NI ZAIDI YA UPENDO! Tazama Magufuli, Samia walivyoongea na Kenyatta 'LIVE' kupitia simu Ikulu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • #Live #Ikulu #JPM

ความคิดเห็น • 408

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 5 ปีที่แล้ว +27

    Nampenda Sana Kenyatta

  • @esterjeromekwai3804
    @esterjeromekwai3804 5 ปีที่แล้ว +197

    kama unamkubali Prs Magu nipe like zako joh

  • @murerwadarlene4138
    @murerwadarlene4138 3 ปีที่แล้ว +27

    I Am Rwandan but my heart is still mourning you Rais.keep resting in peace

    • @samwelpmbuga7735
      @samwelpmbuga7735 3 ปีที่แล้ว

      T x p a share

    • @dianamkita6571
      @dianamkita6571 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa...Yaani JPM will be always in my memory...+ 255

    • @babytracy4221
      @babytracy4221 3 ปีที่แล้ว +2

      Same here I’m Kenyan but I’m still mourning

    • @rosalindbirungi9164
      @rosalindbirungi9164 3 ปีที่แล้ว +1

      Am a Ugandan but still mourning a great leader of the times. RIP

  • @marykiarie254
    @marykiarie254 5 หลายเดือนก่อน +1

    Continue Resting in peace president Magufuli ..we still mourn you...your integrity, dedication and commitment to build Tanzania is a legacy the whole of Africa is proud of.Love from kenya 🇰🇪 🇰🇪

  • @wainainagideon2068
    @wainainagideon2068 20 วันที่ผ่านมา

    You can see the love expressed by our two leaders. God bless Tz . You are our good God given neighbors.

  • @emmanuelsengo2601
    @emmanuelsengo2601 5 ปีที่แล้ว +46

    Kwani huyu mzee magu alikuwa wapi ckuzote. Tukaweka majizi yakatuibia wee mpaka sasa tumekombolewa

  • @robertusisack3635
    @robertusisack3635 5 ปีที่แล้ว +42

    mwanzo nilikuwa simpendi kweli lakini this time nampenda kweli

  • @mkulima_mweusi2481
    @mkulima_mweusi2481 5 ปีที่แล้ว +35

    Bonge moja la kolabo

    • @issayamshana3750
      @issayamshana3750 3 ปีที่แล้ว

      Hahahhahahahaha etii kolabo..... haya bwanaaa

  • @Josethekenyan
    @Josethekenyan 7 หลายเดือนก่อน +2

    Magufuli is the best president Africa has ever had in 21st century.

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ndio EA ilipaswa iwe undugu sio kuwindana ama ujanja ujanja. Tunaamini Mama Mungu atamjalia adumishe upendo EA. RIP Mwendazako. Mungu akurehemu uliko.

  • @denniswachira1078
    @denniswachira1078 3 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂 This Was Funny...... R.I.P.Magufuli

  • @paschaltsaxara7654
    @paschaltsaxara7654 5 ปีที่แล้ว +4

    amaizing sana

  • @baltazarynoely4238
    @baltazarynoely4238 3 ปีที่แล้ว +1

    R.i p baba magu hakika nakukumbuka

  • @shamshamimi7664
    @shamshamimi7664 5 ปีที่แล้ว +9

    Here comes second sonko who agrees with me team Kenya give me likes as we go.

  • @munasaidi614
    @munasaidi614 5 ปีที่แล้ว +13

    Mm maoni yangu ni kwa magufuli mm ningependa amkalishe Uhuru na kumuelimisha juu ya ufisadi Kenya imezidi maisha ya Kenya ni mabaya Sanaa wanyonge waumia Kila Jambo mpaka ulipe marupurupu. Ata ukisoma hakunafaida kazi wanapeana wakikuyu pekee ndio wanajisifu Kenya ni yao mm ningeomba uingilie kazi kwa maana ww ni raisi wa Tanzania nivema uingilie Kati ili uwasaidie wakenya wenzetu bila hivo Kenya itaharibika miaka ijayo tutajijawanya Kenya itakuwa na maraisi wawili mm ni mkenya ila siipendi Kenya kwa sababu ya ufisadi. Nikiingilia kwa upande wa Barbara Uhuru ametengeneza kwao Nairobi ila Mombasa hawakutengeneza Barbara. Ukitaka wakenya wawe na upendo na Tanzania basi tusaidie magufuli

    • @najmagudeh203
      @najmagudeh203 5 ปีที่แล้ว

      Kbsaa

    • @gizakazeno1688
      @gizakazeno1688 5 ปีที่แล้ว +2

      zamani watu walikuwa hawamwelewi huyu magufuli...ndani ya miaka mitatu kaibadilisha tz na watu wanaanza kumuelewa sasa

  • @selenganyagawa1358
    @selenganyagawa1358 3 ปีที่แล้ว +2

    UNFORGETTABLE 🇹🇿🖤👈 jamanii!!!!!

  • @solomondanny-1507
    @solomondanny-1507 6 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda sana hii.

  • @samuelsikanyika6097
    @samuelsikanyika6097 5 ปีที่แล้ว +9

    Mzee Magufuri inatakiwa katiba ibadilishwe ukae mpaka Mungu atkapokuita.yasije yakarudi majizi tena Chonde.

  • @kitundakisose7477
    @kitundakisose7477 6 หลายเดือนก่อน

    Tanzania Inchi ya ajabu, Mungu ahibariki Tanzania na WA Tanzania pia ahibariki viongozi wa Tanzania

  • @thomasmwabusa9425
    @thomasmwabusa9425 3 ปีที่แล้ว +1

    RIP Magufuli

  • @jumarobert6484
    @jumarobert6484 5 ปีที่แล้ว +10

    Wazee mko vzr

  • @gitu4me
    @gitu4me 5 ปีที่แล้ว +8

    HAKIKA MUNGU ATUBARIKI TUISHI KWA UPENDO AMINA

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 ปีที่แล้ว +2

    Mmm itanichuku time kua mini daah

  • @judithmoturi3402
    @judithmoturi3402 3 ปีที่แล้ว +5

    Rip Magufuli,Kenyatta ni domo tu bila matendo

    • @mjkinuthia386
      @mjkinuthia386 3 ปีที่แล้ว +1

      Sikubaliani kamwe nawe Judith lakini hiyo ni haki yako! Apumzike kwa amani rais Magufuli 🙏

    • @eliudlumwaji7897
      @eliudlumwaji7897 3 ปีที่แล้ว +2

      Domo na hameregesha gold ilioibiwa tz na wakenya?what are you talking about.

  • @HeriSabuni
    @HeriSabuni 2 หลายเดือนก่อน

    Toka uvira d.r.c. tamani watanzaniya rais kama huyo mkakubali mumuuwe?. Loooo, magufuli alikuwa raisi wa kuteteya afrika nzima.

  • @fab_254.
    @fab_254. 6 หลายเดือนก่อน

    Kenya misses Uhuru

  • @nhungomuya90
    @nhungomuya90 5 ปีที่แล้ว +71

    Tanzanian tumepata raisi ambaye hajawahi tokea tangu tupate uhuru Magufuriiiiiiiiiiiiiii ni chuma cha kilongo

  • @jessicarasigu2220
    @jessicarasigu2220 3 ปีที่แล้ว +46

    Tz tulibarikiwa kwa kweli na maraisi 2,mwalimu nyerere na Baba yetu MAGU, 😭😭😭😭😭😭😭😭 na sasa atupo tena nao kazi nzuri umetuachia baba Magu,daima tutakukumbuka R.I.P🙏🙏

  • @momobakari9588
    @momobakari9588 3 ปีที่แล้ว +74

    Rest in peace baba, tutakukumbuka daima😭💔🇰🇪

    • @dianamkita6571
      @dianamkita6571 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakika tutamkumbuka Mpendwa wetu JPM...

  • @moviesseries9923
    @moviesseries9923 5 ปีที่แล้ว +57

    Mzee Magufuli Umenifurahisha sana😂😂😂

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 ปีที่แล้ว +32

    Jamani ndiyo maana Kenyata alisema iwe isiwe lazima aje kwenye msiba😥😥😥😥😥😭😭😭

    • @damarisambia1154
      @damarisambia1154 3 ปีที่แล้ว +2

      Liwe liwalo ilikua afike , East Africans we've lost a good one kabisa.

  • @kellyyobaibe4027
    @kellyyobaibe4027 3 ปีที่แล้ว +10

    😭😭😭😭😭😭😭😭 mi hua siamini na czani kama ntaamini labda cku moja ntaamini kama hayupo tena

    • @dianamkita6571
      @dianamkita6571 3 ปีที่แล้ว

      Amini tu Kelly,,hakuna jinsi..Mungu ndo anajua.. Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki familia ya Mh.JPM...

  • @happysanga6595
    @happysanga6595 3 ปีที่แล้ว +36

    Kazi umefanya pumzika kiongoz wetu🇹🇿🇹🇿🙏🙏😭😭

  • @Brotherkhassimbizimungu
    @Brotherkhassimbizimungu 3 ปีที่แล้ว +19

    Rais JPM uliachia afrika elmu itasadia wanaota kuongoza vizuri.
    Utabaki katika nyoyo zetu. Much love from Rwanda 🇷🇼!

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 3 ปีที่แล้ว +56

    Ulisema kweli tuta kukumbuka kwa megi Baba yetu RIP rest in Peace Rais Magufuli 💕💕

    • @virginiamburu4335
      @virginiamburu4335 3 ปีที่แล้ว +1

      Ma kweli alisema hivyo. Lalala Salama

    • @rhinakiza
      @rhinakiza 3 ปีที่แล้ว +1

      I love you Magufuli no secrets about our country,
      If it was different president he was going to wait until home njoo amu call, but Magufuli was very open president

    • @faroukmutyaba5665
      @faroukmutyaba5665 3 ปีที่แล้ว +1

      Rhina ingekua innawezekana angekuja Uganda Magufuli afundishe Museveni wetu jinsi ya kua na huruma kwa wanainchi wa Uganda

    • @rhinakiza
      @rhinakiza 3 ปีที่แล้ว

      @@faroukmutyaba5665 I know kaka, we just pray for him to rest in Peace Rais Magufuli, God loves him mostly than us.
      Hata Baba amefariki Yesu ata baki kuwa Mungu tuu 🙏🏼🙏🏼

  • @Ronald-gh6jl
    @Ronald-gh6jl 3 ปีที่แล้ว +19

    Kenya na tz ni marafiki, majirani na mandugu, mungu aiweke roho yake marehemu jpm mahali pema peponi

  • @gordonomondi3009
    @gordonomondi3009 3 ปีที่แล้ว +24

    President Magufuli you were so real, may God continue to bless and strengthen your family.

  • @kihanda2554
    @kihanda2554 5 ปีที่แล้ว +35

    Huyu Raisi wetu anapiga Show Live Band na siyo kuimba kwa Back play CD. Hunipa Raha kila siku.

  • @leoncebaryaherezahe9704
    @leoncebaryaherezahe9704 6 หลายเดือนก่อน +12

    Duniani yoyote , sijaona Mtu wa moyo mzuri kama wewe Baba wa Taifa wa Tanzania. RIP Mzee Mtumishi wa Mungu😍😍🤩

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 ปีที่แล้ว +23

    this was so cool! Magufuli na Kenyatta wanautani mwingi sana..nafirki ni rika moja ndomana...kutaniana sana. nakumbuka clip Kenyatta akiwa Chato wakenda muonda mama Magufuli..Magufuli akawa anamuegemea Kenyatta na kumuambia mama yake; "mai, Kenyatta Rais wa Kenya huyu anakuksalimia" yaani it was so good..asanteni sana Magufuli / Kenyatta safi sana..Magufuli oyeee!! Kenyatta oyeee!!

  • @paulkanja3825
    @paulkanja3825 3 ปีที่แล้ว +49

    I miss this guy. From Kenya

    • @mussaodada9629
      @mussaodada9629 3 ปีที่แล้ว +2

      Nimekumis sana raise wangu kipenzi nakukumbuka sana mungu akulaze pema peponi unajua ipo siku tutaonana mungu akipenda 👩‍👧‍👦👩‍👧‍👦👩‍👧‍👦👩‍👧‍👦👩‍👧‍👦👩‍👧‍👦

    • @LENAJACKSON-b9k
      @LENAJACKSON-b9k 2 หลายเดือนก่อน

      😊😊1❤a😊​@@mussaodada9629

  • @maryemmanuelmjema9953
    @maryemmanuelmjema9953 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunakukumbuka magu nataman nikuamshe uwezo Sina nabaki Julia daaah mungu wew tulikukosea nin watanzania Hadi utuchukulie maguful 😭😭😭😭

  • @monicatankini5958
    @monicatankini5958 5 ปีที่แล้ว +19

    kama unaitwa ,Monica popote ulipo sema oyoooo ,tumetajwa na raisi jamani.

  • @barakashadrack7695
    @barakashadrack7695 3 ปีที่แล้ว +2

    Sijui ni lini itatugalimu kumpata mtu mwingine mzalendo kama huyu mm na uchungu sana hd leo nalia

  • @junemuchiri609
    @junemuchiri609 3 ปีที่แล้ว +14

    Magufuli na kenyatta walikua marafiki sana aisee😂😂😂

  • @barakashadrack7695
    @barakashadrack7695 3 ปีที่แล้ว +1

    Sijui ni lini itatugalimu kumpata mtu mwingine mzalendo kama huyu mm na uchungu sana hd leo nalia

  • @nancykiwelu9370
    @nancykiwelu9370 5 ปีที่แล้ว +19

    Mungu awaongezee umri mrefu na afya njema kwenye utumishi huu aliowapa

  • @issaibonyissaibony9934
    @issaibonyissaibony9934 3 ปีที่แล้ว +12

    Mzee ww bc tu mungu akuhifadhi huko uliko 😭😭😭

  • @amtawakal
    @amtawakal 5 ปีที่แล้ว +15

    Zama hizi za EA ni za aina yake,especially TZ na KE. Lovely and big-up to the two comrades.

  • @dr.erickjmazyala8905
    @dr.erickjmazyala8905 5 ปีที่แล้ว +43

    This is East Africa we want! Mungu azidi ibariki EA!

  • @fredoso1
    @fredoso1 5 ปีที่แล้ว +12

    Huu ndio undungu thabiti mwenyezi mungu aibariki Africa mashariki.

  • @sadifa2said567
    @sadifa2said567 5 ปีที่แล้ว +36

    Hongera sana rais Kenyatta na rais Magufuli na mama Samia heshima kwenu

  • @alonsobrazzel3011
    @alonsobrazzel3011 3 ปีที่แล้ว +4

    🇹🇿🕌⛪🇰🇪 - THIS WAS LIKE OUR BELOVED PRESIDENT MAGUFULI (RIP) PASSING THE BATON TO MAMA SAMIA. "MAY ALLAH, YAHWEH, GOD" HELP HER TO SERVE TANZANIANS AFTER PRESIDENT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI (RIP) PASSED AWAY. "MAY GOD ACCEPT HIS SOUL".❤✔

  • @zakiazionheart2370
    @zakiazionheart2370 3 ปีที่แล้ว +5

    We missing you JPM 😭 you're unique and true Angel 👼 RIP.. those who kill you the truth will come out one light day...we Pan-African we believe your death wasn't natural. Those who celebrate your death... We are watching them those who talk about your death we know is them who is criminals.. them time will come to.. because everyone will test the death. .

  • @King_186
    @King_186 5 ปีที่แล้ว +23

    Yaa ni zaidi ya upendo, n'a JPM ukitaka kuelewana naye, mzigo upatikane

    • @babusadala5732
      @babusadala5732 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂🍺🍾

    • @michaeldeus193
      @michaeldeus193 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @mwajejasson6995
      @mwajejasson6995 5 ปีที่แล้ว +1

      Dr magufuli ubalikiwe sana wewe ni rais bora sana

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapo umempatia

  • @zakayokalinga7838
    @zakayokalinga7838 5 ปีที่แล้ว +7

    Ni mzur lakini anachapaa kazi Uhuru Akasema aaah wachana na huyo arudi nyumbani weeee😂😂😂😂😂😂 Magu banaaaaa

    • @reyjosee9390
      @reyjosee9390 5 ปีที่แล้ว +1

      Zakayo Kalinga wachana na huyo arudi bnaaaa

    • @zakayokalinga7838
      @zakayokalinga7838 5 ปีที่แล้ว

      hahahah

    • @Avianatz
      @Avianatz 4 หลายเดือนก่อน

      Hahaa 🤣🤣🤣 magu banaaa

  • @charlesjohn5792
    @charlesjohn5792 7 หลายเดือนก่อน +4

    MAGUFULI where are you Mr PRESIDENT 😢😢😢😢

  • @ushiwamarandu7433
    @ushiwamarandu7433 5 หลายเดือนก่อน +1

    KWA KWEL TAIFA LIMEKOSA KIONGOZI WA KISASA KAMA HUYU LAKIN KWA SASA SIJUI TUNAKWENDA WAPI YAAN....!

  • @agnettakamugisha4984
    @agnettakamugisha4984 3 ปีที่แล้ว +14

    PRICELESS❤❤❤❤
    YOU WERE GOD SENT🙏🙏
    RIP JPM🙏🙏

  • @Assam8885
    @Assam8885 5 ปีที่แล้ว +15

    Wallah nimefurahiiii uncle Magu mungu akubariki sana

  • @nicholasmacharia3102
    @nicholasmacharia3102 6 หลายเดือนก่อน +5

    I miss my President His Excellency Uhuru Muigai Kenyatta.

    • @kiangurajason1183
      @kiangurajason1183 2 หลายเดือนก่อน

      That's Kenyatta rubbish. Let him bring billions he stashed in foreign accounts. Hiyo pesa haikuwa ya mama yake.

    • @immaculateigosha4987
      @immaculateigosha4987 2 หลายเดือนก่อน

      i think they were discussing about GOLD smuggler

  • @Abubakar-po4fn
    @Abubakar-po4fn 5 ปีที่แล้ว +10

    Mh rais somo la bure umepewa na mh uhuru kenyata, sisi tulikamata vifaranga tukavichoma moto, yey kakamata pesa nying kuliko vifaranga, karejesha kwetu SOMO HILO.

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว

      Wallah tena. Zinge kamatiwa tz sijui kama sio kutaifishwa. Adui mpende

    • @shahakaisi1920
      @shahakaisi1920 5 ปีที่แล้ว

      Unaongea kisiasa zaidi

  • @ernestsinje9532
    @ernestsinje9532 5 ปีที่แล้ว +26

    Mambo ya anko Magu bwana nimecheka kwa Furaha

  • @solomonmpuluma5485
    @solomonmpuluma5485 5 ปีที่แล้ว +24

    Nimeipenda sana sana. Mungu awabariki sana!!

  • @EmanuelNicholaus-of1qg
    @EmanuelNicholaus-of1qg 6 หลายเดือนก่อน +6

    Best President in Tanzania's history

  • @josephlucas2786
    @josephlucas2786 ปีที่แล้ว +3

    Nimejikuta naangalia tena leo 05,04,2023

  • @KasendrLukadi-pj7xy
    @KasendrLukadi-pj7xy 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ingeli kuwa wakina Ruto na kagame wa penda asili mali za wengine kama hawenge fanya hivo

  • @africanvoyagesafaris3834
    @africanvoyagesafaris3834 6 หลายเดือนก่อน +2

    Magufuli hoiyee..he was a strong president. Much love from Kenya 🇰🇪.

  • @japhetpdidi49
    @japhetpdidi49 3 ปีที่แล้ว +1

    Watazania tumeshaamka na magufuri tunakushukuru na wanaompinga atuwakubali na atutopiga kula tena kwa yeyote ampingae magufuri

  • @allykigatta3239
    @allykigatta3239 5 ปีที่แล้ว +12

    HAWA SASA NDO DACTA MAGUFULI NA UHURU KENYATTA...HAWA NDO MARAIS WA UKWELI...

    • @munasaidi614
      @munasaidi614 5 ปีที่แล้ว

      Usimsifu Uhuru Yuko na ubaguzi Uhuru wakenya wanalia

    • @najmagudeh203
      @najmagudeh203 5 ปีที่แล้ว

      Muna said.kweli kbsa

    • @shaibukitoga3082
      @shaibukitoga3082 5 ปีที่แล้ว

      Ndio anajifunza hivyo

    • @mwarishmodsalum555
      @mwarishmodsalum555 5 ปีที่แล้ว

      Safi sana muheshimiwa uhuru pongezi kwako na muheshimiwa magufuli kila siku nakupenda mungu akusimamie maadui wanaokuchukia laana iwe juu yako na dhambi ziwakandamize wao ameena

    • @mwarishmodsalum555
      @mwarishmodsalum555 5 ปีที่แล้ว

      Safi sana muheshimiwa uhuru pongezi kwako na muheshimiwa magufuli kila siku nakupenda mungu akusimamie maadui wanaokuchukia laana iwe juu yako na dhambi ziwakandamize wao ameena

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 5 ปีที่แล้ว +10

    Rais wetu uhuru fata nyayo zinazo fata mwenzako magufuli magufuli anatetea wanyonge anatembea tz yote mpaka magerezani kwaio tunakuomba ufate nyayo za mwenzako usiwe mbaguzi kwamana magufuli si mbaguzi

  • @danielbugwema6969
    @danielbugwema6969 5 ปีที่แล้ว +24

    Wanao kuchukia wafe kwa vijiba vyao vya mioyo yao

    • @williammasanja5819
      @williammasanja5819 5 ปีที่แล้ว

      Saaaaaana kk wafe tu

    • @evarkidanh1109
      @evarkidanh1109 3 ปีที่แล้ว

      Hakika huyu ndiye alikuwa rais mpaka sas siamin kuwa umeondoka

  • @mkude
    @mkude 5 ปีที่แล้ว +15

    Nimeipenda sanaaa hiii,safi sana viongozi wetu.

  • @celestinshayo7295
    @celestinshayo7295 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona wanaonesha kama Magufuli na Kenyatta hawakuwa na uhusiano nzuri?

  • @juliasibwana2607
    @juliasibwana2607 3 ปีที่แล้ว +12

    Nilizani nimebaki yatima kumbe mzazi yupo mh rais Samia suluhu Hasan Asante mungu

  • @issazakaria863
    @issazakaria863 3 ปีที่แล้ว +10

    The Comrades of East Africa love from #Tz R. I. P JEMBE letu big love Kenyatta TUSONGE PAMOJA na Rais wetu Mama Samia

  • @babusadala5732
    @babusadala5732 5 ปีที่แล้ว +6

    Pumbafuu 😏😏wanaomchukia mjomba wafe tuu hakuna namna nyingine sasa 🍺🍾😎👍piga kazi mjomba angu magu 🍺🍾😎

    • @michaelkihaga8773
      @michaelkihaga8773 5 ปีที่แล้ว

      babu Sadala huhuhuhuhuhu

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว

      Mungu anakuona 😂😂😂🤖👉🍺🍺🍺🍺

    • @babusadala5732
      @babusadala5732 5 ปีที่แล้ว

      @@bjzee1981 😂😂😂😂hata ww anakuona..... 🍺🍾

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      sasa kafa yeye utasemajee ? 😂😂 ukimuelekezea mwenzako nja shina linakuja kwao . nafikiri itakuwa ni somo kwao keep your ass shut

    • @KIM-xl6zs
      @KIM-xl6zs 3 ปีที่แล้ว

      Sasa wewe mjomba wako ako wapi sasa

  • @joshuaonyith2005
    @joshuaonyith2005 3 ปีที่แล้ว +4

    Continue resting in peace your Excellency. Death is too mean to African continent. Good leaders don't last longer. RIP H.E Dr. JPM

  • @allananam6631
    @allananam6631 5 ปีที่แล้ว +23

    This is great, true spirit of kenytan.

  • @donsuatv1254
    @donsuatv1254 5 ปีที่แล้ว +7

    Alieskia simu inaanza kuita ikisema Sajili laini kwa njia dole gumba gonga like

  • @atsachifamily4509
    @atsachifamily4509 3 ปีที่แล้ว +2

    Ati wewe achana na huyo arudi nyumbani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @vinhardodhiambo323
      @vinhardodhiambo323 7 หลายเดือนก่อน

      A real kamau kabisa😂😂😂😂😂

  • @kabulamhembe1024
    @kabulamhembe1024 3 ปีที่แล้ว +9

    Nalia kwa uchungu sana kuondokewa na mtu kama huyu,kazi ya mungu haina makosa rest easy dad

    • @alisaid4380
      @alisaid4380 3 ปีที่แล้ว

      Afathali ungelikufa ww

    • @kabulamhembe1024
      @kabulamhembe1024 3 ปีที่แล้ว

      @@alisaid4380 mwislamu gani wewe kipindi cha ramadhani unaongea pumba kiasi hiki naomba ufe kifo kibaya iwe fundisho kwa watu wengine wenye kumdhihaki mungu kama wewe

    • @alisaid4380
      @alisaid4380 3 ปีที่แล้ว

      Utakufa ww mbwaa

    • @kabulamhembe1024
      @kabulamhembe1024 3 ปีที่แล้ว

      @@alisaid4380 mbwa wazazi wako waliokojoa kiumbe kisicho na busara

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 3 ปีที่แล้ว

      @@alisaid4380 unateseka ukiwa wapi😒

  • @aloycemyovela2521
    @aloycemyovela2521 5 ปีที่แล้ว +16

    Bless ndgu yetu rais Nakupenda sana

  • @kifalumjanja2428
    @kifalumjanja2428 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa sana hiyo conversation from both side.

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 5 ปีที่แล้ว +6

    Bonge la mazungumzo.Magufuli umetisha.halina ubishi hilo

    • @harunakon8920
      @harunakon8920 5 ปีที่แล้ว

      chap kazi rais bila kujali

  • @maryamhabib466
    @maryamhabib466 3 ปีที่แล้ว +4

    Wallah sichoki kuskiliza hotuba zako baba maguful rest in peas

  • @drrrr7475
    @drrrr7475 3 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli, huyu hakutawahi kuwa na raisi kama yeye!!

  • @cityboysdecalicas2024
    @cityboysdecalicas2024 7 หลายเดือนก่อน +8

    Nafurahi kuona hii video❤❤❤❤
    Nimempeza Magufuli na kumtamani Kenyatta wetu arudi uongozini❤❤

    • @EzraOsiemo
      @EzraOsiemo 7 หลายเดือนก่อน +2

      Akh

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 5 ปีที่แล้ว +20

    Yaani simu ya Raisi ni kimeo 😆😆.... Kweli Tanzania wako na Raisi very simple kabisa

    • @francepetro6768
      @francepetro6768 5 ปีที่แล้ว +1

      steve wanga iyo maic ndio inafanya ivyo

  • @eliudchipuga5851
    @eliudchipuga5851 5 ปีที่แล้ว +31

    You are the right person chosen by God for the people of Tanzania

  • @priencedamdoek508
    @priencedamdoek508 5 ปีที่แล้ว +14

    I see, nimefurahi sana. This is more than friendly.

  • @rosalindbirungi9164
    @rosalindbirungi9164 3 ปีที่แล้ว +7

    Thank you President Uhuru. Stay blessed

  • @alfredmsambaa1443
    @alfredmsambaa1443 5 ปีที่แล้ว +7

    Sawa sawa,,,sasa ili udugu wetu udum zaid,,inatakiw kila m tz aoe kenya...mashemej zetu hawana shda bn..hahahahaa

  • @rukundorwiza5223
    @rukundorwiza5223 7 หลายเดือนก่อน +1

    Is too sad to see kenya and tanzania having western pupet today after makufuri and kenyatta

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa uchaguzi wa mwaka huu.wanabadilisha agenda.ili washinde.sera hazipo.sera ni Magufuli.

  • @stephendaniel7019
    @stephendaniel7019 3 ปีที่แล้ว +3

    African Legend, RIP. I lack strong words to describe you my African King but it is well known that u r really the King that could have rescued Africa.

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe ndio maana jamaa zetu waliokimbilia Kenya ilikuwa ktk transit.

  • @leodiansamba4682
    @leodiansamba4682 5 ปีที่แล้ว +3

    Raisi wetuu we jamani mungu akupe nn uuuuuuwiiiiiiii we Raisi weeeee magufuli mungu akubaliki sanaaa

  • @hanaffitotoya3267
    @hanaffitotoya3267 5 ปีที่แล้ว +1

    Majiz yoote yatakoma piga kaz mjomba ss wanachi tunaimani nawewe baba mungu akulinde na akupe afya uzidi kututetea watanzania iwe historia yavizazi baadae

  • @adammakoye4198
    @adammakoye4198 5 ปีที่แล้ว +6

    Rais wetu mpendwa Mh Magufuli kwanza nakupenda sana japo mwanzo nilikuchukia sana. kma utasoma comment hii nataka kuuliza bidhaa ya milioni nne ushuru wke ni milioni moja na laki mbili forodha ya Namanga hiyo