KUBWA HII MUME NA MKEWE WABISHANA MBELE YA MAGUFULI, MAMA AMWAGA MACHOZI "NANYANYASHWA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2019

ความคิดเห็น • 345

  • @rehemammari3626
    @rehemammari3626 4 ปีที่แล้ว +11

    Asante Muheshimiwa raisi kwa kutetea wakulima. Wameteseka sana. Including my mom.

  • @jacobmsola4491
    @jacobmsola4491 4 ปีที่แล้ว +23

    Sisi wanyonge tutakuonbea kila siku mpk mwisho wa maisha yetu.

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997
    @ladymashaallahilikeuaadvis997 4 ปีที่แล้ว +15

    Natamani ungekuwa raisi wetu wa Kenya ,hongera sana mweshimiwa raisi magufuli

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 4 ปีที่แล้ว +40

    Kwakweli Diwani nimekuufagilia sana,uko bzr mno Hongera sana kijana.

    • @elizachota6361
      @elizachota6361 4 ปีที่แล้ว

      Kwann umesema ivo kaka 🤔

    • @dottnatt7110
      @dottnatt7110 4 ปีที่แล้ว

      Niwani wa umeongea vtu pwenti

    • @lucykanuti6138
      @lucykanuti6138 4 ปีที่แล้ว

      Baba Raisi watu Mungu azidi kukupingania pia Diwani uko vizuli sana

  • @helgaaporinaly2811
    @helgaaporinaly2811 4 ปีที่แล้ว +24

    Asante sana Rais wetu. Ulichomfanyia huyu mama Mungu akubariki sana

  • @hamadizuberi6295
    @hamadizuberi6295 4 ปีที่แล้ว +114

    Gonga like kama unaamini hiki kiumbe hakijawai tokea Tz baada ya baba WA Taifa Nyerere...

  • @winpaulkijazi879
    @winpaulkijazi879 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki Kamanda wetu kweli huyu ni rais wa wanyonge kwa mengi uliyofanya MUNGU AKUBARIKI SANA BABA

  • @solomonmpuluma282
    @solomonmpuluma282 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda sana Rais wangu. Wee ni gentleman!!

  • @rizickyyona6229
    @rizickyyona6229 4 ปีที่แล้ว +82

    Tuache chuki kwel rais anajitaidi hata kama anadoa ila anajitaidi.ninani anapoteza mda kusikiliza watu ingekuwa mwingine angeka ikulu kula ic tu

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 4 ปีที่แล้ว +8

      Watu unafikiri wana chuki basi sio hivyo bali wana ubinafsi, ukabila na uroho wa madaraka. Anayoyafanya Mgufuli mwenye akili timamu asiye na uroho wa madaraka hawezi kupinga. Hawamtaki kwa kuwa kawazibia riski ili watu wanufaike wote. Watu wana ubinafsi.

    • @zumbeshauri8114
      @zumbeshauri8114 4 ปีที่แล้ว +4

      riziki yona kabisa ndugu yangu watu tuache chuki hakika huyu mzee ni waaina yake

    • @hellengerald8106
      @hellengerald8106 4 ปีที่แล้ว +5

      Aje na Kigoma jamani tunaonewa sana.

    • @magrethjohn8576
      @magrethjohn8576 4 ปีที่แล้ว +1

      riziki yona ,Hakuna mkamilifu chini ya jua hakuna.

    • @omarykinyaga1407
      @omarykinyaga1407 4 ปีที่แล้ว +1

      Aruhusu watu wengine wafanye siasa mtamuona hana lolote. Anajua watu wa upinzania wana akili kuliko yeye. Magufuli huwezi mfananisha na Mbatia hata siku moja. Hana lolote huyu.

  • @mzeemombasa.3456
    @mzeemombasa.3456 4 ปีที่แล้ว +10

    Ama kweli kiswahili ni lugha yawastaarabu. Tanzania kiongozi munae nazipenda hekima zake kweli kweli.

  • @farajisureman9925
    @farajisureman9925 4 ปีที่แล้ว +18

    Diwani huyu nae kwakweli hoja zake amezileta vizuri sana. Basi sina Mamlaka lakini ningekuwa nayo basi ningekutaftia sehemu nzuri sana za kuwasilisha kero ili zitatuliwe.Jipigie makofi Mh. Diwani wao

  • @neemamahusho6193
    @neemamahusho6193 4 ปีที่แล้ว +6

    hongera sana kwa ulicho kifanya na mungu azidi kukupa maisha malef magufuli raisi Wawa nyonge

  • @user-dx5lz6du4y
    @user-dx5lz6du4y 4 ปีที่แล้ว +48

    Uyu rais ana akili kweli mashallah

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 4 ปีที่แล้ว +46

    Magufuli babalao

    • @husnamanase3943
      @husnamanase3943 4 ปีที่แล้ว +1

      Eshimayoko baba nakuomba uje anauku unguja wilaya ya kusini michamvi tupo wananchiwako tunaambiwa wakuja tunanunu maeneo kihaki tunanyimwa. Kisa niwakuja

    • @jonathanmchami4058
      @jonathanmchami4058 4 ปีที่แล้ว

      Pamoja sana baba wawanyonge

    • @sarahlydia2635
      @sarahlydia2635 4 ปีที่แล้ว

      True

  • @malikamtajir8935
    @malikamtajir8935 4 ปีที่แล้ว +19

    Mashallah rahisi magufuli wish ungekua w kenya yani wananchi walio free n rahisi.Allah akuzidishie roho hio n akujaalie maisha marefu

    • @paulkemei6626
      @paulkemei6626 4 ปีที่แล้ว

      Nami natamani angekuwa wetu hapa Kenya

    • @bintysaid7177
      @bintysaid7177 4 ปีที่แล้ว

      Kenya balaa ukijitia kiherehere kutaka kumfikia raisi wapigwa risasi ukufilie mbali😆😆😆😆

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 4 ปีที่แล้ว

      @@bintysaid7177 bwanah juzi tuu jama aliumizwa jicho na sehemu za siri kisa masikini amendika picha za Rais kama zawadi, 🙆‍♀️🙆‍♀️Kenya yetu buree sana

    • @bintysaid7177
      @bintysaid7177 4 ปีที่แล้ว

      @@mamymdogomamy3670 ndio apo kwetu raisi ni wa wakubwa tu

  • @neemathomas3163
    @neemathomas3163 4 ปีที่แล้ว +27

    Diwani uko vizuriii...Next DC huyooo ameongea kwa kujiamin namuona mbaliiii

    • @paulkemei6626
      @paulkemei6626 4 ปีที่แล้ว +6

      Kijana jasiri huyu viongosi shupavu hawa

    • @neemathomas3163
      @neemathomas3163 4 ปีที่แล้ว +2

      @@paulkemei6626 sanaa amejua kuwasemea wananchi wake vizuri bila kutetemaaa huo ndo uongozi

    • @paulkemei6626
      @paulkemei6626 4 ปีที่แล้ว +1

      @@neemathomas3163 Kabisaa,mbaka natamani kuja kule but very far from Kenya to tz

    • @franklungu7982
      @franklungu7982 4 ปีที่แล้ว +2

      Nime mis maneno yako Kama nakuona vile

    • @paulkemei6626
      @paulkemei6626 4 ปีที่แล้ว +1

      Hujambo

  • @Jamillahs1
    @Jamillahs1 4 ปีที่แล้ว +7

    Mungu akulinde Mh Magufuli na akupe afya na nguvu uzidi kusaidia wanyonge

  • @evanstweve7720
    @evanstweve7720 4 ปีที่แล้ว +18

    hakika ni Raisi wa pekee kwenye historia ya viongozi wa taifa letu, hongera sana mh Dr JPM

    • @samwelbajuta3422
      @samwelbajuta3422 4 ปีที่แล้ว

      Jmn kweli nimemkubali magufuli hongera San rais wetu wa jamhuri wa muungano wa tanzania kuanzia Leo mm in ccm no chadema

    • @cecygeorge4443
      @cecygeorge4443 4 ปีที่แล้ว

      Mungu akulinde sana raisi

    • @cecygeorge4443
      @cecygeorge4443 4 ปีที่แล้ว

      Mungu akulinde sana raisi

  • @happynespanga3519
    @happynespanga3519 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki sana Dady endelea kuongoza uko vzr sana

  • @japhetmombia
    @japhetmombia 4 ปีที่แล้ว +9

    Mh.Diwani inaonyesha yuko vzr

  • @yusufhassanfu4012
    @yusufhassanfu4012 4 ปีที่แล้ว +7

    Mwenyezi Ali hifadhi. Rais ma ajabu, mtajua badai. Uyu ni baraka kwenu.

  • @angelmaleshi6762
    @angelmaleshi6762 4 ปีที่แล้ว +6

    Nakupenda sana rais Wang ,

  • @Kipistatu
    @Kipistatu 4 ปีที่แล้ว +15

    Raisi huyu hajawah tokea hii ni mara ya mwanzo bhn dah raha sana huyu akae miaka 15 ya urais jmn mashallah ,,.😅😅nampenda sn anaongea point ..

  • @ashunebebi9518
    @ashunebebi9518 4 ปีที่แล้ว +4

    Well done magufuli mungu akuzidishie

  • @emmanuelmussa8331
    @emmanuelmussa8331 4 ปีที่แล้ว +13

    Huku Zanzibar mchanga umezuiwa tangu mwaka jana!!! Wananchi hawana pa kusemea utafikiri zanzibar hakuna uongozi!! Smh 🤦‍♂️

    • @abdlhaleem8380
      @abdlhaleem8380 4 ปีที่แล้ว +1

      Afanye aje maguuuu

    • @zulfamohamed4549
      @zulfamohamed4549 4 ปีที่แล้ว

      zanzibar sikuna kiongoz pia kwanini asisimame imara kutetea wanamchi

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 4 ปีที่แล้ว +7

    wewe raisi wewe raisi wewe jamani hakika mungu atakusaidia maisha marefu sana

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 4 ปีที่แล้ว +4

    Amakweli Magufuli ni Amirijeshi anayehitajika kulinusuru Taifa la Tanzania na Afrika kwa ujumla Mungu amuongoze vyema Amin.

  • @rashidsaidi4719
    @rashidsaidi4719 4 ปีที่แล้ว +4

    J.P Magufuli nakupigia salute

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 4 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sn huyu baba wa taifa❤️❤️❤️Allah akusimamie inshallah

  • @user-dx5lz6du4y
    @user-dx5lz6du4y 4 ปีที่แล้ว +33

    Hongera rais Wa Tanzania upo vzr

  • @mussamussa9174
    @mussamussa9174 4 ปีที่แล้ว +38

    Halafu kuna wasenge wanamponda raisi wetu Magufuli. Hebu tuachen na kiongoz wetu

    • @aminanoor5637
      @aminanoor5637 4 ปีที่แล้ว

      mussa mussa waambie

    • @jovovichmedia9424
      @jovovichmedia9424 4 ปีที่แล้ว +1

      Tumia lugha nzuri kaka

    • @aminahassan561
      @aminahassan561 4 ปีที่แล้ว

      Kabisaa mussa

    • @irenemwanaa8160
      @irenemwanaa8160 4 ปีที่แล้ว

      Atabaki kua jembe Rais wetu!

    • @nusurakajubu8785
      @nusurakajubu8785 4 ปีที่แล้ว +2

      Ndug hiyo mpaka iwepo watu wamemponda Allah na mtume wake sembuse yy watu wanakataa kusujudia Allah sembuse binadamu na binadamu wengi neno shukuran ni mtihan kwao kabisa ila uncle magu mm namkubali

  • @bobwillz6651
    @bobwillz6651 4 ปีที่แล้ว +6

    Magu raisi wa kusema na kutenda nakupenda bure magu

  • @justermutayoba2521
    @justermutayoba2521 4 ปีที่แล้ว +7

    Yahani kula yangu niliyompigia raisi magufuri haikwenda bure

  • @ethanadam9955
    @ethanadam9955 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ambariki sana Rais wetu

  • @kevinokutoyi203
    @kevinokutoyi203 4 ปีที่แล้ว +5

    Uhuru should learn from Magufuli

    • @regimentish
      @regimentish 4 ปีที่แล้ว

      Uhuru has nothing to offer....

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 4 ปีที่แล้ว +8

    mungu akuzidishie rais wa wanyonge unamoyo wa pekee sana

  • @boniphacetv739
    @boniphacetv739 4 ปีที่แล้ว +25

    hata nyerere hakufanya haya japo alitukomboa kwa wakoloni

    • @barakajulius7147
      @barakajulius7147 4 ปีที่แล้ว

      Kweli nakuunga mkono,

    • @frankkiondo4227
      @frankkiondo4227 4 ปีที่แล้ว

      Hapana nyerere ametuwekea misingi imara kwa Kila kabira liweze kutawala

  • @yusuphtwaha8386
    @yusuphtwaha8386 4 ปีที่แล้ว +6

    Kama umesikia kaweke ndan ukagaregare na mshikaji wako nipe like

  • @emmymgotta8830
    @emmymgotta8830 4 ปีที่แล้ว +6

    DIWANI YUKO VIZURI KWELIKWELI.UKO VIZURI

  • @mcdaido6775
    @mcdaido6775 4 ปีที่แล้ว +7

    Huku kenya twamuitaji rais kama jpm

  • @kingjulius8264
    @kingjulius8264 4 ปีที่แล้ว +4

    My president 💪

  • @raymondamedeus1398
    @raymondamedeus1398 4 ปีที่แล้ว +13

    ...oya kwa rais huyu lazma tutoboeeee gonga like mtu asikupangie bei kwan alikusaidia kulimaaaaa.....

  • @masungakibinza1312
    @masungakibinza1312 4 ปีที่แล้ว +11

    Jembe la Watanzania JPM mtambo Mkubwa

  • @hassankurran6830
    @hassankurran6830 4 ปีที่แล้ว +3

    Congratulation President Magufuli.Your are very funy.Amakula mahindi mengi.Best president in Africa.Umeleta Heshima kwa watu wa chini.Usalama umeboreka vibaka wamepungua.Hakuna alokuwa above the law.Tumbua Baba ulete heshima.

  • @janethmbogela9724
    @janethmbogela9724 4 ปีที่แล้ว +5

    MUNGU akubariki sana baba.

  • @rabiamakame6638
    @rabiamakame6638 4 ปีที่แล้ว +2

    yaan mm namkubali rais had machozi yananitok uish miaka mia

  • @RomwardWM
    @RomwardWM 4 ปีที่แล้ว +7

    😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂Mil.1 daaah kazi nzuri Magufuli

  • @farajisureman9925
    @farajisureman9925 4 ปีที่แล้ว +16

    Mh.Rais unafaa kwa maamuzi kwakweli. Kituo cha Afya hapo hapo. Safi sana. Kazi kwa Mh. Jaffo na Mh. Ummy (Kumradhi kama majina nitakuwa nimeyakosea) Watu wapate huduma.

  • @saltrecyjohn7696
    @saltrecyjohn7696 4 ปีที่แล้ว +10

    Nani kasikia we n diwani wa chama gani gonga like

  • @stevengracphord953
    @stevengracphord953 4 ปีที่แล้ว +3

    Rais nakupenda sana

  • @ZainabZainab-tv9ir
    @ZainabZainab-tv9ir 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah akbaru ongerasan kwakauliyak nzuri muheshimiwa wakupigiwa magoti nimungu kbs 🇧🇮

  • @shammwaki3411
    @shammwaki3411 4 ปีที่แล้ว +3

    Rais uko vizuri

  • @RomwardWM
    @RomwardWM 4 ปีที่แล้ว +13

    Huyu mama kangarooo kwa kuongea 😂😂 daaah Magufuli una kazi sana hivi vilio vyote ni njaa 😂 CCM usifikiri hakuna mafisadi ... Mhe.huyo mama anataka pesa tu 😂😂😂

    • @franklungu7982
      @franklungu7982 4 ปีที่แล้ว

      Nimekusoma

    • @magefrancis86
      @magefrancis86 4 ปีที่แล้ว +1

      Lia na wewe upewe pesa kama rahisi kihivyo.

  • @mangapmanga1539
    @mangapmanga1539 4 ปีที่แล้ว +8

    Duuuh nimefurah sana, nimesoma hapo sekondari.

  • @luciaalfred6213
    @luciaalfred6213 4 ปีที่แล้ว +11

    Wanaume wamezidi sanaa hata wanawake mlio olewa na mna vibalua vyenu serikalini munaishi kwa shida Sana majukumu yote mwaachiwa wakati inawezekana wote mnakazi,,,jamani wanawake tupambane tupige kazi heshima kazi si mwanaume Hawa tabiliki kabisa inauma sana ,na hakika baadhi ya wanaume hakuka mwawatesa wazazi wenu mkeo ni Kama mzazi kazaa wanao duuuh

  • @merveileprah8490
    @merveileprah8490 4 ปีที่แล้ว +6

    😭😭😭😭😭iyi inanitowa machozi iwish drc congo tuwe Na raisi Kama uyu mzee Tanzania Mungu anawapendeleye Sana

  • @raphaelmugho9466
    @raphaelmugho9466 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu magufuli ako na roho nzuri sana...

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 4 ปีที่แล้ว +1

    Maagufuri oyeeee nakupenda mpaka naumwa mungu akulinde

  • @zabronsimfukwe
    @zabronsimfukwe 4 ปีที่แล้ว +8

    Gonga like kama umeona gwanda kwa mwamba wa Tz na Africa🙌🙌🙌

  • @ihanomadili
    @ihanomadili 4 ปีที่แล้ว +5

    Mhemisha tunakukaribisha wilayani Kwimba, Malya tunakusubiri, Ubarikiwe Rais.

  • @deogratiusgideon8673
    @deogratiusgideon8673 4 ปีที่แล้ว +12

    Mungu akubariki Baba Magufuli🙏🙏

  • @furahakonde6259
    @furahakonde6259 4 ปีที่แล้ว +5

    I love you magufuli

  • @barakajulius7147
    @barakajulius7147 4 ปีที่แล้ว +1

    Napenda mkuu wetu anavotuamasisha wananch kulima nakufanya kazi kwa bidii,

  • @tz7976
    @tz7976 4 ปีที่แล้ว +5

    Tawala baba miaka 30 ijayo tutajilike nasi wanyonge

  • @winfridasawaya4847
    @winfridasawaya4847 4 ปีที่แล้ว +25

    Kidumu chama tawala

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu diwan jmn anaakili

  • @cristianamos8790
    @cristianamos8790 4 ปีที่แล้ว +5

    Some time pain is humfull

  • @sarahloveyouolivermtukidzi6704
    @sarahloveyouolivermtukidzi6704 4 ปีที่แล้ว +4

    Baba hakuna rais kama ww tena ww wala hakuna aja ya kugombea tena urais 2020 upite tu pia kama ningekuwa na uwezo usizeeke wala usiachie mdalaka

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 4 ปีที่แล้ว +4

    Diwani Dumila yupo! Msikosee awe hiyo huyo anafaa Sanaa
    Anajua kujieleza vzr

  • @jovovichmedia9424
    @jovovichmedia9424 4 ปีที่แล้ว +7

    Mkuu na sisi tuna shida tupe huo mshiko japo laki tano tu

  • @meshackminaji5509
    @meshackminaji5509 4 ปีที่แล้ว +10

    Nanukuu:''Kachimbeni mkaweke ndani mgalegale na mshikaji wako''hahahaha Raisi tumepata jamani.

  • @leylasaid2616
    @leylasaid2616 4 ปีที่แล้ว +5

    Amiri jeshi MKUU tumekuelewaa

  • @ashulamusin9811
    @ashulamusin9811 4 ปีที่แล้ว +4

    Magufuli Rahis waukweli sn Ongoza nchi hii miaka 10000

  • @batuliwanjallah5482
    @batuliwanjallah5482 3 ปีที่แล้ว +1

    Am in 🇰🇪 but Magufuli is my President. Namtambua Sana.

  • @nuruabraham3769
    @nuruabraham3769 4 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana mwenye nchi

  • @farajalaizer4669
    @farajalaizer4669 4 ปีที่แล้ว +1

    Genius, Raisi wa wanyonge

  • @stahimilmassawe8540
    @stahimilmassawe8540 4 ปีที่แล้ว +7

    Rais wanguu

  • @sarahloveyouolivermtukidzi6704
    @sarahloveyouolivermtukidzi6704 4 ปีที่แล้ว +4

    Ww kweli rais wa wanyonge sna

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 4 ปีที่แล้ว +20

    If only we hed 5 presidents like JPM in Africa,.....

  • @radhiambwana8787
    @radhiambwana8787 4 ปีที่แล้ว +3

    Diwani unastahki kuwa ulivyo. Unawaelewa vzr wananch najografia yao.

  • @Romeomromaproduction6307
    @Romeomromaproduction6307 4 ปีที่แล้ว +6

    Wachaga Ndo zao wanajua kuigiza

  • @irinemacha2951
    @irinemacha2951 4 ปีที่แล้ว +16

    Ha ha ha ha. ET unalia vzr.

  • @maselemaseleboy2366
    @maselemaseleboy2366 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyo diwani yuko vizuri Na tumpongeze Sana magu lazim tutoboe hakuna kukupangia bei

  • @pendomwenda6190
    @pendomwenda6190 4 ปีที่แล้ว +1

    Rais wetu Mungu akubariki, wewe sio raisi wa ikulu wewe ni mtu wa ajabu sijapata kuona

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 ปีที่แล้ว +2

    Walaykum salam warahmatullah wabarakatuh

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 ปีที่แล้ว +2

    Pongezi kwahuyo diwani asee daa nihatare huyo diwani nibalaa muheshimiwa muongeze cheo huyo anajielewa kuliko hata mbunge

  • @johnmatete3726
    @johnmatete3726 4 ปีที่แล้ว +3

    D-1 uko vzr sn !!!!! Keem it up bro.

  • @gedionelius55
    @gedionelius55 4 ปีที่แล้ว +1

    magufuli,, MUNGU Akubariki Sana Kwa Ujumbe Mzuri Wa Mwisho Kwa Mama,,,,,,,

  • @salmasalma8203
    @salmasalma8203 4 ปีที่แล้ว +1

    Diwan hnger sn yn mpk rais maguful amekupngez hngeraaa

  • @williamkwigema4169
    @williamkwigema4169 4 ปีที่แล้ว +9

    Magufuli ni Rais wa watanzania na Africa. Asiemtakia mema mchawi mkubwa.

  • @mcdaido6775
    @mcdaido6775 4 ปีที่แล้ว +5

    Tutatoa wapy rais kama huyu

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 4 ปีที่แล้ว +4

    amiri jeshi mkuu

  • @salmadzame3465
    @salmadzame3465 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki maghufuli

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 4 ปีที่แล้ว +1

    Your blessed my president!

  • @esperancenathali
    @esperancenathali 4 ปีที่แล้ว +1

    Ongera kwakunenepa kwakutumia mahindi kila siku kitambi kimemtambulisha jamani 🤣🤣

  • @barakajulius7147
    @barakajulius7147 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni Rais wa dunia,,

  • @ifakhamis255
    @ifakhamis255 4 ปีที่แล้ว +1

    Mheshimiwa rais, mungu akulinde

  • @joycewafula935
    @joycewafula935 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyo kijana anafaa kuwa mbunge hapo

  • @jackleenmandary2632
    @jackleenmandary2632 4 ปีที่แล้ว +3

    Diwani Yuko vzr

  • @antoinebakevya8911
    @antoinebakevya8911 4 ปีที่แล้ว +1

    Rais wote wangekuwa Dr John POMBE MAGUFULI kweli kweli tungepumzika hata kidogo