DUH! JPM AMVAA MFUNGWA ALETOKA GEREZANI "ALIKAA MIEZI SITA, MSHIKENI TENA, AKALIME MZURURAJI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2019

ความคิดเห็น • 286

  • @AsiaMkusa
    @AsiaMkusa 4 ปีที่แล้ว +31

    Amiri jeshi mkuu wa jeshi lenye nidhamu afrika nzima na utendaji uliotukuka anawakilisha kwa mavazi ya jeshi lake Zuri, Gonga like yako kama unalikubali jeshi letu

  • @johnkillango7850
    @johnkillango7850 4 ปีที่แล้ว +8

    Mungu akubariki rais wetu najua Mungu atakuwa pamoja nawe baba kwa kazi unazozifanya I love u my President good sanaaaa

  • @doricegabriel2610
    @doricegabriel2610 4 ปีที่แล้ว +9

    Nilivyo kuwa nadhiki ee Mungu siku nakutana na Baba Magufuri ety eleza shida yako kudadadeki sitopoteza bahati,nitamwambia baba nipate mtaji ata Wa laki 5 tu

  • @dianafyondi3265
    @dianafyondi3265 4 ปีที่แล้ว +31

    Raisi nimpendaye JPM viva viva viva JPM. 2020 kura zote chukua.🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏

  • @ibrahimuhamzab.7129
    @ibrahimuhamzab.7129 4 ปีที่แล้ว +3

    Ni Bahati Saana kumpata Raisi Ambaye anasikiliza Wananchi wake kama hivi.
    Mungu ibariki Tanzania ,
    Mmungu mbariki
    Mh, Raisi John Pombe Magufuli

  • @andreashayo6266
    @andreashayo6266 4 ปีที่แล้ว +11

    Respect rais wetu hakika ww ni mtu wa watu

  • @lightmbasha6404
    @lightmbasha6404 4 ปีที่แล้ว +6

    Mtoto kamwokoa mamake. Kura yangu haikuaribika 👍👍 rais wetu oyeee

  • @frankmosha5854
    @frankmosha5854 4 ปีที่แล้ว +25

    Uyu ndie tuliepewa na mungu ni jambo LA kumshukuru mungu

  • @abbasally6288
    @abbasally6288 4 ปีที่แล้ว +1

    Ma Rais wote waliopita wangefanya kazi kama ww saizi tanzania ingekua kama uraya naomba rais wetu pambana na cc tupo nyuma yako mungu akubalikie sana god job magu

  • @joycehagman5622
    @joycehagman5622 4 ปีที่แล้ว +1

    Na shukuru mungu aibariki Tanzania na raisi wetu

  • @dominikishilali194
    @dominikishilali194 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali sana Mzee wangu ajezi zako izo mabeberu mavi yana gonga chupi mkuu pika kazi baba ni malaisi wachee sana wanao vaa gwanda za kazi

  • @omariswafuru9399
    @omariswafuru9399 4 ปีที่แล้ว

    No comment,Tanzania ,Mwenyezi Mungu ameiibariki kweli kupata Raïs muzuri sana JPM. Furaha sana kumuona na kumusikiliza .Vive JPM.

  • @thegreatsource2953
    @thegreatsource2953 3 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania wenzangu, Please tumchague tena John Pombe Joseph Magufuli aendelee kuiongoza tanzania mpaka 2025. Tusifanye makosa tafadhalini sana. JPM2020💪

  • @suleimanpandu8955
    @suleimanpandu8955 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzuri hajawahi kutokea Tanzania ila chama chake tu ndio sikipendi hata kukiona

  • @thadeiminja1855
    @thadeiminja1855 4 ปีที่แล้ว +19

    Ukijichanganya kwa Rais. Imekula kwko

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 4 ปีที่แล้ว +1

    Raisi W angu nakupenda sana tena sana mungu akulinde kwauwezo weke amina

  • @kenicemkaka2824
    @kenicemkaka2824 4 ปีที่แล้ว +4

    Yani mheshimiwa mimi binafisi kama ingewezekana ungepewa nchi nahisi tanzania ingekuwa ya heshima sana

  • @monicamonica4597
    @monicamonica4597 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂eti ukiona maindi Bei kalime yako 😂😂kweli aisee kulima vyauchungu jua Kali Safi Sana mkuu

  • @saidherry8820
    @saidherry8820 3 ปีที่แล้ว

    Aliesikia sarange oyeee anipe like

  • @giftnyakipande1253
    @giftnyakipande1253 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutunze rais wangu akuzidishie hekima mara elf moja barikiwa ssna baba

  • @oscarkasalile9367
    @oscarkasalile9367 4 ปีที่แล้ว +2

    Mzee kwa ukweli Wewe ni m kweli sana. Mungu akubariki Mheshimiwa Rais.

  • @walikidali596
    @walikidali596 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki rais wa Tz endelea ongoza kwa haki Mungu hupenda haki

  • @jackleenmandary2632
    @jackleenmandary2632 4 ปีที่แล้ว +4

    Jamaa mshenzi huyu unaulizwa una shida gani unajibu utumbo loh dah kweli Kama umeandikiwa umasikini tu mpk mwisho

  • @seifmohamedseif9467
    @seifmohamedseif9467 4 ปีที่แล้ว +100

    🤣🤣🤣 km umeona rais kaweka mic sikioni na sim pia gonga like

    • @Mkemia..Kirigiti
      @Mkemia..Kirigiti 4 ปีที่แล้ว +1

      Hhhahhhah nmecheka xana

    • @salomejohnson346
      @salomejohnson346 3 ปีที่แล้ว

      @@Mkemia..Kirigiti Haaaaaaa nimecheka sana

    • @lulually6722
      @lulually6722 3 ปีที่แล้ว

      😆😆😆😆😆😆mic sikioni kajisahau

  • @emmakelvinmeinyi1439
    @emmakelvinmeinyi1439 4 ปีที่แล้ว +16

    Amiri jeshi mkuu wa tz nani hakubali swali

  • @banazoone2744
    @banazoone2744 4 ปีที่แล้ว +5

    Polepole wanainchi mtamwaga ugali wa Dc

  • @rahmakatotok3489
    @rahmakatotok3489 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana rais wangu mungu akujaliee upite tenaa

  • @bonifacepontian1391
    @bonifacepontian1391 4 ปีที่แล้ว +5

    Duh uyo mama anajua..kuforce mazingira so poah

  • @lazarojr8923
    @lazarojr8923 4 ปีที่แล้ว +22

    Mpiga debe kayataka mwenyewe

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 ปีที่แล้ว +3

    Hii karne mpy kwa watz jmn hizi mambo zakupewa pewa hazikuwepo asante Mungu

  • @jeuritv156
    @jeuritv156 3 ปีที่แล้ว

    Kiukweli mpaka mtu unaeza tamani kukua mtanzania..... Ghai Tanzania you so lucky to have such a great president.. i love you magu... Millard Ayo magufuli sna tu...

  • @dicksonhenricko9130
    @dicksonhenricko9130 3 ปีที่แล้ว

    Ama kweli we ndio jembe mungu akulinde jpm

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki mh Rais

  • @akwillahsegwa6940
    @akwillahsegwa6940 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyu baba mungu akampe maisha marefu sanaa na amlinde pia

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 4 ปีที่แล้ว +25

    Madebe yakiisha atapiga sufuria mheshimiwa haraf jamaa boya huyu uliitwa hapo ili upewe hela we unaulizwa shida yako nin unaanza ooh nilikosea kusema me salange we vip😠

  • @ramadhanindevu6006
    @ramadhanindevu6006 4 ปีที่แล้ว +16

    Amenichekesha magufuli alipoweka simu sikioni na maiki nayo masikioni amenichekesha sana

    • @stantz1798
      @stantz1798 4 ปีที่แล้ว +3

      Alitaka watu wasikie kutoka kwenye cm

    • @merryjulius4098
      @merryjulius4098 4 ปีที่แล้ว

      Haaha,alisahau jamani.

    • @saidinhomarwa5575
      @saidinhomarwa5575 4 ปีที่แล้ว

      Jamaa kweli salange bubu anaulizwa shida nini anasema yeye salange du bora akalime tu.

    • @mwanaisha522
      @mwanaisha522 4 ปีที่แล้ว

      Kaweka hiyooo ili watu waliopo hp wasikilie live

    • @ommylamam1463
      @ommylamam1463 4 ปีที่แล้ว

      @@mwanaisha522 mmmnh maiki kushoto cm kulia magu noma

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atusaidie katika kufanya maamzi.

  • @charleshaule4008
    @charleshaule4008 4 ปีที่แล้ว +2

    Ninamiaka zaidi ya 40 lakini nimetokwa na machozi baada ya Rais kumwita mtoto mwanangu na kumpa hela. Huyu Rais wa pekee sana mm binafsi sijawahi kuona katika maisha yangu. Mungu akubariki sana Rais Magufuli tunakupenda sana aysee.

  • @alikhamisog3422
    @alikhamisog3422 4 ปีที่แล้ว +7

    Jaman tanzania si tunaambiwa n moja sasa kwann huku Zanzibar haakuna chochote jaman

    • @tanzaniteinzanzibar6655
      @tanzaniteinzanzibar6655 4 ปีที่แล้ว +3

      ALI KHAMIS, nyie mnajitamba watanzania bara tunakuja Zanzibar kutoa ushamba, eti mna kila kitu... Leo wewe unasema hamna chochote...

    • @alikhamisog3422
      @alikhamisog3422 4 ปีที่แล้ว

      @@tanzaniteinzanzibar6655 asanta kwa mawazo yako lakin isome tena huo ujumbe wangu utanielewa nn nilimaanisha

    • @nawihadj6674
      @nawihadj6674 4 ปีที่แล้ว

      Unataka chochote kip weye

    • @josephmsuya8124
      @josephmsuya8124 4 ปีที่แล้ว

      Fafanua alii hakua nn

  • @daudirajabu6798
    @daudirajabu6798 4 ปีที่แล้ว +9

    Badala yakuomba mtaji kwa mh raisi unasema sarange boya kweli ww

    • @seifzongo320
      @seifzongo320 4 ปีที่แล้ว +1

      😀😀😀

    • @nemricesoka8189
      @nemricesoka8189 4 ปีที่แล้ว +2

      Hahahha ulikia mawazon mwangu alivyoitwa pale mbele alikua apewe mtaji akazingua na usarange hahahhaa

    • @lukasochola576
      @lukasochola576 4 ปีที่แล้ว

      @@nemricesoka8189 Mtaji ni nini?

    • @beatricedickson605
      @beatricedickson605 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂jamn simba mtoto

    • @neemamayco3238
      @neemamayco3238 4 ปีที่แล้ว

      Mwenye bahat habahatiki

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana makufili oyeeeee

  • @hamisjahar756
    @hamisjahar756 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli were ni rais WA wanyonge,lakini kuna kitu nakiona ni stofahamu haswa kwa mikoa ya kusini hasa wilaya ya masasi.nadhani kunavitu ambavyo wanakudanganya,naona mmi mmja ya wanaichi wako tunaefatilia utendaji wko mzuri,nafyatilia SNA ziata zko ili nijue nni baba kasema Leo,ila kwnye ziara zko za huko aulizagi nani anashi au kma kna kero!kwakwli masasi kna stofahamu nyingi watendaji wna haribu sana

  • @oscarkasalile9367
    @oscarkasalile9367 4 ปีที่แล้ว +10

    Mheshimiwa Hawa nida ni shida mheshimiwa

  • @hansimwakyoma3042
    @hansimwakyoma3042 4 ปีที่แล้ว +1

    Awa nida mh. Raisi awafai kabisa uku rungwe nimejiandikisha mwezi sita adi leo sijapata kitambulisho ndani ya wiki nzima wanafanya kazi siku mbili tu wananchi wa rungwe tunapata shida tunaomba msahada wako mh. Raisi

  • @uswizinyanginywa2498
    @uswizinyanginywa2498 4 ปีที่แล้ว +7

    Hahaaaa Sarangeee hoyeeeee

  • @mselemsalim1986
    @mselemsalim1986 4 ปีที่แล้ว

    Axnt Mh.rais wanqu nakupenda xn!

  • @immaruzige1845
    @immaruzige1845 4 ปีที่แล้ว +9

    Ukiweka simu na mic kwenye masikio unapata vitamini zote

    • @neemamayco3238
      @neemamayco3238 4 ปีที่แล้ว

      Yaan ww unautan mbayaaa shida yake c wananchi wawasikie

    • @lulually6722
      @lulually6722 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

  • @evcloudjuma9790
    @evcloudjuma9790 4 ปีที่แล้ว +6

    Kamata masalange wote sukuma ndani pumbavu wamenifanya mm nimeanda gari la ajabu kweli ambalo mm sikupanga.

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 ปีที่แล้ว +8

    Msanvu oyeeee nimepamis

  • @GloriousRestorationTV
    @GloriousRestorationTV 4 ปีที่แล้ว +12

    Huyu kweli ni salange, yaani unaulizwa una shida gani Unashindwa hata kusema sina mtaji?
    Salange oyeeeeee

    • @pendomkumbo8262
      @pendomkumbo8262 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂loh

    • @ratifamzima1255
      @ratifamzima1255 3 ปีที่แล้ว

      Yaani roho imeniume San jamani ningekuwa mimi

  • @evcloudjuma9790
    @evcloudjuma9790 4 ปีที่แล้ว +12

    MIMI naomba Magufuli awe Rais maisha yake yote

    • @jamesmosha666
      @jamesmosha666 4 ปีที่แล้ว

      MH

    • @geoegedonard8548
      @geoegedonard8548 4 ปีที่แล้ว

      Utakua senge co bure aisee

    • @evcloudjuma9790
      @evcloudjuma9790 4 ปีที่แล้ว

      @@geoegedonard8548 #hahah hapana usenge nimeacha Ila huyu jamaa amefanya maisha yamekuwa mazur Sana

    • @jonaslaiser6273
      @jonaslaiser6273 4 ปีที่แล้ว

      Hatamimi

  • @molasmusa3609
    @molasmusa3609 4 ปีที่แล้ว +3

    Pga kazi mzee

  • @salumnakauka5355
    @salumnakauka5355 4 ปีที่แล้ว +4

    Merci monsieur président.Dieu vous protage.

    • @evancegerald6281
      @evancegerald6281 4 ปีที่แล้ว

      Dictetor 1 africa

    • @julessebintu6525
      @julessebintu6525 4 ปีที่แล้ว

      salum nakauka on dit Que Dieu te protège non pas te protage

  • @raymondysadick608
    @raymondysadick608 3 ปีที่แล้ว

    Huyu rais ndo maana nampenda bure.

  • @maxwellwilliam1663
    @maxwellwilliam1663 4 ปีที่แล้ว +12

    Yaan kuna watu wamezaliwa na nuksi😂😂😂😂 huyo SARANGE alitaka kupewa pesa anaulizwa shida anasema simba mtoto aiseee nmecheka saaaanaa, hyo fursa kama ningeipata mm million tano zngeniangukia chap

    • @salummuhija4435
      @salummuhija4435 4 ปีที่แล้ว +1

      Aloo hata mi nimeshangaa badala aombe hata mtaji hats wa Mahindi aachane na usarange yeye anarudisha mkanda nyuma tena!!

    • @giftnyakipande1253
      @giftnyakipande1253 4 ปีที่แล้ว +1

      Yani ajielewi amenikera kha rais alikua na nia yakumsaidia ila ajaonesha ushirikiano dah

    • @aminasalum1954
      @aminasalum1954 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahahaaaaaa

    • @ndikumanaally4952
      @ndikumanaally4952 4 ปีที่แล้ว +1

      Natowa jambo mimi ni murundi wabujumbura napenda sana kuona video za Raisi watanzania pamoja na mapilice wake namna banafanya kazi yani nawapongezi kwabigerere sana Mungu Awajariye asanteni

    • @ndikumanaally4952
      @ndikumanaally4952 4 ปีที่แล้ว

      Yani Siwezi nikarara bira kutizama Rais watanzania namukubari sana

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahahaaaaaa msenge huyo sarange unaulizwa badala useme unahitaji mtaji unasema mim sarange mfyuuu

  • @magdalinangussa8643
    @magdalinangussa8643 4 ปีที่แล้ว

    Baba jeska anahuruma sana wasukuma ndivyo tulivyo na huruma nampenda sana

  • @judithwirth2256
    @judithwirth2256 4 ปีที่แล้ว

    The big Problem is Mr. Magufuli is working like an undercover Boss. You can't be in a wrong place, at a wrong time, everytime!! You have Ministers, judges, Managers, Teachers, doctors etc, but the president want to hier and solve all the problems on his own. Which is not possible!! What is going on Tansanian?

  • @henrykishiwa6755
    @henrykishiwa6755 4 ปีที่แล้ว +4

    Unaulizwa shida yako unaanza kuongea u K.. Mrugulu kachelewa wapi huyo

  • @mambosasatv9717
    @mambosasatv9717 4 ปีที่แล้ว +1

    Salange anamatatizo ya kisaikologia hivyo ndio maan ameshindwa kujua namna ya kujibu alipoulizwa anashida GN? Yeye akaelewa anatatizo gn linalomfanya ashindwe kubadilika na kuludi kuwa mpiga debe na istoshe katika gerezan HIV punde?

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 4 ปีที่แล้ว

    Mashehe wetu walimu wetu wa Muamsho wapo Gerezani wafiraji Babu Sanya na wanawe wapo huru kwa amri ya magu wakati tayari mahkama ilisha towa hukmu huu ni uwendawazimu uliopitiliza. Tatizo Taasisivya kiislam Bakwata ni tawi la ccm wameufyata kwa unafiq wao wanashindwa kuwatetea waislam weziwao.

  • @sondanzingulasondasam4029
    @sondanzingulasondasam4029 4 ปีที่แล้ว +4

    Mimi sarangee hahaha hahahaha

  • @jumaselemani2720
    @jumaselemani2720 4 ปีที่แล้ว +7

    Kweli jua kali mheshimiwa duuh 😂😂

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 4 ปีที่แล้ว +8

    Sasahivi maind yako juu sio kwa mkulima bei juu iko kwa waranguzi ambao walinunua bei rahisiiiii leo wanakula faida mala dufuu mkulima hana maZao tena

    • @wannaproducts
      @wannaproducts 4 ปีที่แล้ว

      Umenena uhalisia kabisa, Rais hajui hilo nadhani wasaidizi wake wanapaswa kumueleza kuwa mazao wakati huu yko kwa walanguzi sio wakulima

    • @allysalum7158
      @allysalum7158 4 ปีที่แล้ว +1

      nyie mlikua wapi kwenda kuyalangua maisha ni hesabu

    • @wannaproducts
      @wannaproducts 4 ปีที่แล้ว

      @@allysalum7158 Aisee

    • @festosanga1793
      @festosanga1793 4 ปีที่แล้ว

      Sasa we ulitaka iweje???! rais apange bei??

  • @fifo262
    @fifo262 4 ปีที่แล้ว +1

    Love mh wa tz

  • @lindahwazir7209
    @lindahwazir7209 4 ปีที่แล้ว +1

    Karibu mikoa mingi tunapewa namba tuu.

  • @fransymwasubira.2903
    @fransymwasubira.2903 4 ปีที่แล้ว +7

    Kweli wanyonge tumepata mtetezi

  • @africa7479
    @africa7479 4 ปีที่แล้ว +7

    Raisi mimi ninashida jamani ya kukuona live tuake pekeyetu dakika mbili tu.

    • @alyhamadi8033
      @alyhamadi8033 4 ปีที่แล้ว

      Uyu jamaa mjinga mkuu wa nchi anakuuriza usaidiwe ww unaaza kusema oooh mm sio mzurulaji

    • @grfgt1930
      @grfgt1930 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 ปีที่แล้ว +2

    Khaa kijana wembona km umelewa tuu acha bangi wew kalime

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 ปีที่แล้ว

    Hata dodoma raisi nida ni shida baba tusaidie.tuna namba tu vitambulisho hakuna

  • @victormushi6641
    @victormushi6641 4 ปีที่แล้ว +7

    SALANGE UMENIANGUSHA, UJUI HATA SHIDA YAKO NI NINI?

  • @masuseleman978
    @masuseleman978 4 ปีที่แล้ว +8

    Hapo mwisho jamaa anasura ngumu.mpaka raisi kamuuliza yy ni miongoni walio ungua Moto😂

    • @petromtakati2975
      @petromtakati2975 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣😅😅😆😁😄😃😃😀😀😃😃😄😃😂😂😂😂😀😀

  • @godfreymhochi6206
    @godfreymhochi6206 4 ปีที่แล้ว +2

    wananchi wenyewe wanafki jamaa kaelezea shida wakashanfilia alafu akageuziwa kibao tena wanashangilia mmmmh

  • @augustinojohn4764
    @augustinojohn4764 4 ปีที่แล้ว +5

    Chuo cha ualimu morogoro, Mheshimiwa uje utembelee maana...🤐🤐🤐

  • @frankmussa195
    @frankmussa195 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe.raisi.wetu

  • @magdalinangussa8643
    @magdalinangussa8643 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba hataki mchezo huyu napenda atawale miaka yote

  • @henrykishiwa6755
    @henrykishiwa6755 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa kaikosa milioni moja nje nje matako kweli we unaulizwa shida yako unaanza kuongea utumbo utakufa masikini K wewe

  • @selemanhamis4799
    @selemanhamis4799 4 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @mamymdogomamy3670
    @mamymdogomamy3670 4 ปีที่แล้ว

    Jamani uhuru si uchukuwe mfano japo wakiya tuu🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️wa Tanzania mungu awalindie Rais wenu 🙏🙏

  • @ibrasound4943
    @ibrasound4943 4 ปีที่แล้ว

    Njoo na kilosa Mh Rais wetu

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 4 ปีที่แล้ว +4

    Hivi kupiga debe ni kazi? Huwa kuna mwananchi asiyejua ni gari gani atakalopanda limpeleke atakako? Wapiga debe niwazururaji, wezi na wavivu tu. Sukuma wote ndani.

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahahaha haya sasa DC

  • @aminahussein5418
    @aminahussein5418 4 ปีที่แล้ว

    Jamani uyu rais asitoke madalakani jamani mbaka mungu atakapo mchukua kwamapendekezo yamungu

  • @BontamLee
    @BontamLee 4 ปีที่แล้ว

    Pole kwa safari kwa miungu watu,kama ninyi,huyo rais mchapa kazi mwambie ongera kwa safari.

  • @pendomkumbo8262
    @pendomkumbo8262 4 ปีที่แล้ว +1

    Sarange oyeeeeeee🤣

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 ปีที่แล้ว +2

    Kam umemsikia jamaa anasema et hasikii vzr gongalike twende zetu dodom

  • @user-je7jj1vi2u
    @user-je7jj1vi2u 3 ปีที่แล้ว

    😗from 🇧🇮

  • @jeradkanyuru5745
    @jeradkanyuru5745 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli atutambata kama wew

  • @ambermodotz408
    @ambermodotz408 ปีที่แล้ว

    Rest in paradise dady

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 ปีที่แล้ว

    Makao makuu dodoma nida ni shida nani makao makuu .tusaidie raisi wetu

  • @britonngale6644
    @britonngale6644 4 ปีที่แล้ว +3

    This is Magufuli

  • @davidmartin5197
    @davidmartin5197 4 ปีที่แล้ว +10

    Badala aseme shida yake anasema habar za Simba mtoto

    • @hopesefue1562
      @hopesefue1562 4 ปีที่แล้ว +1

      Yaani ameniudhi amepata nafasi adimu aeleze shida zake Anasema Mimi ni Sarange yaani

    • @amiryhassan7143
      @amiryhassan7143 4 ปีที่แล้ว

      David Martin sijaona fala kama huyo aliyezungumza mambo ya sarange na Simba mtoto

  • @tommymmasi7820
    @tommymmasi7820 4 ปีที่แล้ว +5

    🔥🔥🔥

  • @kebumtanza5119
    @kebumtanza5119 4 ปีที่แล้ว +8

    Nouma Sanaaaaa

  • @laumbwana2681
    @laumbwana2681 4 ปีที่แล้ว +3

    Unaacha kusema nashida namtaji unasema Mimi sarange wewe kweli zoba

  • @rajmatola8611
    @rajmatola8611 4 ปีที่แล้ว +1

    Magu raisi wa wanyonge piga kazi babaangu 2ko nyumayako

  • @evcloudjuma9790
    @evcloudjuma9790 4 ปีที่แล้ว +5

    Jaman Nchi jiran wanatuonea kijicho kupata Rais Kama huyu jamani ukiona ww huoni kuwa huyu ni Rais Bora dunian ,haki ya Mungu ww umetoka kuzimu kuja kutugombanisha na mzee wetu.

  • @neemamayco3238
    @neemamayco3238 4 ปีที่แล้ว

    Mpumbavu 1 huyu kwel unashindwa kusema mm muheshimiwa naomba unisaidie mtaji aiseee watu wengin bhn mjinga sana huyu

  • @aqwinatherhaule6228
    @aqwinatherhaule6228 4 ปีที่แล้ว +1

    Uwiiii we mama me staki kupata kufuru

  • @nesomtandi926
    @nesomtandi926 4 ปีที่แล้ว

    Sana baba