uncle magufuri
chuma🙌🙌
❤❤jk jpm and oll the chears of ccm and oll members
Siku hii aliyoyaongea Ndio aliyoyafanya ‘....Huyu jamaa alikua genius’..!
Mungu awakumbuke kwenye siku ya ufunguo bwana yesu kirsto
2024
Duh hapa ndo walipomkaanga Mzee LOWASA..R.I.P mzee MAGUFULI
Mwenye maamuzi magumu alikua mchoraji!
Leo tar 04/03/2023 namkumbuka sana Raisi wangu mpendwa John Pombe Joseph Magufuli
R.I.P BABA YANGU 😭😭😭😭
Ndg Rais mstaafu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania najivunia kuwa na Rais kama wewe, busara, hekima, maarifa na welendi ulivyonavyo vilikuwezesha kuitangaza nchi yetu kimataifa, umekuwa mfano wa kuingwa na watu wema na wazuri, nakutakia kila la kheri mzee wa tabasamu
Endelea kuoumzika kwaamani Hayati Magufuli
Naamini malaika wanafurahia huko uliko. Pumzika kwa amani, siku moja tutaonana
2021 CCM Oyeee Magufuli oyeee Mama samia sluu Hassan oyeee.🙏
REST IN PEACE BABA
R.i.p
Amhug kumbe ndio kitakua kisu cha kumpoteza mazima
Hii ni sauti ya Gerson Msigwa??
Ng'ara Samia ng'ara
Rest in Peace JPM
Ccm wahongo sana sasa hiyo hotuba kaandikaa saangap
big up
Daah R.i.p Jpm

Side
ⁿ pm
Side